JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO || PASTOR GEORGE MUKABWA || 14/04/2024
Вставка
- Опубліковано 12 кві 2024
- Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
- M-Pesa Lipa Namba : 5252176
- MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
- KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
Gospel Teachings for soul winning Purpose. - Фільми й анімація
Ewe mwenyezi mungu nitendee sawa sawa na mapenzi yako, mimi muislam ilitokea tuu ktk kugusagusa simu nikakutana na pastor George nikavitiwa na magundisho yake ki ukweli sijawahi kulala bila neno kutoka kwa pastor George kupitia mafundisho yake ki ukweli mungu akuwekee kiti chako peponi na uishi miaka mingi Nina Imani ni mpango wa mungu mim kulijua kanisa hili ubarikiwe sana
Barikwa sana khadija
Yesu akupe neema ya kumjua zaidi kumuamini na kumkiri kuwa Ni Mungu na ni Mwana wa Mungu, ukifika hapo utakua umeokoka na pia Yesu akupe haja za moyo wako
Mungu akupe neema zaid mpnz hakika ujakosea natamani kujua upo wapi
You are a vessel of honour in the Master 's Service. May The Holy Spirit of God lead all Through and Extend your Territories. God Bless and the Entire church community at Large and all Viewer. God Bless. Thank you.
.
Ubarikiwe sana
Hili kanisa Kuna MUNGU wa kwel jamani nimesali Leo tu ila nimeona nguvu ya MUNGU 😢🙏
Ameeen
Huwa namfatilia U tube najifunza mengi mno,
¹1❤❤❤😂❤❤❤@@WinnieMagoma
Liko wap nataman sana niende na mimi
Amen mchungaji mungu akubariki sana na akuzidishie
Mchungaji George, Mungu azidi kukufunulia mafundisho mengi ndio watu wa Mungu tuzidi kupata ufahamu juu ya Neno la Mungu.
God answer your prayer through his word
How I love this Pastor🙌,Mungu akuinue katika viwango vya juu zaidi.Mafundisho yako yamenijenga sana sana
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Mna bahati na neema kubwa sana washirika wa kanisa hili .Natamani kuhamia Mwanza niabudu hapo.Pastor Mungu akubariki unanivusha sanaaa.Bwana Yesu akutunze
We perish due to lack of knowledge.... you are a blessing to me. Amen 🙏🙏🙏
Amen Amen
Great teaching I have never heard someone teach like this man of God
May God Almighty continue to give you wisdom
Haki Mungu anakutumia vyemaa
Nimejaribu kuskiliza mahali pengine ili kupata ufafanuzi kama huu ila nlkua Sielewi lkn mahali hapa sasa ni sahihi kwangu
Mungu akubariki na arndlee kukutumia vyema kwaajili yetu mtumishi 🙏
Mungu nimwema namwaminifu kutupa mchungaji anaetufundisha Neno laMungu kwamaarifa
😢ubarikiwe pstr
Asante Mungu Wangu matokeo yako yamebidilisha kakangu amepona katika Jina la yesuchristo Sasa guvu zako za maombi yamtia guvu.amen🎉🎉🎉🎉🎉❤
Amen thank you Lord for powerful words of God may God bless you all 🙏
God is good all the time thanks you Pastor for the word of God Tunaendelea kukua hakika
Mungu akuzidishe sana my Pastor unatuvisha kila siku Mungu ukutunze
Mimi nabarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji, ninakupenda Mungu akuzidishe mafuta zaidi.
Hakika utukufu kwa Mungu
Barikiwa Sana Na mafundisho Mtumishi. Hili fundisho linaloendelea SAA hii hapa kwangu Mimi Ni silaha. I thank God!
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu neno nzuri sana nimebarikiwa
Nabarikiwa mno na mafundisho haya Mungu akuinue Mch
Teaching good man of God🎉
Asante kwa mafunzo yko mazuri pastor tunabarikiwa sana🙏🙏🇸🇦🇰🇪
Tu
Mtumishi wa Mungu pastor George Mungu akutunze na akuongezee nguvu Zaid kumwkilisha kiukweli nabarikiwa Sana na huduma aliyokuzawadia Mungu napona Mungu wa mbingu na nchi akubariki na kukulinda akuangazie nuru za USO wake na Skype amani
Nabarikiwa na wewe Mchungqji. Jaman mbona natamani kuja mwanza niabudu hapo. Mungu akuinue zaidi baba. Huku mikoani tupo watoto wako wengi tu
Mungu wewe ni nguzo ya maisha yangu ,ibada iyi ni ya kwangu .
Kongole pstr nimeelewa kati ya tithe na tithing zaka na utoaji wazaka neno Lilo neno katika zaka ,nyama-mzoga kwa kuhani na Moshi mungu yuapokea thanks kwa ufunuo huo Glory to God may He give you more revelation
Amina
Dah Mungu akubariki mtumishi mnao sali hapa mna neema
Pastor Mungu akubark sana na azid kukutumia jinsi apendavyo Damu ya yesu iwe juu Yako
May God empower you abundantly
Nakuelewa barikiwa sana Mtumishi.
Ubarikiwe sana mtumishi maana napokea ad Nataman nanze upya kusikiliza neema ipo mahar apa nam napokeaa
Glory be to God Halleluyah🙏🙏
Unibariki sana pasta
Hakika ww nimutumishi Mungu akubaliki sana unatufundisha sana napenda sana mafundisho yako
Baraka za bwana ziwe nakila mtu somo zuri na linafunza vyema
Ameni Ameni, Napokea neema
AMEEEN BABA HAWANIWEZI NINA NURU YA NENO.
HALLELUJAH AMEN 🙏🏿
Amen amen and amen 👏👏🙏
Amen pst kwa neno
Powerful 🔥🔥🔥🔥
Mungu wetu afananushwe na kitu kingine
Akna kama wewe Mungu
Nimebarikiwa na somo hili na kuinuliwa kiroho.
Amen amen 💕🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina mtu wa mungu
God bless you pastor the sermon is so powerful
Namtukuza. Mungu kwako mtumishi jinsi. Mungu anavyokutumia kweli najifunza mengi mno barikiwa
AMEN,AMEN.
Amen
Amen 🙏
Wewe ni Mungu
Elizabeth Luambano Aminaa
Ameeen
Paybil haifanyi ,ukiwa outside the country please add number ya direct,I like your teachings and I always watch
0753333008. George
Uko muaminifu baba aufaninishwi na kitu kingine
Kama linge kuwa tanga kwa mafundisho haya ninge ama kanisa
Hakika
Yani nabubujika tu na furaha
Amen Amen
Amina