KUNGWI DUME: JIFUNZE KUSAFISHA UKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Karibu ujifunze namna ya kusafisha UKE wako na kuepuka na harufu mbaya zinazotoka ukeni.

КОМЕНТАРІ • 346

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 4 місяці тому +20

    Mashaallah kungwi Kwa mafunzo Yako kwel wengi tulikuwa atujui kuusafisha uke ila sah tumejua from Kenya ❤

  • @LisiKambale
    @LisiKambale 4 місяці тому +64

    Nimepima nikaweza kufinyia kwa ndani ivi ananiambia nimetia nini😂😂❤ nikamuambia mambo ya kungwi ayo 😂😂😂😂😂❤ Asante 😂

  • @MeryGerald-f9f
    @MeryGerald-f9f 4 дні тому +2

    niunge kwenye group

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 4 місяці тому +15

    Maashaallaah tujuze jinsi ya kumliza mwanaume sio kila siku tunalia sie tuh ni mama raidina hapa nipo omani nakupata vema kungwi dume

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 18 днів тому

      @@sinawsinaw6201 unataka tuwauwe waarabu

  • @AnethBaraka
    @AnethBaraka Місяць тому +1

    Kaka asante kwa mafundisho but nina swali kwamfano mwanamke ambae hana mwanaume akamua kujitunza akamaliza miaka miwili bila kusex akawa anatoka majimaji mala kwamala inaweza ikawa nitatizo?? From kahama

  • @FridaNdanshau
    @FridaNdanshau 7 днів тому +1

    Naomba unifundishe kufinyia kwandani kugwi

  • @ZuhuraMohammed-sq6ql
    @ZuhuraMohammed-sq6ql 28 днів тому +1

    😂😂😂😂😂nkiwa tayali nitaktafta unifunde

  • @LevinaMlowe-s5b
    @LevinaMlowe-s5b 18 днів тому +3

    Umeongelea kuhusu mhogo ukiingia kuman kutokwa na mabuja kama uteute ,,, mume wangu anasema ni mwanamke akiwa hajafanya mapenz muda mrefu ndo anatokwa na huo ute

  • @reginantemi
    @reginantemi 14 днів тому +1

    naomb uniunge kwenye group

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 4 місяці тому +10

    Asante Sana kwingi kwa mafunzo. Ila kiukweri hakuna ki2 kinaniuzi kama Hawa wadada wanoreta umaraya eti wanamtamani Kungwi waboresheni waume zenu wawe kama uyo kwungi acheni umalaya tusikilize masom bc😏

  • @saunanzige3329
    @saunanzige3329 4 місяці тому +10

    kaka unafundisha vizuri sana sichoka kukusikiliza mungu aku maisha marefu kaka

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 7 днів тому +1

    Nataka grupu jamani

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 7 днів тому +1

    Asante kungwii

  • @SeuriWilliam
    @SeuriWilliam 10 днів тому +1

    Ongea yote.

  • @Aishabankhadil
    @Aishabankhadil 4 місяці тому +7

    Naomba uniunge kwenye grp lako kungwi tafadhali👏❤️🎉

  • @SurprisedDrill-ky9fi
    @SurprisedDrill-ky9fi 4 місяці тому +1

    Unahisi hio kazi ina faida kwako unatumia kigezo gani cha dini unaacha kufundisha dini unafundisha uchinvi wewe vipi?

  • @SaidatiNiyonkuru
    @SaidatiNiyonkuru 3 місяці тому

    Kaka naomba ukaniunge kweny grp ya WhatsApp

  • @ShafiiSeif-u8y
    @ShafiiSeif-u8y 2 місяці тому

    Kaka kwema jaman mm ndo niko dunia ya mwisho mm ndo naitaji kujua namba yako ya WhatsApp

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 17 днів тому

    Ute ute kama Aloe Vera hii ndio inayto takaniwa kwa mwanamke itoke hio tuu sio vitu vyeupe kama yoghurt

  • @peacechristopher5152
    @peacechristopher5152 4 місяці тому +8

    Msisahau kunawa mikono kwa sabuni na maji safi kabla ya kuingiza kidole, itasaidia kuepusha maambukizi ya magonjwa kama PID

    • @winfridamsukuru9819
      @winfridamsukuru9819 9 днів тому

      Hilo ndilo la muhimu ndio maana wengi wanasema inajisafisha wenyewe na wengine mikucha mirefu

  • @ShamiraOmary-c1e
    @ShamiraOmary-c1e Місяць тому

    Kak mm xijawah kuwa na mwanaum axa hp kweny kuxafixh itawezekan

  • @ThebawseFantasy
    @ThebawseFantasy 12 днів тому

    Unakuaje kungwi mtoto wa kiume usenge uo uvivu wa kulima tuuuuu😏

  • @Eva-e8z1i
    @Eva-e8z1i 14 днів тому

    Mm kwenye k yangu nilitoka kitu kama nyama nanilikuwa nikiwashwa Sana

  • @NeemaJames-r3r
    @NeemaJames-r3r 10 днів тому

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye gruop namba yako

  • @FridaNdanshau
    @FridaNdanshau 7 днів тому

    Naombwa kuungwa kwenye group kungwi

  • @FrncMukwinka
    @FrncMukwinka 4 місяці тому +10

    Iyi yampaka kinashindwa kuingiya ukiwa unajisafisa huaga inanichanganya Kumbe ndio imetakata tayàli 😊 Asante baba

  • @martha4788
    @martha4788 2 місяці тому

    Tafadhali naomba no zako za watsap

  • @trufenaodongo7999
    @trufenaodongo7999 4 місяці тому +5

    Nashukuru kungwi kwa mafunzo yako sana
    Kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GuslaineMufungizi
    @GuslaineMufungizi 2 дні тому

    Jambo mwanaume minapenda uniwe ndaniya groupe

  • @PoulKerende
    @PoulKerende Місяць тому

    Jaman unafanyaje ili akugande

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 місяці тому +4

    Hongera sana kaka yangu ❤❤❤❤❤ maneno mnzuri

  • @agripinajastini-kh3bt
    @agripinajastini-kh3bt 3 місяці тому +14

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye group💕

  • @SaumJumbe-z5o
    @SaumJumbe-z5o День тому

    Aslam aleykum warahmatuh wabarakatuh naomba kujiunga na Whatsapp group pliz

  • @ASHADANGA-t1m
    @ASHADANGA-t1m 2 місяці тому

    Niunge kwenye ropu

  • @ChrstineMeshack-s1l
    @ChrstineMeshack-s1l 2 місяці тому

    Nitakupataje WhatsApp universe mawainda

  • @AnatoriaKarega-fz2uj
    @AnatoriaKarega-fz2uj 2 місяці тому +1

    Kungwi naomba kuungwa na mm kwenye group sorry

  • @tanzanianhappy60
    @tanzanianhappy60 4 місяці тому +2

    Kungwi.naomba.kuuliza.kwa.wanawake.yale.maji.huwa.yanatokana.na.nini

  • @Somoo220
    @Somoo220 2 місяці тому +2

    Asnte kungwi kwa mafunzo
    Ila naomba uonge na wanaume nao kwenye kuandaa wake zao kabla ya tendo wengi hawajui

  • @mrsmussa
    @mrsmussa 4 місяці тому +1

    Habari zenu, mie natahitaji kujua nikisha add hi namba vipi nitajumuika kwenye group

  • @SaumNdale
    @SaumNdale 4 місяці тому +4

    Mashaallah kungwi mm mgeni nimekipenda kipindi mungu akuzidishie from kenya

  • @ButoyiMariam-p2b
    @ButoyiMariam-p2b 4 місяці тому +2

    Asalam Alaikum kak yet Allah akurip kwamafunz unay tup nirikua naomb uniwek kweny groupe mery from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ZainabuKumuto
    @ZainabuKumuto 4 місяці тому +1

    Aslam aleykum kaka naomba kuungwa kwenye group lako nipate mafuzo nami

  • @GreciousYemomu-ps5mp
    @GreciousYemomu-ps5mp 4 місяці тому

    Sorry namb ako tafadhar 🙏🙏🙏 nilikuchek kwa namb uliotaj hukupatikan plz nion na mm namb ako tu

  • @فوزيةالسكيبي
    @فوزيةالسكيبي Місяць тому +2

    Warah allah akuripe

  • @NeemaKhamis-n8h
    @NeemaKhamis-n8h 4 місяці тому +3

    Kwanza yeye kashaowa kaka angu mambo ya tanga hayo wewe najivunia kuzariwa tanga jamani ❤🎉 thanks you so much my brother ♥

  • @DorotheaClemence
    @DorotheaClemence 2 дні тому

    Kama kidole hakiingii

  • @sharifasalum5176
    @sharifasalum5176 4 місяці тому +2

    Kungwi dume nimependa mafunzo yko mam makungw wa ckuiz ni matusi tu na mm naomb uniunge

  • @mosiwaziri5984
    @mosiwaziri5984 4 місяці тому +2

    Please naomba unisaidie namba yako kungwi dume

  • @ShuneinaAbdi
    @ShuneinaAbdi 2 місяці тому

    Kaka Ibrahim sahmn naomb nay yako ya WhatsApp

  • @فوزيةالسكيبي
    @فوزيةالسكيبي Місяць тому

    Kwakuingiya grp inaedeka aje?

  • @NASRAMATUMBO
    @NASRAMATUMBO 27 днів тому +1

    Natka uniunge kwenye grupu

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is Місяць тому +3

    Waaah nmependa sana mafunzo yako kaka

  • @neemamwinami6487
    @neemamwinami6487 4 місяці тому +6

    Kungwi naomba niunge kwenye grupu lako!

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 4 місяці тому +1

    Apo kweny uke uanze kubana usafishapo ni kweli kumbe Huwa natakat

  • @zainabsaidbotea9792
    @zainabsaidbotea9792 4 місяці тому +3

    Asante kwa mafunzo mazuri hakika tunajivunia uwepo wako

  • @ممال-ن8ظ
    @ممال-ن8ظ 4 місяці тому +3

    Mafundo mazuri kweli Asante sana

  • @MwanaidShadhil
    @MwanaidShadhil 2 місяці тому +2

    Kungwi dume naomba kuungwa kwenye group

  • @LadenUssama
    @LadenUssama 2 місяці тому

    Kungwi habari yako?nini shida pale unapo fanya tendo alafu kweny K panatoa hewa?yaani kama vil upepo kbsa😢😢

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 4 місяці тому +2

    Wapili

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z 4 місяці тому +7

    Habari yako kungwi, nimekuskia vzur sana na Ahsante kwa funzo ila naomba unisaidie kitu niko na kama siku 4 kufikia leo huku chini kwenye (K) kuna kitu kimefura kwa ndani kidgo ila hakiumi hicho kitu kilichofura ila nina was wasi sijui km ni shida gani naomba uniambie tafadhali

  • @salummakumuli8890
    @salummakumuli8890 14 годин тому

    Nataka gulup

  • @FatimaFatima-uo5of
    @FatimaFatima-uo5of 4 місяці тому +3

    Kama mimi bikra natia vipi kidole kaka

  • @WitnessMaile
    @WitnessMaile Місяць тому

    Kaka ibrah samahan me sielew kla nkiingia kwenye mahusiano lazma mtu anichukie gafra nakuniacha sasa me sielew shda ni nn??😢😢😢

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 4 місяці тому +1

    Alafu kuna wale wanasema uchi una jisafisha wenyewe 😅😅😅😅

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq Місяць тому +1

    Naomba niunge kwenye group lako kaka angu

  • @AminavuaiSuleiman-ds7xi
    @AminavuaiSuleiman-ds7xi 4 місяці тому +1

    YANII MB ZANGU ZINAISHA KUSIKELIZA WEYEEE TU?

  • @PriscaRubeni-g9m
    @PriscaRubeni-g9m 15 днів тому +1

    Jmn naitaji ayo mafundisho nakupataje

  • @FatumaSaid-w3o
    @FatumaSaid-w3o 4 місяці тому +16

    Kungwi nami niunge kwenye group tafadhali

  • @MariaAgustinou
    @MariaAgustinou 2 місяці тому

    Sasa namba ya wasap Yako nitaipataje. Mie nataka iyo dawa ya kunawia kwa uchi niandikie inaitwaje

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 4 місяці тому +1

    Funguka kaka ndo maana umekaa hapo. Si tuko makini kabisa kukusikiliza

  • @saunanzige3329
    @saunanzige3329 4 місяці тому +1

    naomba uniunge kaka kwenye group lako

  • @MunadiMunadi-xc3xl
    @MunadiMunadi-xc3xl 4 місяці тому +2

    Niunge kwenye group

  • @queenestherjoviale5919
    @queenestherjoviale5919 Місяць тому

    Asante 🙏 kwa mafunzo ila sasa kungwi kama mashavu ya uke ayajaongezwa unawezaje kufinyiya kwa ndani?

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 4 місяці тому +2

    Asante kungwi wetu kwa kufunguka,tunajifunza mengi❤

  • @ShafiiSeif-u8y
    @ShafiiSeif-u8y 2 місяці тому

    Ili niweze kujua iyo dawa maana mm nina Ali nikikutana na mwenza wangu nachanika pia napata maumivu makali

  • @barkaoman-ub6ko
    @barkaoman-ub6ko 4 місяці тому +1

    Asalam alaykumu kungwi dume niunge kwenye group tafadhali

  • @OdetteKahambu
    @OdetteKahambu 4 місяці тому +1

    Aksante sana kwa ushauri wako Kaka.
    Mimi natoka Congo DRC.
    Sasa utamaduni wetu haufahamu shanga.

  • @MarthaKabango-rh7lo
    @MarthaKabango-rh7lo 4 місяці тому +1

    Kungwi naomba uniadd kwenye group lk tafadhal

  • @DorcasKendahassan
    @DorcasKendahassan 4 місяці тому +1

    Nakubali mzee mungu akupe maisha marefu mimi naishi congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 4 місяці тому +1

    Aslm alkm kungwi pls niunge kwa group yako inshallah..

  • @MaryamHawa-e4n
    @MaryamHawa-e4n Місяць тому

    Naomb namba ya grop

  • @Sweetlady22-cr5fm
    @Sweetlady22-cr5fm 4 місяці тому +8

    Shukraan xnaa kaka...Nakufatilia xnaa kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MariaHussen
    @MariaHussen Місяць тому

    Kifinyia ndani inamana kuwa unabanakipndi mnafanya au sijaelewa embu nierimishe

  • @rachelamina850
    @rachelamina850 2 місяці тому

    Tafazali kungui nami niunge kwenye group watssp hapa juu namba yako haionekani vizuri, kweli nazipenda sana somo zako baba

  • @ommylau
    @ommylau Місяць тому +1

    Kungwi dume Naomba kuungwa kwenye group

  • @leahmaziku2888
    @leahmaziku2888 4 місяці тому +2

    nimewahi jmn😅😅

  • @MariamAlly-hk7io
    @MariamAlly-hk7io Місяць тому

    Huyo mwari mbona yupo wazi kama mkeo
    Anaonyesha mwili wake kwako

  • @katanaajonathan6987
    @katanaajonathan6987 4 місяці тому +1

    kutoka Kenya 🇰🇪 ukosawa kumbi ila unatuweka sana kwa mafundisho yako

  • @AzminaMuhaji
    @AzminaMuhaji 2 місяці тому

    Assalamualaikum niunge kwaenye group tafadhli

  • @ArafaSaid-oy9pe
    @ArafaSaid-oy9pe 4 місяці тому +1

    Asante Kwa elimu kung'wi, naomba utufundishe kuusu pipi za kifuaa na matumizi yake katika tendo.

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 4 місяці тому +1

    Atakae olew na don kaz anayo😅😅😅

  • @SalhatIddi
    @SalhatIddi 2 місяці тому

    Samahani naomba unifaamishe mmi Nina uoga sana nikiwa na mpenzi wangu je nifanyaje Ili nisiwe na aibu please naomba unifaamishe

  • @HadijaOmary-l6e
    @HadijaOmary-l6e 9 днів тому

    😮😮😮

  • @AnnoyedLimePie-lc5sw
    @AnnoyedLimePie-lc5sw 4 місяці тому

    Sorry nipo south Afrika naomba niunge na group la wasp

  • @SakinaAbdallah-r6y
    @SakinaAbdallah-r6y 4 місяці тому +1

    Kaka mm nataka group kulipia shingp

  • @Zawadi-y2n
    @Zawadi-y2n 4 місяці тому

    Naomba number yako Kaka nahitaji kujuwa dawa zakusafisha uke

  • @MrsAshaAboubakar
    @MrsAshaAboubakar 4 місяці тому

    Mtu anaifinyia kwa ndani vipi sijaipatia kufanya ni baada ya ashamaliza kumwaga ama akiwa kwenye tendo bado hajamaliza

  • @fatmahemedi3252
    @fatmahemedi3252 4 місяці тому +3

    barikiwa sana kakaa

  • @Leash-s2q
    @Leash-s2q 4 місяці тому

    Mim naomba utoe clip moja inayohusu tu kufinyia kwa ndani kaka ibra utatusaidia Sana wengine tusio jua Asante

  • @HalimaRajabu-f4e
    @HalimaRajabu-f4e 4 місяці тому

    Ahsante sana kaka nashukur mejifunza mengi kupitia ww Ila ntamuelekeza vp mwanaume Ambae ajui kuchezea shangaz??