KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini na Tatu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 бер 2024
  • "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 98

  • @user-ej6bu4ve9c
    @user-ej6bu4ve9c 3 місяці тому +25

    Watatu leo nipeni like zangu kumi tu

  • @user-kn7qj8sb8m
    @user-kn7qj8sb8m 3 місяці тому +12

    Kazi nzuri mashalla wanaume kama Hawa wako kweli ikiwa mnauhakika wako naombeni like vipenz

  • @user-vd4nt1kf3h
    @user-vd4nt1kf3h 3 місяці тому +15

    Nimewahi leo nipeni like zangu

  • @bakarihassani.2700
    @bakarihassani.2700 3 місяці тому +17

    Mpeni Maua yake ibrah the don🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jacklineindoshi1810
    @jacklineindoshi1810 3 місяці тому +18

    Tupo darasani twakusubiria mwalimu wetu ❤

  • @felistermillinga5721
    @felistermillinga5721 3 місяці тому +8

    Kungwi dume ni 🔥🔥 , tunahitaji muendelezo plz kaz ni nzur sana , tunajifunza mengi kupitia hii series

  • @user-ez2ps2qq4h
    @user-ez2ps2qq4h 3 місяці тому +6

    Sija chelewa ata mm naomba laki zenu wapenz😊

  • @emilyKay8
    @emilyKay8 3 місяці тому +8

    Leo wakumi na sita musinibanie jamani🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ thank youuuuuuuuuuu BABA mrezi wetu🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 2 місяці тому +1

    Waah ..hili nalo funzo . Shukuran The don

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 3 місяці тому +3

    Ndoa zinge kuwa za suluishwa ivi inge kuwa mzuri sana ❤❤

  • @user-sz6rz5tj4h
    @user-sz6rz5tj4h 3 місяці тому +3

    Wangwa Ibrahim the don❤🎉🎉🎉🎉

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 2 місяці тому +1

    Yan watu wanafata like tuu na sio kujifunza
    Duuuh ndoa zina mengi jmn

  • @RahmaRamadan-ui3ir
    @RahmaRamadan-ui3ir 3 місяці тому +3

    Wa 30 duh lakin bd sijachelewa nipeni moyo kwa like

  • @shufaamvugha4103
    @shufaamvugha4103 2 місяці тому

    Kaz nzur sana

  • @SaidaSaida-ub4ez
    @SaidaSaida-ub4ez Місяць тому

    Mwanaume jasili Mme wa subir ❤

  • @neemaadam2259
    @neemaadam2259 2 місяці тому

    Nimewapenda jamanii

  • @user-do9mx4vc1x
    @user-do9mx4vc1x 3 місяці тому +1

    Mashaalaah kazi nzuri Sana ❤

  • @mariathashim1367
    @mariathashim1367 3 місяці тому +1

    Hongera Kaka unamoyo wakipekee

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 3 місяці тому +1

    Ahsante Thedon this time hatukusubiri sana... 🙌🙌🤩

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 3 місяці тому

    Masha'Allah nimependa hii hata shangazi hakujua kinachoendelea. Kongole sana kwa kazi nzuri

  • @MachanoAme-it6cs
    @MachanoAme-it6cs 3 місяці тому

    Mashallah kazi mzury hongera Kaka ibrah kwa mafunzo yako kungwi uyoooo kungwi uyoooooooo Ila hiii sehem ya 23 we acha to full huzuni

  • @user-px4qu7vm8u
    @user-px4qu7vm8u 3 місяці тому

    Kazi nzur jmn hongera zenu

  • @mwanawetumwatumwa3000
    @mwanawetumwatumwa3000 3 місяці тому +2

    Ma Shaa allaha ❤

  • @PiliMakame
    @PiliMakame 3 місяці тому +1

    Nimependa ugovi wa mume na mke hata shangazi hajajua kilicho tokea ndani hongera Kungwi jike aliye mfundisha mwanamme kafaulu na kungi dume pia aliye mpa MAFUNZO mwanamke pia hongera gemu ni nzuri kikweli ... bye Miss,Pili wa ukweli

  • @joycebkbk6696
    @joycebkbk6696 2 місяці тому

    Hongera saan kaka ❤❤❤

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 3 місяці тому

    Asante sana the don kwa kuileta kwa haraka inge kuwa ivi inge kuwa Bora zaidi good job ❤❤❤

  • @user-de2de5fd2v
    @user-de2de5fd2v 3 місяці тому +5

    Kwan bado haijaj mbn mim sijaon

    • @MozaFoum-yg9he
      @MozaFoum-yg9he 3 місяці тому +1

      Namba zke tyr unalipia elf tano mwezi kujifunza zaid

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 3 місяці тому +1

    Nakosaje kwa mfano ❤🎉

  • @ramadhanmnembuka1408
    @ramadhanmnembuka1408 3 місяці тому

    Kaz mzur

  • @user-kx9jk6uc9o
    @user-kx9jk6uc9o 3 місяці тому

    Allah akuzidishie kungwi.

  • @user-mq4qc2jw4v
    @user-mq4qc2jw4v 3 місяці тому

    Muendelezo twaungoja kwa hamu mwalimu🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊

  • @HakizimanaRodriguez-on8fy
    @HakizimanaRodriguez-on8fy 2 місяці тому

    Kali sana 😊much love ♥️

  • @Araphat_muhila80.
    @Araphat_muhila80. 3 місяці тому

    Kazi nzuri

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 3 місяці тому +1

    Masha Allah mume yupo na hikma kweli

  • @OrnellaHabonimana-gr7wp
    @OrnellaHabonimana-gr7wp 3 місяці тому

    🎉🎉 WA Mme kama hawo wachache duniani kabisa

  • @user-mq4qc2jw4v
    @user-mq4qc2jw4v 3 місяці тому +1

    Jamani nimechelewaje mimi 😊😊😊

    • @user-ku8dk7bu7p
      @user-ku8dk7bu7p 3 місяці тому

      Watuu hawalal nakwambiaa😄😄😄😄😄

  • @user-vj1uo8xe4b
    @user-vj1uo8xe4b 3 місяці тому +2

    Ok pamoja

  • @user-yv9cj7ul9r
    @user-yv9cj7ul9r 3 місяці тому

    MashAllah

  • @grice2075
    @grice2075 3 місяці тому

    Nimechelewa lakini nimewahi hongereni sana wadau

  • @user-gy5lc1fh6o
    @user-gy5lc1fh6o 3 місяці тому +1

    Asante sana kaka najifunza vingi san❤❤❤❤🎉

  • @BenardMsalama
    @BenardMsalama 3 місяці тому

    Tunahitaji mwendelezo kaka

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 2 місяці тому

    Sjo kwel kama wanaume kama Hawa wako Dunia hii ya Leo 😂na kama wako nipen mmoja mie sijaolewa 😂😂

  • @JenipherShirima-lp4rv
    @JenipherShirima-lp4rv 2 місяці тому +1

    Huyu mwali wa mikope vip sasa

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 3 місяці тому +1

    Shukran kungwi

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 3 місяці тому

    Yan kwa kufumaniwa huko unaweza kuri hata mwaka😅😅 alafu mume hajari😢 pore kaka ibra kwa kazi NZuri

  • @zaujiasadiq8347
    @zaujiasadiq8347 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 3 місяці тому

    Good job 🔥💯 mwendelezo please 😂😂😂 usichelewe💕

  • @SameerTariq-xt6ef
    @SameerTariq-xt6ef 3 місяці тому

    Ibrahim upo just kaka,pambana kuokoa ndoa za waja

  • @user-de2de5fd2v
    @user-de2de5fd2v 3 місяці тому +2

    Mbn mim haifunguk

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 3 місяці тому +2

    ❤❤❤

  • @user-od6gk8rc5w
    @user-od6gk8rc5w 3 місяці тому +1

    Najua ni movie tu kwa minaadhili ya kufunza ila never forgive a cheating wife never

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 місяці тому +2

    Maex hawaachani watarudiana tu tulio tulia ndo hatunaga bahati ya mapenzi ya dhati

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 3 місяці тому

    The Don, nipee huyo mtoto mweupe

  • @shukururamadhan6721
    @shukururamadhan6721 2 місяці тому

    ukiona watu wanauwana jamani

  • @FatumaMwinyi-ox8qi
    @FatumaMwinyi-ox8qi 3 місяці тому

    Wanaume hebu igeni mfano kwa mwenzenu huyo😂😂😂

  • @user-zn6pq4su6b
    @user-zn6pq4su6b 3 місяці тому

    Dah wanaume wachache sana wa ivyo wengine ni kipigo na talaka juu

  • @user-ot9kh7vk1x
    @user-ot9kh7vk1x 3 місяці тому

    Duh ivi awa wanaume kama huyu bado wapo kweli

  • @damarisnasike1712
    @damarisnasike1712 3 місяці тому

    Yaani mumerauka huku. Wapi likes za late comers 😂

  • @JumaMohammed-ct6vg
    @JumaMohammed-ct6vg 3 місяці тому +2

    Embu mpeni muda kidogo ndugu ye2 ili atangeneze ki2 bora zaidi😂na sio kutwa mnakeshea kwenye comment na kuandika ujinga,mara leo mm "nimekuwa wa kwanza nipeni like!!,,
    Na wangine mnasema kabisa mwendelezo please 😂😂😂 usichelewe!!!
    Achani ujinga basi iv ninyi mnadhani uyu ndugu yetu anatumia mashine?
    Eti nnajifanya ninyi mnapenda sana iki anachokifanya,sawa ilo siping lakin "na ye akisema afanye araka kama mnavyohitaji mmadhani mutapata mazuri kama haya?

    • @JumaMohammed-ct6vg
      @JumaMohammed-ct6vg 3 місяці тому +1

      Brother, don't be fooled by these idiots who pretend that they love what you do the most, be careful not to listen to them or they will be the first to crush you what are you doing!.......
      I really agree brother with what you are giving us
      May Allah accept you very much!!!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 3 місяці тому

      Nimecheka kijinga 😂😂😂 hapo kwenye mwendelezo please 😂😂sawa tunajuwa nikazi sana kutowa kazi sasa bila mwendelezo please atapata moyo wakutowa kitu kizur 😂😂😂😂😂

    • @JumaMohammed-ct6vg
      @JumaMohammed-ct6vg 3 місяці тому

      ​​​@@SakinaHassani-xm7tikumbe na we ni kichwani kabisa,ivi umesikiliza iki ulicho andika? Au na ww ndo unabwabwaja2 apa, ukiona wakubwa wanaongea na we uwelewi ki2 kaa "kimya" we ni mtoto wa kike kaza
      Kukaa kimya ni jibu pia.

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 3 місяці тому

    Maskini mkaka watu ana upendo jmn wanawake story kweli

  • @Zuulito
    @Zuulito 3 місяці тому +1

    Muone na makope yake😂

  • @swabeersaid4814
    @swabeersaid4814 3 місяці тому +1

    Eeeeh...kuna wanaume wana moyo....

    • @user-uq8ey8bz3t
      @user-uq8ey8bz3t 2 місяці тому

      Sanaa tena 😢😢 ingekua mwanaume mwengine angeshamfurusha

  • @user-yz8og4xj1y
    @user-yz8og4xj1y 3 місяці тому +1

    Duu mwanaume wa kipekee san unamfuma mkeo af unakua umepoa tuuu

  • @Raz254vicky
    @Raz254vicky 3 місяці тому

    Kope nayo😅😅😅😅

  • @user-zh8dw6qz7x
    @user-zh8dw6qz7x 3 місяці тому

    ❤❤🎉🎉

  • @catherinemnyani78
    @catherinemnyani78 3 місяці тому

    Jamen sangap inakuja

  • @user-de7sl6sd1q
    @user-de7sl6sd1q 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @SifaWangyaShabani-nt5ww
    @SifaWangyaShabani-nt5ww 3 місяці тому +1

    Kitu kimenoga

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 3 місяці тому

    Duuh 😢😢😢😢

  • @user-cp6tw5ck6h
    @user-cp6tw5ck6h 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TaniaBimo-gq9oj
    @TaniaBimo-gq9oj 3 місяці тому

    Jamn faha ulete ten

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 3 місяці тому

    Waisilamu wenzangu musisaha daku

  • @user-de2de5fd2v
    @user-de2de5fd2v 3 місяці тому

    Inaanz saa ngap naon kil nikiiangalia sion

  • @shukurumushi6309
    @shukurumushi6309 3 місяці тому

    Niweh tok jan saa saba nisubir ubiz xikukoment

  • @bintmwanyello2350
    @bintmwanyello2350 3 місяці тому

    Nasubir

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 3 місяці тому +5

    Mwalimu wetu hajatup majibu kuhus group ili tujifunze zaid 😢

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  3 місяці тому +2

      Oh nichek WhatsApp 0652355325

    • @MozaFoum-yg9he
      @MozaFoum-yg9he 3 місяці тому

      Asnt

    • @user-qh2ij3kj8s
      @user-qh2ij3kj8s 3 місяці тому

      Pia mm nko ndani whtsp nijifunze zaidi❤

    • @JumaMohammed-ct6vg
      @JumaMohammed-ct6vg 3 місяці тому +1

      Kazi mzuri Kaka nishaanza kukufaatilia kutokea Lindi Ruangwa Tanzania.​@@ibrahthedon

    • @user-kd2hb8ii2j
      @user-kd2hb8ii2j 3 місяці тому

      ​@@ibrahthedon hasante Kaka ibrah hakika ishii saana n'a mungu azidi kukuinua zaidi

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 3 місяці тому +2

    😂😂😂shangaz naww ukomage kwenda Kwa watu bila cm.😅😅😅Ila dah huyu mdada kantia kichefuchefu dah kumuacha mumeweee kwenda Kwa mchepuko

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 3 місяці тому

      Huyo bwanaa toka.mwanzo alikuwa hamtaki kaolewa kwa tamaa na vishawish tu

    • @shadiairakoze800
      @shadiairakoze800 3 місяці тому

      Yeani uyu Dada ana nyege mshindo adi anatia hasira laaahh

  • @mememe5689
    @mememe5689 3 місяці тому

    Sijachelewa. Ila. Munigaie like japo. 5
    ❤❤

  • @MwanamisiMwamakalo
    @MwanamisiMwamakalo 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤