Binafsy nafarijika nnapo sijkia lahaja za ndani zakipemba naomba wasanii muwakilishe nakuwasilisha asili zetu ilikutunza thamani ya Nchi yetu Hongereni sana wasanii nyote jitahidini na fanyeni bidii zaidi.
Wanawake wote wenye upendo kama mkewangu Alla awajaalie JannatFirdausi inshalla, kiukweli mm ni mbongo ila wapemba wana mapenzi ya dhati sana, kama binaadam hakuna asie na kasoro ila kwenye upendo maashallah, nawapenda sana wapemba ❤
Binafsy nafarijika nnapo sijkia lahaja za ndani zakipemba naomba wasanii muwakilishe nakuwasilisha asili zetu ilikutunza thamani ya Nchi yetu
Hongereni sana wasanii nyote jitahidini na fanyeni bidii zaidi.
Unajuwa lafidhi yakwetu inaburudisha kabisa Mie nikiisikia hujiona Niko pemba
Jamani nauliza huu wimbo nani kaimba nanaupataje
Wanawake wote wenye upendo kama mkewangu Alla awajaalie JannatFirdausi inshalla, kiukweli mm ni mbongo ila wapemba wana mapenzi ya dhati sana, kama binaadam hakuna asie na kasoro ila kwenye upendo maashallah, nawapenda sana wapemba ❤
mashaa allah
Umerogwa
😂
@@LubnaAli-y2fpole yako sie haturogi wala hatufati mali ni mapenz tu😂😂😂😂😂
@@LubnaAli-y2fhatuna tamaa mpenz
Kitatange mtu mbaya sanaaa Balekhe weye
Much love from my Home, angalau tunapata cha kuangalia huku tulipo 🇲🇼 🇲🇼
ASANTE NAAMINI MUTAFURAHI SANA MAANA FILAMU ZIPO ZA KUTOSHA SANA ITAKUWA BANDIKA BANDUWA
Yes twende kazi kitatange nipo from doha qatar
USIKOSE KUFUATILIA MUENDELEZO WA FILAMU HII ASANTE
Wewe dada mulhat pendaa sanaaa❤❤❤❤❤
sisi pia tunaweza sana
Shukuran sana kazi mzur sana mungu awabariki🙏😘😘😘
ASANTE SANA
MashaAllah
kitatangee alikimbia sanaa ila kwenye epsode hiii anaonekanaaa
Fungate❤❤❤❤❤ hatri sanaaaaaaaaaaaaa nimeiyelewa sanaa
Kazi nzuri sana hiii
asante
oya kitatange ww unajuwa sio siri yaan
vya kwetu nivizuri mmejitahidi sana
asante
Kitatange balekhe
Good job broo
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Pamoja sana wapendwa
Much Love you from 🇴🇲🇴🇲
Kzi nzuri sana ❤❤❤❤
SHUKRAN
Betty tn kwa kulia mashallah mung amuek
aamin
Great job
Mko vzr sana
ASANTE SANA
Nimzuri ama vp jamani 😅😅😅 kwanza hii filamu
Niliwamith sana
ASANTE KWA KUTU MISS
Kazi safi😊
shukran
Mbona sasa Ati Ati Fungate no furaha ila kwangu tafarani
Yani hii movie mzuri sana na alopnga hii anastahiki pongezi ila mumetukatisha utamu tunatka iendlee
usijal
Kazi nzur
SHUKRAN
I like zanzibar how it's look
Jitahidini mutafika ishaallah
AAMIN
Weee kitatange
Waoo Na iwe inakuja kila siku ❤❤❤
HAKIKA KILA SAA 10 ITAKUA HEWANI
Tunaomba mujitahidi kuangalia vizur munapo ekti muzingatie maadili huyo dada anakunywa kwa kushoto
sawa
Mimi km mpemba OG naenjoy😅
Wanilazimisha kupenda jitu nishalichoka .natamani icho kipande nikipata.
Kanzi nzùri .pia nimependezwa kuwepo kwenye UA-cam
SHUKRAN
Kitatange
❤❤❤
Kaka iyo nyimbo nitaipataje
katika Epsode hiii sija waona watu muhimu sana Kiswabi na Naombaaaa moja kati ya nguzo kwa Filam za Pembaaaa
🇰🇪 Nimem miss bi kidecha piya yeye anqekuwa hapa lkn kazi ya munqu haina makosa munqu amrehemu mmetu
😂😂😂sasa wew hujui kutofautisha g na q 😂😂😂😂niutani tu
AAMIN
Huu mchezo mbaya
asante kwa maoni yako @NoufelSalim
huuu mchezo nzuru hatar iasee umegalia nusu tu we
شكرا جزيلا
Kitatange nakupata nikiwa Oman ❤❤
Tuko pamoja ndugu 🇴🇲
SHUKRAN
🤔🤔🤔🤔
Ww balehe kitatange
Hiiii qaswida unaitwajeee mbon Kali movie ikiwainaanza tunapata qaswida mjalabu 😅😅😅😅😅
inaitwa hivyo ivyo fungate lakini bado haipo kwenye mitandao
@@zmuxzanzibar4583 naitak hiii kwaswida mjitahid kutoa EP kwahalak San 😃😃😃😃😃
Maa shaa Allah nimeipendaa sana
Kiswabi bin Arabic
Natak qaswida ya hiiii movie 😊😊😊😊
ok saw nitakupatia utaratibu
Kaka oyo nyimbo kaimba nani
❤❤❤❤🎉
mbona wapemba tunaweza uwongo
Kitatange asira za MWANAMKE wako wampelekea kla mtu
NISHIDA SANA
شكرا جزيلا