KUNGWI DUME: Kumsinga mumeo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2022
  • Hakuna uchawi kwenye Ndoa ila unaweza kuboresha Ndoa yako kwa kumfanyia mumeo mambo ambayo yatamfanya azidi kukupenda kila siku.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 275

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 4 місяці тому +10

    Nakupenda najifinza vingi ingawa sijaolewa😊😊😊 ila najifunz

  • @AminaJuma-b1n
    @AminaJuma-b1n 8 днів тому +1

    Mashaallah walai miye sina swali nafurahi kujifunzq nisiyo yajuwa shukran

  • @user-ez2ps2qq4h
    @user-ez2ps2qq4h 4 місяці тому +3

    Shukuran sn kungwi dume wanifinza megi sn mungu akuzidishie umri uzidi kutufunza nakupenda sn ❤❤❤

  • @faidavictoria
    @faidavictoria 11 місяців тому +28

    Ebu tujuwane walio rudiya iyi video zaidi ya mara mbili ❤❤❤❤

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Рік тому +2

    Kungwi dume ongela sana maaana mafunzo yako mazuli nimejifunza mengi gutoka kwako nashukulu ❤ ❤

  • @mesaidima6066
    @mesaidima6066 Рік тому +2

    mashaallah mungu akupe umri mrefu kungwi uzidi kutuelimisha zaidi inshaallah

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 Рік тому

    Asante sn kk lbra maarufu kungwi dime Kwa kz zako nzr zenye mafunzo mzr amakweli tunajifunza mengi kupitia kz vipindi vyako love u💕❣️💕🙏😘😘

  • @halmejo5907
    @halmejo5907 2 місяці тому +3

    Asalam alaikum kungwi dume naomba kujua huo mchanganyiko wa mafuta ya karafuu na roze water je naeza kumfanyia masaji pia kwenye kichwa mana umetaja maeneo yote ya mwili ukianza na shingo ila hukutaja kichwani na ndio mana nataka kujua asante❤🇰🇪

  • @user-pd3nb6xj8w
    @user-pd3nb6xj8w 2 місяці тому +3

    Wow napenda najikuta najifuzamengi

  • @ModisteNguma
    @ModisteNguma Місяць тому

    Ety usikauswe koo 😂😂 kungwi dume nakupenda vile we huongea uwazi❤❤

  • @user-yy5vb4uo7b
    @user-yy5vb4uo7b Рік тому +2

    mashallah njoo kenya uwape elimu mabint zetu

  • @user-ex2yu3rf3i
    @user-ex2yu3rf3i Рік тому +1

    mashahallha Mungu akupe huri uzidi kutufunz naakupe afya njema apa duniani nakesho haera anin

  • @user-ho3yh1xe9o
    @user-ho3yh1xe9o 11 місяців тому

    Daah upo vinzur kungwi Asante kwa somo lako❤

  • @user-sg3pf3dd2r
    @user-sg3pf3dd2r 2 місяці тому

    Asante sana kka ibra nimejifunza mengi kutoka kwako namuomba mungu akupe maisha malef Ili uendele kutuelimisha

  • @MadamLugendo-tw8nx
    @MadamLugendo-tw8nx 11 місяців тому

    Shukrani kwa somo zuri Allah akuwezeshe uzidi kutuletea vitu vzr hakika nimejifunza kitu sikuwa nikijua🙏🙏🙏

  • @kadeejasur257
    @kadeejasur257 Рік тому +1

    MASHA ALLAH hakika mafunzo mazury Ahasante sana

  • @MwaSukha
    @MwaSukha 11 місяців тому

    Wwweee💃💃💃imetulia. Iyooo asiejua maana ambiwi maana akijua maana atakutukana

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 Рік тому

    ,Asante Sana kwa somo la leo.big up Ibrah

  • @PrettySalmah-tt8bh
    @PrettySalmah-tt8bh 10 місяців тому

    Kungwi dume ubarikiwe 👏👏tunashukur saan kwa somo lako

  • @HappyKwacha
    @HappyKwacha 6 днів тому

    Nayapenda sana mafundisho yako

  • @chaniyakipozy2113
    @chaniyakipozy2113 6 місяців тому +1

    Nakuftilia sana na najifunza mengi kungwi wng❤

  • @kakamama5104
    @kakamama5104 Рік тому

    Mashallah shukran jazakumullahu kher ,

  • @user-he9th4jk1s
    @user-he9th4jk1s Рік тому

    Laa kwakwel kaka ngu Allah akubarik Sanaa Asante kwamafuzo yako

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 Рік тому +2

    Maashaallah,tunasubir massage ya hogo,asante sana kwa mafunzo

  • @mariamjuma-zp8jy
    @mariamjuma-zp8jy Рік тому +2

    MASHA ALLAH ALLAH AZINDI KUKUHIFADHI KWA ELIMU 🙏🙏❤❤❤❤

  • @user-eq8dd6sl7u
    @user-eq8dd6sl7u 10 місяців тому

    Nakupenda ga sana❤❤❤ uko inaonekana mkeo ana faidi sana mashaallah

  • @SamiraGodfreyMushi
    @SamiraGodfreyMushi Рік тому

    Mwenyezi Mungu akulinde uendelee kutufunza❤❤❤❤

  • @user-je4hu9ux7i
    @user-je4hu9ux7i 6 місяців тому

    Mashallah kungwi dume mungu akuzidishie ❤❤

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 2 місяці тому

    Assalam alaikum wa rahmatullah nipo Kenya nafatikia mafunzo in Shaa Allah nitapata kitu kwajili ya mtarajiwa wangu in Shaa Allah ❤❤❤❤

  • @MohamedMwachega-x6c
    @MohamedMwachega-x6c 25 днів тому

    Maa shaa Allah ubarikiwe kaka una mafunzo mazuri sana❤

  • @ZamzamChande-wu6it
    @ZamzamChande-wu6it 11 місяців тому

    A, allykum hongera San kungwi dume mm naitaj ushauri. Mkubwa kutoka kwako

  • @themembinga3996
    @themembinga3996 Рік тому

    Shukran sana Nimefurahia somo ndugu yng

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 Рік тому +1

    Shukran kaka jamani wengine tulipelekwa kwa makungwi na hayo hatuyajui inshaallah mungu akuzidishie umri ili uzidi kutufunza

    • @nayranasri4583
      @nayranasri4583 Рік тому

      Makungwi wengine Wana Kula pesa hawana wajualo

  • @halimamlala
    @halimamlala Місяць тому

    Kwa kweli una mafunzo mazuri Mungu akubariki❤🎉

  • @user-og7rd3yo4j
    @user-og7rd3yo4j 8 місяців тому

    Kungwi dume htriiiii tusiyoyafahm tumeyafahm jmn somo zur

  • @kallandoking6561
    @kallandoking6561 Рік тому

    Mko vizuri sana!!! Sijui nisemeje nice movie!!

  • @husseinshawali-ky5kt
    @husseinshawali-ky5kt Рік тому +1

    Que Dieu fait de miracle dans cette semaine pour toi kk💥

  • @ngwelesalu8348
    @ngwelesalu8348 Рік тому

    Kaka asant sana allah akujalie sana sanaa jaman daa nimeipenda iyo mashallaah

  • @haleemabilali1733
    @haleemabilali1733 Рік тому

    Aiseee balaaaa nimejifunza kwakweli hongera kwa kazi nzuri kaka

  • @SabraMohamed-ys6lv
    @SabraMohamed-ys6lv Рік тому

    Shukran sana kungwi dume sana nimefaidikq kwa funzo zako

  • @hawashabani7896
    @hawashabani7896 Рік тому +1

    Kaka uko vzr sana,NAHITAJI ushauri wako,naomba ushauri wako

  • @fatumamwanamnima4963
    @fatumamwanamnima4963 Рік тому

    Maaxhaallah allah akupe maixh maref ili utufunze zaidi

  • @daprincesstiffah8862
    @daprincesstiffah8862 Рік тому

    Asant kungwi dume tufundee na menginee tupate kujua😘😘

  • @aishaathmani8095
    @aishaathmani8095 Рік тому +1

    Ibra kweli umefunzwa ndugu yangu hongera sana tanga tunajua maana kusingana

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Рік тому

    Weeeehh mungu atakubariki tn sn pia maisha marefu tn sn

  • @elizabethshilole4432
    @elizabethshilole4432 Рік тому

    Hongereni sana kwa kaz nzur 💥💥💥❤️

  • @user-lr9zu7yf8c
    @user-lr9zu7yf8c 10 місяців тому

    Mashaallah, kaka, endelea ku2pa darasa, 2zidi kujifunza...

  • @catherinealusa2076
    @catherinealusa2076 6 днів тому

    Mashallah mafunzo poa

  • @rukianasoro7643
    @rukianasoro7643 Рік тому

    Yaaan nimejifunza meng mnoo yaan mungu akuzdishie

  • @user-kf1gi8gu9s
    @user-kf1gi8gu9s 5 місяців тому

    Mashallah ibrah mungu akuzidishie

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 Рік тому

    Basi hapa mwanaume kichwa kimevimba balaaa. Congratulation bro

  • @khadijamwaziro7045
    @khadijamwaziro7045 Місяць тому

    Kuntuh 👌, nilichezwa ila nalikubal darasa 💯

  • @AishaAbdallah-oe9ps
    @AishaAbdallah-oe9ps Рік тому

    Allah akujalie umri mrefu amiiin....

  • @husseinathuman8469
    @husseinathuman8469 Рік тому

    Maa shaa Allaah shukran

  • @astridagaudence9507
    @astridagaudence9507 Рік тому

    Hongeraa kwa kazi nzuri bro nimeyapenda mafunzo yako hope yataleta manufaa chanya

  • @mdta8161
    @mdta8161 Рік тому

    Asante sana ibrah Kwa somo

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому

    😂😂👌❤️ Nimekupenda bure

  • @josphinemghoi2021
    @josphinemghoi2021 Рік тому

    Asante kwa mafunzo nimekusikiliza kwa Malini sana

  • @shemsakiza8263
    @shemsakiza8263 Рік тому

    Asww vp hali asante sana kumafuzo yako sasa nikarafu tu utatumia

  • @JamilahMsuya-tm1xb
    @JamilahMsuya-tm1xb 10 місяців тому +2

    Kungwi kungwi kungwi ishi sana huna baya nomekuelewaaaaaa sana 🎉🎉🎉huna

  • @josephmasudi5471
    @josephmasudi5471 2 місяці тому

    Axnte sana kungwi dume kunakitu nimejifunza so
    No la leo

  • @aishasalim5643
    @aishasalim5643 Рік тому

    Ahsante sna kungwi dume kw mafunzo

  • @situitiu4655
    @situitiu4655 Рік тому

    Nashukuru kwamafundisho mazuri nimejifunja mengi

  • @bintimarkan5898
    @bintimarkan5898 Рік тому

    Asante kaka ibra nimekupata vizuri

  • @akimanaasiya4654
    @akimanaasiya4654 Рік тому

    Asnt sana kungwi dume nili kuwa na omba utufunze gisi shanga zinavyo shezeshwa

  • @swemamohameed5691
    @swemamohameed5691 Рік тому

    Dah umetisha 🤝 cjui hata umesomea wap

  • @ashakassim8907
    @ashakassim8907 Рік тому

    MashaaAllah umesema bro🤝

  • @user-up6hp8qf9u
    @user-up6hp8qf9u 6 місяців тому

    Aksante Sana nimeipata Allah akulipe

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 Рік тому +1

    Kazi njema 👏👏👏

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Yaaaan Asante sna kaka ibra sna kwa mafunzo

  • @Vaileth-ki3gp
    @Vaileth-ki3gp 11 місяців тому +1

    jaman mungu akutunze jmn unamafunzo mazuli sana

  • @ashantyjojo5298
    @ashantyjojo5298 Рік тому

    Asante kaka ibu ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @reneeyahu7772
    @reneeyahu7772 Місяць тому

    Shukran sana kwa kazi nzur

  • @marykabuti1683
    @marykabuti1683 Рік тому

    Wow asante sana brother 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @priscarmkilima3373
    @priscarmkilima3373 Рік тому

    Mungu azidi kukupa ekima
    ❤❤❤❤

  • @TausiHashim-vp8cc
    @TausiHashim-vp8cc 2 місяці тому +3

    Tungeomba utengeneze group whatssap jmn🥰

    • @RubiAbdi
      @RubiAbdi 2 місяці тому

      Mi pia ningekuwa mojawenu

  • @sherifasheri6801
    @sherifasheri6801 Рік тому

    Asante tunakuelewa sana

  • @BimenyimanaMarieGrace-mn7ly
    @BimenyimanaMarieGrace-mn7ly 10 місяців тому

    Asante sana dada yetu

  • @mohamedhussein-qb5sg
    @mohamedhussein-qb5sg Рік тому

    elimu adimu ahsante kaka IBRAH

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому

    Safii saana hakika ADI rahaaaa

  • @user-fq8gq2sr5r
    @user-fq8gq2sr5r 8 місяців тому

    Huyo ndokungwi dume❤❤❤❤❤❤❤

  • @joselinejuma7025
    @joselinejuma7025 Рік тому

    Nmeipenda sana😘😘

  • @zainabbilal7482
    @zainabbilal7482 Рік тому

    napenda sana kusikiza movie zako kwa kweli zina mafunzo sana lkni mbna sikuelwa ilivyo malizika dumu kungwe ilimaliaika vipi sielewi kweli ibrah

  • @user-my5di6kx3c
    @user-my5di6kx3c 2 місяці тому +1

    Kungwiiii kimfanooo nimekosa maji ya uwaridiii ciwezi kumsinga na mafuta ya naziiii tuuu

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 2 місяці тому

      Unaweza kumsinga bila ya rose water

  • @SabraMohamed-ys6lv
    @SabraMohamed-ys6lv Рік тому

    Yaani napenda sana kufatilia video zako

  • @shaminahnawire8010
    @shaminahnawire8010 Рік тому

    Masha'Allah nmejifunza nilikuwa sijui. Jazakallah kheri kaka

  • @MunirahSiraji-up4us
    @MunirahSiraji-up4us 5 місяців тому

    Ni sawa kwa mwanaume kunyolewa sehemu zake za nyuma na mkewe

  • @eddahmwinzi
    @eddahmwinzi Рік тому

    Asante sana barikiwa

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Рік тому

    Wanitamanish sana kaka ❤❤

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 Рік тому +1

    Nakupenda tu sina lingine❤️❤️🙏

    • @jaydenclaudio9386
      @jaydenclaudio9386 Рік тому +1

      Hakika ww unafaa huku mkoan kwetu naiman kwaelim yako hatuta kua na kungwi mwanamke ww nihatari Asante nimejifunza mengi nataman watu wote waitazame kungwi dume

  • @fatmafyhgfg1821
    @fatmafyhgfg1821 Рік тому +13

    Weeh jmani mungu akupe maisha marefu mpnz

    • @user-zo1vt9el3d
      @user-zo1vt9el3d 11 місяців тому

      Asnt sana kakaangu ....lakini je kma mume ni waichi nyengine hunaweza mfanyia hivyo ?

  • @user-mq1oj6zp4f
    @user-mq1oj6zp4f Рік тому

    Mashallah.asante.nasa

  • @user-wg9dt2sb1v
    @user-wg9dt2sb1v 11 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana kaka

  • @felistermillinga5721
    @felistermillinga5721 Рік тому

    We are waiting 🔥🔥🔥🔥

  • @SabraOmar-lc2mj
    @SabraOmar-lc2mj Рік тому

    Samhn the don vp kuhus ulizo sem jisi yakupangilia kuvaa rangi za chupi

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 Рік тому

    Asante kaka nimejifuza kwako

  • @jamilashaban-ex5zl
    @jamilashaban-ex5zl 3 місяці тому

    mashaallah najifunz ving

  • @user-rv3zo1ye4w
    @user-rv3zo1ye4w 9 місяців тому

    Asantee sna kungwiii dumeeee unajuaa kutufunzaa wadada hakikaaa ww ni mwanaumeeee lakn kuna kitui sijaelewa hv karafuu za madongee ni zipiii

  • @FelisterMsawila
    @FelisterMsawila 7 днів тому

    Asant sana najifunza vitu vingi

  • @lydiamutheu3924
    @lydiamutheu3924 Рік тому

    Waaaooh hongeta