UBATIZO WA SHEIKH MAZINGE BAADA YA KUPATA ANDIKO KUA UKRISTO NI NJIA YA HAKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 431

  • @jameswamathai5554
    @jameswamathai5554 2 роки тому +21

    pastor Mungu akuzidishie neema!! You are a very good example of a true man of God

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 роки тому +21

    Namshukuru Mungu, ni miaka kadhaa sasa imepita toka nimpokee CRISTO, huku raha sana unaish bila kwenda kw mganga wa tunguli.. Halleluya..yan mimi nilikuw mbishi mfano wa mazinge lkn yote n kw sabb ukiw ktk giza uwez uwez iona NURU, NURU n CRISTO njoon mpate ingia NURUNI.

    • @suleim505
      @suleim505 Рік тому

      UNATAKIWA UELEWESHWE LUGHA YA KISWAHILI: Sisi Dini yetu inaitwa UISLAMU,, ivi kushawahi kusikia kuna yahudi, islamu,, Kristo,, pagani katika biblia hiyo kristo siyo dini mnatakiwa kutafuta dini kwanza.

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy Рік тому

      Wewe kafiri acha uongo uislamu haukutaka mtu aende kwa mganga
      Wewe hukuwa mfano wa mazinge ata siku Moja
      Umeenda katika ukristo ukaimbe na ukale mziki basi ukasngalie na matako na mapaja maana kanisan wanawake vimini na suruali ndo mavazi yao

    • @JumaK-rl5eg
      @JumaK-rl5eg 11 місяців тому

      @@SalmaAbdul-zz7dy huyo hujamuelewa itakuwa alikuwa mshirikina mwanzo

  • @godfreyoluoch3832
    @godfreyoluoch3832 2 роки тому +21

    Mwenyezi mungu ajikalie maisha marefu mwalimu Ndacha, panga mkutanano na Dr Zakir pia mwalimu wangu juu naamini hajawahi patana na msomi wa kiwango chako

    • @zanzibarspice8686
      @zanzibarspice8686 2 роки тому +1

      Dr zakir ni Hatari sana Ndacha Hatamuweza Hata siku 1

    • @sarahkudoyi4371
      @sarahkudoyi4371 2 роки тому

      Na venye mna kimbelembele si huyo zakir angekua kashawasili ukumbini nivenye mwenyewe kaogopa maana hana hoja kwa ndacha na ndio maana kina mazinge wameshindwa kumsilimisha ndacha nyioooh!!😂😂😂😂

    • @DonHunter
      @DonHunter 2 роки тому

      Dr Zakir hatari kabisa,,mchungaji wenyu ni mtoto sana kwake...ata kimbia uyu😂😂😂

  • @YvonnePriya
    @YvonnePriya Рік тому +3

    Udumu mwalimu ❤ nakumwagia mauwa ipo siku waeslaam wataamini tu

  • @edwinezawadi4707
    @edwinezawadi4707 2 роки тому +17

    Umewakasowa sana mchungaji barikiwa kwa utumishi mzuri

  • @andreaowden-gq5rr
    @andreaowden-gq5rr Рік тому +3

    Waislamu mungu awafungue tu maana wa naubishi usikuwa na uelekeo kabisa p ndacha ubarikiwe sana

  • @carlosletema9914
    @carlosletema9914 2 роки тому +5

    Pastor ndacha thanks very much I thought I was in a wrong religion but you ahve confirm it but we all leave it to God for guidance ☺️

  • @JassonJoshua-dq9os
    @JassonJoshua-dq9os 4 місяці тому +1

    Kuna vitu nazidi kujifunza sana, asante YESU

  • @navyhanda2548
    @navyhanda2548 2 роки тому +4

    Asante Sana pastor Ndacha wape habari mpya wapate wokovu watoke kule msikitini

  • @josephatmnongone6143
    @josephatmnongone6143 2 роки тому +2

    Asante sana Mwl Ndacha kwa somo zuri

  • @christinegatwiri8008
    @christinegatwiri8008 2 роки тому +6

    Amen Pastor, Glory be to God.Go, then,to all people everywhere and make them my disciples: baptize them in the name of the Father,the son,and the Holy Spirit,and teach them to obey everything i have commanded you .And i will be with you always,to the end of the age.

  • @danielodhiambo552
    @danielodhiambo552 3 роки тому +31

    Pastor you are a true man of God.. you are annointed and carry fire in you..may the almighty our lord Jesus Christ bless you abundantly

  • @kaberaolivier9153
    @kaberaolivier9153 2 роки тому +3

    Barikiwa sana mtumishi... Burundi bujumbura tunabarikiwa Na kazi yako

  • @magrethpius8566
    @magrethpius8566 2 роки тому +7

    Ndacha Safi sana Bwana Yesu Kristo juu!!

  • @fidellujo8362
    @fidellujo8362 3 роки тому +43

    Jina la yesu lihimidiwe Amina

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 2 роки тому +2

    Mazinge ni boya tu. Kumkichwa hamna kitu. Bigup Ndasha.

  • @moshseke38
    @moshseke38 2 роки тому +2

    Ndacha mungu akubaliki

  • @kashankonga5419
    @kashankonga5419 Рік тому +4

    Mungu akubaliki ndacha napenda mafunndixho yako

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 роки тому +25

    Ndacha hata waungane mazinge 5 hawamuwezi,wasabato wamesoma sana,

  • @geraldineirankunda1159
    @geraldineirankunda1159 2 роки тому +3

    Mubarikiwe sana Mungu awabaliki tunawapenda

  • @rehemabahati5809
    @rehemabahati5809 2 роки тому +6

    Pastor may God bless you soo much 💯💯💯💯

  • @VincentKavishe
    @VincentKavishe 6 місяців тому

    Ndacha Mungu akulinde ma magumu yoyote amina

  • @debigshark442
    @debigshark442 2 роки тому +1

    Wow very true pst ANEN

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 роки тому +1

    Mutumishi Wa mungu ishi kama bahari ili mungu akutumie utu teteye kwa izi roho zisizo amini mungu yesu akupe ufunuo tena télé mutumishi un aishi wapi ? Swahili umeongea nakisikia sana ila mimi ni mu Congo utumishi roho yangu ime tamani sikumoja tuonane mbingu nione umevikwa taji la ushindi kwa kushinda izi roho za uasi amina🙏🙏

  • @abubakarmohamed9567
    @abubakarmohamed9567 Рік тому +4

    Nashukuru Mungu baada ua kusikiza hii video imani yangu ua uislamu imeongezeka Alhamdullilah

    • @nixonkenya4949
      @nixonkenya4949 9 місяців тому

      Sehemu yako ni lile ziwa liwakalo moto.

    • @nixonkenya4949
      @nixonkenya4949 9 місяців тому

      Yesu ndiye njia kweli na uzima.

  • @marthajoseph3297
    @marthajoseph3297 2 роки тому +1

    MUNGU akubariki sana sana mtumishi wa MUNGU.

  • @spiritualhymnstenzizarohon3701
    @spiritualhymnstenzizarohon3701 3 роки тому +15

    Namkubali sana mwalimu ndächa YESU azidi kutukuzwa kupitia wewe

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 2 роки тому +7

    Imeshabainika kuwa kafiri ni mpingaji anaye pinga kauli tangulizi! Mwenyezi Mungu anasema shetani makao yake yatakuwa jehanamu pamoja na wafuasi wake ,lakini wapingaji wanasema amesilimishwa (amenyenyekeshwa) name Mtume(Saw) Mohamadi. Maadamu ameslimu ataingia peponi!! Mwennyezi Mungu amesema kuwa atamfisha Yesu(Is a) na kumuhuisha tena, wapingaji wanasema Yesu hakufa! Bali Mungu mahali pa kufa Yesu alimweka MTU mwingine!!! Mungu amesema Yesu anazaliwa kwa uwezo Wa Roho bila ya Baba wa kimwli! Wapingaji watiliashaka kauli ya Mungu ,na kudai kuwa Yesu amezaliwa na Yusufu!!

    • @rashadkipingu5109
      @rashadkipingu5109 2 роки тому

      Acha uongoo nduguu Sisi Hao wapingaji wako hatujuwai kusema yesu kazaliwa na yussufu majibu kasome surat imraan

  • @fredleonardo739
    @fredleonardo739 2 роки тому +14

    Huyu mchungaji huyu ni 🔥🔥🔥🔥

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +10

    Maa Shaa Allah, Barikiwa Sana Sheikh Mazinge,Allah Akupe Umri.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +3

      Kanisa siyo jengo,, kanisa ni mkusanyiko la watu wanao mwamini Kristo. Yesu yeye mwenyewe na Wanafunzi wake ni kanisa.

  • @nasramussa2369
    @nasramussa2369 2 роки тому +2

    waislamu mmegalagazwa

  • @philiplenana6107
    @philiplenana6107 2 роки тому +1

    mungu aishiye asaidie waislamu, wamepotea akh

  • @johnmachanganya9947
    @johnmachanganya9947 2 роки тому +1

    Ndachi upo vzr Mungu Akubariki

  • @NeemaDaudi-o7u
    @NeemaDaudi-o7u 10 місяців тому

    Ameeen ubarikiwe sana mtumishi🎉

  • @timothymagugudi1260
    @timothymagugudi1260 2 роки тому +2

    Amina mtumishi, ubarikiwe sana.

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 2 роки тому +3

    Pastor uko vizuri hadi raha

  • @sephmanjoseph8855
    @sephmanjoseph8855 2 роки тому +14

    Mazinge pole sana wewe mubishi sana halafu ubishi wako Haina maana zaidi unapotosha wasio elewa

    • @mussakamando2678
      @mussakamando2678 2 роки тому

      Toa andiko sasa

    • @gilliansiara3324
      @gilliansiara3324 Рік тому

      Mazinge Mungu akuweke unapiga ijnili baba ,very good and polite mjadala wenye mafindisho

  • @DevidiibrahimMoses
    @DevidiibrahimMoses 3 місяці тому

    Mungu atubariki sote tunaomkubari

  • @cypriannyakundi-zy9hr
    @cypriannyakundi-zy9hr 8 місяців тому

    God bless u pastor Ndacha

  • @oyayatimothy1290
    @oyayatimothy1290 Рік тому +7

    Ndacha is the professor here

  • @mariamhassan2813
    @mariamhassan2813 2 роки тому +1

    Hongera sheikh mungu akulinde na insha Allah wakristo wengi wataslim

    • @massiasinkala3478
      @massiasinkala3478 2 роки тому

      Nani uyo???? mkristo aslim???yaan aukimbie uzima wa milele aifate jehanam???yaan mim ata unipe trilion zote siwez kuslim maisha,yaan ata panga liwekwe shingoni mwangu siwez kuslim ata sekunde moja

  • @mutairichard5610
    @mutairichard5610 Рік тому +1

    Mko sawa pst na mafundisho ,ni siku tu,yohana.2:19, mbarikiwe sana

  • @danielernest8588
    @danielernest8588 2 роки тому +27

    Waislam wamepigwa na kitu kizito 😂😂🤣🤣🤣😂😅

    • @DuliBrillant-mr8er
      @DuliBrillant-mr8er 5 місяців тому

      Ulopgwa na chin ni ww usieijua dini ya haki mbele ya mwenye enzi mungu ni ip hiv ww hujiuliz maswal et yesu ni mungi hlf et ni mtu mukiulizwa hii vip mnaleta utatu yan yesu kazaliwa halaf katahiriwa halaf kafa eh jaman bas ata babu yng alkua aitwa mungu coz alizaliw alitahariw na ashakufa

  • @PhilipMuli-uu7fj
    @PhilipMuli-uu7fj 5 місяців тому

    jina la Yesu ni jina kuu sana kuliko majina yote

  • @naomiwanjiru5157
    @naomiwanjiru5157 2 роки тому +11

    Waooh, bwana yesu asifiwe sanaaa

    • @twarikshunda6223
      @twarikshunda6223 Рік тому

      Hapana Allah ndo mungu pekee na hakuna mwengine anaefanana nae na hakuzaa wala hakuzaliwa na mwenyenzi mungu mmoja tu

    • @biswalhadogani-wt8kv
      @biswalhadogani-wt8kv Рік тому

      Alihubiri masinagogi ambae ni misikiti we ndacha na watu wako nyie ni makafiii haswaaaa

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 місяців тому +3

    Ninachojua mdaharo wowote wa Waislam VS Wakristo waislamu huwa wanashindwa. Kigoma hadi walienda kushitaki Polisi baasa ya Simba Ulanga kuwanyoosha hadi Ijumaa wengi hawakwenda msikutini hasa vijana baada ya kueleza mambo ambayo yaliwachanganya waislam.

  • @francismhilu2936
    @francismhilu2936 2 роки тому +18

    Huyu mwalimu wa kiislamu aachwe aendelee kuonyesha jinsi alivyo na hoja finyu ila kwa wale MUNGU ANAOWAONYESHA maana anauliza vitu vyepesi sana hana hoja

    • @mussakamando2678
      @mussakamando2678 2 роки тому

      Wewe hujui maandiko

    • @francismhilu2936
      @francismhilu2936 2 роки тому +3

      @@mussakamando2678 sasa sijui maandiko kwenye nini mbona kama hujaweka wazi au ndiyo walewale wafuata mkumbo toa maelezo nini unamaanisha vinginevyo usicomment ili uonekane umecomment ilhali hueleweki

    • @bone102
      @bone102 2 роки тому

      @@mussakamando2678 jina Lako zuri ila huelewi kitu

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 Рік тому

      Ukimwangalia vizuri Mazinge ameshachanganyikiwa. Maana anamdhihaki Mungu

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy Рік тому

      ​@@elishakayagwa9371 mazinge hawezi kumzihaki mungu
      Labda mungu wenu wa bandia

  • @rogatimushi689
    @rogatimushi689 11 місяців тому

    Ahsante sana ndacha kwa kuwafundisha hao waislam

  • @telesiasaga5621
    @telesiasaga5621 2 роки тому +7

    Kumbe muislamuu??? Shetani duuu ndiyo maana mashetani mengi huwa yanasema hi salamu ya waislamu??? Afu ukienda kwa waganga ukute wanasema aslamleko 😂😂 Sasa uone mashetani kama yatataja jina la YESU yatachomwa motooo❤️❤️❤️❤️

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 2 роки тому

      Kwanza wewe yawezekana shule hukwenda ndio maana unasubili2 kusomewa na ma kafili wenzio wale wapokazini wanajua kama uislam ndio dini ya bwana yesu ila wewe kipofu ndio unashida soma ufunuo 2 12 agano jipya ndio ujue mfalume wa uklisto ni shetani

    • @massiasinkala3478
      @massiasinkala3478 2 роки тому

      kuna jirani yetu mmoja aliwah kupandisha mapepo akaanza kusem namtaka shekhe,akaambiw mchungaji,pepo halitaki mchungaji,sasa apo akili kichwani,kwann pepo limtake shekhe??mim baada ya hapo nikajifunza jambo

    • @aminashaaban5846
      @aminashaaban5846 Рік тому

      Uyo itakua kapandisha mkeo,sio jirani yako

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 2 роки тому +9

    Barikiwa sana mtumishi ndasha 😘😘😘😘

  • @erickbyamungu973
    @erickbyamungu973 Рік тому

    Ubarikiye ndasha❤❤❤

  • @MzuriAmiri-cy4kc
    @MzuriAmiri-cy4kc 11 місяців тому

    Mungu akusaidie sana

  • @furahadaudi9516
    @furahadaudi9516 2 роки тому +4

    Asante Yesu Kristo

  • @graceayugi4034
    @graceayugi4034 Рік тому +2

    Wish to meet you one day pastor

  • @emmanuelmuthui3081
    @emmanuelmuthui3081 2 роки тому +3

    Aki Mzee Mazinge ana mambo

  • @jamesjira2559
    @jamesjira2559 2 роки тому +2

    God bless you pastor.

  • @atufigwegelusajo955
    @atufigwegelusajo955 2 роки тому +4

    Ni kweli kabisa hao lugha ndo inawachanganya na huwa wanajengea hoja zao finyu kwenye lugha tuu

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 10 місяців тому

    Ndacha barikiwa sana

  • @mlalikwabiswalo7804
    @mlalikwabiswalo7804 3 роки тому +6

    Ndacha Yuko vizuri

    • @omanbarka1588
      @omanbarka1588 2 роки тому

      Sana mungu Ampe umli mlefu ambatize mazinge nawaislamu wengine Kwa jina la yesu kristo wa nazaleti

  • @naysahope5399
    @naysahope5399 2 роки тому +2

    Kongole mr. Ndacha👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 2 роки тому +11

    Ameweza kweli mazinge kawa mdogo kama piritoni

  • @SilviaEsperancaMuageque
    @SilviaEsperancaMuageque Рік тому

    Ombeni sana wa Cristo munapokutana nayo Mazinge mujuwe munakutana na shetani uyo ni mtumishi WA shetani mensagem kutoka Moçambique Mungu awabarik sana wa Cristo Yesu 3:36 ni Mbwana

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 7 місяців тому

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @Estherm309
    @Estherm309 2 роки тому +3

    Ogera pastor ubarikiwe na mungu

  • @peninahkariuki1136
    @peninahkariuki1136 2 роки тому +1

    Pastor Barikiwa milele😁👏👏

  • @leonidamaganga6750
    @leonidamaganga6750 2 роки тому +23

    Mchungaji ndacha anaongea kwa hoja kutoka biblia na Quran ila shekh mazinge amechemka Hana hoja Bali ni mbishi tu

    • @devinahmatoke3136
      @devinahmatoke3136 2 роки тому

      Ukweli mtupu. Mazinge has no content

    • @nuruabdallah6692
      @nuruabdallah6692 2 роки тому

      @@devinahmatoke3136 wacha kujipa moyo nyinyi musiojielewa yesu siku hiyo atawaruka

  • @Nancybosibori-sz5nb
    @Nancybosibori-sz5nb 11 місяців тому +1

    Glory to our LORD GOD

  • @thischildsofunny9872
    @thischildsofunny9872 2 роки тому +75

    Mimi na Familia yangu tumekuwa wakiristo baada ya kusikia hixi hoja

  • @felinesmsuva847
    @felinesmsuva847 3 роки тому +8

    Mazinge hamuwezi Ndacha

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 2 роки тому +10

    Yesu ndie njia

    • @NadhraOmar
      @NadhraOmar Рік тому

      Hiyo njia inayo itwa Yesu ikomahali Gani

  • @JahlayzahEbrahimovc
    @JahlayzahEbrahimovc 6 місяців тому

    Ubarikiwe

  • @AshrafKilimo
    @AshrafKilimo 10 місяців тому

    Alhamdulillah sees

  • @barakafurume3541
    @barakafurume3541 2 роки тому +2

    Be blessed

  • @rubonezajeanclaude5910
    @rubonezajeanclaude5910 2 роки тому +6

    Mungu afunguwe macho wa lslam, kwakuwa wanasomewa maswali na jibu wana zipata kutoka Quoran na Bibiliya ira ku elewa nivigumu, wanajitahidi kureta vitu vingine na swali wameshapata jibu, Mungu awasahidiye

  • @NghongeLulenda-xg2hg
    @NghongeLulenda-xg2hg Рік тому

    Ukiona umekosea njian usiendelee na njia iyoiyo utafk kuskojulikana kbs,( yani ukipotea njia ya kwenda mbiguni unakuw na njia ya kwenda jehanam 2) rfk zetu waislam yesu ni njia karibu sana ukristo 2nawapenda sana , wala sio kwa nguvu au mabavu ukweli wowote uliofunuliwa ukusute ufanye
    maamuzi

  • @byarugabamulokozi4195
    @byarugabamulokozi4195 2 роки тому +1

    Uislam na ukristo wote ni watafuta njia ya kumjua Mungu katika taratibu za Jadi

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 2 роки тому +1

    Kumkubali yesu ni neema

  • @miltonjohn1402
    @miltonjohn1402 3 роки тому +10

    Hawa magaidi ni wabishi kama mungu wao shetani.

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 2 роки тому

      Kumbe shetani mungu

    • @zephaniahfanuel8444
      @zephaniahfanuel8444 2 роки тому

      @@nuswemwaipopo9558
      Milton yupo sahihi, miungu ipo mingi sana, kwa tafsiri ya huyu bwaba Milton mungu ni kile kitu unacho kiabidu, kama unaabudu nyoka huyo ni mungu wako, kama unaabudu shetani huyo ni mungu wako, na kwa vile akina mizinge wanaabudu shetani huyoni mungu wao,
      NB: Tofauti tofauti ya Mungu muubaji wa vyote, anayeabudiwa kwa haki, baba wa Bwana wetu Yesu kristo ni katika maandishi, lazima uanze na herufikubwa "Mungu" ukiandika "mungu" unamaanisha, mizimu, majoka, mapango, miti mikubwa, makaburi, na miungu mingine. uwe makini.

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy Рік тому

      ​@@zephaniahfanuel8444 mshalaaniwa nyie na misalaba yenu

    • @MwanaidiSeiph-qs4jw
      @MwanaidiSeiph-qs4jw Рік тому

      Nan gaidi

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 2 роки тому +4

    Maana ya kanisa ni mkutaniko siyo nyumba ya ibada ya Mungu, kwa hivyo dini ya kikristo siyo dini ya Mungu ila dini ya mkutaniko wa watu

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 2 роки тому +4

      kanisa ni mkusanyiko au mkutano wa watu wanaomwamini Kristo, sio mkutano au mkusanyiko wowote ni kanisa, lazima mkusanyiko huo uwe na imani moja juu ya Kristo na Kristo ni Mungu mwenyewe

    • @emmanuelmuthui3081
      @emmanuelmuthui3081 2 роки тому

      Yaani wewe Lutf Adbdulrab lazima upinge chenga, Hivi unajifanya uelewi maandiko yenye yamesomwa. Mkusanyiko wa watu wanaoamini yesu, sio mkusanyiko tuu.

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 2 роки тому +5

    Mazinge anatakiwa abatizwe maana kaishiwa hata swali kilicho Baki mi kubatizwa Tu nakuimba kwaya

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 роки тому +9

    Mazinge Swali alilouliza kauliza kwasababu hajui Nini Maana ya Kanisa😂😂😂😂

    • @hemed4064
      @hemed4064 2 роки тому

      Kauliza kwa kujua,

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      @@hemed4064 Unamaanisha kauliza swali huku hakijua kuwa hilo siyo swali analopaswa kuuliza😂😂😂😂🤣

    • @hemed4064
      @hemed4064 2 роки тому

      @@frankmpembu2505 wewe ndo hujaelew ndugu,
      Yesu hakuna sehem kaingia kanisani, sasa nyiny kanisani mnaend kutafta nini?
      Lkn pia, kwa mujib wa uyo mchungaji, kanisa ni mkusanyiko wa watu, sasa mbona yale majengo yanaandikwa makanisa? We huon kama umeenda kinyume na maandiko, swali kanisa ni nyumba ya ibada au ni mkusanyiko? Kama ni mkusanyiko kwa nini yale manyuma mnayaita makanisa, na alaf mnaingia wkt yes hajawah kuingia?

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому +1

      @@hemed4064 SWALI ZURI UMEULIZA
      Kwa mujibu wa Maandiko, Kanisa siyo jengo la matofali au udongo au miti au nyasi.Bali kanisa ni Kusanyiko la watu wanaomwamini Kristo,,na Kristo huwa anakaa ndani ya kanisa yaani ndani ya Kusanyiko la watu wanaomwamini yeye Kristo
      Mathayo 18:20
      20 Kwa kuwa walipo WAWILI WATATU WAMEKUSANYIKA KWA JINA LANGU, NAMI NIPO PAPO HAPO KATIKATI YAO.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 роки тому

      @@hemed4064 na kama Kanisa siyo jengo kwanini tunajenga jengo,,,tuna jenga majengo hayo hili kujikinga na mvua, jua, kuhifadhi mali zetu na kadhalika. Jengo hilo siyo kanisa, Bali lile Kusanyiko la watu lililomo ndani ya jengo hilo, Hilo Kusanyiko ndiyo kanisa, rejea Mathayo 18:20
      20 Kwa kuwa walipo WAWILI WATATU WAMEKUSANYIKA kwa jina langu, NAMI NIPO PAPO HAPO KATIKATI YAO.

  • @emayanlimited2574
    @emayanlimited2574 2 роки тому +4

    AMEN AMEN

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 роки тому

    Takbiiiiiir

  • @jacksonmusyoka8837
    @jacksonmusyoka8837 3 роки тому +3

    Ahasante ndacha dini ya shetani ni waislamu

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 2 роки тому

      Soma ufunuo 2 12

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 2 роки тому

      Kumbe shetani anadini?

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 2 роки тому

      @@lileoh3893 wacha ushabiki mtumwa wa shetani wewe

    • @aggreykileo8422
      @aggreykileo8422 Рік тому

      Ndacha ni Mtumishi wa Mungu aliye hai, roho wa Mungu yu juu yake kwa ufahamu wa kawaida huwezi kuchambua mambo ya Mungu kwa kiwango hicho roho Mtakatifu asipokuwa nawe. Majini yote yalisilimu yakawa waislamu na wanaabudu nayo msikitini eti nao ni viumbe wa mwenyenzi Mungu pumbavu zenu mwaminini Yesu kwani hata muhamad kwenye Qurain anakiri Yesu ndiye atakayehukumu ulimwengu hata na yeye atapanga mstari apokee hukumu yake

  • @JofreyAbdala
    @JofreyAbdala 7 місяців тому

    Elimu unawapa sana mtimishi ila hawa ni wabishi sana tumwombeh mungu atuongozee

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 2 роки тому +6

    Professor Mazinge Allah akupe umri mrefu yenye afya walahi ww ndio kiboko ya makafiri

    • @shamimibrahim1089
      @shamimibrahim1089 2 роки тому

      Tena Sana ataishi kuwasilimisha wengi makafiri

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 2 роки тому

      Mazinge anawaongoza waislam kwenda moton nyie mfuatilien aendee lee kuwalisha matango pori mana din sahihi ni Christian mfuaten yesu mtaiona pepo

  • @NdayiragijeTharcisse
    @NdayiragijeTharcisse 5 місяців тому

    Vizuri sana kuchungaji ndacha

  • @robertnjeru6539
    @robertnjeru6539 2 роки тому +1

    Hapa waislamu wamepata chanjo. Mwalimu endelea kuwafungua macho.

  • @rubonezajeanclaude5910
    @rubonezajeanclaude5910 2 роки тому +1

    Wana ganganiya kupinga kama Yesu Kristo siyo Mungu tena Quoran imesha sema na Bibiliya ikasema, sasa kwa nini musi amini Quoran na andiko yayo, ira kazi kupoteza watu wasijuwe ukweri kama Yesu Kristo ni Mungu

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 роки тому +1

    Kwa Bwana Yesu Kila Goti litapigwa

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 11 місяців тому

    Wakristo Mungu awafungue TU mfate dini ya haki pamoja na kitabu kisicho kuwa na shaka quran

  • @tittoskeysproject1967
    @tittoskeysproject1967 2 роки тому +1

    NASIKITIKA SANA KUONA SHETANI ANAWADANGANYA WATU WANAOIJUA DINI KAMA MAZINGE ! HV UNAULIZAJE AYA INAYOSEMA YESU KAINGIA KANISANI ETI NI MKRISTO 😂😂😂😂 YESU YEYE NDIO KRISTO MWENYEWE HV WATU WANA AKILI AU MATOPE ANAKUAJE MKRISTO DAAAH MSAMEHEWE TU😚

  • @YvonnePriya
    @YvonnePriya Рік тому

    Amini yesu ninyi makafiri

  • @baltazaririchard3197
    @baltazaririchard3197 2 роки тому +4

    Mimini Bwana,ndilo jina langu,na utukufu wangu sitampa wingine,wata sitawapa sanamu sifa zangu,Zaburi,115:4-& Sanamu zao ni fedha na dhahabu.kazi ya mikono ya wanadamu.Zina vinywa lakini hazisemi,zina macho lakini hazioni.zina masikio lakini hazisikii ,zina pua lakini hazisikii harufu ..mikono lakini hazishiki ,miguu lakini haziendi ,wala hazitoi sauti kwa koo zake,Wazifanyao watafanana nazo,wazifanyao watafanana kila mmoja anayezitumainia,"

  • @PeterBoru-sq3ve
    @PeterBoru-sq3ve 24 дні тому

    Mwalim ndacha hapo sawa

  • @bahatimihambo7639
    @bahatimihambo7639 2 роки тому +20

    Mtumishi hua nakuelewa sana hao unao bishana nao hawana elimu ya mbingun wanabishana kwa mazoea ubishi wa kwenye kahawa kwahio ni busara uwafundishe kwanza kwamba yesu ndio njia, yesu ndio neno litokalo kwa mungu, yesu ndio mwenye mamlaka mbinguni, duniani na chini ya aridhi na akirudi yeye ndio atakae simamia hukum ya waovu na wasio waov pia alisema kua kwa babayake kunamakazi yakutosha je waulize waulize kua wapi Muhammad alisema kwamba yeye ndio njia ya kweli kwenda peponi?

    • @graceshayo1347
      @graceshayo1347 2 роки тому

      Ten anabishana na watu hatar San hao na asingekuw amesimama wangesha muua Mungu akutunze mtushi Kaz yako njema

    • @prislaaugustino8670
      @prislaaugustino8670 2 роки тому

      Hakuna kama yesu

    • @MaryMmm233-yh3hf
      @MaryMmm233-yh3hf 9 місяців тому

      Kabisa yani nakubaliana na hicho anacho kisema sio wale wasio jiamini mungu amzidishie wingi wa neno sio maneno

  • @SafariHakizamana
    @SafariHakizamana 2 місяці тому

    Asante mutumishi wamungu ndacha 6:14 a

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 2 роки тому +3

    Huyu mchungaji anajua mpaka basi

  • @simonmisri7824
    @simonmisri7824 2 роки тому +1

    Moto saaaaana mchungaji

  • @emmanueldymonmbuhe9248
    @emmanueldymonmbuhe9248 2 роки тому +7

    Elimu Nzuri.