MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: MAOMBI YA KUONDOA VIKWAZO KWENYE MALANGO YALIYO BEBA FURSA ZAKO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 760

  • @nesseniftyjoseph5686
    @nesseniftyjoseph5686 5 днів тому +3

    Mungu awatunze Baba na Mama Mwakasege pamoja na watumishi wote. Amen

  • @EuginiaSospiter-o6p
    @EuginiaSospiter-o6p 3 місяці тому +35

    Ee Mungu najua napitia changamoto nying katika masomo yangu pia na kazi ila 2024 lazima malango yafunguke ..Naamin Mungu wangu utawashangaza wengi 🙏🙏

  • @christinalawrence7493
    @christinalawrence7493 2 роки тому +34

    Mungu akupe miaka mingi mwlm Christopher mwakasege uendelee kutulisha neno lako

  • @AnethMassawe-cr1oe
    @AnethMassawe-cr1oe 8 місяців тому +19

    A year later, nimesikiliza hii video and prayed na Mungu amafungua malango yangu. Mungu ni mwema sana🙏.

  • @lucasmanyerere7644
    @lucasmanyerere7644 2 роки тому +194

    Namshukuru Mungu nilienda nimlifungua malango na nimepata kaz 😥jmn Mungu yupo huyu Baba kama alitumwa kuja kusema na mm mwanzo mwisho nilitamani nimfuate nimwbie Asante baba

  • @danielmbisso4377
    @danielmbisso4377 2 роки тому +26

    Mafunzo mazito sana haya. Utukufu kwa Mungu aliye hai. Ubarikiwe sana Mwl Mwakasege.

    • @dullawax8799
      @dullawax8799 Рік тому

      Mungu nakushukuru kunibadirisha kiimani naomba unisaidie nikushike mungu wangu nifungue mapito ninayo yapitia

    • @alantemu9556
      @alantemu9556 9 місяців тому

      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai

    • @ASIADUNIA-v2u
      @ASIADUNIA-v2u 3 місяці тому

      ​@@dullawax8799GG

  • @sylviamassawe9905
    @sylviamassawe9905 2 роки тому +27

    Najiunganisha na hii madhabau ya huyu mtume wako bwana kila madhabau nilizounganishwa nazo kwakujua au kwakutokujua ikavunjwe na hii madhabau ya mtumishi wako AMEN

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj Рік тому +27

    Asante Mungu kwaajili ya maisha ya mtumishi wako, mwl. Christopher Mwakasege.
    Sifa na utukufu ni vya kwako maana unastahili.

    • @mozesSenyo
      @mozesSenyo 7 місяців тому

      ❤❤❤❤

    • @meshackdaniel994
      @meshackdaniel994 3 місяці тому

      Hapana sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyempa hekima na huduma ya ualimu

  • @esthershija5442
    @esthershija5442 Рік тому +17

    Amen nimebarikiwa sana na maubili yako Mchungaji Mungu wa mbinguni na akubariki sana . Nimefunguliwa kuanzia leo mambo yangu yote yamefunguka kwa Damu ya Yesu Amen

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 роки тому +3

    Asante sana Mwalimu Christopher Mwakasege.., kunakitu nimepata leo.
    Mwenyenzi Mungu Azidi Kuibariki Huduma yako ya Mana!!!!!!!

  • @FurahiniTina
    @FurahiniTina 20 днів тому +2

    Asante yesu kwa neema na ukuu wako🙏

  • @IrineJohn-e2v
    @IrineJohn-e2v Місяць тому +2

    Ee mungu nakuja mbele zako naomba toba na rehema napo enda kumaliza mwaka huu 2024 naomba kibali nikakutumikie vema na ukanifungulie malango ya baraka na amani amina

  • @JuliethSamwel-m1f
    @JuliethSamwel-m1f 7 годин тому

    Malango yangu yamefunguka nimepata kaziii Hallelujah YESU ASANTE, BIASHARA YANGU IMEKUWA MALANGO YA FURSA YAMEFUNGUKA YESU ASANTE,BARIKIWA SANA BABA

  • @agnesmallya7781
    @agnesmallya7781 2 роки тому +14

    Haya ni maneno ya Roho wa Mungu aliye ndani yako Mwal Mwakasege, Barikiwa sana wewe na familia yako kwa ajili ya utukufu wa Mungu

  • @nicksonmuyemba3152
    @nicksonmuyemba3152 2 роки тому +2

    Amen, ubarikiwe San mtumishi wa MUNGU, Nina Imani nimepata kaz Kwa maombi yako.

  • @philipoelia3254
    @philipoelia3254 2 роки тому +12

    Unatumiwa na mungu kwa viwango vya juu sana mwakasege mungu akibariki mteule

    • @Julius-n4n
      @Julius-n4n 9 днів тому

      mtumishi jitahidi kufanya mazoezi ya kuandika jina takatifu ukianza na herufi kubwa au liandike kwa herufi kubwa tupu. Tofauti na hapo unakuwa una maana tofauti. Yesu akutunze.

  • @GradyDanny
    @GradyDanny 8 місяців тому +1

    Asante mungu kwa neno lako hakika malango yamefunguka kwa jina la yesu🙏

  • @SusaneChilewa
    @SusaneChilewa Рік тому

    Ubarikiwe na. Mwenyezi Mingu,kwa mafundisho haya.Sema tupone!!!!

  • @EuniceHezron-g5j
    @EuniceHezron-g5j 11 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi.....Mungu wa mbinguni azidi kufanya kitu ndani yako......

  • @zubedaomari3298
    @zubedaomari3298 21 день тому +1

    Asante Mtumishi wa Mungu

  • @AbuuAchiles
    @AbuuAchiles 5 місяців тому +1

    Baba naomba mungu akubariki sana naomba uniombee kwa sababu ya ndoa yangu shetani anaiaji kuivuluga sina tumaini isipokua ni yeye yesu , amina

  • @labanmwenyewe6777
    @labanmwenyewe6777 Рік тому +10

    Laban chivole from Kenya nimefatilia mafundisho yako toka 2002&has helped me a lot God bless you man of God 🙏

  • @jonathanrwezaula6676
    @jonathanrwezaula6676 2 роки тому +11

    Ahsante Sana Mungu wetu uliye mwema. Ahsante kwa jinsi unavyomtumia Mtumishi wako kwa ajili yetu. Nunakuomba uzidi kumpa neema na kibali

  • @paulinemrosso2157
    @paulinemrosso2157 2 роки тому +13

    Neno la Mungu ni jipya kila siku asante sana Mtumishi

  • @colethachaula592
    @colethachaula592 2 роки тому +24

    Mungu akubariki Sana mtumishi, pia ninaomba mungu aniponyee mdogo wangu afunguliwe anaumwa tumbo kwa mda mrefu,ee mwenyezi mungu ninaomba unisikie.

    • @helenmghwira6621
      @helenmghwira6621 2 роки тому

      Pole Mungu atamponya

    • @GeorgeSebatian
      @GeorgeSebatian Рік тому

      BWANA YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake tazama tumepewa mamulaka yakukanyaga Inge na nyoka YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake

  • @PendoMwangende
    @PendoMwangende 7 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana nimepata kitu Cha tofauti MUNGU andelee kukupa nguvu ktk huduma hii

  • @christinamwandri955
    @christinamwandri955 2 роки тому +9

    Ameni mtumishi wa mungu naomba mungu akamponye mtoto wangu tumbo linamsumbua
    Sana naamini atafunguliwa kwa jina la Yesu

  • @StellaMagnus-t8n
    @StellaMagnus-t8n 11 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi.
    Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.Amen.

  • @upendo9326
    @upendo9326 2 роки тому +3

    MUNGU wangu naomba utuponye mimi na familia yangu watoto wangu wakawe kichwa Amina

  • @jacquelinembanda
    @jacquelinembanda 2 роки тому +19

    Nimebarikiwa sana na mafundisho haya 🙏🏽💯%

  • @josselinijosiah8370
    @josselinijosiah8370 Рік тому +16

    Mungu naomba uniondolee roho ya kiburi cha uzima. Nipe kuutafuta uso wako na mengine Nita ongezewa toka kwako

  • @abby-qd3qx
    @abby-qd3qx Рік тому +10

    Ameeen napokea roho ya maombi kwa Jina la YESU🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @kuphakumbo7578
      @kuphakumbo7578 Рік тому +1

      Ameen na pokea kufunguliwa kwa malango kwa jina la yesu Ameen

    • @wanjikumumbua
      @wanjikumumbua Рік тому

      Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.

    • @wanjikumumbua
      @wanjikumumbua Рік тому

      Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.

    • @meshackmahrina1492
      @meshackmahrina1492 Місяць тому

      Ameen 🙏🏿

  • @alexkatana5827
    @alexkatana5827 Рік тому +5

    Asante kwa mahubiri yako mtumishi naomba uniombee nipate kazi na amani katika ndoa yangu pia mume wangu akombolewe kutoka kwa giza

    • @Jobmwakasyele
      @Jobmwakasyele Рік тому

      😂asante kwa mahubiri yako mtumishi niombee nitoke gizani

  • @justinemagige1439
    @justinemagige1439 День тому

    Najiungamanisha na baraka hii naomba damu ya Yesu inisaidie katika pito langu Mungu nisaidie

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 2 роки тому +5

    Asante mwalimu kwa mafundisho. Bwana anapendezewa na wewe. Maana tunazidi kumjua na kumwamini kupitia mafundisho hayo. Jina la Bwana liendelee kutukuzwa

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 2 роки тому +16

    Mungu akutunze mwalimu mwakasege, kweli wewe ni baraka katikati yetu.

  • @Ole-o5k
    @Ole-o5k 3 місяці тому

    Amina naomba mungu akafungue milango yang ya baraka na kwenye mitihani yang ya necta nifaulu kwa damu ya yesu 🔥

  • @estamichoromichoro5634
    @estamichoromichoro5634 Місяць тому +2

    Nifungua malango yote yaliyofungwa na shetani kwa kutumia madhabahu hii kwa jina la YESU 🙏🙏🙏

  • @DivanaJulius
    @DivanaJulius 13 днів тому +2

    Mungu fungua maisha yangu popote nilipo fungwa pafunguke nimetesek sana sasa inatosha naitaji kibali chok ili nisitawi kila hatua ninayo piga

  • @JescaMwakipesile
    @JescaMwakipesile Рік тому

    Amen. Mwalimu mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu na mtulivu. Ninamshukuru Mungu nafaidika sana kwa mafundisho yake.

  • @DoriceKilawe
    @DoriceKilawe 9 місяців тому +1

    Eeeehh mwenyezi mungu najikabizisha mbele zako na hii ibada takatifu

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh 2 місяці тому

    Ameen Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anipe Mume ninaamin Kwa Mungu anapatikana 🤲🤲🙏

  • @aloycesiaitys607
    @aloycesiaitys607 2 роки тому +14

    Miamba ya Yesu Kristo mmbarikiwe sana napenda sana mahubiri yako na mpakwa mafuta Katunzi .

    • @hildamzee6719
      @hildamzee6719 2 роки тому

      Asante baba kwa mafundisho matamu kweli kweli mbarikiwe sana. Ammmmeeeen

    • @sabrinagabriel9208
      @sabrinagabriel9208 2 роки тому

      Ameen

    • @aliethmgode389
      @aliethmgode389 2 роки тому

      Mungu aendelee kukutumia Mr mishi wa Mungu jimejifunza kitukipya

  • @helenmghwira6621
    @helenmghwira6621 2 роки тому +4

    Ninamkomboa mwanangu Elibariki ktk kila sehemu aliyofungwa na adui. Amen

  • @helenmghwira6621
    @helenmghwira6621 2 роки тому +4

    Mafunzo ya msingi sana haya ila bila ya masikio ya roho hutaelewa hata mstari mmoja. Asante mwl Christopher. Mwaka huu umekuwa na mafunzo ya msisitizo sana.

  • @ScolaDominick
    @ScolaDominick Рік тому +1

    Thanks lord.

  • @ChuoChaUrembonaFashion
    @ChuoChaUrembonaFashion Рік тому +1

    Navuka baba barikiwa sana

  • @christinamaston7531
    @christinamaston7531 18 днів тому +1

    Amen Asante yesu

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 2 роки тому +1

    Naomba uwasaidie watoto wetu kutengeneza mahusiano MAZURI na Mungu.
    Amina🙏

  • @JanethShirima-i4l
    @JanethShirima-i4l 2 місяці тому +1

    amina mwalimu Mungu akupe maisha marefu

  • @BetriceMagesa
    @BetriceMagesa 2 місяці тому

    Amen na kwamini Mungu utafanya zaidi ya mawazo yangu maan wewe Mungu ulinijua toka sija zaliwa ivyo hatima yangu iko kwako Mungu.

  • @mariachengula5166
    @mariachengula5166 Рік тому

    Ameni barikiwa mtumishi wa Mungu Kwa Ujumbe wa kutuvusha kwenda hatua nyingine

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 5 місяців тому

    Barikiwa sana Mwalimu nakuelewa sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @evelynealphonce754
    @evelynealphonce754 4 місяці тому

    Amen mungu ukabariki malango ya familia yang,watoto wangu na kila nigusalo likabarikiwe

  • @robertmnyanyika525
    @robertmnyanyika525 2 роки тому +27

    Vitu vingumu sana hivi bila ufahamu wa Mungu hautaelewa,,,Baba Mungu azidi kukutunza

  • @LALAHESANAREMOLLE
    @LALAHESANAREMOLLE Рік тому

    Mungu akuongoze ktk njia zako mtumishi wa Mungu na akuongezee miaka ili uendelee kutuubiria injili barikiwa sana mtumishi wa Mungu Emmanuel from Kenta.

  • @DanielyFoya
    @DanielyFoya Рік тому

    Amina kwa neno lako na amini nitafu nguliwa mungu mbariki mtumishi wako

  • @HappinessPalangyo
    @HappinessPalangyo Рік тому

    Amen Mungu akulinde akupe maisha marefu na wajukuu zetu wapate mafundisho ya Kristo kupitia wewe

  • @GodephridUwimana
    @GodephridUwimana 26 днів тому

    Eeeeh mwenyezi mungu ninalika damu ya yesu ifunguwe itaji zangu amen

  • @naomifungo4840
    @naomifungo4840 Рік тому +2

    NIMEBARIKIWA SANA NA SOMO HILI,,,,,BWANA YESU ASANTE KWA UTETEZI WAKO JUU YANGU NA UZAO WANGU.... AMEEEEN TENA AMEEEEN

  • @pendoseburuka8457
    @pendoseburuka8457 Рік тому +3

    Mungu akutenzecMwalim na mama mlitumikie shauri la Bwana

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 2 роки тому +15

    Amina Hakika nimebarikiwa na Naamini nimefunguliwa kila kifungo kilichokuwa kimenifunga katika Jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏🙏

  • @neemasawere6322
    @neemasawere6322 6 місяців тому +2

    Ahsante MUNGU kwa Neno hili, maana umenitendea mambo makuu sana katika maisha yangu

  • @SimoniMbela
    @SimoniMbela 8 місяців тому +1

    Asante yesu Kwan kumuanda mtoto wako kwaajili yawatanzania na inchi nyingine,

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 2 місяці тому +1

    Uyu baba jamn Mungu uendelee. Kumpa miaka mingi

  • @lilianachayo
    @lilianachayo Рік тому

    Mungu asante kwa silaha hii umefanya mikononi mwako kuondoa giza nene machini pangu barikiwa sana mtumishi

  • @eunicejuma2402
    @eunicejuma2402 Рік тому

    Nashukuru God Kwa umbali huu amenitoa na ni mbali amenifikisha

  • @EsterNdalu
    @EsterNdalu Рік тому +1

    Amina mtumishi ubarikiwe sana

  • @neemathomas-sm3tk
    @neemathomas-sm3tk 4 місяці тому

    najiungamanisha na naombi haya malango yangu yakapate kufunguka niponywe mimi na familia yangu amen

  • @ENISAKAPYELA
    @ENISAKAPYELA Місяць тому

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu asante kwa ujumbe huu

  • @KijaJohn
    @KijaJohn 4 місяці тому

    Najiungamanisha na maombi haya naomba mungu atuondolee vikwazo mimi na familia yangu

  • @sarahbaptister1429
    @sarahbaptister1429 2 роки тому

    Nimebarikiwa Sana na mafundisho.Asante yesu Kwa ajili ya mwalimu wa kiroho uliyetupatia.

  • @neemanyagawa9479
    @neemanyagawa9479 Рік тому +1

    Baba Ubarikiwe Sana

  • @AgripinaAporinary-dn9wn
    @AgripinaAporinary-dn9wn Рік тому

    Mungu akubariki Mtumishi kwa mafundisho yako mimi Nabarikiwa

  • @angelamwangulumba1510
    @angelamwangulumba1510 Рік тому

    Barikiwa mtumishi Kwa kutulisha neno la uzima

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 2 роки тому +3

    Amen 🙏 🙏 🙏 mtumishi wa mungu aki wanielimisha sana kiroho mungu akuzidishie kwa neno zuri

  • @lulumayemba1233
    @lulumayemba1233 6 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi nina imani kwa mafundisho yako na maombi yako leo nina imani naenda kufuliwa malango niliyofungwa ya kukosa kaz

  • @johnrichard3666
    @johnrichard3666 Місяць тому

    Mungu ni mwaminifu siku zote

  • @ronalddaniel7865
    @ronalddaniel7865 2 роки тому

    Nashukuru sana Mungu kwa hili somo nimejifunza sana na nimepokea

  • @elizabethmichael8774
    @elizabethmichael8774 2 роки тому +3

    Mungu akubariki sana mtumishi Mwakasege🇹🇿

  • @ShimitiJumaah
    @ShimitiJumaah Місяць тому +2

    Eee Baba mwenyezi muumba wa mbingu na aridhi naleta kwako ombi langu pepo wa chafu hawana mamlaka mbele Yako nisaidie bwana 🙏🙏

  • @NeemaUlediMaisha
    @NeemaUlediMaisha Рік тому

    Ahsante Mwalm kwa hili somo🙏

  • @AricaFungo-gq9fz
    @AricaFungo-gq9fz 11 місяців тому

    Thankyou dear Lord 🙏🙏ntazidi nyenyekea kwako

  • @augustahamdani6699
    @augustahamdani6699 Рік тому +2

    Najiunganisha na Madhabahu hii mimi na familia tufunguliwe kila vifungo viliyowekwa maishani mwetu vifunguke kwa Jina la Yesu. AMEEEN

  • @NathanielyMkunda-hz2px
    @NathanielyMkunda-hz2px Рік тому

    Mungu azidi kuachi roho wa hekima na maarifa kwako amina

  • @seurisilanga1997
    @seurisilanga1997 26 днів тому

    Mungu naomba ufungue milango yangu ya fursa au ya Kazi 🤲🙏

  • @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
    @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 11 місяців тому

    Asante MUNGU ulietupatia huyu Baba mwenye utayari mkubwa wa kuokoa roho zetu, tupate wapi tena mtu kama huyu

  • @juniormachariawambui
    @juniormachariawambui 10 місяців тому

    Nguvu za rohoo mtakatifu zikajae ndani yako mwalimu

  • @bablajemsi7076
    @bablajemsi7076 2 роки тому +6

    Nakupenda sana baba unaongozwa na roho wa Mungu mwenyewe

  • @stephaniepayet9161
    @stephaniepayet9161 2 роки тому +7

    Nime barikiwa katika jina la Yesu na kumfunga Mumewangu Asitamani Mwanamke mwengine katika jina La Yesu

    • @thabedamian3813
      @thabedamian3813 Рік тому

      Hahaahaha

    • @annakbunga8377
      @annakbunga8377 Рік тому

      Unamfunga asitamani mwanamke unajuwa unamfunga na ufahamu wake kazi Mipango kila kiti😅

  • @Sanweli
    @Sanweli 11 місяців тому +2

    Mwalimu unafundisha Mungu azidi kutufungua masikio ya kiroho tupate kumjua zaidi na zaidi Ubarikiwe sahna🙏

  • @RojaKiss_tz
    @RojaKiss_tz 2 місяці тому

    Pastor ubalikiwe sana

  • @ChristopherPetro-fe8bg
    @ChristopherPetro-fe8bg Рік тому

    Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi wa Mungu wajina wangu

  • @LucyEmilyo
    @LucyEmilyo 26 днів тому

    Mwali aise hakika nimemuelewa mno hakika afya njema maombi yangu

  • @nitweleenock2287
    @nitweleenock2287 Рік тому +3

    Naomba mungu mm na familia yangu.ayafungue Maisha yetu ameen

  • @AlfatAlone
    @AlfatAlone Рік тому

    Dah bro thanks so much Asante bhan😊

  • @VictoriaAssey
    @VictoriaAssey 7 місяців тому

    mungu naomba niondole moyo wamajivuno pamoja na familia yangu linda watoto wangu

  • @gloryfaustine9252
    @gloryfaustine9252 2 роки тому +5

    Mungu azid kukutumia kwa viwango vikubwa baba

  • @NsiaSwai-g4p
    @NsiaSwai-g4p Місяць тому

    Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako

  • @ingutiaeliakim1689
    @ingutiaeliakim1689 Місяць тому +2

    Amen