Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Namshukuru kaka kwamafunzo yako
Nawapenda sana wasambaaa nilikuja lushoto nyie niwakalimu sana mv zur sana pia wasambaa nawapenda ❤️❤️
Nasi pia twakupenda mnoo
Good
Ndio mara yangu ya kwanza kuangalia movie hii Lakn Kaka wew ni Noma Sisi wengin e tumefundwa na wakike hata hatuelewi ahsante kwa somo🙏🙏
Yuko vizuri napenda Sana mov za madebe hongera uko vizuri
Hongera Mzee kungwii 🤣🤣 safi sana vijana oweni mupat stareh,
Kisambaaaa hm kabisa gan kazi nzuri Hongera sana
🎉🎉🎉hongera Ibrahim,ni km mara ya nne hivi kuangalia hii movie Yani mafunzo zaidi ya kupitia maelezo,,nimelinda ndoa yangu kupitia tuh hii movie,, Asante kaka. You are 👌👌👌👌♥️
❤❤❤kungwi dume unafunda vizuri mwari, nimefurahi sana
Kungwi Mashaallah mafunzo mazuri kwel hongera 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Watanga tujuaje hapa 🤣😁🤞❤️❤️🔥
Tihaha ❤
Tumooooooo
Timumo mndeee ❤😂😂😂😂
@@aishafahdi8355 tupooo wa mtaee
Wow... nimependa mafunzo ya kungwi kwa mwari wake... nimejifunza mengi
Congratulation mashaallh kaka kazi MZURI ibarikiwe nasubr sehm ya pili
Piga kelele kwa wasambaa wakee
Wewweeeeeeeeeeee
jamani nakupenda saaaaana 💋 kugwi dume
❤❤❤big job ❤❤
Wow nimeipenda hiyo bro,nimepata elimu kupitia wew.mashaallah mung akupe moyo huo huo🎉🎉
Nataka uwe kungwi wangu 👌🏾👌🏾♥️♥️🇧🇮
Mansha allah nimependa mafunzo ya kungwi dume🌹🌹🌹🌹
Unajuwa hawa wanawake wakijijini wazur sana alaf Sasa cjui kwann huwa nawapenda
😂😂😂😂jamani apa ni shuleni kwa kwel nmesoma😂😂😂😂
Asante sana Ibrahim kazi mzr na ina mafunzo sana mungu akubariki
Hongeraaa kungwi dumeeee umetupasha haswaaaaaa michepukooo wajipange
Congratulations Ibrah good movie with a strong and helpful message
Asa huyo mke wa kungwi mbona kakosea hajamkaribisha mumewe ndani anampa habari hapo hapo nje khaa kashamfelisha😅
Khaa! kungwi dume Noma, unajua hadi basi, nimecheka hataa, na nimejifunza haswa
Kungwi ahsante nilikua na Daftari naanfika mafunzo...Umetisha
Congratulations ibra movei nzuri san na yenye mafunzo mengi
Wapi likes za wasambaaa woyoooooo
Tihaha😂
@@AlfanAmiritimumo. Mndeee ❤😂😂😂😂
Nihaha weangu
Hahahhaeeee!! Apo kwenye nyimbo ya mtaimbo umelala doro mm hoi Kwa kuchekaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ibrah thedon hongera sana mafunzo mazuri nyakanga ww 🔥🔥🔥🔥wasambaa sisi🔥🔥🔥🔥
Upo vzr Content imezingatiwa hongera sana M'mungu aendelee kukubaliki
👏👏Kaz nzur but 😂😂 hapo kweny kisambaaaa daaah
Kisambaa❤❤❤
Bravo bravo kazi nzuzi bro🤔🤔🤔ufundi nyingi sana
Shukran bro...nimejifunza mengi na napenda mafunzo yako sana
😂😂😂huyo mwali nimkaushi😂mim ninge cheka😂😂😂😂😂😂
Dah noma sana yani fire ila nimejifunza vitu vingi sana thanks ibrah the don
Mashahalla kungwi tumempata Asante baba
Mashallah umeweza Kaka ibrah👌nmependa mafunzo yko🤩✨
Nimejifunz leo wow ntmn ungekuep zanzbr jmn asante xn💝💝
Hawajanilipa pesa nyingi usinikaushe koo 🤣🤣🤣
Haya watu watanga wako vizur hongera kaaka
Kaka ibrah MashaAllah umetia mwili. Na hapa ni mafunzo kwenda mbele
Hahaha mmbo pambee😅😅❤❤❤❤❤ahsante
Nameyapend kwl maneno ya kungwi❤
Mm hapo kwenye mtalimbo nisingevumilia ningecheka balaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kaibrah Asante sana mungu akurinde sikuzote
Ahsanteee kungwi Kwa mafunzo😘😘😘
IBRA... More time I'm spending. Watching your videos n movies. Love you bro big up sana.
Mndughu kaibuuu,,,❤❤❤kaibu tanga aaahahaaaaaa
Kungwi km kungwi hongera bro nice work respect
Jmn kungwi wew😂😂😂😂😂😂asantee kwa mafunzo yako😂😂😂😂😂
Weee uku Kenya she ja wa ska izi asate sana❤❤❤
Kaka ahsante Sana kwa somo nimeipenda
Kumbe kisambaa kizuri watu wanaiga kuongea hongera Ibrah the don Mungu azidi kukubariki kwa viwango vya juuu
🌍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍kungwi dume umeupiga mwingi
🤣🤣🤣 I wish nimuone mke wa kungwi dume nipige nae stori kdogooo mana kungwi hatareee👌👌👌
Kungwi dume Kiboko
Kungwi jmn umefundish wengi ety 👌👌👌
Nimejifunza pia siku nikiolewa 🥰🙏
Mtakula nzi mkizani mchwaa 😂😂😂wasambaa nyie.asante babu
Hongera sana kungwi dume mafunzo mazuriii❤️❤️🥰
Daaaah unaweza mpaka unaweza tena kaka ibra ubarikiwe sanaa kwa funzo hiliiii 🙏🙏🙏🙏
Nimekupenda San ibr unasifa zote kaka unakipaji sana unafunza sana
9
Mamb
Wandugu mzanifuraisha mov nitana initamwiye mmmmm ongeeni wandugu
Hahahaha 😂 jmn kungwi dume 😋💯💯💖💖💖💖👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
Kuna vitu tumejifunza wallah umeweza na umeweza tenaa🔥🔥🔥🔥
Kabisa haina hata mana ya SoMo😃😃😃😃
Hongera kungwi dume...umenielimisha sana
Santhaaa kungwi dume nimejifunza mambo mengi sana 🥰🤣🤣🤣🤣
"duh" ibra wewe!! Unajua kufunda !!! Nakupenda bure!!!
Jamni my unaweza ❤️💋💋💋💋🥰🥰🥰🥰🥰fundisha walimwengu
Upo titi 😂😂😂😂😂upo nyonyoo 😂😂😂😂😂 Ulikubali kuolewa,usilale na nguo 😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️duh,ndoa jameni....
wasambaa oyoooooooooo,,nakumbuka hapo kwezamu kwetuuu❤
Nmecheka eti mtarimbo😂😂😂hongera kaka umeuwaaa
Mungu akubr xna Bro tunapata Elimu Sana ya maishaa👏👏👏
Mwanamke shangaaa asaukijua kuzirumia 🤣🤣🔥🔥🔥
Nomaa
Jmn nyiee wengne hatujakua😂😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jmn naona aibu MIEEEEE 👌👌👌👌 Kumbe kweny ndoa kuna raha hivo na hamsemi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unanichekesha eti hamjakua
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama umeniona iv mpk naziba uso 🤦🤦😅😅😅😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mmmh! Kukwi dume noma sana 🤣🤣💯💯❤️❤️❤️❤️
Ibrah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aky wewe sikua naamini waeza tusii🤣🤣🤣🤣 kweli wewe Kungwi dume 🤣🤣🤣weuh .. imeweza
Kaka ase tunashukulu sana kwa mafundisho yako akika tunajifunza meng sana uishi maisha malef bloo
Daah kwakwel wewe kungwi dume kiboko twasubiria sehm ya oil 🔥🔥
Sehemu ya oil tena
Asante sana mungu akupeher
Wasambaaaa paaaaambeeeee❤❤❤
Hongera kungwi dume🔥🔥🔥
Kazi nzuri.huyu ndio Ibrah the Don.
Nakubar sna kwa SoMo kk❤❤❤😅😅
Uko vizuri kakaa twangoja sehemu ya pili
Jmn kaka ibrah nakupenda had nakupendelea m'mungu akufanyie wepesi bro kwny harakati zako inshaallah 👏
Yaan kaka ubarikiwe Sana ndoa zetu zinadumu kupitia ww nakupenda kungwii
😂😂😂😂😂😂😂zinadumu sababu ya mungu
@@amidjaja5695 🤣🤣
😂😂😂😂
Daaaaaaaaah kungwi dume hongeraaaaaa Sana nimekupenda buleeeeeee
Good mwanangu nimeielewa sana broo pamoja sana
Movie ni nzuri inaelimishaaaa🥰🥰🥰
Napenda kuona hizi senema za kijijin
Oyoooh
Wow kazi nzuri sana na subiri hio ya pili
❤❤ nimejifunza sana asante kka
Hongereni sana
Fyuuuuuu mpaka mwisho 😂😂😂😂😂
Akika leo nimefrah adi basi mwenyezi mungu azidi kuku baliki na kipaji chako nimejifuza kitu kupitia wewe
Ni nzur kwakwel na pia ina funz 😍😍😍
Kazi nzuri kaka muendelezo usichelewe kaka
Jmn wasambaa mpooo kama mpo nipeni like hata kumi bc jmn
Kk umetisha kz nzul sana.👍👍👍👍
Your so good brother
Du kumbe mwamba anajua kuigiza ❤❤
wasambaa nione like zenu hapa
mashaAllah TabarakaAllah hii nisahihi kabisa 👌 anae kuoa ni mwanaume si mwanamke congratulations bro ibrah🙏tumejifunza
hongera kaka ,mafunzo mazuri🥰🥰
Namshukuru kaka kwamafunzo yako
Nawapenda sana wasambaaa nilikuja lushoto nyie niwakalimu sana mv zur sana pia wasambaa nawapenda ❤️❤️
Nasi pia twakupenda mnoo
Good
Ndio mara yangu ya kwanza kuangalia movie hii
Lakn Kaka wew ni Noma Sisi wengin e tumefundwa na wakike hata hatuelewi ahsante kwa somo🙏🙏
Yuko vizuri napenda Sana mov za madebe hongera uko vizuri
Hongera Mzee kungwii 🤣🤣 safi sana vijana oweni mupat stareh,
Kisambaaaa hm kabisa gan kazi nzuri Hongera sana
🎉🎉🎉hongera Ibrahim,ni km mara ya nne hivi kuangalia hii movie Yani mafunzo zaidi ya kupitia maelezo,,nimelinda ndoa yangu kupitia tuh hii movie,, Asante kaka. You are 👌👌👌👌♥️
❤❤❤kungwi dume unafunda vizuri mwari, nimefurahi sana
Kungwi Mashaallah mafunzo mazuri kwel hongera 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Watanga tujuaje hapa 🤣😁🤞❤️❤️🔥
Tihaha ❤
Tumooooooo
Timumo mndeee ❤😂😂😂😂
@@aishafahdi8355 tupooo wa mtaee
Wow... nimependa mafunzo ya kungwi kwa mwari wake... nimejifunza mengi
Congratulation mashaallh kaka kazi MZURI ibarikiwe nasubr sehm ya pili
Piga kelele kwa wasambaa wakee
Wewweeeeeeeeeeee
jamani nakupenda saaaaana 💋 kugwi dume
❤❤❤big job ❤❤
Wow nimeipenda hiyo bro,nimepata elimu kupitia wew.mashaallah mung akupe moyo huo huo🎉🎉
Nataka uwe kungwi wangu 👌🏾👌🏾♥️♥️🇧🇮
Mansha allah nimependa mafunzo ya kungwi dume🌹🌹🌹🌹
Unajuwa hawa wanawake wakijijini wazur sana alaf Sasa cjui kwann huwa nawapenda
😂😂😂😂jamani apa ni shuleni kwa kwel nmesoma😂😂😂😂
Asante sana Ibrahim kazi mzr na ina mafunzo sana mungu akubariki
Hongeraaa kungwi dumeeee umetupasha haswaaaaaa michepukooo wajipange
Congratulations Ibrah good movie with a strong and helpful message
Asa huyo mke wa kungwi mbona kakosea hajamkaribisha mumewe ndani anampa habari hapo hapo nje khaa kashamfelisha😅
Khaa! kungwi dume Noma, unajua hadi basi, nimecheka hataa, na nimejifunza haswa
Kungwi ahsante nilikua na Daftari naanfika mafunzo...Umetisha
Congratulations ibra movei nzuri san na yenye mafunzo mengi
Wapi likes za wasambaaa woyoooooo
Tihaha😂
@@AlfanAmiritimumo. Mndeee ❤😂😂😂😂
Nihaha weangu
Hahahhaeeee!! Apo kwenye nyimbo ya mtaimbo umelala doro mm hoi Kwa kuchekaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ibrah thedon hongera sana mafunzo mazuri nyakanga ww 🔥🔥🔥🔥wasambaa sisi🔥🔥🔥🔥
Upo vzr
Content imezingatiwa hongera sana M'mungu aendelee kukubaliki
👏👏Kaz nzur but 😂😂 hapo kweny kisambaaaa daaah
Kisambaa❤❤❤
Bravo bravo kazi nzuzi bro🤔🤔🤔ufundi nyingi sana
Shukran bro...nimejifunza mengi na napenda mafunzo yako sana
😂😂😂huyo mwali nimkaushi😂mim ninge cheka😂😂😂😂😂😂
Dah noma sana yani fire ila nimejifunza vitu vingi sana thanks ibrah the don
Mashahalla kungwi tumempata Asante baba
Mashallah umeweza Kaka ibrah👌nmependa mafunzo yko🤩✨
Nimejifunz leo wow ntmn ungekuep zanzbr jmn asante xn💝💝
Hawajanilipa pesa nyingi usinikaushe koo 🤣🤣🤣
Haya watu watanga wako vizur hongera kaaka
Kaka ibrah MashaAllah umetia mwili. Na hapa ni mafunzo kwenda mbele
Hahaha mmbo pambee😅😅❤❤❤❤❤ahsante
Nameyapend kwl maneno ya kungwi❤
Mm hapo kwenye mtalimbo nisingevumilia ningecheka balaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kaibrah Asante sana mungu akurinde sikuzote
Ahsanteee kungwi Kwa mafunzo😘😘😘
IBRA... More time I'm spending. Watching your videos n movies. Love you bro big up sana.
Mndughu kaibuuu,,,❤❤❤kaibu tanga aaahahaaaaaa
Kungwi km kungwi hongera bro nice work respect
Jmn kungwi wew😂😂😂😂😂😂asantee kwa mafunzo yako😂😂😂😂😂
Weee uku Kenya she ja wa ska izi asate sana❤❤❤
Kaka ahsante Sana kwa somo nimeipenda
Kumbe kisambaa kizuri watu wanaiga kuongea hongera Ibrah the don Mungu azidi kukubariki kwa viwango vya juuu
🌍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍kungwi dume umeupiga mwingi
🤣🤣🤣 I wish nimuone mke wa kungwi dume nipige nae stori kdogooo mana kungwi hatareee👌👌👌
Kungwi dume Kiboko
Kungwi jmn umefundish wengi ety 👌👌👌
Nimejifunza pia siku nikiolewa 🥰🙏
Mtakula nzi mkizani mchwaa 😂😂😂wasambaa nyie.asante babu
Hongera sana kungwi dume mafunzo mazuriii❤️❤️🥰
Daaaah unaweza mpaka unaweza tena kaka ibra ubarikiwe sanaa kwa funzo hiliiii 🙏🙏🙏🙏
Nimekupenda San ibr unasifa zote kaka unakipaji sana unafunza sana
9
Mamb
Wandugu mzanifuraisha mov nitana initamwiye mmmmm ongeeni wandugu
Hahahaha 😂 jmn kungwi dume 😋💯💯💖💖💖💖👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
Kuna vitu tumejifunza wallah umeweza na umeweza tenaa🔥🔥🔥🔥
Kabisa haina hata mana ya SoMo😃😃😃😃
Hongera kungwi dume...umenielimisha sana
Santhaaa kungwi dume nimejifunza mambo mengi sana 🥰🤣🤣🤣🤣
"duh" ibra wewe!! Unajua kufunda !!! Nakupenda bure!!!
Jamni my unaweza ❤️💋💋💋💋🥰🥰🥰🥰🥰fundisha walimwengu
Upo titi 😂😂😂😂😂upo nyonyoo 😂😂😂😂😂
Ulikubali kuolewa,usilale na nguo 😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️duh,ndoa jameni....