Mungu akiamua kukutumia kwny kazi yke,shetani anaaibika,pr,Mungu amekujalia kipawa cha ajabu,ni mhubiri mzuri,hapo hapo ni mwalimu bingwa,Mungu akutunze pr Mmbaga.
Ameeen. Ameeen. Powerful teachings. God Bless you Pastor.❤❤ ukweli kabisaa huwezi ngangana kumtolea Mungu ili hali wazazi wako wako hawana hata blanket, nyumba, etc
Pastor, naomba kukili kuwa Dr Myles speech zake na wewe nimepata kubarikiwa sana, Dr Myles alitumika na Mwenyezi Mungu vizur. Mungu aendelee kukutumia sana na ubarikiwe mtumishi. Amina.
Barikiwa sana mtumishi was mungu hakika mungu anamakusudi na watu wake mpaka akuwezeshe kururudisha neno la upakoooo mungu akubariki sana pia na mm mungu anibarikiiiiii
Kweliii kuna rafiki hapati usingizini ana kazini nzuri, nyumba nzuri na mume wake hadi amepewa dawa za vichaa ili alale kweli pesa inanunua kila kitu lakini vyo usingiziiii.
Katika MAMBO AMBAYO MTU HUYU ANABARIKIWA SIO MCHOYO KWELI NINAPOKUFUATILIA VIPINDI HIVI NABUBUJIKA BARAKA,MAFUNDISHO YAKE YAMEJAA MADINI,UBARIKIWE SANA
Amina pastor kiukweli kupitia UA-cam nimejifunza mapishi mengi hadi sasa namshukuru Mungu nipo nchi za watu kujifunza kwahitaji nia wala usijilaumu kisa hujasoma barikiwa pastor wangu Mungu akutunze
Asanteee Pastor. Somo nzuri, God bless you. Ila naomba msaada wako. Nina biashara zaidi ya miaka 15 ila kila siku national hela mfukoni na kuanzia moja. Siingizi hela hata siku moja. Mpaka sasa nimechoka. Naomba msaada wako Pastor. Samahani kwa usumbufu.
Hata mimi nilifanya kuku 🐔🐔 aina ya sasa... Walipata ugonjwa baadhi wakafa. Waliobaki niligawia wachungaji kwenye Makambi kwaaajili ya kitoweo. Nilipata shule 🏫 siku kata tamaa. Mwaka huu nimelima mahindi 🌽🌽 mimi na rafiki yangu hekalu 40 🌽 yametoa shina hadi shina . Leo hizi tarehe 10 mwaka 2021 wanatuita sisi n wachawi. Mahindi yamestawi kilioko maelezo......
Kama mungu nilichokua nakiwaza nimekutana nacho utyube mm ni atrst naimba nyimbo zakidunia ila naamini kupitia we mchungaji mungu ataniongoza ubarikiwe xana mafundisho yako ni mazuri🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana kusikiliza mafundisho yako Mtumishi. Mafundisho haya yaweka msingi mzuri sana ktk maisha yetu, na hata vizazi vyetu, hasa pale tutakapowajengea uwezo kwa haya. Mungu azidi kukubariki na kukutumia.
Japo ni dini tofauti lakini huyu mchungaji namkubali sana Ana nasaha nzuri sana
Mungu akuzidishiye mahali ulipo towa Neno na mafundisho
umenikuza kiwango kigine naliweka moyoni na kishwani.asanti mubarikiwa wa Mungu
I enjoy your teaching especially mpaka bando zinaisha uongezi hata kitu kipya kwenye ubongo
Bwana akubariki Mchungaji. Ni kweli kutamani sio kuzuri, Bora kuchunguza na Kupanga namna ya Kuanza. Mungu atusaidie Tusitangulize Tamaa.
🙏
Mungu akiamua kukutumia kwny kazi yke,shetani anaaibika,pr,Mungu amekujalia kipawa cha ajabu,ni mhubiri mzuri,hapo hapo ni mwalimu bingwa,Mungu akutunze pr Mmbaga.
Warumbe
Asante sana pr
Sasa wapi ambako Shetani kamwinukia ??
Ni kweli mchungaji mahubiri yako ni mazuri sana ubarikiwe
Asantee sana japokuwa mimi muislam na nipo kwenye funga yangu ila kwa hilo nimekuelewa sana mungu akujalie sana,maisha marefu baba🙏yan had nimelia 😭😭
Asante sana!! Mungu akupe mfungo mwema
Thanks for this message pastor
Mungu nisahidie niwe na kitu kipya akilini mwangu kila siku be blessed pst
Ameeen. Ameeen. Powerful teachings. God Bless you Pastor.❤❤ ukweli kabisaa huwezi ngangana kumtolea Mungu ili hali wazazi wako wako hawana hata blanket, nyumba, etc
Mungu atukuzwe kwa kutufundisha mengi ,ubarikiwe sana pastor .
Ameen
Pastor, naomba kukili kuwa Dr Myles speech zake na wewe nimepata kubarikiwa sana, Dr Myles alitumika na Mwenyezi Mungu vizur. Mungu aendelee kukutumia sana na ubarikiwe mtumishi. Amina.
Yuo have said bro. That's God's power. Thanks so much.
Powerful massage man of God
True true our pastor. Thanks for your lesson from the God
Amina pastor, nimebarikiwa na somo lako na nimesoma kitu mpya. Mungu anisaidie. Ubarikiwe sana pastor
Uelewa kweli nimekuelewa pastor
Barikiwa sana mtumishi was mungu hakika mungu anamakusudi na watu wake mpaka akuwezeshe kururudisha neno la upakoooo mungu akubariki sana pia na mm mungu anibarikiiiiii
Barikiwa sana pastor,kwa hili fundisho hakika nimepata kitu
Ahsante Sana pastor umeongeza vitu vingi Sana kwa mind yangu.mungu azid kukutunza...
Wewe ni mwalimu naerimika sana kwa mafundisho yako mara nyingi machozi yanajitoa b blessed Teacher, Isaac Gathendu naishi Kenya
Pastor Mbaga, You're so Talented and hard working. God bless you nimekupata sawa sawa
Asante baba,na amen
❤❤❤Very nice and true...
Jina la baba Mungu lizidi kuhimidiwa DAIMA..
Glory be to God! Be blessed the servant of God
❤you have really turned my life by your teachings
Barikiwa zaidi pastor hakika umenigusa kabisaa
Kweliii kuna rafiki hapati usingizini ana kazini nzuri, nyumba nzuri na mume wake hadi amepewa dawa za vichaa ili alale kweli pesa inanunua kila kitu lakini vyo usingiziiii.
Mungu akubariki Mchungaji wetu tunabarikiwa na mafundisho yako
Hujawahi kuniangusha mchungaji barikiwa sana
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Mungu naomba niwekee mkono wa baraka unipe ufaham
Katika MAMBO AMBAYO MTU HUYU ANABARIKIWA SIO MCHOYO KWELI NINAPOKUFUATILIA VIPINDI HIVI NABUBUJIKA BARAKA,MAFUNDISHO YAKE YAMEJAA MADINI,UBARIKIWE SANA
Amen
Amen mungu akuongezee miaka mengi hapa duniani Na pia akuzishiee hekima
Umeni inspire sana Mtumishi,Barikiwa sana!!
Be blessed the sevant of LORD,I appreciate your lesson.
May GOD blesse you,.thank you very much
Pastor thanks your talking the realness reality
Amina paxtor mbaga,huwa nafatilia xana mahuburi yako huwa na barikiwa xaxa,xan,mungu aendelee kukufunulia zaidi na zaidi.
Amen Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Barikiwa mtumishi Mbaga. Tuko pamoja. Nabarikiwa mno na mahubiri Yako. Ni Richard Kereti kutoka Kitengela Kenya.
Mungu akubariki sana
Nimebarikiwa sana na somo hili ubarikiwe sana pastor
Nice piece pastor
Thanks so much pastor GOD bless you
Ubarikiwe sana mchungaji nimepata kitu san By Aminieli fundi wa rangi
So wonderful teaching, God bless you ,I have learned something from you which I did not know ,am from kenya
Amazing lessons watching from Dubai thanks alot mwanawa Mungu
Amina, MB zangu kwa masomo yako Mch.David Mmbaga,Mungu akupemaisha marefu%.
Ahsante kwa Mafundisho mazuri, Mungu azidi kukupa ufahamu wa juu zaidi.
Woow this is not just preaching but inspiration 👌👌👌👌
Powerful message
Thank you so much bishop I am age19 you have really motivated me for hustling 💪
Keep it up
All glory be to God for this connection, really am so blessed indeed, God bless you daddy in christ ❤🙏
Pastor,yup have inspired to the maximum,be blessed
Holy holy holy with chords
Nabarikiwa Sana na huduma unayofanya,,Mungu Akupandishe utukufu zaid hadi utukufu wa juu
Amina pastor kiukweli kupitia UA-cam nimejifunza mapishi mengi hadi sasa namshukuru Mungu nipo nchi za watu kujifunza kwahitaji nia wala usijilaumu kisa hujasoma barikiwa pastor wangu Mungu akutunze
Amen Pst nazidi kupata mafunuo be blessed.
Mtu wa Mungu kupitia mafundisho yako nimebadilika sana God bless you man of God
Strong motivating speech!Thank you Pastor Mbaga! This is more than annointing!
ok be blessed Indeed
@@bishoppeteroballa7701 a+Amina
Dodoma
Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa somo zuri 🙏
Ninaomba mawasiliano
Surely Pr. may God bless u soo much for such wonderful speech
Asanteee Pastor. Somo nzuri, God bless you. Ila naomba msaada wako. Nina biashara zaidi ya miaka 15 ila kila siku national hela mfukoni na kuanzia moja. Siingizi hela hata siku moja. Mpaka sasa nimechoka. Naomba msaada wako Pastor. Samahani kwa usumbufu.
Powerful message I'm so blessed ooo
Unakata tusiweke bondo unataka tukuangalije as a.
Hongera mchungaji
Hata mimi nilifanya kuku 🐔🐔 aina ya sasa... Walipata ugonjwa baadhi wakafa. Waliobaki niligawia wachungaji kwenye Makambi kwaaajili ya kitoweo. Nilipata shule 🏫 siku kata tamaa. Mwaka huu nimelima mahindi 🌽🌽 mimi na rafiki yangu hekalu 40 🌽 yametoa shina hadi shina . Leo hizi tarehe 10 mwaka 2021 wanatuita sisi n wachawi. Mahindi yamestawi kilioko maelezo......
Amen
Mungu akubariki Sana Tena na zaidi kwa kutupa ufahamu huu. 🙏🙏🙏.
NabarikiwA sana na somo lako mtumishi
AMEN🙏....barikiwa sana mchungaji🙏
Mambo
Very effectivelly message to us👍👍
Amen 🙌powerful teachings
Somo linanigusa kwa kweli , Pastoe Mungubakubariki sana
That's greatly reasoning, pastor! God bless you...as you shine to transform the lives of many.
Give him a like 👍
Thanks pastor!.
B blessed pastor for the powerful inspiration.
@@vumiliakayela7219 y
Strong motvating speech
Kama mungu nilichokua nakiwaza nimekutana nacho utyube mm ni atrst naimba nyimbo zakidunia ila naamini kupitia we mchungaji mungu ataniongoza ubarikiwe xana mafundisho yako ni mazuri🙏🙏🙏
Amen. Ubarikiwe
God bless you pastor amen
Nimebarikiwa sana kusikiliza mafundisho yako Mtumishi. Mafundisho haya yaweka msingi mzuri sana ktk maisha yetu, na hata vizazi vyetu, hasa pale tutakapowajengea uwezo kwa haya. Mungu azidi kukubariki na kukutumia.
Esther Nyabuto from KSA ,Tuko pamoja kwa somo yaleo
pamoja pamoja
Be blessed pastor
Pastor mungu akuzidishiye 🙏🙏
Mungu akubariki pasta kwa kunitoa woga🎉 maana kusikia hela kubwa huwa naogopa sana
Mtumishi wangu nabarikiwa sanaaa MUNGU akulinde niendelee kupata magombo ya kuikomboa akili yangu
For really your blessing to me!
May heavenly Father bless you ..
barikiwa sana pastor mbaga nakuelewa sana mm msabato mwenzio
Watumichi wamungu
Balikiwa
Naomba usaidizi
Nirirogwa migu
Nilirogea upande yabega yamukono yangu hoto Niko nawumuya amiiina balikiwa mutumichiwa mungu
You are not fake indeed, God's power is in you.
Mungu akubariki mtchungaji❤
Thanks a lot prof.
Nabarikiwa na mafundisho yako
Niwachache sn 🙏🕺NENO LA MUNGU LIPONYE MWILI NA ROHO.✔️💯yupo vzr.
Asante sana kwa haya mafunzo ninaamini nitatimiza haya mafunzo
Powerful message man of God
Naitwa muchungaji Yusuph Saimon Kamugisha nipo Singida nimebarikiwa sana mchungaji barikiwa
KWELI MAELEZO YAKO NIMEYAKUKUBALI. MUNGU AKUBARIKI.
Asante pastor kwa maneno mazuri
Tooo much blessed. Tumeelewa sana libarikiwe neno lako Daima
Thank you pastor for educating us
Amen Asante umenitoa mbali barikiwa saana
Asante kwako paster Mungu akupe maisha marefu
God bless you pastor tumetoka mbali
Amina sana ubarikiwe kwamahubili
Mungu akubariki mucungaji
True Servant Of God 🙏
Pastor david, God bless you
Be blessed savant of God
Thanks for the message
Glory 2 God💪
Nime lia Sana aseee nina moyo wahuluma lakin ninayo kutana nayo ni magumu yanakatisha tamaa kuenderea kujitafutia maisha
Polee sana nini shidaaa jamani
@@erickfrank6656 hii ni media uwezi ongea apa vitu privacy
Nicheki fb Erick Frank Saerah utaniona naweaza kukupa mawazo tofauti wangu pole sana mungu yuko pamoja na ww
@@erickfrank6656 fb mi Sina Ina Instagram tu
@@joycemaige8683 ushauli wako nimzr ila inategemea umetingwa namazito kias gan
Asante umenipa nami ufahamu PR barikiwa.
Ameni.
...mtumishi wangu,nimebarikiwa
Amen 🙏🏾🙏🏾nmebarika Sana 🇰🇪🇰🇪