- 675
- 1 731 022
SHALBA OnlineTV
Tanzania
Приєднався 28 жов 2019
SHALBA Onlinetv_ ni Chanel ya kiislam (Islamic Chanel tv online) dhumuni yake nikuelimisha jamii na kuwarekebisha watu pale wanapokosea taratibu za Mungu, furahia nasi Darsa mawaidha navisomo vya Ruqya(Dua) kila kukicha.
SHALBA Onlinetv_ is an Islamic Chanel (Islamic Chanel tv online) whose purpose is to educate the community and correct people when they violate God's laws, enjoy with us Darsa reminders and lessons of Ruqya (Dua) every morning.
SHALBA Onlinetv_ هي قناة إسلامية شانيل (قناة شانيل الإسلامية على الإنترنت) والغرض منها هو تثقيف المجتمع وتصحيح الناس عندما يخالفون قوانين الله ، واستمتع معنا بتذكيرات درسية ودروس الرقية(الدعاء) كل صباح.

Makosa wanayofanya baadhi ya Wanawake hadi wanaingiliwa kinyume na maumbile #shalbaonlinetv
Makosa wanayofanya baadhi ya Wanawake hadi wanaingiliwa kinyume na maumbile #shalbaonlinetv
Переглядів: 67
Відео
ORODHA YA WATU WATAKAOINGIA FIRDAUS PEPO YA JUU ||Sheikh sharif albashir
Переглядів 194Місяць тому
ORODHA YA WATU WATAKAOINGIA FIRDAUS PEPO YA JUU ||Sheikh sharif albashir
HILI HAPA JINA LA ALLAH NDANI YA BIBLIA YA WA KRISTO || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 37 тис.2 місяці тому
HILI HAPA JINA LA ALLAH NDANI YA BIBLIA YA WA KRISTO || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
BINTI WA KITANZANIA ANAEMPINGA MTUME AAHIDI KUSILIMU || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 96 тис.2 місяці тому
BINTI WA KITANZANIA ANAEMPINGA MTUME AAHIDI KUSILIMU || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
DUA HII INAFUNGUA MILANGO YA MBINGU SABA ||SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 3133 місяці тому
DUA HII INAFUNGUA MILANGO YA MBINGU SABA ||SHEIKH SHARIF ALBASHIR
#Du'a #Al-wikaya #short SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 3693 місяці тому
#Du'a #Al-wikaya #short SHEIKH SHARIF ALBASHIR
TAZAMA SHEIKH SHARIF ALIVYO SILIMISHA WATU KWENYE MUHADHARA 2024
Переглядів 6153 місяці тому
TAZAMA SHEIKH SHARIF ALIVYO SILIMISHA WATU KWENYE MUHADHARA 2024
DUA NI SILAHA NA DINI NI NA SWIIHA || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 3913 місяці тому
DUA NI SILAHA NA DINI NI NA SWIIHA || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
KISA CHA MAWAZIRI WAWILI HADI KUUWAWA || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 1883 місяці тому
KISA CHA MAWAZIRI WAWILI HADI KUUWAWA || SHEIKH SHARIF ALBASHIR
NIMEFUNDISHWA DUA NA MTUME AMBAYO NAWEZA KUPATA DHAHABU POPOTE || SHARIF ALBASHIR
Переглядів 4143 місяці тому
NIMEFUNDISHWA DUA NA MTUME AMBAYO NAWEZA KUPATA DHAHABU POPOTE || SHARIF ALBASHIR
Kisa cha Malaika Waliofanya Zinaa Na wakaleta Uchawi Duniani
Переглядів 3963 місяці тому
Kisa cha Malaika Waliofanya Zinaa Na wakaleta Uchawi Duniani
𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓 𝙺𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝙼𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝙼𝚊𝚔𝚊𝚛𝚊𝚖𝚊
Переглядів 2243 місяці тому
𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓 𝙺𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝙼𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝙼𝚊𝚔𝚊𝚛𝚊𝚖𝚊
WATU ZAIDI YA 20.000 WAJITOKEZA KWENYE MUHADHARA WA SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Переглядів 2763 місяці тому
WATU ZAIDI YA 20.000 WAJITOKEZA KWENYE MUHADHARA WA SHEIKH SHARIF ALBASHIR
Sharon & cosmas na dion'go wameukana Ukristo nakuingia katika Uislamu
Переглядів 2073 місяці тому
Sharon & cosmas na dion'go wameukana Ukristo nakuingia katika Uislamu
KWA DUA HII RIZK UNAPATA BILA HISABU ||Sheikh sharif albashir
Переглядів 4083 місяці тому
KWA DUA HII RIZK UNAPATA BILA HISABU ||Sheikh sharif albashir
SHEIKH {1} WA UMMATI MUHAMMAD nisawa na manabii {70} wa Banii Israeli ||sheikh sharif albashir
Переглядів 2553 місяці тому
SHEIKH {1} WA UMMATI MUHAMMAD nisawa na manabii {70} wa Banii Israeli ||sheikh sharif albashir
𝕊𝕚𝕠 𝕊𝕚𝕒𝕤𝕒 𝕓𝕒𝕝𝕚 𝕦𝕞𝕞𝕒 𝕦𝕞𝕖𝕞𝕦𝕚𝕥𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕄𝕥𝕦𝕞𝕖 𝕄𝕠𝕙𝕒𝕞𝕞𝕒𝕕 𝒮.𝒶.𝒲
Переглядів 2184 місяці тому
𝕊𝕚𝕠 𝕊𝕚𝕒𝕤𝕒 𝕓𝕒𝕝𝕚 𝕦𝕞𝕞𝕒 𝕦𝕞𝕖𝕞𝕦𝕚𝕥𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕄𝕥𝕦𝕞 𝕄𝕠𝕙𝕒𝕞𝕞𝕒𝕕 𝒮.𝒶.𝒲
𝑴𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆 𝒖𝒌𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒃𝒂 𝒍𝒂𝒛𝒊𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒐𝒕𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒂𝒌𝒖𝒕𝒘𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒎𝒂 𝒏𝒏𝒆 |4| 𝚂𝚑𝚎𝚒𝚔𝚑 𝚂𝚑𝚊𝚛𝚒𝚏 𝙰𝚕𝚋𝚊𝚜𝚑𝚒𝚛
Переглядів 2284 місяці тому
𝑴𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆 𝒖𝒌𝒊𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒃𝒂 𝒍𝒂𝒛𝒊𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒐𝒕𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒂𝒌𝒖𝒕𝒘𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒎𝒂 𝒏𝒏𝒆 |4| 𝚂𝚑𝚎𝚒𝚔𝚑 𝚂𝚑𝚊𝚛𝚒𝚏 𝙰𝚕𝚋𝚊𝚜𝚑𝚒𝚛
ʜɪɪ ɴɪᴋᴡᴀ ᴡᴀɴᴀᴜᴍᴇ ᴡᴇɴʏᴇ ᴀᴋɪʟɪ ᴛᴜ || 𝚂𝙷𝙴𝙸𝙺𝙷 𝚂𝙷𝙰𝚁𝙸𝙵 𝙰𝙻𝙱𝙰𝚂𝙷𝙸𝚁
Переглядів 2574 місяці тому
ʜɪɪ ɴɪᴋᴡᴀ ᴡᴀɴᴀᴜᴍᴇ ᴡᴇɴʏᴇ ᴀᴋɪʟɪ ᴛᴜ || 𝚂𝙷𝙴𝙸𝙺𝙷 𝚂𝙷𝙰𝚁𝙸𝙵 𝙰𝙻𝙱𝙰𝚂𝙷𝙸𝚁
𝚠𝚊𝚒𝚗𝚐𝚒𝚕𝚒𝚎𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚣𝚎𝚗𝚞 𝚟𝚢𝚘𝚟𝚢𝚘𝚝𝚎 𝚖𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊𝚟𝚢𝚘 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
Переглядів 4454 місяці тому
𝚠𝚊𝚒𝚗𝚐𝚒𝚕𝚒𝚎𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚣𝚎𝚗𝚞 𝚟𝚢𝚘𝚟𝚢𝚘𝚝𝚎 𝚖𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊𝚟𝚢𝚘 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒕𝒐𝒎𝒖𝒐𝒏𝒂 𝑴𝒕𝒖𝒎𝒆 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝒚𝒂 𝑸𝒊𝒂𝒎𝒂 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
Переглядів 2164 місяці тому
𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒕𝒐𝒎𝒖𝒐𝒏𝒂 𝑴𝒕𝒖𝒎𝒆 𝒔𝒊𝒌 𝒚𝒂 𝑸𝒊𝒂𝒎𝒂 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
𝘂𝘀𝗶𝘄𝗮𝗳𝘄𝗮𝘁𝗲 𝗛𝗮𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗮𝗹𝗮𝗳𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
Переглядів 3254 місяці тому
𝘂𝘀𝗶𝘄𝗮𝗳𝘄𝗮𝘁𝗲 𝗛𝗮𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗮𝗹𝗮𝗳𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼 || 𝑺𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉 𝑺𝒉𝒂𝒓𝒊𝒇 𝑨𝒍𝒃𝒂𝒔𝒉𝒊𝒓
JINI HUYU ALIMTUMA SWAHABA KWA MTUME || SH.SHARF ALBASHIR (sawaad bin Qaarib)
Переглядів 1534 місяці тому
JINI HUYU ALIMTUMA SWAHABA KWA MTUME || SH.SHARF ALBASHIR (sawaad bin Qaarib)
NDIO MAANA MALAIKA HAWAKUPEWA JINSIA #sheikhsharifalbashir
Переглядів 1174 місяці тому
NDIO MAANA MALAIKA HAWAKUPEWA JINSIA #sheikhsharifalbashir
USTADH kamlaghai msichana kwa kupigiwa ramli #sheikhsharifalbashir
Переглядів 2254 місяці тому
USTADH kamlaghai msichana kwa kupigiwa ramli #sheikhsharifalbashir
Kulia unapomuomba Allah ni Ishara yakujibiwa Dua yako
Переглядів 1794 місяці тому
Kulia unapomuomba Allah ni Ishara yakujibiwa Dua yako
ZIDISHA IBADA (HAKUNA UBAYAA) Sheikh Sharif Albashir
Переглядів 974 місяці тому
ZIDISHA IBADA (HAKUNA UBAYAA) Sheikh Sharif Albashir
DUA HII KUBWA SANA || unatapika uchawi papohapo || inaondoa maumivu papohapo || Sharif Albashir
Переглядів 2455 місяців тому
DUA HII KUBWA SANA || unatapika uchawi papohapo || inaondoa maumivu papohapo || Sharif Albashir
QUR AN SIYO MATESA KWETU WAISLAM || Sheikh Sharif Albashir
Переглядів 1225 місяців тому
QUR AN SIYO MATESA KWETU WAISLAM || Sheikh Sharif Albashir
Bwana asifiwe wakrrrristooo
Wewe una mwisho mbaya utajuta kuzaliwa
Hata Answar ilikuja juzi mbona hamsemwi
Allah will stand before the judgement seat , Mohamed and his prophets will also be judged B4 the judgement seat of our Lord Jesus Christ.Accept Jesus Christ today be saved from a never quenching hell.
Mashallah m mungu. Amjaalie wepesi
Aslamu alkumu hata na sisi Rwanda mazinge kama anafika jaman tuta enjoy hatari tuna kupenda San sheh wet
Ndacha ww sio mtu wa dini ww ni comedian t tafuta pakuchekeshea t huna jibu
👍👍🙏🙏🙏🙏
😊😊❤😂
Sheykh wangu muogope Allaahu
Huyu ndacha ana eza convert hata islamic nation yote aisee..
Eliminika
Waislamu weusi nashangaa Sana wanavyomfata Mohammad wakati Mohammad kasema Duniani Kote Watu Weusi Wote Ni Mashetani na tukifa Sote sie Ngozi Nyeusi tunaenda motoni Sasa Mtume Gani alikua akifanya Biashara ya utumwa Bilal Mpaka anakufa Kafa kama Mtumwa na Mpaka anakufa Waharabu Walimnyima Mke kutokana na Rangi yake Fungueni Macho Nyie waislamu weusi
Postor mungu akusaindie sana uendelee kufunza Islamic
Ubarikiwe Mchungaji
Ndacha dawa yao
Mungu abariki na kuiongezea hekima yako natamani kujua ukweli zaidi sijui nikipate vipi
Sheh nakukubali sana
Sheh nakukubali sana unabusara zakujibu sana mungu akubariki ishaala hunajazba kwenyekujibu
Sheh nakukubali sana unabusara zakujibu sana mungu akubariki ishaala hunajazba kwenyekujibu
Atukuzwe Mungu kwa mtumishi wake azidi kumjaza maneno ya hekima
Ebana eee huyu jamaa nihatar
Huyu anapiga kerere ndacha Hana rorote
Hallelujah 🙏🙏
mungu aku one mwalimu
Zuchu
Yaani dini ya waislamu hii ambayo imebuniwa na muarabu juzi halafu itokee kuwa ndio pekee, imekuja na kukuta zingine
Katoro ka yesu nakuahid ukislim tu nakuoa Ahsante 😊
Waislam mutahangaika saaana,nyie makafili🐽🐽🐽🐽
Waklisto machiz
danolodi
Je walibatizwa???😂😂 Kwa sababu mbona walishindwa hawa washehe
Huyu bwana hajui hajui
Ndacha is my teacher
Uyo ndacha anababaisha wala hajui kuitafsiri ila yupo kwaajili ya mupotosha tu na uyo shekhe anashindw kujibu kwasababu ndacha hajui kiswahili yaani lahaja
Munajaribu kuwambia ukwel lakini masikio wameziba hawataki kusikia ukweli hakuna watakachokisema mbere ya Mungu maana yote yamepita machoni mwao na masikio mwao
Masha. Allah Ya. Ustadh. KESEDE
Efeso 1:13 alafu Arabuni sio waarabu msimdanganye uyoo dada Na roho mtakatifu sio muhamed soma maandiko ya bibilia vizuri usichope chope vifungu
Bado ata ujamshawishi uyu binti kubadili njia ya kweli ya kwenda mbinguni na kwenda dini ya haki
Ndacha kweli nimwalimu kiukweli waslim sasa ao ma shehe wa mchongo
KAMA HUYU DADA ANATAKA MME MWISLAMU MIMI NIPO TAYARI KUMUOWA. ANAJITAJI KULIWAZWA KIAKILI. ANAJIDANGANYA NA HAO WNAOMSOMESHA PIA WANAMTATIZO YA UELEWA.❤ AKISILIMU TU MIMI NAMTAKA NIMUOWE NA NIMSOMESHE KURAN❤
Ndo dini yenu ilivyo na mambo ya kizwazwa, mnawaza kubadilisha watu dini Kwa nguvu, pumbav nyny
@@georgeurembo4553 wapi imesemwa kwamba watu hubadili dini kwa nguvu ? Mtu atasilimu mwenyewe kwa kuuona ukweli. kama hataki kwa utashi wake mwenyewe basi yupo huru kuabudu anachotaka isipokuwa ajuwe kwamba sisi wote tunatakiwa kumwabudu muhgu mmoja na kuwafuata mitume wake na vitabu vyake. kama utaona dini fulani ni uongo achana nayo na endelea na unayoyaamini mwenyewe lakini ujue kwamba malipo yapo na kila mtu atahukumiwa kutokana na amali alizofanya. hakuna mtu atabeba mzigo wa mwenzake.
Akuna dini zaidi ya uslam hao wavaa vimini wanatafuta mabwana kanisani
Manzinge mungu Akupe nguvu
Jazakumllah
shekhe Allah akulipe kwa mafundisho.hayo mazuri
Takbriiii
Mashallah akika qur an aikuawacha kitu,,
Alhamuli Llah nimefurahi nimepata mafunzo mazuri kwani hata mimi nilislim na naendelea kujifunza quran tukufu na Allah akufanyie wepesi uingie kwenye dini ya haki natamani niwatoe ndugu zangu wote waingie ktk uislam na M/ Mungu anamuongoa amtakae.
Mim nime zaliwa katika uislamu
Asante mungu kwa kumpa paster ndacha naneno ya hekima
Mimi si elewi Kwa Nini wa Islam wako hapo Hawa one ukweli na kuwa wa Kristo, shetani ime wafunga