HOFU INAVYOWEZA KUWA MLANGO WA KUSHINDWA KWAKO - MIN.SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 29 тра 2019
- Ibada mubashara kutoka Huduma ya Reality of Christ iliyopo Sinza Mori Dar es salaam inayoongozwa na Mtumishi Sunbella Kyando - +255 657 173322
#Sunbella_Kyando #ROCTV
Nakataaa roho ya hofu ndani yangu Kwa jina la yesu😢
Mimi nikingali na fwata mafundisho hii m 2020.wandungu wapedwa kama umikumbali neno la mungu wetu aliye juu binguni gonga liki nauseme AMEN 🙌🙌
Ameen
Asante sana Mtumishi 🙏🏾 kuanzia leo nakataa hofu kwa jina la Yesu.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, kiukweli nimejifunza na sitakuwa na hofu tena kwa jina la Yesu kristo wa Nazareti aliye hai
Nakataa roho ya hofuu kwa jina la Yesu 🙏🙏 Barikiwa mtumishi wa Mungu
Yesu nisaidie hii roho iondoke ndani yangu. Katka jina la Yesu Kristo
Mamb
Mungu aniokoe na shimo na hofu natiwa nguvu na maombi YAKO.
Eeh mungu niondolee roho ya hofu baba umeniguza
Thank you GOD for bringing him to us
Great message mtumishi tuned in from Seattle
Mungu akubariki Mtumishi, nabarikiwa sana na mafundisho yako.Nakupenda Baba.
mungu naomba nitoe hofu moyoni mwangu
Eee mungu baba niondolee roho y hofu maishani mwangu
Asante Sana mtumishi wa mungu umenijenga kiimani
Mungu naomba uniondolee hofu katika maisha yangu. Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
We mtumish ninoma on mekupabigapuuuuu !!!thenks .
Ninaikataa roho ya hofu kwa jina la yesu kristo
Thank you, God bless you 🙏
I get the point, good massage God bless you 🙏
Naomba mungu uniondolee uwoga ndio niweze kuwa na confident nifanye kulinga na mapenzi yako
Nabarikiwa na mafundisho yako kila siku katika mitandao ...kupitia mahubiri nimekombolewa na kupokea uponyaji
A True servant of God,,thank you for the word ..am Gabriel from Kenya..
Barikiwa Sana pastor... Unanivusha...
Barikiwa mtumishi wa Mungu, namuomba Mungu anisaidie kwa sababu nasumbuliwa na roho ya hofu. Niombee nipone kwa jina la Yesu Kristo.
Amen amen
Mungu akubariki Sana umetibu moyowangu
Thank you God for your good servant.
Naikatakata roho ya hofu ndani yangu katika jina la Yesu Kristo ianguke chini Kama umeme
Asante mtumishi
Nakataa na roho ya hofu kwa jiina la YESU
Mungu akubariki sanaaa baba nimebarikiwa mnoo
Ubarikiwe baba Nmevuka
Amen🙏🙏
Hili somo linanihusu 100% naomba Roho Mtakatifu anisaidie
Mungu akubariki xna kw kufndixha hili somo kwanzia leo hi hofu imeixha kw jina la yesu wa Nazareth
Libarikiwe tumbo la mama aliekuzaa
Aminaa kubwa naomba mungu nami nitoe hofu
Nashukuru mtumish w mungu nikoivyo kwanzia sasa mungu niondolee ofu
Asante Mtumishi Kuanzia Leo nakataaa Roho ya Hofu maishani Mwangu
This is more than 💎💎🎓🎓 thanx God for give us your servant.🙌🙌🙏🙏
nakalikiwa sana baba Mungu akubaliki
Ubarikiwe mtumishi,umenitoa sehemu.
Ahsante kwa somo na mafundisho mazuri
Mwalimumuzuriwakiroho nimahaja yakukuona usoso kauso naishi Rwanda mungualinijalia nitakujahuko
Nakusoma mtumishi I see breakthrough
Nakemea roho ya hofu katika Jina la Yesu Amen 🙏
Amen
Amen
True Man of God
Such deep truth can only be inspired by the Holy Spirit
Hali hii imenitesa Sana YESU nivushe sasa nakusihi
Huyu msomaji wa Biblia yuko vizur sana anasoma kwa suit nzuri mno, abarikiwe sanaaa
Angalia shetani asije kukusemesha neno lingine Kwa kutafakari hiyo sauti.
🙈🙈
Great message.Be blessed.
Amina baba nime pona leo
Mungu akubariki sana mtumishi🙏
Hili somo limefanyika baraka na litaleta mabadiliko makubwa katika maisha yangu..
ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Amina lazima nipone na hofu maana nihofu na roho ya mauti kuanzia muda huu nafuta kwa damu ya yesu kristo
Nimeelewa baba mungu anisaidie
I love your teachings MOG
Kwel kabisaaaa,, Mungu WA mbinguni azidi kujubariki
I have been so blessed.God bless
Ubarikiwe sanaaa mtumishi...
Hofu anajua tuyawazayo naye hufanya kazi yake kwa kutizama mawazo yetu
NAIKATAA HOFU KWA VITENDO KATIKA JINA LA YESU
Nakataa roho ya hofu ma woga kwa Jina la Yesu
Ameen
Ayubu 3:25
[25]Maana jambo hilo nichalo hunipata,
Nalo linitialo hofu hunijilia.
For the thing which I greatly feared is come upon me, and that which I was afraid of is come unto me.
Asante kwa hili somo
Nakusikiliza katika Tunduma
Nahitaji mawasilianono na wewe kwa mda sasa,skupati naongea na wasaidizi wako tuu,nijulishe kama kunautalatibu mwingine wakuweza kukufikia,na Mungu akubaliki sana Mtumushi pindi utakapo nipatia coneksheni ya kuwasiliana nawe
Amina.Mtumishi wa Mungu.
Thank you for the lesson
May God bless you abundantly
I hope I shall be able to stand out with much strength and fight the unknown to the known
Nice teachings am really blessed
Mtumishi tunabarkiwa sana. Mungu azidi kukujaza ufahamu.
Sitokuwa na hofu tena kwajina la yesu
Naikataa hofu kwa jina la Yesu
Appreciate
Be blessed always @reality of Christ ministry
Nakushukuru baba kwa neno limenibariki sana
Asante dada kwakunielimisha nisha kupata vizuri
Amen
Amen Ameen 🙏🙏🙏
Somo Kubwa sana Nakushukuru sana Mtumishi wa Mungu endelea kutufungua
Amen, Mungu atukuzwe sana 🙌
@@realityofchristchurch Ibada inaanza saa ngapi na kwisha saa ngapu siku ya kesho?
Nakata roho ya hofu kwajina la Yesu
Ni kweli kabisa hofu uleta kushindwa juu ya jambo fulani
Hakika nimejifunza SoMo zuri
Aminaaaa Pastor, napokea kutoka Songea, nabarikiwa sana kwa mafundisho yako, barikiwaaaa
🙏🙏
Umenifundisha kitu kikubwa sana Mungu Akubariki Mtumishi
Nilikuwa naombaga kila siku nipate mtumishi atakayenifundisha nimjue mungu.asante mungu kwa hii zawadi.ata nimalize bando kwa ajili yko sijutii
Somo zuri hkk limenifnza
Nime jifuza sna
Hata daudi alishikwa na hofu. Alipo jigeuza mwendawazimu. Na alikimbia sauli. Pia akakimbia mtoto wake absalomo. Una fundisha vizuri ila kuna hofu amboa siyo mbaya.
Mtumishi ubarikiwe sana. Sijutii kukufahamu kupitia Chomoza. Nakosaga raha nikikosa mb. Ila ile namba ya group la whatsap nilituma sms lakini haijasomwa mpaka leo. Natamani kujua kanisani kwako
Hivi kuna group la kupata mafundisho, kama lipo namimi nataka kuungwa
Asante Mtumishi kwa somo
Mungu akubariki unatufungua akili sana
Hio FEAR OF UNKNOWN roho wake mharibifu anakuja kuharibu nini kwenye maisha ya mhusika?
Kwenye tatizo yote hofu inaondoka wakati Mungu anakupa ufunuo. Ila mwenye pepo ya hofu ni lazima apate ukombozi
Kama umemsikiliza vizuri mpendwa hofu inayouzungumziwa ni roho kamili
Ubarikiwe Mtumishi naitwa Mch Joseph petro kutoka mwanza.Nimeandika kitabu kinachoitwa shinda hofu ishi kishujaa na kimepokelewa vizuri sokoni.Natamani kuongea na wewe somo hili limenibariki sana 0754588198 ndio namba zangu
Wasiliana nasi kwa simu namba 0657173322
Nakata kwa jina la YESU KRISTO,hofu inihondoke kwa maisha yangu 🤺🤺
Nimepokea kwajina LA Yesuu
Mchungaji 🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝 (ila usiwe kama BULL-DOZA) 🤪
Lipo wapi ili kanisa I want to join tafadhali nijulishwe
Kanisa lipo Dar es Salaam, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Karibu sana.
Ayubu aliongea hivyo, kwa sababu hakujua kama ni Mungu aliruhusu yale matokeo yote.
Ndiyo mana tunafundishwa tunamuhitaji sn Roho mtakatifu
Mimi fungu lakumi natoa nanimiti jinzi mandiko inasema sisengenyi. Sitharu sisemi huongo but simbariki niko palepale tu kuamini nimeani mpaka nimechoka sasa ata kuamini sasa
Ubarikiwi kwa sababu unatoa hili ubarikiwe hutoi kwa moyo
Imani yako ndio tatizo kwako.
Yaani namaanisha kinywa chako, nafsi na ubongo/akili yako vinapishana wakati wa maombi
Hama iyo madhabahu uliyopo
Biblia inasema watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa yawezekana huna maarifa ndio maana unaangamia na kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa ndugu
Baraka ni kuwabariki wengine! Baraka zako unapata ili uwabariki wengine ndio maana hukosi fungu la kumi! pia usijione mkamilifu mbele za Mungu
Mwalimumuzuriwakiroho nimahaja yakukuona usoso kauso naishi Rwanda mungualinijalia nitakujahuko
Please mutumishi wa mungu mimi naomba tu
I wish ningepata mafundisho hayo miaka 9 iliyopita😥😥😥
Mtumishi ubarikiwe sana. Sijutii kukufahamu kupitia Chomoza. Nakosaga raha nikikosa mb. Ila ile namba ya group la whatsap nilituma sms lakini haijasomwa mpaka leo. Natamani kujua kanisani kwako
Amen
I believe in Jesus name.amen
Asate mtumishi