SWALI GUMU KWA MAZINGE NA WAISLAMU: MUHAMMAD ALISALI NA VIATU, NYIE MMEPATA WAPI AMRI YA KUVIVUA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 508

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 Рік тому +12

    MashaAllah,, Mazinge Allah akupe mwisho mwema

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Рік тому +33

    Nampenda prof.Mazinge Allah akupe pepoo ya ngazii yajuu kwakweliii.....ana Experience Saana na hawo watu

    • @v_simon2677
      @v_simon2677 11 місяців тому

      Mazinge ni ujanja ujanja usiokuwa na ukwel wote wote

    • @baya1289
      @baya1289 3 місяці тому

      😂😂Sasa mazinge anauliza swali gani.

    • @everlynewanyama
      @everlynewanyama 2 місяці тому

      4now kaingia chakike hana jipya alikua akiwachanganya watu na uongo saiz amepatikana

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 Рік тому +31

    Mazinge proffesa dah Toca nimtambue nilikuwa mdogo Sana Allah ampe Long life

  • @johnatika5657
    @johnatika5657 Рік тому +22

    Mungu ana haja na moyo c viatu,Bwana yesu asifiwe

  • @NditimanaEmanweri
    @NditimanaEmanweri 8 місяців тому +2

    Mash Allah shehe wangu hapo endelea kuwakomesha

  • @Khadija-k6o
    @Khadija-k6o 16 днів тому

    Allah akure umri zaidi sheik wetu na akujaalie pepo ya fridhausi na quran itabaki kuaizi kuran tu haiwezi kubadilishwa abadan

  • @UwimanaAzzia
    @UwimanaAzzia 8 місяців тому +1

    Mashaallah Allah akutuhifadhiye kiongoz mazinge

  • @ShukuruMinga
    @ShukuruMinga 8 місяців тому +4

    Mungu awabariki walimu na wachungaji Kwa kuwafundisha hawa waislam

    • @Mwanatwaha
      @Mwanatwaha 7 місяців тому

      Acha ujiga dini ya kweli ni kiclam na siukristo kwahiyo mtakemsitake wislam ndodini ya kweli

  • @husseinguyo4929
    @husseinguyo4929 Рік тому +14

    Professor mazinge Allah akupe maisha mrefu

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 Рік тому +18

    mazinge azungumza ukweli kuhusu quran.mashallah Allah barik

    • @PendoKalama-rn8pf
      @PendoKalama-rn8pf 4 дні тому

      Mmi natafuta aya katika bibilia inayosema yesu anashirikiana na majini....au biblia niya majini

  • @ipyanapaulo4774
    @ipyanapaulo4774 Рік тому +13

    Safi sana walimu wa kikristo mbarikiwe sana

    • @mohammedal7864
      @mohammedal7864 Рік тому +1

      Safi kwa lipi wanajikanyaga tu nyie badilikeni huo sio ushabiki wa mpira mtajuta siku ambayo hayatowafaa majuto

    • @bekamwaba3571
      @bekamwaba3571 Рік тому +1

      Wabarikiwe kwa kupotosha watu? M.Mungu hapendi uongo kama vyenye nyinyi wakristu mnafikiria

    • @elikinebeni4683
      @elikinebeni4683 Рік тому

      @@bekamwaba3571 wao na Muhammad Nani muongo,

    • @paullazaro3127
      @paullazaro3127 Рік тому

      ​@@bekamwaba3571wapi kasema uongo?

  • @momadesumail-o2j
    @momadesumail-o2j 5 днів тому

    Asante prof mazinge nakupenda sana

  • @VitalisGabriel
    @VitalisGabriel 3 місяці тому +2

    Yesu ndiye njia pekee ya uzima wa milele

  • @MuhindoJamaldin
    @MuhindoJamaldin 11 місяців тому +2

    ❤🙏🙏🙏✍️ Allah bless you mazinge

  • @IptisamMohammed-o5s
    @IptisamMohammed-o5s 3 місяці тому

    Yaani kwa kweli Allah akupe nguvu shekhe wetu mazinge,unatupa nguvu ktk dini yetu ht mjinga nae hukuelewa,Allah akuhifadhi duniyani na akhera,aamen

  • @MuhindoJamaldin
    @MuhindoJamaldin 11 місяців тому +2

    ❤🙏🙏🙏✍️mazinge Allah bless you

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 10 місяців тому +5

    Kiukweli ndugu zangu mgesimama kuhusu kuwafundisha watu kuhusu njia ya ufalame wa mungu na si kubishana kwa ajili ya utukufu wa mungu mungu ndyo alileta hao watume wake na kila mtu ana haki ya kumuamini mungu kwa njia ya mitume hao

    • @BlandinaFunga
      @BlandinaFunga 4 місяці тому

      Sawa umejibu vizuri hakuna atakae angamia kwa kumfuata YESU,

  • @امندىالقحطاني-ش5ج
    @امندىالقحطاني-ش5ج 9 місяців тому +1

    Mazinge Allah akupe maisha marefu, ili wapuuzi wanyookee

  • @saidmasoud-vv1io
    @saidmasoud-vv1io Рік тому +13

    Mazinge Allah bless you🙏🙏

  • @NtezimanaLubhingagiza-us2iz
    @NtezimanaLubhingagiza-us2iz 6 місяців тому +3

    Hongereni wachungaji wetu

  • @AbdulAbdalah-h2k
    @AbdulAbdalah-h2k 6 місяців тому +1

    Uislamu ndiyo dini ya haki Allah tujaalie tuzidi kuupenda uislamu aamiin

  • @LatfaRamadhan
    @LatfaRamadhan Рік тому +2

    Allah akuinde professor mazinge akupemaisha marefu

  • @gasperjohnson3388
    @gasperjohnson3388 Рік тому +7

    Hawa watu hawako tayari kuamini kuwa yesu ndie bwana na mwokozi wa maisha yako

  • @lizndunchez720
    @lizndunchez720 11 місяців тому +2

    Waisalamu mnaujinga sana ntna mna utoto sna ata mkipewa maswali z ukijinga sna mnauliza swali ju y swali alfu swali moja 😊😊

    • @halimahalifa
      @halimahalifa 9 місяців тому

      Acha k2kana waislam yes so mng kma kwl mum mbn akli A mng amsaidie asisulubiwe

    • @Mwanatwaha
      @Mwanatwaha 7 місяців тому

      Achaujinga wewe dd😊😊😊😊😊

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому +7

    Allah akbar Allah akbar

  • @OMARYKAHUNGO-mn4mf
    @OMARYKAHUNGO-mn4mf 10 місяців тому +2

    Allah awape viongozi wetu afya njema ili kuweka wazi yaliyofichika

  • @SHAFIIIZAM
    @SHAFIIIZAM 5 місяців тому

    ustaz wetu Allah akulinde

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 Рік тому +6

    Allah Akbar ♥️♥️♥️

  • @SwalhinaAli
    @SwalhinaAli 4 години тому

    Mazinge kiboko yao Allah akuzidishie umri na afya njema

  • @jobmbogo-e5m
    @jobmbogo-e5m 7 місяців тому +8

    Yesu ndiye jia ya kweli na uzima wa milele

  • @davidawet3214
    @davidawet3214 Місяць тому +3

    Waislam hawana hoja kabisa..Mungu awahurumie .

  • @UthayminUthman
    @UthayminUthman 2 дні тому

    Amin

  • @rajabusaid-j6v
    @rajabusaid-j6v Рік тому +6

    Waislamu tunahitajika sana kuisoma dini ytu na kuielewa kabla ya kuizungumzia hasa ktk mazingira haya ya mihadhara, kuna ubabaishaji mkubwa unaonekana ktk ujibuji wa maswali kwa masheikh kiasi kwamba mtu mwenye uelewa wa dini anashangaa kwa namna swali linavyojibiwa.
    Nasaha zangu tumche Allah na tujikite katika kuisoma kwanza dini kabla ya kuizungumzia.
    Wallahu-aàlamu.

    • @gwijitv
      @gwijitv 10 місяців тому

      Uko sahihi, unajua Elimu dunia nayo ni muhimu sana, ili mtu uwe na uelewa pia,

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 9 місяців тому

      Lugha ya kigeni inatumika na Watu hawajaenda kusoma wataweza kujibu??hapo ndo wanawauza

    • @babyakasha4002
      @babyakasha4002 7 місяців тому

      umeongea point kubwa mnoo.

  • @Abdul-p6r7p
    @Abdul-p6r7p 10 місяців тому +2

    Dini ya haki ni uislam hapa dunian mpaka kwa mungu mungu ni mmoja

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 Рік тому +6

    Waislam YESU ATAWATENGENEZA TU

  • @zeidomar-f7g
    @zeidomar-f7g Рік тому +2

    Mashaallah kheykh 🎉

  • @aminasaid5097
    @aminasaid5097 6 місяців тому

    Allah akubalik can

  • @AdamuJumane
    @AdamuJumane 7 місяців тому +4

    Dini ya kweli na ya haki ni uislam

  • @DutchJaphet
    @DutchJaphet 10 місяців тому +4

    MWANA YESU ASIFIWE ONGELENI KUFUNDISHA

  • @IsiraeliMolly-o3z
    @IsiraeliMolly-o3z 9 місяців тому

    Mungu ipo moyoni amini mungu washa wasiwazi

  • @SalimuKavughe
    @SalimuKavughe 5 місяців тому

    Allah awaonhozi wakristo mutoke ndani ya ujinga

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s Рік тому +2

    Amina mungu awabaliki sana mchungaji

  • @nourdinpro
    @nourdinpro Рік тому +3

    Aendeleye kupumzika milele Yahya msomaji

  • @jasonirakoze-jk9ic
    @jasonirakoze-jk9ic Рік тому +10

    Tafsiri za mameno ya Mungu anatambuwa na wenye wanaongozwa na Roho mtakatifu,waislam watumiya ujuzi tuu ,ila Roho mtakatifu hawaana

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 Рік тому

      Roho mtaka vitu ama roho mtakatifu we kafiri

    • @mobigo2unlocker-iv7kn
      @mobigo2unlocker-iv7kn Рік тому

      Kama utatubu nimekutabilia njaa juu yaako amen

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      ​@@mobigo2unlocker-iv7kn😂😂😂😂😂 mtajpa uungu na bado ety njaa kal

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Рік тому

      Wewe unajua maana ya roho mtakatifu au Unafikili roho mtakatifu ni Kama mnavyo jazana matangopori.

  • @kimanidatch6096
    @kimanidatch6096 Рік тому +16

    Mazinge siyo mwalimu ni mkosoaji tu...Wala hawezi kusaidia WATU...Mazinge okoka tu,,MPOKEE Yesu KRISTO,,Kwa MAANA ukweli unaujua vizuri.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 9 місяців тому +3

      Na Akienda Nyumbani roho inamsuta ,Na Ipo siku atakutana Na Yesu live atatuhadithia

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 9 місяців тому +1

      Wewe ni kichaa

    • @SaalimmodyAbubakar
      @SaalimmodyAbubakar 8 місяців тому

      Wew umelewa

    • @AhmedMohamedMadaiMadai
      @AhmedMohamedMadaiMadai 7 місяців тому

      Kafiri ww uokoke ww unaemuabud mtu katahiriwa govi

    • @legendaction202
      @legendaction202 7 місяців тому

      Kwani ww ni uluminati mpaka wataka mazinge aingie kwa dini yako ya uluminati

  • @TherenceNishemezwe
    @TherenceNishemezwe 5 місяців тому

    Manshallah

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 9 місяців тому

    Biblia inaponyaza Mungu ni Mungu wa amani si Mungu wa machafuko,Mungu awabariki.

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 Рік тому +1

    Takbiiiiiiiiiiiir

  • @Mjdlvt-ug4en
    @Mjdlvt-ug4en 11 місяців тому

    Amina Amina

  • @JasminWilberd
    @JasminWilberd 5 місяців тому

    Pro mazinge ALLAH akupe umri mrefu ili uwaonyeshe njia ya haki
    na kweli

  • @AliMohammedAli-ms5zu
    @AliMohammedAli-ms5zu 9 місяців тому

    Good thing congrat

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 10 місяців тому

    Takbiri waislamu takbiri

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 Рік тому +2

    Pastor muogope Mungu haki. Wacha kuzua kwa kutetea uongo ulonao kwa kusudi la kumtumikia shetani. Msiwapotoshe wenzenu ilhali ukweli mnajua ila mnaficha ili mpate wafwasi ndo mpate mkate. Bila hiyo kazi ya kudanganya wenzenu M.Mungu bado atawapeni rizq zenu tu

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 Рік тому +4

    professor Mazinge you are indeed the professor, the pastor has failed beyond Lamentation

  • @StevoohBrooh
    @StevoohBrooh Місяць тому

    Yesu pekee ndio njia

  • @husnabintibrahim3842
    @husnabintibrahim3842 4 місяці тому

    Mazinge Allah akulipe kila la kheri

  • @DanielDastanMgaya
    @DanielDastanMgaya Рік тому +7

    Only Jesus is truthfuly no one else

  • @MeneMhepela-hq4of
    @MeneMhepela-hq4of 11 місяців тому

    Mungu anaangalia mayo mazinge saw

  • @muhammadzubeir7603
    @muhammadzubeir7603 3 місяці тому

    Bwana mkubwa hujajibu swali; Tunataka "AYA'🙌

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 Рік тому

    Amina

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x Місяць тому

    Gasper Wacha Uwongo Yesu Si Mkombozi Kipenzi Cha Allah Mtume Muhammad Ndio Mkombozi Wetu Ndio Maana Ss Wt Ni Umati Wa Muhammad Si Umati Wa Yesu Mnanyidanganya

  • @kidawaadam2725
    @kidawaadam2725 14 днів тому

    Yesu aripewa mamuraka hapa duniyani paka biguni. Yeye do jiya ya uzima

  • @Godfreymanyamatimotheo
    @Godfreymanyamatimotheo 3 місяці тому

    Naamin ipo siku watabatizwa tu msivunjike moyo. Ipo siku watamwamin Yesu tu!

  • @binseif2216
    @binseif2216 8 місяців тому

    Am proud to be muslim tunahoja za msingi nahakuna atakae tutoa kwenye mstari

  • @karenzifaustin2177
    @karenzifaustin2177 Рік тому +6

    Wasabato wanaijua biblia sana

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 9 місяців тому

    Ustaadhi Dominick mapima

  • @EugêniaShabanePaulo
    @EugêniaShabanePaulo Рік тому +3

    Louvado seja o nosso senhor Jesus Cristo

  • @NancyBunja-gd5vz
    @NancyBunja-gd5vz Рік тому +2

    Wachungaji mjichunge xaaana na hao waislamu. Kwani wako n mzaha mwingi na neno la mungu

  • @MaryamShafii-v1y
    @MaryamShafii-v1y 5 місяців тому

    mungu anataka moyo wako yaani ufupi ni kuwa ukitakaswa ndani,umetakaswa nje pia

  • @KipambaMoses
    @KipambaMoses Рік тому +1

    👍👍👍 good mchungaji

  • @Mwanatwaha
    @Mwanatwaha 7 місяців тому

    Ustadhi mazinge allah akupeumrimlefu kwa unavyopambana

  • @christophercostantine7497
    @christophercostantine7497 Рік тому +1

    Hili limezungumziwa kwenye Mathayo 24 ,Unabii wa Yesu Kristo dalili za nyakati za mwisho "kutakuwa na Vita " ,Vita hivi ni vya kiroho (Vita vya Mafundisho) - Imani ya dini flani dhidi ya Imani ya dini flani , Pia akasema watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe kwa kuzifurahisha nafsi zao. KUWENI MAKINI NA WATU HAWA .

  • @Apologeticsjay
    @Apologeticsjay 10 місяців тому

    Simple Yesu hakuingia kanisani

  • @69660
    @69660 9 місяців тому

    Mm naona uyo pasta nimwehu kichwani

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka Місяць тому

    Na msiwaaite tena n Mimi sitawasikiliza tema

  • @NeemaMashiku
    @NeemaMashiku 9 місяців тому

    Mungu anaangalia moyoni unann sio viatu acheni utoto waislamu

  • @baumaeddytoutestprophetiqu6322
    @baumaeddytoutestprophetiqu6322 11 місяців тому

    Anayezani anasimama kumbe ameanguka! Nyote hamusheriya sababu hamujaamini Mungu. Munapenda kujionesha tu kwamba munaujuzi zaidi. Mungu hatumiki na kicwa ila na roho kwa tarifa yenu wote hapo

  • @AllyNshimirimana-u2i
    @AllyNshimirimana-u2i 2 місяці тому

    Haunbusara😊

  • @MathewMaliva
    @MathewMaliva 7 місяців тому

    Seventh day Adventist church is a ministry of truth

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 4 місяці тому +2

    Wakiristo wabishi sana,licha ya udini,kifkra tu hujui km viatu vinachukua uchafu mwingi ukitembea?sasa unaingiaje nyumba ya mungu na uchafu?acheni kupotezwa mjuweni mola wenu wa haki ni nani.

  • @JuliusKinyuanduyo-me7nb
    @JuliusKinyuanduyo-me7nb Рік тому

    Bwana yesu asifiwe mungu awasaindie wasilam kujua ya kwamba yesu ndie muokosi

  • @Nancybosibori-sz5nb
    @Nancybosibori-sz5nb Рік тому +2

    Hallelujah

  • @ShebeAlawi
    @ShebeAlawi 11 місяців тому

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 Рік тому +6

    Mchungaji nimekuelewa vizuri tu yesu alikuwa tajiri mpaka Bank za Dunia hazikuweza kuhifadhi pesa zake akaweka kwa samaki👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      😂😂😂😂 yesu hakuwa tajir wa mali labda tajir wa imani

  • @AllanMisiko-dp5ew
    @AllanMisiko-dp5ew 11 місяців тому

    Mkisto ako sawa

  • @HarounmweroMwerochikoza
    @HarounmweroMwerochikoza Місяць тому

    Mazinge high

  • @BashiruWaziri-p7p
    @BashiruWaziri-p7p 4 місяці тому

    Ustaz piga kaz ya kutetea uislam Allah atatujalia heri

  • @NaimaSalim-hv6bd
    @NaimaSalim-hv6bd Рік тому

    Takbiri Allah akibar

  • @AlfayoEliahu
    @AlfayoEliahu Рік тому

    mchungaji panga
    nguvu ilioko ndani ya damu ya yesu katika ulimwengu wa Roho
    vitu saba 7 katika damu
    a).Damu ni uhai mwanzo 9:4
    b).Damu hua inazungumza mwanzo 4:10
    c).Damu inafanya upatanisho kolosai 1:20
    d).Damu inauwezo wa kufungua milango 1wafalme 18:24 ruka nenda 33
    danieli 7:10
    e).Damu inauwezo wakununua vitu vyote inategemea unanunua nini
    ufunuo 5:1-10
    f).Damu inabadilisha majira na nyakati
    kutoka 12:1-3
    g).Damu inabeba tabia
    mwanzo 19:36-38
    mungu alimtoa yesu kafara ili atupate sisi ndomaana damu ya yesu aifanani na damu yoyote
    1petro 1:18-19
    matendo ya mitume 5:1-10

  • @baumaeddytoutestprophetiqu6322
    @baumaeddytoutestprophetiqu6322 11 місяців тому

    Shika sana ulicho nacho. Hata siku moja hamuta elewana. Foot ball na hand ball hamuchezi match moja. Nyiye wote wanadimi tu, ila hamujuwi Mungu, hamujuwi neno la Mungu hata. Yaani Mungu awajaliye neema tu, ndio nawaombea

  • @Abdulhamid_Suleiman
    @Abdulhamid_Suleiman Рік тому +6

    Allahu Akbar M.Mungu ni Mkubwa wakristo hawana ushahid wanazunguka zunguka tu kama Saa ya Ujiti...

    • @gigimarco2592
      @gigimarco2592 Рік тому

      Mohammed alikua Shetani wale walio kataliwa na Mungu.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Рік тому

      Huna hata aibu

    • @MICHEZODAIMATV
      @MICHEZODAIMATV 6 місяців тому

      Nipe haya kutoka kwenye kitabu cha kislam inayosema mvue viatu

  • @ChannceUwase
    @ChannceUwase Рік тому

    Amen

  • @eyesonsecurity8384
    @eyesonsecurity8384 Рік тому

    Ameen

  • @Esther-os7fi
    @Esther-os7fi 7 місяців тому

    Tena sanaaa

  • @NassirOmar-u1x
    @NassirOmar-u1x 9 місяців тому

    Hujajibu pastooor😂😂😂😂😂

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Рік тому

    Maznge ❤❤❤❤❤❤

  • @PeterKimbe-w1h
    @PeterKimbe-w1h 3 місяці тому

    Kwa kweli waislam ammjui mnae mtumain dunian

  • @v_simon2677
    @v_simon2677 11 місяців тому

    Yaan waislaam tatzo una ubish sana ukwel upo waz kabsa

  • @GilbertLugonzibwa
    @GilbertLugonzibwa 5 місяців тому

    Jamani mazinge maswali mengine 😮

  • @BashiruWaziri-p7p
    @BashiruWaziri-p7p 4 місяці тому

    Endeleeni na yesu uyo yesu mnamuita mungu siku ya kiama atawakataenit nahapo mda utakua Ushaisha kaa jifikrie bado uko hai