WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 839

  • @Obama-q4h
    @Obama-q4h 10 місяців тому +23

    Mzinge pongezi katika dini ya kiisilam mngu akulipe inshallah na akujalie maisha mrefu pia

  • @TawakalKasim
    @TawakalKasim 19 днів тому +2

    Shekhe wet mazing Allah akup afya njema daima na akulind na maadui daima dawa a smmin

  • @maulidimanzi9964
    @maulidimanzi9964 Рік тому +26

    Mashallah tabarakallah nakupenda Sana shekhe wangu mazinge upo vizur ndacha unamgalagaza tu Ila haelew

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      Tena yuko vizuri sana.kiboko ya wahubiri wa kikristo kama Ndacha wanaotimia ujaja ili washinde

    • @janenjeri9750
      @janenjeri9750 Рік тому +1

      Ngoja hukumu,utamtafa umkosee
      Unaskiza ukweli ila bado unakataa,ole wako
      U

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      @@janenjeri9750 Biblia yenu imebadilishwa mara chungu nzima. Pope wenu anahalalisha ushoga. Na anataka aibadilishe biblia.na bado mnadai no neno la mungu. Wachungaji wenu na mapadri wanadai wanahubiri neno la mungu, ni wafanyakazi tuu wanalipwa mshahara na watu, siku mshahara ukisimama na kuhubiri wanaacha,kama Ndacha.sio kama waislam ambao mshahara wao unatoka kwa mungu. Mbona ham fungua akili zenu

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 Рік тому +37

    Ndacha wewe ni Mwalimu mzuri sana God bless you

    • @adarashidi8178
      @adarashidi8178 Рік тому +1

      Amen

    • @damianopetro5872
      @damianopetro5872 Рік тому

      Thanks ur one who made me embrace Islam

    • @fahadbabuy
      @fahadbabuy Рік тому +3

      Mwalimu muongo😂

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Рік тому +2

      Mungejua maandiko basi musingeli msikiliza huyu ndacha conman wa maandiko

    • @martoo539
      @martoo539 Рік тому

      ​@@ARUWAAHMADA-jz9msmumeshdwa 😁😁kila saaa nkisema mohammand who Did nothing

  • @AriMomadeari
    @AriMomadeari Місяць тому +2

    Mazinge mungu akupe kheri duniani adi akhera mungu awe nawe amina

  • @hemedmbaroukmwalim
    @hemedmbaroukmwalim Місяць тому +2

    Sheikh mazinge Allah atakulipa kheiri hapa dunian na akhera juu ya jitihada ya kuwalingania wakristo kufuata njian sahihi ya dini Allah

  • @ghyslainmulume8301
    @ghyslainmulume8301 9 місяців тому +2

    Ndacha,Mungu akupe maisha marefu,ili uzidi ku tuelimisha,yesu Cristo akufiche kwa damu yake.

  • @naiknaik2816
    @naiknaik2816 Рік тому +35

    MashaAllah Sheikh mazinge Allah akupe umri refu enye ibada na baraka inshaAllah

    • @saulidongo1865
      @saulidongo1865 Рік тому +1

      Bado kidogo tu Mazinge atakua mchungaji Mazinge

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 Рік тому +1

      @@saulidongo1865 Ndoto za Mchana Mazinge kuingia ukafiri wa Kikristo.

    • @saulidongo1865
      @saulidongo1865 Рік тому

      @@mansooralaisri5200 Allah akufundishe hutaambia wakristo kafir tena.

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 17 днів тому

      Akili fupi kama ya mazinge

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Рік тому +52

    Najivunia Saana kuwa Mkristo... tuendelee sn kumuomba Mungu Baba,,,Mungu Mwana na Roho Mtakatifu 🙏🙏🙏🙏 aendelee kutubariki Milele Daima

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому +8

      Mpaka sasa hamjui nani mungu. Kuna mungu aliyefia msalabani,kuna mungu roho hata haijulilani yuko vipi,kuna mungu baba, hamjui kama alikuwa baba vipi, nani mkewe.

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +5

      @@111dudi Pia Kuna Mungu Roho Mtakatifu yeye alikuja Duniani baada ya Yesu Kristo Wakati alivyokuwa akipaa Mbinguni alisema "Nitawaachieni Mrithi Wangu ambaye ni Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu nafsi ya 3...lolote zuri mtakalomuomba hakika mtaokolewa

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +4

      @@111dudi Soma sn Biblia Kisha anza kwenda Kanisani hususani dhehebu la Roman Catholic ndipo utajua kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja ila amegawanyika nafsi 3....Mungu Baba,,, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu 🙏🙏🙏🙏

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      @@yohanakiyumbi4795 Dhehebu hili linajulikama kwa kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana na kuna mapasta mashoga. Astaghfiru Llah

    • @akibaali1450
      @akibaali1450 Рік тому +2

      Umepotea njoo kwenye dini ya haki na ukweli

  • @juliuslangat3970
    @juliuslangat3970 Рік тому +13

    Ndacha Mungu akuongoze my brother

    • @ismailkarani7972
      @ismailkarani7972 Рік тому +1

      Aongozwe au amepotea

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Рік тому

      Bora umuombee maana anajithidi kupoteza watu.

    • @OmanOman-yk8kl
      @OmanOman-yk8kl Рік тому +1

      ​@@mzeerajab9154 ninyi ndo mmepotea

    • @philbertkabengo7905
      @philbertkabengo7905 9 місяців тому +1

      NDACHA UNAUJUZ NA MARIFA YA MAANDIKO MUNGU AKUONGEZEEE MEMA YA NCHI NA UKUPE UFULME WAKE🙏🏿

  • @stephenkiboeaungo
    @stephenkiboeaungo 9 місяців тому +17

    Ndacha umemzidi sana Mazinge.Ndacha ni profesa wa Injili

    • @JumaSalehe-kg6uq
      @JumaSalehe-kg6uq Місяць тому +3

      😂😂😂😂 jidanganye

    • @RashidMuhunzi-pr5xj
      @RashidMuhunzi-pr5xj Місяць тому

      Sasa amemzidia wapi nawe mbona kama uelewa wako ni MGUMU ama wewe huoni kuwa MAZINGE YUPO JUU KI-HOJA?

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 11 місяців тому +2

    Mazinge unatisha sana Allah akupe maisha marefu . Unapoteza pumzi kubwa kwa faida yao lakin ipo siku watakir

    • @mitchy2219
      @mitchy2219 11 місяців тому

      Kwa kweli mmdahalo huu una maana kubwa kwani kila mshirki wa dini yake anafahamu undani wa mafunzo yanayo zungumziwa hata hivyo una dhibitisha majibu yalio na ufasaha na dhihaka jibu linapotelewa sisawa kujibu swali ukijua unawapotosha wasikilizaji fursa ya kuto ona kweli la mjadala je kuna maana gani kua na mjadal kama huu uwe funzo kwa mumini si kila dini ifunze inayo wahusu washirika wao badala ya kushutumiana uzuri wa dini yao

  • @NtirenganyaEric-bg3ye
    @NtirenganyaEric-bg3ye 6 місяців тому +1

    Mwarimu muzor ndaca!! wambie mungu agipenda wataokoka!!! Jili Yesu wet muwezayote

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 3 місяці тому +1

    Wew Mazinge Ndio Utatangulia Hatakama Wew Ni Rafiki Ya Majini Hauwezi Kumuwa Pastor Ndacha Kwa Jina La YESU❤ Milele Daima❤❤❤

  • @kimanidatch6096
    @kimanidatch6096 Рік тому +16

    Mazinge Hana lengo la KUFUNDISHA,,Bali ana lengo la kukashfu....,Hawezi KUSAIDIA wale wasiojua...Ndacha ni Mwalimu wa kweli wa Neno la Mungu.,,Mazinge mpokee Yesu,vinginevyo utasaga meno jehunum.

    • @FatmaNash-nd5kz
      @FatmaNash-nd5kz 6 місяців тому +1

      Nyinyi ndie mwasaidia watu kwakumwabudu binadamu mwenzenu

  • @everlynenanjala9747
    @everlynenanjala9747 Рік тому +7

    Ubarikiwe Sana mchungaji ndacha MUNGU baba akuinue kwa kazi nzuri unayo fanya,, tunaamini mungu atawafugua macho,,

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz Рік тому +26

    Broo mazinge mungu akujalie umrimrefu utujuze tusio yajua katika uisilamu inshaAllah

  • @khamisathman7171
    @khamisathman7171 Місяць тому +2

    MashaAllah Mashekhe wetu mumeweza kupambana, Hao wanaona ukweli Ila kufuata ni hawataki♥️

  • @countercheck887
    @countercheck887 Рік тому +27

    Mwalimu Ndacha Mungu akubariki na akulinde wewe ni dawa ya mazinge 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AdamMnyambwa
    @AdamMnyambwa 8 місяців тому +1

    Mungu akubali mwalimu ndacha akupe maisha marefu akulinde naloo mbaya

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 11 місяців тому +7

    ALHAMDULILLAH and im proud to be a Muslim. Kitabu chetu Quran hakijawahi na hakitowahi kutiwa mkono, Wakristo kuna maagano kibao,

    • @researchcorner.
      @researchcorner. 10 місяців тому

      Mazinge Hana hoja

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 5 місяців тому

      Mnaabudu shetani waisilamu

    • @RoseMuniss-y5q
      @RoseMuniss-y5q 4 місяці тому

      Kishabadilishwa sana tuu kilichokua halisi kilikua na page 7 na pombe ilihalalishwa lakini izo Aya zilifutwa na kubadilishwaa😊😊😊😊 familia au waulize waliokuzid

    • @ZabronMagufwa
      @ZabronMagufwa 2 місяці тому

      Sasa kweny Quran unatia mkono mwingine wa Nini wakati imeandikwa Kwa mkono?

  • @franknzegenuka2335
    @franknzegenuka2335 Рік тому +20

    Sheikh Mazinge unapoteza point, jibu swali kwanza. Ndacha ni fireee 🔥🔥🔥

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому +3

      Ndacha ni muongo anabadili aya apate kushinda

    • @saulidongo1865
      @saulidongo1865 Рік тому +2

      Shida yao hawa wanajibu bila hoja.

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +3

      Ni kwl kbs ndugu...Mazinge hana Point za Msingi ila anataka kubishana na Imani ya Ukweli ya Kikristo

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 Рік тому +2

    Mazinge mbabaishaji tu anajibu tofauti na swali aliloulizwa.

  • @manasa2449
    @manasa2449 Рік тому +5

    Mazinge Allah akulinde na shari Amiin

  • @byakomasoka988
    @byakomasoka988 6 місяців тому +1

    Kwa yesu kristo nimeshika kabisa siwezi mwacha kamwe❤❤❤❤❤❤yesu kristo namba moja 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @phenomenalsam.5722
    @phenomenalsam.5722 Рік тому +7

    Paul umefunzwa na mungu kusoma ,, 😂😂God bless you dacha and paul

  • @JosephineNyokabi-r6s
    @JosephineNyokabi-r6s 11 місяців тому +3

    Kazi nzuri ndacha mungu akubariki

  • @marwasamwel5668
    @marwasamwel5668 10 місяців тому +1

    Amen pastor Ndacha mungu akubariki kwa ukweli wako

  • @RajabuKiedu
    @RajabuKiedu 5 місяців тому +1

    Nashukuru mungu kwa kumpa maarifa mwalim ndacha na kuwafindisha hao waijue kweli ya mungu

  • @philimaroa8021
    @philimaroa8021 Рік тому +5

    Namshukuru yesu juu nimewaona hao waislamu wakikimbilia iyo damu ya yesu nakuinywa

    • @estersindano3485
      @estersindano3485 Рік тому +1

      Wewe muislam wewe unaedanganywa unashabikia unamdhihaki yesu nakuhurumia sana

  • @thomasoloka3550
    @thomasoloka3550 Рік тому +21

    Shehk mazige pigania dini ya uislamu Allah akuwake tebeza kalima ya lailahailala muhamad rasululahi

  • @SamuelmuneneMuthoni
    @SamuelmuneneMuthoni 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi. Ndacha

  • @franckilunga2086
    @franckilunga2086 Рік тому +6

    Mazinge huyo ni comedian kabisa. Mungu hawezi kuwa mjinga, huyo mwalimu anakufuru neno lamungu.
    Nawaonea huruma atawale kina mama wapikao kelele na mkutano wote.😢

  • @HarrisonTsuma-r2k
    @HarrisonTsuma-r2k 10 місяців тому +8

    Mimi ukristo sitoki mazinge huyu Jamaa sio rikalako maswaliyako kajibu vilivyo wewe haujajibu hadi mmoja porojo tu zako

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 5 місяців тому +1

    Uyu Mzee ajui et yesu ni muisilm au ni mkrsto yesu ni kristo ni cheo isilam ni unyenyekevu kwaio mkisema yesu ni muislamu pia mposawa au waislm amjui tafisl

  • @eliasemanuel2710
    @eliasemanuel2710 Рік тому +4

    Anaigiza cyo kama haelewi anasimamia anacho kuamini na siyo kilicho kweli... Mungu atamleta kwake one day

  • @MarkNyongesa-f9p
    @MarkNyongesa-f9p 22 дні тому +1

    Very true, katika walimu Mazinge aondolewe, anahitaji kufunzwa.

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 6 місяців тому +3

    Najivunia jina la YESU sina mashaka wala sitishiki ❤❤❤

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 6 місяців тому +5

    😂😂😂Ila wesilamu wanahitaji neema ya Kristo ndo mahana wakipata neema yakuwa wakrsto wanaitumia vyema karibu Kwa YESU aiseeee wote waisilamu ❤

  • @wizdannymoshi3132
    @wizdannymoshi3132 Рік тому +3

    Ndacha unafundisha kwel ila mazinge unapoteza waisilamu maznge unamkoxea mungu hufai kuw mwalimu

  • @zaudaislam2120
    @zaudaislam2120 Рік тому +5

    Alhamdulillah kuzaliwa muislam n inshaallah mungu awaongoze hawa makafiri

  • @RamadhanAdam-up6qv
    @RamadhanAdam-up6qv Рік тому +5

    Ama kwer Dunia inafika mwisho Hawa makafiri wanapotosha sana watu mungu wasaidie viongozo wetu waweze kutoa erimu ishaaallah mungu tujalie mwisho mwema

    • @SugowFarah-up3db
      @SugowFarah-up3db Рік тому

      Hawatoshi mboga. Makafiri ni watu wasio na dini ila sisi twaenda na muongozo wa Qur'aan

    • @v_simon2677
      @v_simon2677 Рік тому

      Umefumbwa na ibilisi kaka Mungu akutoe gizan

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 Рік тому

      Amiiiiiiiiin yaraabiiilaalamini

    • @FainesMrwale
      @FainesMrwale 11 місяців тому

      Kafiri wewe unaeabudu na majini msikitini

  • @AriMomadeari
    @AriMomadeari Місяць тому +1

    Waeslam nhote mungu atujalie kesho njema fil jana

  • @AhmadijumaJuma-fq2td
    @AhmadijumaJuma-fq2td 11 місяців тому +1

    Namshukulu Allah kwakunijalia kua muislamu halmadulillah wakiristo tokeni uko mnapotea uislamu ndodini ya aki akuna dini inayoitwa ukiristo

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 10 місяців тому

      Mnatembea uchi siku ya Ijumaa na wakati wa kwenda msikitini hsmvai chupi😂😂😂😂

  • @kayeesbelewa4819
    @kayeesbelewa4819 Рік тому +7

    Mazinge comedian kweli,neno hana ila anamaneno

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Рік тому +5

    Masha Allah Ustaz.Ndacha comedian.afanya kazı ya İblees mkubwa WA mashetani.

  • @hellen9056
    @hellen9056 6 місяців тому +5

    Ndacha Mungu akubariki.
    Sisi tulio soma biblia tunajua unasoma kweli
    Waislamu wanadangwanywa kweli kweli na walimu wao wachukua kakipengele wanasoma hawanalizi point
    Mimi siyo mfuatiliaji saaana lakini kwa point za Yesu ni Mungu Dah umesoma zile point muhimu sana Usisahau ile Mungu alisema huyu ni mwanangu mpendwa wangu nimependezwa nae

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 9 місяців тому +1

    Ustaadh. Mazinge Hawa watu WAKIRISTO wamelaaniwa na Mwezi Mungu. Na mwisho wao ni motoni tu

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 8 місяців тому

      Amelaaniwa Mohammad na majini yote

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 5 місяців тому

      Ukiwemo na wewe umelaniwa kwakumsilimisha shetani na majini yake ambea mung alimtupa kuzim

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 6 місяців тому +1

    Mungu hana chaprofesa kwakuwa profess auelimu nibahari naniyaMungupia.

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому +15

    Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umri 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 Рік тому +3

    Ushauri wangu , mijadala hii inapaswa kufanywa na watu wenye hekima sana sana kwa hiyo Mazinge ni mpotoshaji sababu hata biblia haijui na kuruani pia haijui so mtahangaika sana.

    • @FatmaNash-nd5kz
      @FatmaNash-nd5kz 6 місяців тому

      Mpoteshaji ni wew na huyo Ndacha wako

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 5 місяців тому

      @@FatmaNash-nd5kz na wew na mhamad wako wote waongo

  • @JackyKnightKnight
    @JackyKnightKnight 27 днів тому +1

    Nahali Muhammad amekoka hapa maka kanisa ninakuja mungu apewesifa jaman najivunia kuitwa mukristo i love you Jesus amen 🙏🙏

  • @RamadhanKarim-el6tv
    @RamadhanKarim-el6tv 10 місяців тому +1

    Professor mazege mweyezimuku akuweke tupe ndawa nya Allah salamwalekum warahmatullah wabarakatu

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Рік тому +9

    Subhana Allah, maskini waimani,nawanajua

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 Рік тому +15

    Masha Allah mashehe wetu wote Mola awalipe na Janatul Firdaus

  • @frankmpembu
    @frankmpembu Рік тому +2

    Mazinge hana hoja, Nashukuru kuona baadhi ya Waislamu wanakuja kwa Yesu na kuukimbia Uislamu.

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 Рік тому

      Labda wa kike afuate mume,,hakuna muislam mwenye akili aliyesoma uislam wake akaujua halafu aingie kwenye ukafir hata Kwa pesa yoyote.

  • @peterraphael7132
    @peterraphael7132 Рік тому +6

    Nakuamini sana mwalimu wa kisabato jina ngumu kuandika

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 Рік тому +12

    Ah ya uyu sheih mazinge ni hatari yan Legend

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 Рік тому +1

    Ndacha MUNGU akubariki kwa ujasiri ulionaoo.iuko pekeyako lkn uko na ujasiri lkn najua YESU yuko ndani yako ndo huo ujasiri. Barikiwa sana

    • @mbwaralali5049
      @mbwaralali5049 Рік тому

      Ndacha yuwa poteza watu fatilia vizuri vitabu yye yuwaunga unga ili apate ugali wake

  • @MarthaJoy-lx2qk
    @MarthaJoy-lx2qk 9 місяців тому +3

    Kwa kweli Ndacha wewe ndani kwako muna nguvuza Mungu aline hayi

  • @abdallahmindika1641
    @abdallahmindika1641 9 місяців тому +3

    Mazinge unaakil mingi sanaaa,kumbe yes at kanisa halijui hhhhhhhhhhhhh'😂😂😂

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 Рік тому +2

    Mazinge ni mbwembwe na sarakasi kuwadanganya hao waisilamu

  • @patrickodhiambo9341
    @patrickodhiambo9341 10 місяців тому +6

    Ndacha 🎉🎉

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 Рік тому +4

    Mazinge na huyo msomaji wKo, mwajua wasema uongo

  • @nicholaskimathi-z8k
    @nicholaskimathi-z8k 11 місяців тому +4

    Pastor Dacha you are a great teacher,,God bless you alot,,

  • @issabella1455
    @issabella1455 Рік тому +2

    Mazinge acha kudanganya watu yesu siyo mweslamu kwanini unapoteza watu🇹🇿🇿🇲

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 місяці тому

    Prof. Mazinge anafaa kwa maendeleo ya Taifa. Mungu Mkubwa. Mbariki Prof. Mazinge na Mwalimu Ndacha.

  • @evansjoshua-ms3mg
    @evansjoshua-ms3mg 6 місяців тому +1

    Mafundizo mazuri mwalimu Andacha pongezi

  • @ValaryMusimbi-n8h
    @ValaryMusimbi-n8h 10 місяців тому +1

    Ndacha umefanya kazi ya kuwafunza waislamu na kuwaelimisha zaidi.

  • @DavidKamariza
    @DavidKamariza Рік тому +5

    Ndacha Mungu akurinde

  • @LilyKangethe-hw2bw
    @LilyKangethe-hw2bw Рік тому +8

    Mashallah mwalimu Mazinge ...Sisi hapa tulislimu alhamdulilah.❤❤❤

  • @Bulehi
    @Bulehi Місяць тому +1

    Cheka sana leo na ulie sana kesho Mungu ndiye Mlinzi ☝️⚔️🤲⚖️🤲⚔️☝️

  • @mercymjunior9684
    @mercymjunior9684 Рік тому +3

    Mwalimu ndacha Mungu akubariki na akujalie neema zaidi mafunzo yako ni mazuri

  • @JohnStephen-d7t
    @JohnStephen-d7t 2 місяці тому +1

    Yesu ndiye njia yahaki naukweli

  • @FrancisPius-e5p
    @FrancisPius-e5p 8 місяців тому +1

    Yesu ni njia ya kweli

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 7 місяців тому

    Heheeeee mashaAllah Shekhe wetu mazinge mungu akupe afya njema umri mrefu inshallah

  • @gabinoamanaka3444
    @gabinoamanaka3444 Рік тому +4

    We ndacha chunga sanaa hawa watu wanaweza waka kuuwa ulisema kwa jenga ulivamiwa wakapasua vioo vya gari yako hawa watu hawana imani mioyoni mwao hivi unavyo wapea dose chunga sana

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 7 місяців тому

      Acha woga ndacha Elimu hana

    • @FatmaNash-nd5kz
      @FatmaNash-nd5kz 6 місяців тому

      Auliwe kisa anini cha maana sana huyo Ndacha ywawapoteza kabisaa mungu alitairiwa wapi kwa wapi

    • @RoseMuniss-y5q
      @RoseMuniss-y5q 4 місяці тому

      ​@@abuuhassani497 uyo mazinge ndo kilaza kabsa anajichekesha hana ata fact...ndacha anakupatia adi andiko

  • @janenjeri9750
    @janenjeri9750 Рік тому +3

    Ndacha mambo yote,ila naomba Mungu wetu mwenye nguvu awafungue waislamu macho,maana ni vipofu kabla MDA haujaisha

  • @datiusludovick8469
    @datiusludovick8469 9 місяців тому +1

    Ndacha mungu akuweke

  • @amourworldbeats
    @amourworldbeats Рік тому +3

    Nimemuelewa Sana mazinge Wallah.Yaan Wachungaji Kama watoto Hawaelewi. 9:25 Mchungaji Sijui Haelewi Nini,Ulevi Ulikuwepo Kabla. Alivokuja Mtume Muhammad Akautakaza,Sio ulivokuja Uislamu Ukakataza ulevi,Alivokuja mtume wa 25 Muhammad(S.A.W) Akakataza Ulevi

  • @adnanel-islam3291
    @adnanel-islam3291 Рік тому +9

    Mazinge Mungu akulinde .
    Nazani Waliokufuru pia wanakukubali

  • @alingoevans5026
    @alingoevans5026 9 місяців тому +3

    Wakristo 🎉nyie hatari

  • @muvurwanezaanitha742
    @muvurwanezaanitha742 Рік тому +2

    Ayo mamboyenu yatutosha mkristo abaki mkristo mwisilamu abaki mwisilamu ila ukweli wote mashee munajuwa kuwa Kristo ndiye njiya yapeke ya kwenda mbinguni

  • @RukiaMtuka
    @RukiaMtuka 7 місяців тому +1

    Najivunia kuwa muislam,shekh Allah akulinde

  • @AdamMnyambwa
    @AdamMnyambwa 8 місяців тому +1

    Alo Yesu ni Mungu najivunia kuwam kilito usiogope anaye mwili akaacha loo waislam wameshindwa kujibumas wa li wana nenoao😅

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Рік тому +1

    Pole sana Sh.Mazinge jumbe bado mdahalo unaendelea

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 Рік тому +1

    Mungu awatunze ndacha karibu geita

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +24

    Yesu Kristo ni kweli na tena njia ya kweli na uzima.

  • @thureyazuheir293
    @thureyazuheir293 Рік тому +8

    ya allah ya maliki tupe mwisho mwema ya matini

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Рік тому

      Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲

  • @peteronjenga9954
    @peteronjenga9954 Рік тому +5

    Ndacha ndie dawa ya Mazinge...Mungu ambariki Ndacha na amuongeze maisha marefu🙏🙏

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      Mazinge kiboko ya Ndacha, janja yake ya uongo inapigwa nyundo na Mazinge

    • @luqmanjabal9573
      @luqmanjabal9573 Рік тому

      Hakuna ubaya kueleza mawazo na matamanio yenu.Mawazo dufu.

  • @stephanebulambo3855
    @stephanebulambo3855 Рік тому +1

    Mazinge aumjuwi mwenyezi Mungu wewe ni mpagani kama wengine wote.

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 Рік тому

      Inaonekana unamuogopa sana mazinge 😅

  • @djumanjike3256
    @djumanjike3256 Рік тому +12

    Mazinge Mungu akulipe kheri

  • @mwilaben193
    @mwilaben193 Рік тому +10

    May our heavenly father bless you pastor Ndacha

    • @lizndunchez720
      @lizndunchez720 11 місяців тому

      ​@@ARUWAAHMADA-jz9msww ndie utakufa ujinga yko mnaswli z kitoto sna

  • @djhassim_254
    @djhassim_254 9 місяців тому +2

    Wewe ushapotea ata Yesu hakuwaisema ivo

  • @abdallaheji1269
    @abdallaheji1269 Рік тому +12

    Mazinge uko vizuri sana

  • @zuramarakia8467
    @zuramarakia8467 9 місяців тому +3

    Sheh mazige mungu akulinde akuogezeye umuli mulefu uwe namyaka maelifu❤❤❤❤

  • @ISSAMOHAMED-f4f
    @ISSAMOHAMED-f4f 29 днів тому

    Naomba namba Ya Sheikh mazinge ndugu zangu Sheikh Mazinge nakupenda sana kwaajili ya Allaah Natamani sana Nikuone

  • @sheheemsikit-bw5vx
    @sheheemsikit-bw5vx Рік тому +5

    Mazinge mashaallah wafundishe hao

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 7 днів тому +1

    Live long mwalimu Ndacha

  • @FineasMsafiri
    @FineasMsafiri 13 днів тому

    Be blessed pastor ndacha