Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @venantsongoro
    @venantsongoro 2 дні тому

    Salute kwako pastor Frances Mdacha

  • @AlexShamola-h3o
    @AlexShamola-h3o 3 дні тому

    Barikiwa sana mtumishi ndacha na paulo

  • @basilejuma
    @basilejuma 4 дні тому

    Uislam dini yakutoa dhambi Kwa kunawa mikono.. hatari sana, Yesu Hadi kifo

  • @frankikangaa7412
    @frankikangaa7412 Місяць тому +3

    Mimi siwezi kuwa katika Imani ambayo Ina undugu na Mashetani

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA 9 днів тому

    Kuabudu Majini Siwezi Na Kuwa Na Imani Isiyoonyesha Matendo Siwezi

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Місяць тому +7

    Ndacha na Paulo Mungu awabariki maana Mungu amewaweka kwaajili ya kuwaokoa Waislamu waliopotelea kwenye Uislamu Wampokee Yesu.

    • @ismailkasim9060
      @ismailkasim9060 21 день тому

      We una jini George

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 День тому

      Jesus was no Christian and didn't go to Church.Its the Greco/Roman pagan and gentiles who made the Jewish Carpenter to be worshipped instead of Eloi/Eloha/Allah.

    • @KhalidKalokola
      @KhalidKalokola День тому

      Kumbe kiti cha enzo cha shetani kiko kanisani!

  • @RTGC.R7
    @RTGC.R7 2 місяці тому +6

    yesu ni Mungu wangu Milele

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 12 днів тому

      @@RTGC.R7 ha msiba ety mungu alie sulubisswa msalabani na watu alie waumba hatari shekh

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah 7 днів тому

      Amina

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah 7 днів тому

      ​@basshirmahero7021 si mungu alisurubishwa ni yesu alisurubishwa na mwenye w alimkataa wakati alisema yeye ni mwana wa mungu kama Mohammad moja wao akafa pia akafufuka nyinyi mbona Mohammad wenu akafa kifo cha Kusisitiza???

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 7 днів тому

      @@DegalgalSarah wewe kwa akili Yako unamwamini abrahamu. Alikufa ama alifufuka ama bado Lazaro kwa Imani Yako alifufuliwa je bado anaishi?????

  • @Kasereka-i1l
    @Kasereka-i1l День тому

    Piya mimi siwezi kuwa muesilam

  • @HARMONITZ
    @HARMONITZ 3 місяці тому +1

    Jamani mbona hata Msaafu haina shaka na Yesu Kristo ninyi mbona mnamashaka naye na kumfta Muu ambayeee hafikii hata thelusi.

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi День тому

    Uislam ni majanga hapa duniani/muhamad alileta matatizo duniani

  • @KhalidKalokola
    @KhalidKalokola День тому

    Haina haja kusimama nakuwadanganya watu eti hujui ktk bible kuna sehem majin wamesomewa bible

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 День тому

    Ndacha debe tupu kupinda maneno.

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 21 день тому +1

    Ukristo na majini ndugu, Yani mada hii tulijua waislamu watalowa kumbe siamini kilichotokea kwa wakristo , kumbe majini ya kikristo yamejaa

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah 7 днів тому

      Yamejaa wapi vitabu venue hivyo via Quran vimesomwa

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah 7 днів тому

      U Islam na majini ndugu wanna toka nitoke😢😢

  • @ElijahLokwee
    @ElijahLokwee 25 днів тому +1

    Chuma samson

  • @suleimanabdull1958
    @suleimanabdull1958 Рік тому +2

    Mbogo uyu ndacha na mfuasi wake Paulo unawaweza vizuri yaani amekuwa akifanya usanii tu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 місяці тому +2

    Ndio maana Mimi namfuata kristo yesu

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 3 місяці тому +4

    Ndacha utasilimu tuuu unapinda maandiko kwa faida yako

    • @KawiraFridah-i6p
      @KawiraFridah-i6p 2 місяці тому +2

      Meza tu io tembe chungu...tulia ufundishwe bro

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому +1

      Tulia ufundishwe uache kukariri na kuimba Quran .

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Tulia ufundishwe uache kukariri na kuimba Quran .

    • @sammunialo5463
      @sammunialo5463 12 днів тому +1

      Usibabaike na ushabiki. Eka mfano hapa tuone.

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah 7 днів тому

      Faida gani na amejua siri zenyu kwa kusoma vitabu vyenu

  • @Chris-in1vc
    @Chris-in1vc Рік тому +5

    Shetani ( iblis ) mwenyewe alisilimishwa na Muhammad akawa muslam. Soma sunan an nasa'i 3960 ( au volume 4, book 36, Hadith 3412. Waislam ni maamuma hawajui dini yao. Na Hadith hio ni sahih

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Uko sahihi sana . Na hiyo hadith ipo ili kuwafanya waislam wasione kama shetani ni mbaya , wasione ajabu wanaposwali naye

    • @bashirmahero7021
      @bashirmahero7021 7 днів тому

      @@joramsengi9123 hamna lolote

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 днів тому

      ​@@bashirmahero7021Kwa hiyo ni shetani hakusilimishwa ?