🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 219

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 4 місяці тому +8

    Ndacha ubarikiwe kwa kusema kwe waislam wamezidiwa tena kwa kiwango kikubwa sana, injili na isonge mbele

  • @robertotieno5443
    @robertotieno5443 3 місяці тому +15

    May the Lord Jesus Christ bless you more evangelist Ndacha Francis. you're a warrior of Christ 2024.

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb 2 місяці тому +3

    Ndacha kaeleza vzr bila xhida lkn nyinyi waislamu hamuelewi

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j Місяць тому +1

    Nguruwe anaongea aliyesema wamasai si watanzania Leo raisi mwenyewe amekuona nguruwe

  • @elkairosway1895
    @elkairosway1895 3 місяці тому +8

    Ndugu Waislam, someni Biblia kwa kujua Mungu, sio kumpinga Yeye!

  • @vincentnyabuto5647
    @vincentnyabuto5647 3 місяці тому +4

    Spiritual matters don't ask Muslims. Ask them juu ya ndevu

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 3 місяці тому +5

    Waislamu sijui huelewaje maandiko

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p Місяць тому +1

    Yani kazaliwa na mama yake halafu nimwite mungu haingii akilini hata. Mtoto mchanga naungana na waislam

  • @Fedrick-jb8xb
    @Fedrick-jb8xb 2 місяці тому +12

    Ndacha mungu akubariki

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 місяці тому

      nabii yesu toshekeni na hayo mumuani mungu wapekee

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 3 місяці тому +1

    😂😂🤣🤣🤣 sule acha hizo Yesu kristo atakuja kuhukumu walio hai na waliokufa atakuja na kila jicho litamuona,

  • @augustinemagesa5743
    @augustinemagesa5743 4 місяці тому +18

    Daah m naona waisilamu kuna kitu wanakikosa kwenye maisha ya KIROHO. Yani wapo mwilini sana

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 3 місяці тому +1

      Hawana roho wa Mungu ila Yesu atakuja ipo siku sule atashangaa sana

    • @tubanefrancine
      @tubanefrancine 3 місяці тому +2

      mimi ni muisilamu swari ndogo
      Yesu kafa amamungu
      au. kafa mutu
      Jibu kwa Roho soma 1timoteo 6.16 AllAH hawezi kufa mupe eshima naumuogope

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 3 місяці тому

      Huu ndiyo ukweli

    • @saibathmwani7126
      @saibathmwani7126 2 місяці тому

      🎉1​@@dennisezakiel3380

    • @Kimoni-j4w
      @Kimoni-j4w День тому

      ​@tubanemwili ndio hufa sio roho.na alifanyika mwili kw io ajili ya kuufisha .francine

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 3 місяці тому +2

    Kila kitu Kiko sawa ktk maandiko ya BIBLIA ,tatizo la kwanza ,kutokuokoka( kuzaliwa mara ya pili),jambo la pili BIBLIA (Neno ni Roho),waabuduo ni ktk Roho na kweli,huwezi kuelewa ni budi ujazwe Roho, kuyajua mambo ya Roho yatafasiriwa Kwa jinsi ya roho na mtu wa rohoni hutambua yote Wala yeye hatambuliwi,tangu midahalo hayupo anayetubu ila kufanya mioyo kuwa migumu,hatima ya mdahalo (lnjili ihubiriwe) mtaona matokeo .Amen

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 27 днів тому +1

    Kuwafanya Waislam wamuamini Yesu kuwa ni Mungu ni ngumu saan.. Maana ata Wakristo wenyewe kumjua Yesu kwa ufunuo kuwa yeye ni nan bado hamna..!

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ Місяць тому

    Hata kama wewe ni uislamu Ukikutana na mchawi au uchawi sema KWA JINA LA YESU. Ndipo utajua Yesu ni Kristo na Yesu ni nani. Acha hizi mizaha.

  • @SACCHARUM-t3q
    @SACCHARUM-t3q 3 місяці тому +1

    Injili ya mwalimu Ndacha ni ushuhuda mukubwa,wale watakao potea ni kwa kutaka kwao wenyewe

  • @AbbyKomba
    @AbbyKomba 2 місяці тому +1

    😂 alaf kina sumba ulang bad wanasem yes mung. 😅

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 3 місяці тому +2

    Before Abraham was I'm MAANA YAKE "Kabla ya ibrahimu kulikuwako na mungu" maana I'm lilikua ni jina la mungu. Mbona wakristo mnadanganyana sana

  • @phabianamollo724
    @phabianamollo724 3 місяці тому

    Unapotosha watu wewe. Kitabu cha zaburi 90 kinazumgumzia kipindi cha nyakati cha mwisho. Na kila binadamu atarudi mavumbini ndipo atafufuliwa kwa ajili ya uzima wa milele. Hiyo miaka elfu Moja nakuomba u some kitabu cha ufunuo wa yohana inazungumzia nini. Acha kupitisha watu wewe

  • @kayeesbelewa4819
    @kayeesbelewa4819 2 місяці тому

    Ndacha is too dangerous,awo wa lslam hawawezi kukuelewa.,mpaka wawe na D mbili.

  • @eddyworldwide
    @eddyworldwide Місяць тому

    Dr sule umempiga jamaa KO😂😂 ukiangalia video mpaka mwisho utaelewa nasema nini🙌🏽

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 2 дні тому

    Ndacha hawazi toa jibu hapo atazunguka kama feni bovuu 😂😂😂

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 3 дні тому

    Nakuombea sana mwl.Ndacha.
    Mungu akutunze sana.

  • @FednardJohn-lx3gx
    @FednardJohn-lx3gx 12 днів тому

    Ndacha kaelewa maandishi ya kibibilia na koroani vizuri sana. Kwa hivyo yeye kajua ukweli na kweli mtupu na ndio uo anatuambia. Mungu na asidi kumbariki.

  • @servantofgod4340
    @servantofgod4340 2 місяці тому

    Eti takibiriiiiii😂 alaaaaahuuu akubaluuuu😂

  • @JeanBaptisteViseke-d4t
    @JeanBaptisteViseke-d4t 7 днів тому

    Dr seule ni misongo anapo sema mungu alisema n'a haruni kwamba apige fimbo yake mavumbi iwe chawa. Mungu hakusema n'a yesu aumbe Nadège hâta kama aliiumba kwa izini ya mungu.

  • @issapetro4960
    @issapetro4960 16 днів тому

    Waislamu hawawezi kumjua mungu.. Wao wajua kuswali na kubishana kimwili.. Na huyo sule Hana lolote anadanganywa na wenzake hapo mezani

  • @antfungal
    @antfungal Місяць тому +4

    mimi napenda sana njinsi tunavyopendana dini zote iziii mbili,,, eee mwenyezi mungu tusaidie upendo kudumu milele na milele Amina,,,, hii aman ni nzuri sanaaa ndungubzanguni

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Basi ata yesu wa tongaren anajiita yesu mm naona akiwa sahihi isiwe tu ni muzungu pekee ndio yesu yesu wa tongaren Uko sahihi baki kua yesu wala usiogope

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Yaani watu wamekua wakimudhaliti mungu lakin wacheni kumusadhaliti mungu jie musie jua munako elekea

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Waislamu hawana jipya.ila wanageuza maandiko.sikilizeni kwa makini nyi wajinga

  • @SasentyNtiMaWake
    @SasentyNtiMaWake 2 місяці тому

    Tatizo waslamu awana roho ntakatifu ndoma wanachindwa kwelewa.

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Nawaambien sule hakuna cha maana alichosema.ila mnaharibiwa ufahamu bure ,,poleni sana jamani duh

  • @omarysadiki9923
    @omarysadiki9923 21 день тому

    Mungu kavaa mwili akatoka kwenye uchi wa kiumbe alichoumba mwenyewe..Mariam mwanamke bora asee. Mungu huyu anayegeuka geuka huyuuu mutamuabudu nyinyi kwakweli

  • @benjaminwekesawamalwa2854
    @benjaminwekesawamalwa2854 3 місяці тому +2

    Kwa maandiko yesu ni Mungu kwa akili za waislamu ni mtume hilo halina shida

  • @BahoAsuman
    @BahoAsuman Місяць тому

    Waisilam nimacomedi hawajuwi wanacokifanya

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 13 днів тому

    Fantastic Dr sule Allah akulipe mema (Duniani na Akhera)

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Itakuaje uyo yesu awe yeye ndie asifiwe badala ya mungu jameni waafirica na ndio maan wazungu wanawaona waafirica ni waajabu

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Itakuaje uyo yesu awe yeye ndie asifiwe badala ya mungu jameni waafirica na ndio maan wazungu wanawaona waafirica ni waajabu

  • @dantodebrown7525
    @dantodebrown7525 3 місяці тому +3

    mm ni mkristu lkn mujibu wa bibilia yesu si mungu nmeshika bibilia apa ndacha unababaisha maneno hyu sule ni mwalimu

  • @luwungoyusufu8941
    @luwungoyusufu8941 Місяць тому

    SULEMSHINDI ACHENI KUWADANGANYA WATU NYIE KINA NDACHA

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 місяці тому +2

    Hamtaelewana mpaka kiama nyie

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Ni kweli yesu sio mungu maan tukisema yesu ni mungu je mungu watamusemaje jameni watu waache kupotokwa yesu sio mungu na atakuja kua mungu ata iweje yeue atabaki tu kua muzungu au yeye abaki kua muisiraeli

  • @changomajuma9841
    @changomajuma9841 Місяць тому +1

    Ndacha wenu siku hizi alikubali katika huu mjadali, anaamani sasa kuna Mungu na Kuna Yesu. Siku hizi hataki habari za utatu tena

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Na ndio maan nchi nyingi sinawaabudu wazungu sababu wanasema yesu ndio mungu wakati yesu ni muzungu tu tumuabuduni mungu bana tuwacheni kuwaabudu wazungu maan wazungu ni binadamu Kama ss

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Duh sitaki kumsikiliza sule.acha utani wako.wa kiaina

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 13 днів тому

    PIYA ALLAH AKUONGEZE ELIMU AMBAYO UTAITUMIA KWA AAJILI YA KUPELEKA UISLAM MBELE

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 13 днів тому

    PIYA ALLAH AKUONGEZE ELIMU AMBAYO UTAITUMIA KWA AAJILI YA KUPELEKA UISLAM MBELE

  • @Kimwaga-b8p
    @Kimwaga-b8p 22 дні тому

    Ndacha anakipaji nyie waislam hammuezi

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 4 дні тому

    Na ndio maan nchi nyingi sinawaabudu wazungu sababu wanasema yesu ndio mungu wakati yesu ni muzungu tu tumuabuduni mungu bana tuwacheni kuwaabudu wazungu maan wazungu ni binadamu Kama as

  • @emmanueltvshalomderempire9246
    @emmanueltvshalomderempire9246 Місяць тому

    Mm langu ni mbna wote hahaha fanya kama walivyo ahidi nilitegemea mmoja asilimu ama aokoke nyinyi walimu bwana accent kutoa ahadi za uongo bwana

  • @JuniorSancho-l2r
    @JuniorSancho-l2r 7 днів тому

    Uyu sule anajibu vitu kulingana na hakili yake c kuligana na vitambu

  • @RoseRashidi-p9b
    @RoseRashidi-p9b Місяць тому

    Ndacha uyo asikuumize kichwa nenda naakilizake mwambie hata alipo fufuka aienda kuandaa makao mbinguni mana mwanadamu anafufuka siku tatu nakukaa mbinguni milele yote

  • @MirriamWamuyu-gy6of
    @MirriamWamuyu-gy6of 24 дні тому

    mm hapa nauliza ikawezekana Jesu akaje na Muhammad akaje utafuata nani

  • @MariamuMkufya
    @MariamuMkufya Місяць тому

    Ndacha muogope mola wako aliekuumba

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 2 дні тому

    Nime silimuuu bhana cristo munatuzonga

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 2 місяці тому

    Kupiga fimbo haikuwa kuhuba ilikuwa ishara

  • @jubiercib3074
    @jubiercib3074 Місяць тому

    Ndacha kichwa kibovu hana alijualo jt moja

  • @issackmakanga5603
    @issackmakanga5603 4 місяці тому +1

    Dr Sule ameshindwa na mada, mada ni ngumu kwake,anajirudia kila apandapo jukwaani,aachwe aende aisomee kwanza halafu akirudi ni upatizo tu.

  • @DavlenDavid-m4f
    @DavlenDavid-m4f Місяць тому

    Waislam someni aya na kuelewa muktadha wa aya

  • @issapetro4960
    @issapetro4960 16 днів тому

    Waislamu ukiwaamba shetani ana faida watakubali

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 3 місяці тому +1

    Hiyo ilikuwa miujiza ya MUNGU tofautisha miujiza na kuumba

  • @SACCHARUM-t3q
    @SACCHARUM-t3q 3 місяці тому +1

    Kwa YESU kuna shuhuda mbili [ushuhuda wa mbinguni, Baba Neno na Roho (YESU huyo mmoja hao wa 3,wanashuhudia Uungu wake) , ushuhuda wa duniani,Roho damu na maji (hayo matatu pia yanashuhudia Utu wake)1yoh5:6-9 {Yote ni ndani ya YESU MUNGU mukubwa Tito 2:13

  • @RoseRashidi-p9b
    @RoseRashidi-p9b Місяць тому

    Uyo sule anajizima tu data anajua anacho kifanya

  • @JesseYesemen
    @JesseYesemen 20 днів тому

    Ongera sana kwa mudaholo huyo.

  • @tamimBasha-e6p
    @tamimBasha-e6p Місяць тому +1

    Samshanini wahadhiri katika midahalo .
    Kwanza ndacha hajuwi kiswahili .pili anazungusha maada .Hana Majibu ya kielimu.

  • @Kimwaga-b8p
    @Kimwaga-b8p 22 дні тому

    Ufunuo 1:8 huyo ni yesu mwenyewe ndiyo anasema

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 13 днів тому

    Dr. Sule mpe elimu ndacha uyo

  • @ndayishimiyejaphet4927
    @ndayishimiyejaphet4927 Місяць тому

    Huyu sule siyo dr hajuwi bitabu kbs

  • @jubiercib3074
    @jubiercib3074 Місяць тому

    Hana hoja ht moja kazi kupiga kelele t bas

  • @kayeesbelewa4819
    @kayeesbelewa4819 2 місяці тому +1

    uyo Sulle hamna kitu kabisa,anang,ang,nia Yesu kimuwili hamjui Yesu kiroho.

  • @jerrylamy6297
    @jerrylamy6297 2 місяці тому +1

    Kwa kweli Sule haelewi ndo maana ni bure kumpa ukweli.maana Mungu alivaa mwili na akawa mtuu.kama fimbo imegeuza chawa iyo sio kuumba.maana ata wachawi sasa wana umba.Duhh Sule kuwa muelewa usirudiliyi mambo na umepewa jibu

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 4 місяці тому +2

    Sio upendeleo ila Ndacha nikuelewa unasema kweli ya Mungu

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 4 місяці тому +1

    Sule ameshindwa kwenye hii debate

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 4 місяці тому

      Ndacha anaongeza maneno yake yeye,sule anacheza na mahandiko ndio utifauti mnao uwona hapo

  • @henchkidd
    @henchkidd Місяць тому

    Hawa waislamu hawana content 😂

  • @danibboy6831
    @danibboy6831 29 днів тому

    Na Ina mana kwa ulimwengu wa ki dini pia Kuna siasa😂😂😂

  • @BahoAsuman
    @BahoAsuman Місяць тому

    Sasa muhamad arifanya miugiza gani?

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 28 днів тому

    😂😂😂😂😂😂
    NDACHA AMEUMBUKA SANA

  • @mussalucas8452
    @mussalucas8452 15 днів тому

    Ndacha Mungu akubariki sana

  • @Mbonimpaolenga
    @Mbonimpaolenga Місяць тому

    Sele alisha le wa Ila anapigamanga

  • @MjMohammed-nt6fq
    @MjMohammed-nt6fq 2 місяці тому +1

    Yaan tes kasema mm ni wa mwanzo na ni wa mwisho nacha kauunganisha kwamba yeye mungu duu inawezekana alimaanisha mtume wa mwanzo na wa mwisho

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 4 місяці тому +3

    Ndacha ana maslahi mapana sana na Ukristo hatokuja kuslimu kamwe, kuslimu kwake kutauangusha pakubwa sana Ukristo. Ndiomaana anacheza na vipengele vya ujanja ujanja kuuweka Ukristo kwenye ramani. Lakini moyoni mwake anaujua ukweli

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 4 місяці тому

      Aache njia ya kwelii aende kwenye majinii😂😂

    • @mhandoonthebeats8581
      @mhandoonthebeats8581 4 місяці тому

      Ndacha ni mwalimu mzuri sana

    • @mrbadae
      @mrbadae 3 місяці тому

      Hakuna uhusiano wowote baina ya Muislamu na Majini,mwenye anasema Majini ni kwa ajili yake mwenyewe na maslahi yake ya kidunia, soma Quran 6:128

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 3 місяці тому

      😢

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 28 днів тому

    MAKAFIRI KWISHA HABARI YAO

  • @MbappeHeritie-rx1hq
    @MbappeHeritie-rx1hq Місяць тому

    Ndasha unatisha aposafi

  • @JeanbaptisteJAWOTO
    @JeanbaptisteJAWOTO 27 днів тому

    Bwana yesu.asifiwe

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 4 місяці тому +1

    Huyo NENO AMBAE ALIKUWA MUNGU AMBAE ALIFANYIKAA MWILI NI NANII??

  • @ErickMusema-uf1jc
    @ErickMusema-uf1jc Місяць тому

    Vp nyie waislam?

  • @servantofgod4340
    @servantofgod4340 2 місяці тому

    Ndacha amewakanda wafuga majini kwelikweli

  • @exsavermateus2670
    @exsavermateus2670 Місяць тому

    Salut nchungaji

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 13 днів тому

    Verya fantastic debate!!!!

  • @James-u8n6r
    @James-u8n6r 12 днів тому

    Ndasha Ubalikiwe🎉🎉🎉🎉❤

  • @KwasaNgondo-y1k
    @KwasaNgondo-y1k 16 днів тому

    Dr sile na ndschs

  • @BroibraEvanston
    @BroibraEvanston Місяць тому +1

    Ndacha mungu akubaliki sana

  • @AbushirJr
    @AbushirJr 26 днів тому

    Uislam Raha sana

  • @daurdwambuto1877
    @daurdwambuto1877 2 місяці тому +1

    Mwislamu hawezi kukuelewa labda mungu mwenyewe aingilie kati

  • @ahmadbelier3160
    @ahmadbelier3160 4 місяці тому +9

    Dr Sule Mungu akupe maisha marefu tena mazuri na akupe mwisho mwema 🤲

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 2 місяці тому

    Kwa ufasaha waislamu tunasoma elimu kwa wakristo ndio maana kubwa, Ndacha Ni mwalimu

  • @johnkisubi8974
    @johnkisubi8974 3 місяці тому +2

    Ndacha wow barikiwa

  • @ramadhankilango9088
    @ramadhankilango9088 2 місяці тому +1

    Cha ajabu ukimuuliza ndacha Kuna mungu ni wangapi atasema ni mmoja

    • @egdiusbuberwa1109
      @egdiusbuberwa1109 Місяць тому

      N mungu mmoja mwenye nafs 3 baba ,mwana na roho mtakatifu

  • @kinglastbornmedia1474
    @kinglastbornmedia1474 3 місяці тому +3

    Hii ngoma ya Imani nikumuachia mungu ndio atupe uongofu

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 місяці тому

      hakuna kumuachia mungu sikliza hoja za msingi inamana wewe huelewi we silimu tu ndugu usiufanye moyo mgumu

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 місяці тому

      we mtu kazaliwa na mwanamke kama mm na wewe half unamwita mungu et kwa sababu ya miujiza na hyo miujiza wa kuifanya ni mungu Sasa uungu wa yesu unatoka wp

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 місяці тому

      mungu ashatupa miongozo ya vitabu ni akili yko tu Sasa

  • @Mutua-h9r
    @Mutua-h9r 6 днів тому

    Ndachaa😂😂 hogereaah