KUNGWI DUME sehemu ya pili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2022
  • Mwali kigego ndio hutoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni? siku zote manyakanga hubaki na mwali mwenye usiri za undani, mwali aliye alikwa huwa ana adabu, aibu na mstaarabu ukiona hasemi hovyo jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 381

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 Рік тому +11

    Filamu hiko sawa kabisa kungwi dume hatari sana 💯💯💯🔥🔥

  • @blessings7942
    @blessings7942 Рік тому +37

    Aki huyu kungwi wafaa wafanye kolabo na madebe lidai..nadhani hyo filamu itakuwa ya mafunzo zaidi...nazipenda hivi filamu

  • @fatumaomary9635
    @fatumaomary9635 Рік тому +11

    Hatariiii kungwi dume..wallah unatufunza ❤️❤️

  • @ottomanmorand6117
    @ottomanmorand6117 Рік тому +10

    Aise mungu akutunze miaka Mingi boss Don Yani kama Kuna mabinti na vijana wenzangu wanaangalia video zako basi tunajifunza mengi 🙏 ubarikiwe Sana

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому +5

    Mashallah apart from all lazima turundi kwa uaclia mila zifatwe wara wacku izi kazi ni yakuambiwa kutikisha mauno weka mawe matatu 😂😂😂ongera kugwi dume we need more

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому +73

    Ukweli ni kwamba wengi wanafatilia hii series sio kwa kujifunza kitu ila ni wachache tunao jifunza humu wengi wetu wanaangalia kwasababu ya maneno yanayoongeleka huku kutoka kwa Ibrah the don. Ningependa tujifunze na sio kuangalia tu

    • @izzoboy
      @izzoboy Рік тому +3

      Yote ni the same coz kuskiliza Na pia uta jifunza na mengi 🔥😂

    • @roi2554
      @roi2554 Рік тому +1

      Haswaa

    • @RahmaAbubakar-cb3jx
      @RahmaAbubakar-cb3jx 2 місяці тому

      Imebidi nimuunge na mumewangu tunafatia Kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @atusanga8306
    @atusanga8306 Рік тому +6

    Asante kungwi dume movie tamuuuuuu sana unaweza mpka unaweza tenaaaa🙏🙏🙏

  • @hidayamusa8347
    @hidayamusa8347 Рік тому +7

    Yan kungwi dume unajua mpaka unajua Tena hongera sanaaaa🥰❤️

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Рік тому +9

    Thedoni thank you so much for everything 🙏 mungu akuzidishie uzidi kufunza zaidi God bless you and your family insha'Allah 🙏🤲 allahuma amiin yaa rabbi 🤲

  • @mimachombo-bs1pe
    @mimachombo-bs1pe Рік тому +12

    Kaka unatufunza vingi mpaka nataman kuingia kwenye ndoa😂😂asante na hongera🙏🙏

  • @fatmazahor357
    @fatmazahor357 Рік тому +5

    Hongera zako kungwi dume mafunzo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nimeipenda jamani Hadi raha ❤️❤️❤️

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 Рік тому +4

    😀😀😀my Brother ibra umenizidi kitabia my Kaka❤️❤️Yani mafuzo yko yanatufuza wengi kungwi dume mambo 🔥🔥🔥

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk 10 місяців тому +6

    Mafundisho mazur n yenye maana ukiyasikiliz ...mashallah Mungu akujalie afya njema daima ili uwe kutufunza zaid mpk pale tutakapoingia kwa ndoa..kungwi dume salute

  • @rukiandoka391
    @rukiandoka391 Рік тому +4

    Mwari nimekupenda buree👌👌👌 na kungwi ndo balaaa na nusu

  • @carolinasanga390
    @carolinasanga390 Рік тому +7

    Tunashukuru kungwi maisha marefu naelewa mno mafundisho yako🥰🥰🥰

  • @faizatmfaume9051
    @faizatmfaume9051 Рік тому +17

    Inafundisha,inaelimisha ahsante sana IBRA the don mungu aendelee kukutunza uzidi kutuelimisha

  • @faridahahmad9513
    @faridahahmad9513 Рік тому +4

    💯💯💯💯💯💯una deserve tuzooo wallahi kazi nzurrr Allah akujalie ufike mbali

  • @halimambena6110
    @halimambena6110 Рік тому +13

    Mafunzo mazuri sana bro @Ibrah Thedone nazidi kupata madini kutoka kwako nije kua mke bora kwa mume wng Mungu azidi kukupa maarifa zaidi uzidi kutupa maneno ya kudumisha mahusiano yetu na ndoa pia

  • @essambader4075
    @essambader4075 Рік тому +8

    Duuuh atari sana ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ kungwi Dume niki pata mchumba nitakutafuta😃😃😃😃😃😃😃unipe matatu zaidi

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 Рік тому +4

    Movie nzur Sana Masha Allah 👌 Allah awazidishe kipaji insha'Allah 🤲🙏

  • @silvestermutua5787
    @silvestermutua5787 Рік тому +2

    Wanadada wakenya mpo kwenye chumba hiki Cha mafunzo nawaomba msipitwe na hili, ukaona mumeo kakuacha makosa yako mwenyewe

  • @stellasililo8051
    @stellasililo8051 Рік тому +4

    Hongera kungwi dume nomekupenda bure kwa mafunzo yako 👊🏿👊🏿

  • @nabunyerelwaka2389
    @nabunyerelwaka2389 Рік тому +18

    I have learned a let in this movie 🍿 guys I can’t wait for more 🙏🏾🙏🏾🍿🍿

  • @annabelwangila9882
    @annabelwangila9882 Рік тому +3

    Sijui naweza kukushukuru vipi umenisaidia sana,mungu akulinde.

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 Рік тому +2

    Kigoma kinacho pingwa kwenye mafuzo kitamu nimekumbuka siyo ya unyago hongera kungwi dume kwa kazi mnzuri pia habiba kama anafanana na chuchu hasi

    • @kelvinmwendwa4363
      @kelvinmwendwa4363 Рік тому

      Nimejikuta namuhurumia mama anavolia mwishon adi choz 😭😭but there some contents to take big up bro💪

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np Рік тому +1

    Hakia ya mungu we we ni balaaa. Wewe cuma chamoto nikupenda sana bro

  • @drmtangi3649
    @drmtangi3649 Рік тому +2

    Hongera sana move tamu sana
    Najivunia kijijini kwetuPotwe production ilipo fanyika

  • @AngelPaulo-xz5ts
    @AngelPaulo-xz5ts Місяць тому

    Hongera sana kungwi mafunzi yako nimatana yaelimisha kwei, kwakweli kama mtu utangalia hi muve na usijifunze kitu bas hatakaa ujifunz, wasambaa oyeeeh

  • @ashurakachuro7643
    @ashurakachuro7643 Рік тому +2

    MAASHAAALLAH,,,,, KAKA IBRA KAZ NZUR SANA NA NI MAFUNZO MAZUR SN WANA WARI WOTE....NA WANAWAKE PIA. 🙏KEEP UP

  • @khadijaabdul-kadir7264
    @khadijaabdul-kadir7264 Рік тому +2

    Thnx alot kaka kwa mafunz yk allh akutiliy bark kark kazi yako🙏🙏

  • @nduwamahororahma4830
    @nduwamahororahma4830 Рік тому +2

    All the love from Burundi
    Hakika umetishaaaaaa🔥🔥🔥

  • @user-zj7tg1nc7v
    @user-zj7tg1nc7v 11 днів тому

    Nimechelewa kuyajua haya kumbe watu wanafaidi nilikua nikiona kungwi dume napuuzia kumbe kuna mafundisho mazuri sana kwakweli unatutoa tongotongo

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣asante sana kungwi dume nimejifunza nakucheka sana daa mungu akubariki Ibra

  • @FatumaKishasha
    @FatumaKishasha 11 місяців тому +3

    Jamni nimekumbuka home kwetu wasambaa ❤❤❤❤

  • @swemamohameed5691
    @swemamohameed5691 Рік тому +2

    Umetisha baba hongera saana kazi nzuri

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 Рік тому +2

    Hongea Sana uzaghoshoa ndima yedi

  • @mwanamisijapani8968
    @mwanamisijapani8968 Рік тому

    Mm n basi sitoenda kwa kungwi 🖐Ibrah the don ananitosha ...asante baba mungu akuzidishie kheri

  • @ingenieurtyga4008
    @ingenieurtyga4008 Рік тому +6

    Félicitations bro👏🏽👏🏽👏🏽

  • @ashamohamed3164
    @ashamohamed3164 Рік тому +14

    Movie tamu Sana kungwi dume watuelimish kabla.... Congratulations

  • @hazlaramadhani8062
    @hazlaramadhani8062 Рік тому +1

    Asantee Sana Kaka kwa kutufundisha ubarikiwe🥰🥰🙏🙏

  • @sukarigulu8472
    @sukarigulu8472 Рік тому +63

    Natamani ningekuwa nina uwezo wa ku'like hata mara elfu 10 peke yangu😗😗😗😗

  • @mariammariamjuma9233
    @mariammariamjuma9233 Рік тому +2

    Wow thanks bro ❤nimekupata 💯 be blessed 😇

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +6

    Hongera sana ibrah thedon ❤❤❤sisi wasambaa 🔥🔥🔥unaweza sana kungwi dume

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 Рік тому +1

    Mashaallah tabaraka Allah tumejifunza kitu asate kaka ibra

  • @tashleysalim609
    @tashleysalim609 Рік тому +1

    MashaAllah, Nimejifunza mengi sana kutok kwako. HONGERA

  • @GetrudaAndrea-ny4ku
    @GetrudaAndrea-ny4ku 2 місяці тому

    Jaman jaman huyu kungwi apewe maua yake,, na hicho kigoma kinachopingwa duh! Nimejifuza mengi🙏

  • @user-rs9eo7qs8s
    @user-rs9eo7qs8s 3 місяці тому

    Asante nimejifunza mengi zidi kutuhimiza sisi wanawake

  • @amosmayila
    @amosmayila Рік тому

    Kaka kaz nzur Sana Kaka sijui nikushukulu vip kakaangu nimeipenda sanaaa kaka 💪💪💪

  • @laureanclaudia409
    @laureanclaudia409 Рік тому

    Kaz nzuri wapendwa, ujumbe umeifikia jamii vyema. Naima mmebatilisha mitazamo mbali mbali ya watu wengi na kuwapa mafunzo ambayo hawakuwahi kuyapata, mbalikiwe sana.

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 Рік тому +1

    Nimejifunza love kungwi dume

  • @ShakiiRungwa-ru3qd
    @ShakiiRungwa-ru3qd Рік тому

    Brother ibra hongera ila tuleteee muendelezo sehemu ya sita I like my work for hand's God bless

  • @mgenihamis3260
    @mgenihamis3260 Рік тому +2

    Hatar kaka uko vizur unatufanya ndoa zetu kudumu

  • @aishaaisha2224
    @aishaaisha2224 Рік тому

    Hongera kaka lbra uko vzr sn Kila sekta upo vzr💕😘❣️😘💕🙏

  • @angeljohn6096
    @angeljohn6096 Рік тому

    Movie nzur San jmaan wasambaa tumelewa vizur San ubalikiwa sana katka kazi zako za mikono y'all ubalikiwa sana kaka IBR

  • @noorramadan8156
    @noorramadan8156 Рік тому

    Jmn kungwi ww big up sana mungu azid kukuweka ili uzid kutufunza zaid. Asante sana

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 Рік тому

    Hongera sana kakangu uko vzry naipndraaa kazi yko... Masha Allah

  • @ashamohamed3164
    @ashamohamed3164 Рік тому +7

    I can't wait to see part 2🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 Рік тому +1

    Nimejifunzakitu humundani kwakweli ilatu nawapenda sana

  • @khadijaabdul-kadir7264
    @khadijaabdul-kadir7264 Рік тому

    Kazi mzr kaka allh azidi kukupea maarifa zaid 👍👍 mashaallh

  • @sabrinaramazani3414
    @sabrinaramazani3414 Рік тому +1

    Unajua adi unajua Tena nakupenda sana 🙆🥰❤️

  • @omaniazenzbar8721
    @omaniazenzbar8721 Рік тому +2

    Mashaallah asante Sana kungwi dume

  • @sarahhassan2857
    @sarahhassan2857 Рік тому +1

    Ulikua wapi siku zote jaman kaka ibraaa duuu umetishaa balaa una mafunzo mazuri sanaaa♥️

  • @rosenaafya9356
    @rosenaafya9356 Рік тому +1

    😂😂😂 Muendelezo jaman naona kungwi ndoa yake itaingia hatian uyo dada uyo 😂💔

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 Рік тому +1

    Uyo mgeni ana mshangaa kungwi balaa😂😂😂😂

  • @user-zo3qr8lf1v
    @user-zo3qr8lf1v 10 місяців тому

    Asante kk Ibra nimeielewaiyo

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Рік тому +1

    Safi Sana ibra the don❤️

  • @RoseZachalia
    @RoseZachalia 18 днів тому

    Nimekupenda ninakupataje

  • @user-ke5ik9kq3w
    @user-ke5ik9kq3w 8 місяців тому

    Ishima yak bro❤❤

  • @zlfhh3763
    @zlfhh3763 Рік тому +1

    Assalamualaikum warahmatullah wabarkathut.... Samahani kaka wapatikana wapi tz n Kenya wafika au lah.. Nimependa mafunzo yako mashaallh mashaallh ❤️❤️❤️💕

  • @ashuraadam1874
    @ashuraadam1874 Рік тому

    Asante kwakwel tumejifunza sàna shukran mungu awazidishie💯💯💯💯

  • @familyngoy1642
    @familyngoy1642 6 місяців тому

    Mafunzo mazuri ubarikiwe ,hendeleya zaidi ❤❤❤

  • @khadeejamct2096
    @khadeejamct2096 Рік тому

    Mashalla allah nimepend usiy wa kungwi dume ishalla allah nitakutafut

  • @faudhiajuma67
    @faudhiajuma67 Рік тому

    Asante kungwi dume tena hongea sana

  • @antoniermakoo703
    @antoniermakoo703 Рік тому

    Wooow it's amazing.congrats

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 Рік тому

    Hongera kungwi Dume kazi nzuriii

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Рік тому +1

    Kabisa kaka

  • @omaryally7677
    @omaryally7677 Рік тому

    Mmh 😂😂😂 unataka kukojoa kunywa maji meng 😂😂😂😅😅😅😅 niatali

  • @husseinshawali-ky5kt
    @husseinshawali-ky5kt Рік тому

    J'adore 🥰🥰

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 Рік тому +1

    Shukran sana kugwi kweli unayaweza

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 Рік тому

    Waaaa Asante kaka Ibra umetufundisha sana

  • @mamumamukisr8339
    @mamumamukisr8339 Рік тому

    Kk upo vizuri nakukubali kungwi dume

  • @BlandinBANABAK-nc5su
    @BlandinBANABAK-nc5su 10 місяців тому

    hmm kungwi Dume unatisha kaka hee, MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @bintmwanyello2350
    @bintmwanyello2350 Рік тому

    Honger San bro kaz nzurii

  • @leilafsadickfsadick8541
    @leilafsadickfsadick8541 Рік тому

    Asantee kungwi😍😍😍😍 I got it

  • @tato8979
    @tato8979 Рік тому +1

    Kazi nzuri kaka mungu akubariki

  • @mwanaharusiswalehe3936
    @mwanaharusiswalehe3936 Рік тому +1

    Nakubali kungwi dume uko sw hatari

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 Рік тому +1

    Duuuuuuh!!!🥰kungwiiii

  • @user-jq6gv1sw5f
    @user-jq6gv1sw5f 6 місяців тому

    Ibrah maranyingi unanituliza.mashauri yako ni nzuri sana.mimi ni mukongomani from drc.

  • @user-nb2ik4cc5u
    @user-nb2ik4cc5u Місяць тому

    Tunajifunza mengi ,ubarikiwe kaka yangu ❤

  • @user-vl3zn6sh1d
    @user-vl3zn6sh1d 11 місяців тому

    Hongera kungwi nimejifunza sana

  • @lussatz149
    @lussatz149 Рік тому +2

    Cameraman anajua sana

  • @khalimasnaty5021
    @khalimasnaty5021 Рік тому +1

    Mashaallah nice

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Рік тому +2

    Uyo kungwi anavyocheza kama anataka kupaa🤣🤣🤣🤣

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Рік тому

    😂😂 ❤❤ asant kungwi unanicha hoi ukacheza

  • @izzoboy
    @izzoboy Рік тому +1

    Napenda Sana kazi senu

  • @mastermaster1627
    @mastermaster1627 Рік тому

    Congratulations mr.Ibra the Don

  • @sumeyahabshy1695
    @sumeyahabshy1695 Рік тому

    Sehemu yatatu kungwi kidume move nzurii sana

  • @rahmasuleman1969
    @rahmasuleman1969 Рік тому

    Safi kungwi dume 👏🏻👌🏻

  • @dannyqadenge4772
    @dannyqadenge4772 Рік тому +1

    THE DON...💯💯🔥🔥🔥

  • @MwanatumuAli-cu9sd
    @MwanatumuAli-cu9sd 10 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉kungwi uko sawa mashallah