KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na NNE
Вставка
- Опубліковано 5 кві 2024
- "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
- Розваги
Duu wanaume Kama huyu Ni adim Sana lo kungwi uliemfunda huyu mwanaume ubarikiwe sana❤❤❤
Atimae ss kungwi ndume amerudi wp kelele kwa kungwi ndume 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Weuweeeee🎉
Hahahaha 🤣🤣 Kungwi Wacha wee SI Kwa michambo hiyoo aah😂yaan unamchamba mtu adi sura inamshuka kama ujii Kungwi nakukubali Kaz nzuri nakupenda buree ❤
Mpeni mauwa kungwi wetu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎊🎊👏🏽👏🏽🙏
Hongera kungwi 😂😂 c kichambo hicho na n off mood 😂😂
Umenitoa mbali kungwi❤❤❤
Km unamfatilia kungwi dume haswaa 💯 alafu Bado ndoa yk inayumba apo mtakua mmekutana pipa na mfuniko 😅😂🤣 hongera sn kungwi wetu Mungu azidi kukupa elimu tupate kuelewa zaidi
Asante sana kwakuelimsha Hawa wanaume wadizaini hiyo ndiyo walio jaa
Hakika najivunia mengi ila usikai sasa my dear kutuletea ❤❤❤
Kungwi umetisha sana
Daaaah movie kali sana hii
Asnte kaka mungu akupe maisha marefu
Mash Allah kak nimejifunz meng xan mungu akuruzuku kwkipji ulichopewa
Kungwi ana michambooo kamchambaa mpk USO ikawa mdogoo km piriton 😂😂😂😂😂😂 hongera kipindi pambeeee
Yaaaan katliaaa kama sioo yeye😅😅😅😅
@@user-ku8dk7bu7pwafammasiara n kichambooo kichambo kimetubu
I say
Hahaha
Bora uwaambie kungwi mana wanaume wengine hawajui wajibu wao.Allah azidi kukupa umri mrefu uzidi kutuelimisha ❤️❤️
Nakupenda bure kungwi dume hakika unatufunza tukiolewa hatutasumbua
Kungwi dume so kwa kichambo hicho 😅😅😅
twaisubir kwa am 🎉🎉❤
Ni nzuri sana kazi nzuri tunaubiri mwendelezo wake
Kungwi nakukubali sana brother...nice job
Wacha nikae chinini ni subiri❤❤❤❤❤❤❤
Yani nimehisii rahaa sanaa kwa mafunzo yako kwnza hio sehemu ya mwisho...Allah azidii kkuwekaa tupate kuelimika zaidiii
Ngoja nichukue kiti nikae kabisa😂😂😂😂
Ibra the done mwenyew kungwi wetu 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤ sijachelewa sana
Masha Allah najifunza mengi sana kupitia w kaka
Nakubali sana kungwi ubarikiwe mara mia❤❤❤❤❤❤
Mwanamke uyu kiboko
Asanteee kaka ibra najifunza mengi kupitia ww asantee🙏🏻🙏🏻
❤❤❤❤❤❤
Next isikawie basi kungwi🙏🙏🙏
Ni moto saana tunaisubir. Mwendelezo , please 😂😂🔥
Kazi Nzuri ila mnakawa sana kuhitowa❤❤
March love nakubal kungwi❤
Asante kungwi dume kwa kichambo hcho umenikosha
Kungwi pambe htriiiiiiiii ❤❤❤❤
The don ..wewe umebarikiwa umeshinda baadhi ya wachungaji
Kaka nikirudi Tanzania 🇹🇿 ntakutafuta maana ninachangamoto kwenye ndoa yangu
Kungwi wetu hoyee 🎉🎉
Mashallah kazi nzuri lakin msitucheleweshee Sana mpaka tunaisahau
😂😂😂😂aloelewa neno uso kama jiwe la fatuma agonge like hpo😂haki nmecheka mimi
Kungwi ayo macho mamaaa
Mbona dk haziendiiii jamaniiiii
Kazi iko poa🎉🎉🎉😂😂😂
Kungwi ana makavu atari jmn
Wakwz mim leo😂😂😂
Kungwii duh sio kwa iyio michambo😅😅😅😅😅adi uso umemshuka😅
Kungwi dume naomba uniadd kw group yko ya whtsapp tafadhali
Ahahahah sijuy ujaenda jando ww duh asee wanaume tuwaeshimu wakee zetu bhna 😅
cjui hata nisemeje nyir ila huyu mwanamke kashindwa kutumia akil kwny maamuz kaamua kutumia moyo ckuzote moyo haunaga maamuzi sahihi matokeo yake ndo kama hayo mimba za nje
👍🙏
Asante ❤❤
Wow masha allah shukran 😂😂😂❤❤❤❤❤
Moris unanyota ya jela hadi wanafunzi pia segelea yakuita
Masikin mke kajikosesha mapenzi bure mume wake Kwa uhuni .
❤❤❤❤❤
Nzuri saaana
Masha Allah
Looh nyie huyu dada jamani ety nampenda thabit weeh na nnakuombea ukienda kwa thabit ukute ana mwingine
ℕ𝕚 𝕜𝕦𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕙𝕦𝕜𝕦 ❤❤❤❤
❤🎉🎉🎉 no 2
Unatuchelewesa 😂😂😂❤❤❤❤
Haijachiwa napitiya zaidi mara 10000000000000000000000 aaaaaa munakera
Imeweza ila usi potee sana kaka
We kwaasira yangu simtakiy tena huyu mwanamke asee... apna nimnafkiy bhna
Nimecheka miye 😂😂😂😅
Mwali unamitia kungwi aibu jaman
😂😂😂kinyago cha mpapure
😂😂😂😂😂😂😂😂ibra nakupenda kutsoka kenya natamani uje kenya kunamjinga moja kama huyo huyo tuu
hatariii❤❤❤❤❤
Bado jameni😂😂😂
🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Shwaaaa mimbaa 😂😂😂
Naisubilia Kwa hamu
Asante❤❤
Mi nachungulia kila saaa 👀👀👀
Mnachelewa jamani
Wakwanza
❤❤❤
usitucheleweshe kungwi
Faida ya kuoa mke wa kupewa ndo ayaa sasa mimba za ujinga shenzi kabisa
❤❤❤❤❤❤
Tunaomba mwendelezo
🥳🥳🥳🥳
Mioyo yadunda kwa hamu twaisubiria
Kaka hii bila shaka naona kabisa itakuwa "unyama ni mwingi" mana nikicheki tu Kwa haraka haraka ili kava lake linasadifu yaliyomo.
alafu si waume bna wengine ni mazombi tu akii
Wakwanza mm
Mimba ya thabiti😂😂😂
Weee furah tuu kumbe mtoto WA thabit
Sasa mbn sofa 😢😢😢ziko ivyo jaman chumban Kwa mke na MUME kuko ovyo sebulen ovyo ...,,,kungwi watu funza nn kuwa Makin na content zako
Kungwi🇲🇿🤣🤣🤣🤣
Nilijua tuu mimba ya MTU mfup😂😂😂😂chezea thabit wewe kaacha alama.
Hilo chambo 😂😂😂
Kiranga komo😂😂
Bado dakika kumi
Watuhatari hatakabura yakuangaria tayari komenti😂😂
😂😂😂😂😂😂watu.wanalala umu kwa mitandao ndugu yangu
Tuna isubir kaka
MashaAllah kaz nzur,ila dada kaniuzi na hyo sabiti wake asie kuwa na nyuma wala mbele chefuu
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🫂