Ibada ya Kiswahili | 16062024 | Dr. Mulenda Omary

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 чер 2024
  • Ungana nasi kusikiliza neno la Mungu mubashara kutoka kanisani City Light Temple iliyopo Goba, Matosa
    Tunazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa mema na makuu aliyotutendea mwaka wote huu. Asante sana kwa kujumuika nasi hapa. Mualike na mwingine hapa.
    Endelea kufuatilia mafundisho mubashara kutoka kanisa la T.A.G City Light Temple - CLT lililopo Goba Matosa.
    Ili kumtolea Mungu zaka na sadaka, unaweza kutumia njia zifwatazo;
    VODACOM LIPA NAMBA
    5201833
    CITY LIGHT TEMPLE
    Au kupitia
    BENKI YA CRDB
    ACCOUNT NAMBA 133704447900
    Jina la Account - TAG CITY LIGHT TEMPLE
    USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSHARE HABARI NJEMA
    #CLT #SEMINA#NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG
    Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEPLE-CLT
  • Розваги

КОМЕНТАРІ •