MWL, C. MWAKASEGE: KONGAMANO LA KUMILIKI MFUMO WA KIROHO, KIUCHUMI NA KITAIFA. Jumapili, 5\11\2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2023
  • NI JUMAPILI HII TAR 5 NOV 2023 MUDA NI SAA TATU ASUBUHI MPAKA SAA SABA MCHANA { KIJICHI CITY CENTRE CHURCH KWA ASKOFU FLORIAN KATUNZI }
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

КОМЕНТАРІ • 51

  • @williamnassari
    @williamnassari 7 місяців тому +2

    Eee Mungu nipe tena kulipenda neno lako kama nilivyokua mwanzo nimerud nyuma sana kiimani

  • @christinelyaro3692
    @christinelyaro3692 9 місяців тому +8

    Mungu aendelee kuwatunza na kuwainua katika huduma aliyoiweka ndani yenu.🙏

    • @DevidDelile
      @DevidDelile 7 місяців тому

      Amen nimefarijika na masomo ya mwalimu mwakasege

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila 8 місяців тому +1

    Nimjifunza kumbe kuna mifumo asante mtumishiŵambingun mungu akulinde

  • @warialangandossi
    @warialangandossi 9 місяців тому +6

    Mungu awabariki Sana Wana wa Mungu ,hakika Mungu ni mwaminifu tunawaombea sana

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 9 місяців тому +2

    Katunzi & Mwl Mwakasege Mungu awabariki sana.

  • @Stanlee95
    @Stanlee95 4 місяці тому

    God connect with me here, as I seek YOU in your word!

  • @evaristammassy6377
    @evaristammassy6377 7 місяців тому

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen 🙏

  • @EnestFSoka
    @EnestFSoka 8 місяців тому

    Mungu ni mwema sana..
    Wakati wa maombi niliona ukuta ulikuwa unanizingira umebomoka na ukawepo mwanga mkuu ukatawanya nyoka walio kuwa ndani ya like jengo nililo kuwemo. Kisha nikaona amani sana ndani yangu.
    Sikujali kwamba zilisha pita wiki mbili nikaamini kwamba ni sasa..
    Ninatamani siku Moja nikutane na Mtumishi japo nishike mkono wake tyuu, itatosha.
    Barikiwa Kila sekunde ya uhai wako.
    AMINA

  • @gracemkono1199
    @gracemkono1199 7 місяців тому

    Mungu wangu nisaidie nitoe ktk mifumo ya nguvu za giza na watoto wangu wote,,kwa damu ya Yesu,,uniingize ktk mifumo ya ufalme wa nuru,,kwa Jina la Yesu.

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila 8 місяців тому +1

    Asante mtumishi au leo ulijua naipeleka sadaka? Asante roho mtakatifu kuniletea neno hili

  • @jorammsemakweli3116
    @jorammsemakweli3116 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe mtumishi imenibariki na kunifungua akili katika imani

  • @sekelabenard
    @sekelabenard 9 місяців тому +2

    Nawapenda kutoka watumish kutoka moyoni

  • @user-xz9ym6uh8m
    @user-xz9ym6uh8m 7 місяців тому

    Nashukuru Mungu nimekutana na somo zuri kama hili. Mwalimu Mungu akutunze sana pamoja na familia yako. Mii ninabarikiwa mno maana najifunza mambo ya msingi sana kutoka kwako.

  • @marynakei2621
    @marynakei2621 9 місяців тому +1

    Mwalimu Mungu akuzidishie hekima zaidi,
    Nauliza nini maana ya mfumo
    Tuanzie hapo Ili kujua jinsi ya kutoka kwenye tatizo

    • @EnestFSoka
      @EnestFSoka 8 місяців тому +1

      Mfumo ni utaratibu au mwongozo wenye mamlaka yenye uhalali wa jambo au shuhuli yeyote...

  • @ArumeruMlili
    @ArumeruMlili 9 місяців тому +3

    barikiwa sana watumishi, kazi yenu njema sana!!!

  • @macrinasanka5544
    @macrinasanka5544 8 місяців тому +1

    Hili somo limenifundisha kitu kipya kabisa katika maisha yangu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 8 місяців тому

    Baba Mungu ameweka vitu ndani yako,,Yesu atusaidie kwakweli

  • @jmkenda8556
    @jmkenda8556 8 місяців тому

    Mbarikiwe na Mungu

  • @user-bd2go1oi4j
    @user-bd2go1oi4j 9 місяців тому +1

    Mungu awabariki kila mmoja 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @patrickgeofrey5116
    @patrickgeofrey5116 8 місяців тому

    Kazi yako imetukuka Mwalimu🤝🙏

  • @joelmbwile6209
    @joelmbwile6209 9 місяців тому

    Barikiwa Sana watumishi wa MUNGU aliye hai

  • @harrycain2537
    @harrycain2537 8 місяців тому

    Amen

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 9 місяців тому

    God is all About,lovely.

  • @user-ru2sq3mj1g
    @user-ru2sq3mj1g 8 місяців тому

    Mungu awabariki xn🙏🙏🙏

  • @MagrethMadila
    @MagrethMadila 9 місяців тому

    Asante mtumishi wa mungu

  • @lucymwegoha7400
    @lucymwegoha7400 9 місяців тому

    Mungu awabariki sana

  • @janemuiaofficial7209
    @janemuiaofficial7209 9 місяців тому

    AMEN

  • @user-tk4qn5ro9t
    @user-tk4qn5ro9t 9 місяців тому

    Sautii jaman bwana Yesu tusaidie tunaachilia damu ya Yesu kwenye mitambo

  • @carolken7456
    @carolken7456 8 місяців тому +1

    Powerful sermon...following from kenya

    • @marynakei2621
      @marynakei2621 8 місяців тому

      Ndyo Kwa hyo nitatokaje kwenye mfumo hii,au uhlali kwenye maisha niliyonayo

    • @joelmusa961
      @joelmusa961 8 місяців тому

      @@marynakei2621kwa kutaa mfumo huo na kutoa sadaka ya kukataa , then unatoa sadaka ya kuingia mfumo mwngne , ukitoa sadaka uisemee hyo sadaka unavyotaka sio unatoa kimya kimya , ukiwa unaitoa unasema sadaka hii kwa ajili ya nini , sadaka lazima ibebe maneno, Amen

  • @amanikibamba4480
    @amanikibamba4480 9 місяців тому

    Nawapata dar moja kwa moja

  • @sarahlyimotv1380
    @sarahlyimotv1380 8 місяців тому

    🙏🙏

  • @veronicarugemalira2302
    @veronicarugemalira2302 9 місяців тому

    Sautiii

  • @yuliahenry3383
    @yuliahenry3383 9 місяців тому

    TUNAMTUKUZA SANA MUNGU

  • @veronicarugemalira2302
    @veronicarugemalira2302 9 місяців тому

    Sauti ndogo sana

  • @DanielManase
    @DanielManase 9 місяців тому

    Amen 🙏

  • @violethmyula7744
    @violethmyula7744 8 місяців тому

    Mbona saiz hampost mwalimu yuko wapii . Hatuoni youtube ??

  • @asnathdembe278
    @asnathdembe278 9 місяців тому

    Naungana na wenzangu kupokea mfumo mpya wakiroho

  • @dee4144
    @dee4144 9 місяців тому

    Mimi nimepitwa ila ninasikiliza sasa

  • @user-kc6lr3pq2c
    @user-kc6lr3pq2c 9 місяців тому +1

    Jaman Watumishi Hawa na apendaaa Toka moyon Mungu endelee kuwatunzaa nashukuru leo mmekutana

  • @marynakei2621
    @marynakei2621 9 місяців тому +1

    Au Kuna kitabu kinachoeleza mfumo?

    • @joelmusa961
      @joelmusa961 9 місяців тому +1

      kipo kanisani kwa katunzi , kitafute kinaitwa Sadaka ndani mwa sadaka langoni 1 na cha pili ni sadaka ndani mwa sadaka langoni , sadaka inayokamata mfumo , kipo kanisani pale

    • @joelmusa961
      @joelmusa961 9 місяців тому +1

      ua-cam.com/users/liveF3AX_lCV0tI?si=3Rwh_Iu-f79vs8SV angalia hapo na kitabu kipo cover hyo juu

    • @princesmaile5561
      @princesmaile5561 8 місяців тому

      Kanisa la katunzi lipo wapi

    • @joelmusa961
      @joelmusa961 8 місяців тому

      @@princesmaile5561 Andika google Bishop Fj katunzi , itakupa direction kanisa lilipo had kufika , Kijichi mtaa wa Katunzi , Vitabu vinapatikana pia Luther House Posta pale ,