MCHUNGAJI ALIVYO KABWA KOO NA DK SULLE, VURUGU ZA HOJA ZALINDIMA KWENYE MDAALO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 296

  • @taifaramadhan8684
    @taifaramadhan8684 2 місяці тому +12

    Alhamdulilah kwa Neema hii ya Uislamu.

  • @sarahmana2663
    @sarahmana2663 3 місяці тому +2

    Uyo pastor anawapiteza sana watu, yesu siyo mungu, muache wujinga

  • @MesaIdd-dn3vt
    @MesaIdd-dn3vt 29 днів тому +1

    Achen kudanganya watu wakristo jtambueni

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 2 місяці тому +7

    wakrist sijui wanatatizo gani vichwani,hivi Yesu akiwa Mungu aliyemtuma Yesu atakuwa nani??

    • @taifaramadhan8684
      @taifaramadhan8684 2 місяці тому

      ndo hapo sasa

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 2 місяці тому

      @@salimchimwaga8384 wewwe aja kuelewa kimskitimsikiti kakangu

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 2 місяці тому

      Hawa makafiri nikuwaacha tu

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 2 місяці тому

      @@salimchimwaga8384 nyinyi mukaaje kusoma bibilia na kuelewa kimsikitimiskiti bro , mngekuwa na roho wa mungu aliye hai mungeelewa vizuri huyu yesu

    • @TonaAlbert
      @TonaAlbert 2 місяці тому

      Bibiliya sio yakwenu muyiaciye wakristo

  • @RajabuSefu-u3f
    @RajabuSefu-u3f 3 місяці тому +9

    Mashaalllah dr sule❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AllyMsafiri-kw2ne
    @AllyMsafiri-kw2ne 3 місяці тому +4

    Sule kiboko hasa pia nimtamu hata kumsikiliza

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 3 місяці тому +4

    Kwa hiyo mungu Yesu alikuja kuuliwa na aliowaumba....?!

  • @AbbyKomba
    @AbbyKomba 2 місяці тому +2

    Awa wakrist au oya kun m2 wanamdai. Mbn awajib maswal wanapig kelel. Elewen mada.😂😂

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 2 місяці тому +1

    Yesu sio Mungu, Mungu gani anauwawa na watu msalabani kwa mujibu wa biblia. Je Mungu anashindwaje akili na wanadamu mpaka wamuue?

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому +5

    shida waisilamu hawa roho wamungu kuelewa mambo yakiungu ni shida kwao kubishana nao nikaa kubishana nawatu wenye akili finyu

    • @NurdinBihame-oh4zx
      @NurdinBihame-oh4zx 3 місяці тому

      Matayo 26:36,imeeleza vizuri kuhusu yesu ni dini ipi na ni mtume wa mungu soma hiyo

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому

      @@NurdinBihame-oh4zx usisome bibilia kimsikitimsikiti jaribu kusoma kikanisakikanisa utaelewa kaka

    • @MrishoChoggy
      @MrishoChoggy 2 місяці тому

      Wakiristo mmejua kutengenezwa eti roho wa mungu ,kwahiyo wewe ukijiangalia unajiona una roho ya mungu wewe

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 2 місяці тому

      @@MrishoChoggy kaka nilikuwa muisilamu lakini tangu niujue ukweli nilihama hiyo dini ju niyakupotosha watu walai

  • @Zulkamhaji
    @Zulkamhaji 3 місяці тому +2

    Jaman wakiristo eleweni kuwa mungu haonekan kama ulivokuwz ulivokuwa huxioni akili zako sasa inakuwaj mungu aonekane yesu alikuwa kama uyo ndacha sasa inakuwaje awe mungu jaman elewen na mudome pia mungu ni mmoja na si mwengibe ni
    Allah sw ndio mungu wa mashariki xote
    Yesu ni mjumbe wa Allah sw

  • @heavens9451
    @heavens9451 3 місяці тому

    Mbego TV Wapumbavu ... Wewe hata hujui lolote . Sule Hajui kitu yeye na Majini yake... Shenzi sama wewe

  • @danielmwakimi2416
    @danielmwakimi2416 3 місяці тому +4

    Ndacha kiboko ya majini

  • @FaustineJustus
    @FaustineJustus 2 місяці тому +4

    Ipo siku mtakubali Kua ndie ila mtakua mmechelewa

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 3 місяці тому +1

    mimi ni mkenya hao wote wakenya kina ndata watafuta kula tuu na kupoteza watu wajuwa usawa uko wapi lakini wajinga sana kwa kula panya na nguruwe.

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 Місяць тому

    Msomaji WA kiislamu mbona wachemsha? Mwaga vitu haraka

  • @Mathieusinzinkayo
    @Mathieusinzinkayo Місяць тому

    Hamjaona kwamba ivyo vitabu vitakatifu vyenu vinajaa makosa?Ivyo nivitabo vya wa toto wa wa ibrahim.Siyo kizazi cenu!!!

  • @K.T.L.Y.K.MINISTRIES
    @K.T.L.Y.K.MINISTRIES 11 днів тому

    Waislm nyinyi MUNA POTOKA TU TUBUNI YESU KRISTO ANARUNDI YEYE NDIYE ANAUZIMA WA MIMI NI YESU TU AKUNA MWENGINE KAMA YEYE

  • @alfanfddgfd1662
    @alfanfddgfd1662 3 місяці тому +3

    Ndacha huna ata akili eti yesu ni Mungu tokea lini hiyo

    • @TonaAlbert
      @TonaAlbert 2 місяці тому

      Musipo kuwa na loho mitakatifu hamujaelewa😂😂

  • @OmarysabatoMchele
    @OmarysabatoMchele 14 днів тому

    Jaman saiz sio kusali kwakumtegea binadam akuongoze jiongoze mwenyewe

  • @BanzeGolf
    @BanzeGolf 23 дні тому

    Tangu mungu halipo peleka Adam na Awa ,katika shamba pale walihasi,mungu hakujua alijua? Bona haliuliza Adam kwamba ukowapi?kwamba yeyenaye ni mungu kwanini aliuliza?naye ni mungu ajualote?

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому +3

    Muisilamu pure lazima awe na majini hiyo si dini hata huyu sule nimshirikina mkuuu sana nilimuogopa siku moja tukiswali nikaabba kutokuwa muisilamu tena

    • @ismailmakumbi-t1o
      @ismailmakumbi-t1o 3 місяці тому +1

      Acheni kukimbilia majini majini ni viumbe kama ww ila tu tofauti wao wanaishi kwenye maji hoja je yesu ni mungu?? Mbona hamjibu

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому

      @@ismailmakumbi-t1o viumbe kaa wewe nimewaogopa walisilimu wakawa waisilamu wanawaletea hela Hutu mkitoa wenzenu kafara juu chakula Cha jini ni damu awe jini mzuri au mbaya lazima anywe damu

    • @aminaabdulghanim8256
      @aminaabdulghanim8256 2 місяці тому

      Uzushi, Mungu akulaani hapa dunia mpaka kesho akhera. Ameen

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 2 місяці тому

      @@aminaabdulghanim8256 kando na majini ni yamagaidi wakubwa sana

    • @aminaabdulghanim8256
      @aminaabdulghanim8256 2 місяці тому

      ​@@ismailmakumbi-t1o😂 hawaezi jibu waruka ruka kama chura hupati jibu. Wakiristo wanaoza kwa udevo wa freemason na hawatasema hili ni Siri kwao.

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Ukiamini sana uislamu utavunjika kiimani.mbona mnamwona sule tu,mnajua waislam mambo mengi wanashindwaga kuyaelezea.polen

  • @JacksoniZidoli
    @JacksoniZidoli 2 місяці тому +1

    Waislam mnatumarizia mb bure tu hamna ukwer wowote

  • @Abubakarychacha
    @Abubakarychacha 3 дні тому

    ndacha nimuongo huyu mungu wangu sijawahi ona nimtu anaejua kuchota akili za watu wasio na uelewa leo ndio nimegundua. mungu afanyie neema na wepes kwakweli

  • @Mathieusinzinkayo
    @Mathieusinzinkayo Місяць тому

    Nawapenda sana kwa vile mzungumzavyo.Sasa nauliza.Uyu mungu mnasihi ambaye anaikala ku kiti uyu ni mutu au entity?

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon 29 днів тому

    Hawa wakenya hawajui kiswahili amefanyikamwili amejifanya mwili yesu siyo mungu

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani 3 місяці тому +1

    Yaan awa makafiri sitakuja kuwaelewa kamwe.kuhusu hii MADA wanapoteza mda tu

  • @Rajabuathumani-v3z
    @Rajabuathumani-v3z 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂🎉

  • @CelestinoCasimiro
    @CelestinoCasimiro 3 місяці тому

    Fanyakazi dokta usiogope maneno ya wajinga walio gizani

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 2 місяці тому

    Wew ni mwehu uungu haujadiliwi maana uungu uko waz mtu akishazaliwa hicho nikiumbe na Kila kiumbe kimeumbwa Issaya 44:24

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 8 днів тому

    Okimuona Ndacha akicuna kichwa, basi juwa neno ya uwongo.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Місяць тому

    Yani Wakristo wametolewa andiko Yesu hajui kama mti uko na matunda au hauna,Wakristo wao wanashangikia😂duh! mtihani kweli hawa rafiki zetu,sjui hua wamepikwa au hawaelewi maandiko ni nashidlndwa kabsaa,

  • @MesaIdd-dn3vt
    @MesaIdd-dn3vt 29 днів тому

    Ndacha huna jipya kwan elimu yko bado haijafikia ya wahadhiri walioko mbele yko

  • @BertinBahati-p5v
    @BertinBahati-p5v 3 дні тому

    Apewe sifa mungu wetu baba wa bwana wetu yesu kristo

  • @BanzeGolf
    @BanzeGolf 23 дні тому

    Mwalimu ndacha WE na batu yako mkubali kwamba yesu ni mungu!

  • @yasluhumilemohammed7461
    @yasluhumilemohammed7461 Місяць тому

    Swali ni wapi yesu kasema mwenyew yeye ni mungu jamaa wameshindwa hawa wakristo

  • @SalimAbdallah-d6w
    @SalimAbdallah-d6w 9 днів тому

    Kwani ndachi wajitetea na aya za Quran...kama waiamini silimu tu.

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon 29 днів тому

    Mfano siyo chenyewe yesu ni mfano kiswahili shida

  • @CaltonMallya-zj6cp
    @CaltonMallya-zj6cp Місяць тому

    Waislanu mpo kishabiki 27:43 Wakristo wapo makini ndio maana sulle alipokiri Wakristo wakashangilia ninyi mkabiga takibiri mtapotea kwa ushabiki wa kijinga

  • @sunrishmussan6958
    @sunrishmussan6958 4 місяці тому +9

    😂😂Mi mkristo ila Sulel ni kichwa kwelikweli yuko very technical ila huyu mkenya anaruka ruka tu. 😢😢

  • @KizaIbrahim-h6f
    @KizaIbrahim-h6f 2 місяці тому

    Neno alifanyika mwili tukauona utukufu wake
    Yaani tamko lá Mungu Lililo umba vitu vyote limefanyika mwili tukauona utukufu wake
    Huyo tamko aliye fanyika mwilli akaonekana tukauona utukufu wake nini Nani jamani?
    Ta

  • @IbadeAssiqui
    @IbadeAssiqui Місяць тому

    Daxa mimi nacuomba sana axa cua ncrisito, inguia din ia haqi cua muenhe nsimungu, wewe utaqi cu inguia peponi? Pepo ya anla?

  • @ShabaniBaibai
    @ShabaniBaibai 2 місяці тому

    Wafungue akili shekhe hao wasabato

  • @SofiaKhamis-t2l
    @SofiaKhamis-t2l 4 місяці тому +6

    Yesu sio mungu bana

    • @MarkoWMichael
      @MarkoWMichael 3 місяці тому

      Ni Mungu imeisha iyo❤

    • @isahbarasa
      @isahbarasa 3 місяці тому

      ​@@MarkoWMichael😅😅😅tubu ww kwa hio maneno yako

    • @TonaAlbert
      @TonaAlbert 2 місяці тому

      Alafu asikuwe Mungu weye Mungu sasa?acha ujinga

    • @Mathieusinzinkayo
      @Mathieusinzinkayo Місяць тому

      Jiulize nawewe mungu nini?Jijibusasa.Mfano mungu nisaa pepo.Anapatikana kila mahala.Anajaa univers .Sasa nikiti gani wewe umemutengenezeya awezaye kuikalaeko?

    • @KatanaKariss
      @KatanaKariss 26 днів тому

      @@MarkoWMichael nkuulize swali mtoto ww ni mwanadamu mtoto wako atakua mwanadamu ama mnyama... Na kama ww waitwa Rashid mtoto wako aweza itwa Rashid ama hawezi itwa

  • @ChidiSalum-f6p
    @ChidiSalum-f6p Місяць тому

    Ndacha unawapoteza watu ww mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yesu amezaliwa bana

  • @AlhajiMsisiri
    @AlhajiMsisiri 15 днів тому

    Mchungaji acha kukufulu maana yesu nae kazaliwa

  • @LterwaLeleur
    @LterwaLeleur 24 дні тому

    Mbona atutedewi haki ukweli mnapinga aaai

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 4 місяці тому +3

    Waislam akili zao ndogo sana juu ya imani. Alaf kumbe wamepotoka ivo🥹

    • @abeidrashid2574
      @abeidrashid2574 3 місяці тому +1

      Kamulize mchungaji wako akuoneshe sehemu iliyoandikwa yesu ni mungu arufu utaona kiwango cha akili yako kina uwezo wa kias gani kunganuwa mambo

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 3 місяці тому

      @@abeidrashid2574 Tatizo unakaza kichwa. Skiliza hii clip toka mwanzo majibu unapewa tena sio moja unapewa kwa vifungu. Saiv unataka nirudie tena. Nyie mmeulizwa maswali mnaruka ruka tu kama maharage yanachemka😀

    • @saudaumar3354
      @saudaumar3354 3 місяці тому

      wee ndio ndogo mlapanya soma bweha

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 місяці тому +2

    Sule wee unaespotosha nduguzo, were unamjua Yeah viziri sana ilaunajizingizia

  • @MesaIdd-dn3vt
    @MesaIdd-dn3vt 29 днів тому

    Wahadhiri wa kiislam ndacha hana elimu ya kuwababaisha

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 місяці тому

    Ushaona jini lakikiristo ila majini yote niwaisilm hata majina yao ndomaa muganga ijuma majin hayafanyi kazi we huogopi

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 місяці тому

    Ukitaka kujua yesu nimungu nirahisi tu mwanadam neno lipi lilitumika mpaka akatokea neno tumufanye mtu kwamufano wetu ndomaana hata raisi anamakam wake huwezi kufika kwaraisi mojakwamoja lazima uanze chini

  • @JoakimUrassa
    @JoakimUrassa 3 місяці тому

    Wakubali TU waache kua na moyo mngumu

  • @DullahAsan-r4n
    @DullahAsan-r4n Місяць тому

    Ivi? Kati ya yesu na mamayake na yesu ni nanina wakwaza kuzaliwa?

  • @hassantambwe9190
    @hassantambwe9190 Місяць тому

    Mbn ukiristo hauna maandiko kulingana na kabila ya yesu kama vile Quran iko na arabic kulingana na mte n arab

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 3 місяці тому +9

    Mashaa allah Dr sule mwalimu mungu akuweke sana

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому +1

      nikweli ndio azidi kufumbua ujanja wawaislamu na majini yao

  • @LterwaLeleur
    @LterwaLeleur 24 дні тому

    Tuambiani mtu aliye pita mawinguni akiwa hai sasa hivi

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 місяці тому +1

    Wenzake wote ni boa ndiyo maana wanakusukumia ww unayecheza na Maneno ,ila ww uukweli unaujuwa; maana tumesikia hotuba Zaki Mara nyingi ukimsifia Yesu

  • @danielkasau8747
    @danielkasau8747 Місяць тому

    Ndacha ni kiboko ya hawa hawa wajiga kweli

  • @ERICKANDERSON-zt2nh
    @ERICKANDERSON-zt2nh Місяць тому

    Jesus was truly a SON of GOD being born in human form by the power of GOD

  • @KatanaKariss
    @KatanaKariss 28 днів тому

    Huyo kijana ndacha ni msomi mkubwa sana

  • @johnweres9566
    @johnweres9566 29 днів тому

    Watu wanetandika vitabu 😂😂😂

  • @ndayishimiyejaphet4927
    @ndayishimiyejaphet4927 Місяць тому

    Yesu ni mungu wa islam muache kupinga

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 2 місяці тому

    Kama yesu ni mungu na injil aliwepa na Nani? Na injil ziko ngapi maana hata yahaya ana Yake?

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 3 місяці тому +1

    Inna lillah Wainna Lillah,Tatzo kubwa Yesu kuitwa mungu,Paulo Kaitwa mungu Naee Mungu wenu wakristo,Yaan Umeulzwa mungu wa Yesu n Mungu wetu,fahamun Yesu ana mungu wake

  • @OsmanXossen
    @OsmanXossen Місяць тому

    Huyu yesu km ni mungu aliumba nini mnijibi niokoke leo mm

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 4 місяці тому +2

    14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
    Yohana 1:14
    Sure anakubali kuwa neno ni Mungu anakubali pasipo yeye kujua

    • @SAMUELMUTHUKA
      @SAMUELMUTHUKA 3 місяці тому

      Nashindwa,,bona hampatii sure hili andiko,,,how I wish wataona hii comment yako

    • @ChikuMmanywa-ut8oz
      @ChikuMmanywa-ut8oz 3 місяці тому

      Jamani kama mmetiwa upofu,unasema akakaa kwetu tukaona utukufu wake,maneno ya Mungu hayo! Sasa Mungu yesu hapo yupo Kwa nafasi gani? Eh kila mtu aabudu anachokiabudu

    • @HusseiniSemvua
      @HusseiniSemvua 2 місяці тому

      Huyo neno katoka kwa baba hatukatai ila sisi tunamtaka huyo baba ndiye Mungu

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Nyeeeee.haya bwana yesu.tu

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 2 місяці тому

    Akajifanya sawa na baba yake

  • @IddiKimolo-uz8mx
    @IddiKimolo-uz8mx Місяць тому

    akili awana hawa wakrsto

  • @boscobulenda
    @boscobulenda 27 днів тому

    Des discussions inutiles. Football et handball on ne peut pas s'entendre

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 місяці тому +1

    Bi maana Yesu ni Mungu mdogo? 😂Msiba!

  • @Kevworx
    @Kevworx 3 місяці тому +1

    Onyango kamaliza labda kama huna D mbili ndio utapata shida kumuelewa

  • @soccertv293
    @soccertv293 3 місяці тому +1

    Wakristo wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 2 місяці тому

    Shule atapatizwa

  • @RashidCharo-ug1hz
    @RashidCharo-ug1hz 2 місяці тому

    Mudahalo kuntu dkt Sule

  • @ERICKANDERSON-zt2nh
    @ERICKANDERSON-zt2nh Місяць тому

    It needs intuition to understand this mystery

  • @paskalilameki9568
    @paskalilameki9568 3 місяці тому

    Bwanasesuasifiwe

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 2 місяці тому

    There's God d there's Jesus Christ

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 місяці тому +1

    Ww ni mwislami usijdanhanye kuwa ni mkristo m ya ww

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 2 місяці тому

    Paulo mungu

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 3 місяці тому +3

    YESU oyeeeee

  • @Zuramuinamo
    @Zuramuinamo 2 місяці тому +1

    Masha Allah Allah akbar

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 2 місяці тому

    Jibu silioni

  • @MwauchiKamanza
    @MwauchiKamanza 2 місяці тому

    Kinacho nishangaza sana kwa mazinge na kundi lake ni muislam huyu anavyo enda kinyume na kazi ya Mungu!! Muislam anatakikana kuamini mitume wa Mungu na vitabu vyao- Mazinge huyu ni muislam wa aina gani? Anafuata muongozo gani wa uislam?

  • @AngelinaAkuyen
    @AngelinaAkuyen 3 місяці тому +1

    Dacha turiya wannafuzi tuko wangi sule atakunyorosha mutafutetu

  • @MaryNyaki-j6n
    @MaryNyaki-j6n 2 місяці тому +1

    Katika mungu kunanafsi tatu Mungu moja, Mungu mwana, mungu Rohoo mtakatifu

  • @mercymjunior9684
    @mercymjunior9684 3 місяці тому +3

    Ndacha na Onyango na msomaji wenyu paulo Mungu awajalie umri mrefu nyinyi ni msaada mkubwa sana kwa walimwengu

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 2 місяці тому

    Kwa mimi nilivyo elewa waislamu wapo.kimwili na kibinadamu na sio kiroho wakristo wapo kiroho zaidi ndomana wanashindwa kuelewana

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 місяці тому

      Ndo mnakinbiliaga et kiroho mkibanwa kwenye maandiko yesu mwenyewe anamwabudu mungu wapi yesu alisema niabuduni au niombeni Bali aliomba yeye kumuomba mungu wakristo hawana akili akili zenu zimedhikiliwa mnachoambiwa na huo uongo wa biblia munasema amee Soma yeremia 8:8

  • @DieudonneKambale-ep4tx
    @DieudonneKambale-ep4tx 3 місяці тому +6

    Yesu nimungu nimekubali

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому +6

    Tangu niujue ukweli nihama kupotoshwa na mafunzo mapotofu ya uisilamu kwa sasa waisilamu zaidi ya hamsini wamemwamini yesu nakuajana kuamini muhammad mfu ,lakini yesu alifufuka maandiko yanadhibitisha ,nilipatizwa yesu ni Bwana wamajeshi

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 3 місяці тому +1

      Lait ungejua Ndugu wallah ucngeuwacha Uislam,Nasema hv,Anae Kubal kfo Cha Yesu ,Yesu Amelaaniwa ,kw Mana Anae tundkwa juu ya Mtu akafaa mzoga wake ukamtundka Cku kuchaa nzma,Mtu Amelaaniwa na Mungu pole kijanakusema Yesu Kafa akafufuka

    • @ChikuMmanywa-ut8oz
      @ChikuMmanywa-ut8oz 3 місяці тому

      Yesu alifufuka baada ya kifo sio!angalia watu wanaosilimu globally,sio hao wadhaifu wabongo wenzio 50! Pole wee

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому

      @@Nily-kz3db waa nilipokundua kuwa shehe wangu alikuwa mshirikina ndio nikaikataa hiyo dini

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому

      @@Nily-kz3db akili Ako nifinyu wewe c muisilamu kamili Wala hujui Siri kwa hiyo dini shehe wangu alikuwa na majini na akawa ananifundisha jinsi yakuyatumia hicho kitendo kilinichukiza mno nikakimbilia kwa yesu aliye hai

    • @aminaabdulghanim8256
      @aminaabdulghanim8256 2 місяці тому

      😂haukuwa muislamu toka awali, muislamu msoma QUR'AN na kuelewa maana yake hawezi ritadi. Wewe ni mnafiki tu 😂

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 3 місяці тому +1

    Sule aende kwa Mbarikiwe ambaye si vuguvugu

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 16 днів тому

    Wapumbavu .waliposema kwa paulo kuwa huyu ni mungu.walikuwa na maana mungu yupo ndani ya paulo.ni kifupi tu hicho duh sule nenda kakae unapumbaza watu akili

    • @ImanNjogolo
      @ImanNjogolo 16 днів тому

      Sure hajui tu kooooo.nyee.we sule pole..

  • @FrankDeo-f2e
    @FrankDeo-f2e День тому

    Amen 🙏 🙌

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 2 місяці тому

    Thomasi si chizi

  • @HgJjj-r5m
    @HgJjj-r5m 2 місяці тому +1

    Yesu sio mungu mungu hakuzaa wala hakuzaliwa

  • @agripinaagape1136
    @agripinaagape1136 3 місяці тому +4

    Yesu ni mungu, kutokana na midahalo yote waislamu na mwalimu ndacha wamefanya popote na kokote wamekuwa wakristo hawajawai geuka kuwa waislamu bali waislamu wengiii wameokoka na kuongeza kanisa la mungu, tunaona vile wale wakuu wa wakiislamu wanavyo babaika kujibu maswali nahata kugeuza mada, tafadhali tumng'ang'anie mungu wa kweli, ndacha kazi nzuri

  • @IbrahMhumble-py6iy
    @IbrahMhumble-py6iy 14 днів тому

    Dr sule🔥🔥🔥

  • @Mchungajimalaki
    @Mchungajimalaki 2 місяці тому

    Shida hawamjui roho wamungu hao 54:32 54:32 waisilam

    • @HusseiniSemvua
      @HusseiniSemvua 2 місяці тому

      Ww uko na ulemavu wa akili mbuzi ww