The grace which is upon this man of God is too much. I started listening to his songs a while ago and they are powerful worship songs. He uplifts the spirit of God in me. God bless you man of God.
Najua hili neno n wengi walitoka hiyo siku kama wamekwazika Mungu amekufunulia ufunuo wa kweli atakaye kubali na kusikia huo ujembe atabarikiwa atakaye kata damu yake haitadaiwa kwako Amen
Asante kwa somo zuri Mt wa Mungu Nina swali baba,je kama huyo ninaemwita babangu wa kiroho anabia ya uzinzi nikae hapo kanisani tuu au niondoke maana biblia inasema tuikimbie zinaa
Amen mtumishi nimebarikiwa sana na mahubiri yako mungu anipe neema kupitia madhabahu haya. Naomba uniambie Ile song nimekukimbilia ewe Bwana ili nisihaibike.Asante Re.Abiudi.
Yani napona jamani tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anaka ndani yake mchungaji unahubiri kweli ya Mungu bila kupindisha tupate wapi watu kama wewe barikiwa sana
MUNGU Akubariki Mchungaji Abiud kazi Yako ni njema nakupata nikiwa Marekani Unakumbuka Wimbo wako mke wako akiwa mazito Acheni MUNGU aitwe MUNGU analiangalia neno lake alitimize Umemtimikia Kwa Uaminifu MUNGU aendelee kukuinua Wengine wajifunze kutoka kwako Unabariki watu wengi Amina🙏🙏🙏🙏
Mtumishi wa mungu haya unayoyaongea ni kweli kabisa leo hii kanisa na wana dunia huwezi kuwatofautisha . Wana wa mungu wengi wamemezwa na dunia na shetani amewafunika, Hivyo tunahitaji kuwapata watumishi wangu wenye ufunuo wa Mungu ndani yao. .
Kuhusu mapambo ni kweli sio mazuri sku 1 nilionyeshwa mtu kafumua lasta wadudu wanatoka nikaogopa sana Mungu atusaidie balikiwa sana baba somo zuri sana.
Nikitambo nilikuona, nyimbo zako zilinibariki sanaaaa, siku zile ulikuwa mwembamba bila kipara. Ubarikiwe sanaaa Mtumishi misholi.
Nabarkiwa na nyimbo zako na neno pia Mungu akuinue sana
The grace which is upon this man of God is too much. I started listening to his songs a while ago and they are powerful worship songs. He uplifts the spirit of God in me. God bless you man of God.
Amen 🙏 mtumishi napenda sana nyimbo zako barikiwa .
Najua hili neno n wengi walitoka hiyo siku kama wamekwazika Mungu amekufunulia ufunuo wa kweli atakaye kubali na kusikia huo ujembe atabarikiwa atakaye kata damu yake haitadaiwa kwako Amen
Asante kwa somo zuri Mt wa Mungu Nina swali baba,je kama huyo ninaemwita babangu wa kiroho anabia ya uzinzi nikae hapo kanisani tuu au niondoke maana biblia inasema tuikimbie zinaa
Clara unasubiri nn hama hapo mapema hilo sio kabira toka usalimishe roho yako
Ondokahapo nikaolashetani
Amen mtumishi nimebarikiwa sana na mahubiri yako mungu anipe neema kupitia madhabahu haya.
Naomba uniambie Ile song nimekukimbilia ewe Bwana ili nisihaibike.Asante Re.Abiudi.
Amina Mtumishi...yang'oke tu mahereni mapete na mawigi..udunia.❤
Mungu akupiganie akupe miaka mingisana ya kutumika uzidi kuinena kweli ya Mungu amen!
Ujumbe mzuri Mchungaji Abihudi. Neema ya Mungu iendelee kukufunika kwa huduma na utumishi uliotukuka.
This sermon is really a blessings
Nmewamis watu wa arusha kwa baba yang Mwizarubi,hongereni kwa semina ya pst Misholi
Yani napona jamani tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anaka ndani yake mchungaji unahubiri kweli ya Mungu bila kupindisha tupate wapi watu kama wewe barikiwa sana
MUNGU Akubariki Mchungaji Abiud kazi Yako ni njema nakupata nikiwa Marekani Unakumbuka Wimbo wako mke wako akiwa mazito Acheni MUNGU aitwe MUNGU analiangalia neno lake alitimize Umemtimikia Kwa Uaminifu MUNGU aendelee kukuinua Wengine wajifunze kutoka kwako Unabariki watu wengi Amina🙏🙏🙏🙏
MCH Abihudi Misholi..., Nikifikiri Maisha yangu Album ❤❤❤❤❤❤
Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU nimejifunza sana Mungu akubariki Zaid glory to God
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Unahubiri kweli ya Mwenyezi Mungu. Mungu aendelee kukutumia viwango hadi viwango.
Mungu atusaidie kwa kwel
Wapendwa watu wa mungu, mungu amejifunua kupitia mtumishi abiud abarikiwe san
Ubarikiwe sana mtu mtumishi wa Mungu ume nijenga
Amen nimebarikiwa sana na hili funzo mtumishi Mungu akubariki sana
Hakika injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu KWa mwanadamu!! NAPENDA sana injili ya kwel hii co ya kubembelezana . BARIKIWA sana Mtumishi!!!
Mungu aku bariki mchungaji muzuri wa Mungu,nakufata toka RD CONGO BUKAVU 🇨🇩🇨🇩n'a nime barikiwa saana Hata n'a kwa nyimbo zako 🙏
❤❤❤ kwa jina la yesu kristo wa watakatifu wa nami naomba nifunguliwe
Pole sana kwa mafundisho hii nimejengwa ki imani nakufata toka D.R Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi
Achsanti baba ubarakiwe n'a mungu akuzidishiye nimebarikiwa sana kuusu nywele kuusu kujipamba achsanti baba
Nafuatilia kutoka Kenya 🇰🇪 Mungu akulinde mtumishi Mishioli.
I'm proud to be Here..Praise The LORD❤❤❤
Mungu akubariki sana aendelee kukutunza uendelee zaidi na zaidi Amina
1:01:11
Vile tuuu Mungu anavyo kutumia..Namfurahia Bwanaaa
Ubarikiwe mchungaji, nimepata kuyafahamu baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayafahamu. Mungu anisaidie
Hakika una roho wa Mungu ...Ubarikiwe
Great great Man of God thanks for your spiritual message
Neno la Mungu ni upanga linakata, Mtumishi wa Mungu ukweli Mungu amekuita 🙏🙏
Amina baba Mungu akubariki sana
Papa ubarikiwe Sana mimi ni mwanafuzi wako uku Congo katanga ku kolwezi
Nabalikiwa sana mtumishi wa Bwana Yesu akutunze sana
Neno la Mungu no moto ubarikiwe mtumishi
Kumbe akina Moses Kolola wanaishi, MUNGU akubariki sana, umeni inspired sana
Amen Glory to God be blessed Man of God
Abiud Mungu akubariki sana Kwa injili ya uzma
Amen Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Be blessed man of God for the wise word of wisdom.
Yes yes
jaman mungu akutunze unabadili sana Imani yangu
Mchngaji ubarikiwe nabarikiwa sana mungu anatenda kazi ndani yako sifa na utukufu ni kwa mungu
Mimi murundi nampenda Sana abiud namufatiliya Sana.
Barikiwa sana mtumishi,kupitia haya maombi yangu eeeh mungu kutana na maitaji yangu masaaa haya
Amen mutumichi
Mchungaji Abiudi Mungu akuzidishe
Mungu akup mwisho muzuri
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Asante Yesu Kwa neno .Nimefunguka
Umependeza mtumishi
Mungu akubariki abiud nakumbuka ulkujaga bbt kuhubr nilbarikiwa San! Mungu atuepushie na dhiki kuu
Ameen,hakika nimebarikiwa nahili somo
Mungu aendelee kukutunza ucku na mchana
Tes cantiques m inspirent vraiment. Que Dieu te bénisse.
Amina kubwa kwa somo zuri la kujenga kanisa.
❤❤🎉 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kukupa nguvu ya viwango vya juu ya kuhubiri
Mchungaji wetu yeye anaombea bule wewe amini tu kuwa Mungu anaponya utapona tu balikiwa mtumishi Abyudi Mishori
Amen 🙏🙏🙏 mtumishi Mungu Akubariki Sana
Asante mtumishi Seema tupone
Njoo Moshi mtumishi tufundishe nyimbo za kumsifu mungu
Ubarikiwe naMUNGU akutunze
Amina sana baba Mungu akubaliki
Mtumishi wa mungu haya unayoyaongea ni kweli kabisa leo hii kanisa na wana dunia huwezi kuwatofautisha . Wana wa mungu wengi wamemezwa na dunia na shetani amewafunika, Hivyo tunahitaji kuwapata watumishi wangu wenye ufunuo wa
Mungu ndani yao.
.
Ubarikiwe sana MUNGU akubariki sana
Kweri umependeza mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana umebeba kitu kikubwa
Abiudi nabarikiwa sana sana yani toka nyimbo zako
Mungu akupe maisha marefu ili useme matendo makuu ya mungu
Ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏
Amina Mtumishi wa Mungu
MUNGU akubariki baba mchungaji
Mbona unajiita jina la Mungu zaburi 111:9
Amina
Amen Amen Amen 👏👏👏👏
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
MUNGU akubariki Mtumishi
Mungu akubariki kwa huduma
Hili ndio neno la kupeleka mtu kwe nye uzima wa milele kweli kweli
Asante sana kwakuwa mtoto wako aliotishwa ndoto ukamsikiliza
Nabarikiwa kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
AMEN
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙌🙌
Nasimama kupitia nyimbo zako ubarikiwe milele
Kuhusu mapambo ni kweli sio mazuri sku 1 nilionyeshwa mtu kafumua lasta wadudu wanatoka nikaogopa sana Mungu atusaidie balikiwa sana baba somo zuri sana.
twabwite Muchungaji MUNGU AKUBALIKI SANA na akupenguvu uendereehivo
Ubarikiwe sana baba
Mungu akubariki sana mtumishi
Mungu akupe maisha malef
Mungu akubariki sanaaa
Barikiwa baba🙏
Amina mchungaji n ukweli mtupu
Mtumishi wa mungu barikiwa sana
Powerful massage to the church
Yesu azid kukutumia
Asante yesu
god blessed prophet
Amein Amein
Mungu awenawe kwakazi zake
Aleluyaaaa
Mungu wa mbingu na inchi tusaidio
Hongera sana Mkuu