House Girl

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 82

  • @AnthonySylver
    @AnthonySylver 2 місяці тому +1

    Kaka naomba hapo ukazie Sana wafanyakazi wa ndani tunaumia Sana yaaniiii daah sisemi mengi

  • @Vibewithgigi.
    @Vibewithgigi. 3 роки тому +8

    I love this one,big up bro from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 Рік тому +2

    ❤❤❤ kwakweli iwafikie wote

  • @harrietkemoli2203
    @harrietkemoli2203 3 роки тому +4

    Wambiea tena wasikiea ongeza volume bro may God bless you

  • @gloriamwikali5626
    @gloriamwikali5626 3 роки тому +3

    Wow wow na hivyo ndio mabwana uchukuliwa na house girl.

  • @MrsMiki-kh8et
    @MrsMiki-kh8et Рік тому +1

    Hogera kaka mungu akupe Kila la kheri🥰🥰🥰🥰

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 2 роки тому +1

    Kweli kbx umeongea Ibra jmn mungu akupe maisha marefu 🤲🤲🥰🤗

  • @chance0709
    @chance0709 3 роки тому +2

    then mwisho wanatulaumu wanaume 🕺🕺🕺🕺😂😂😂😂 yaani ibrah Mungu akupe maisha marefu ili tuzidi kukusikiliza

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 Рік тому

      Basi apo mibichwa mikubwa wakati hata mkifanyiwa kila kila bado hamliziki

  • @nazarethchanga2090
    @nazarethchanga2090 2 роки тому +1

    waambie bloooo🏋️

  • @gracegrace5496
    @gracegrace5496 3 роки тому +7

    Kaka ni kweli mm nafanya kazi nafanya kazi hizo zote nafua ad boxa natandika kitanda cha bosi kweli kabsa kaka ujakosea

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 5 місяців тому

      😂😂😂😂Wala hatushangai sisi tunayafanya hayo mpaka chupi zake

  • @saunanzige4314
    @saunanzige4314 Рік тому

    Ahsante kaka kwa somo zuri

  • @rizikirizikirasy9300
    @rizikirizikirasy9300 3 роки тому +3

    Wow nimeipenda😍

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 роки тому +2

    mashallah asante sana kaka

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 роки тому +1

    God bless 🙏 you brother good job

  • @babykerrykenya828
    @babykerrykenya828 3 роки тому +4

    I love this story very true

  • @gracenyambura9753
    @gracenyambura9753 3 роки тому +10

    Bro sisi house girls uwa tunapitia makubwa...ila kwa kila jambo tunamtanguliza mungu tukijua ipo siku

  • @merrymakata9309
    @merrymakata9309 3 роки тому +1

    Broo asante San kwa ushauri unaotupa tunajifunza mengi sana barikiwa San sijui nikupe zawad gani kwa elimu unayotupa ila mungu akuzidishie kwa kila kitu

  • @FarajaSamwel-co9ic
    @FarajaSamwel-co9ic Рік тому

    Hahahahaha umetisha baba

  • @baltazarymagata1146
    @baltazarymagata1146 3 роки тому +2

    Ujumbe uwafikie wamama wote mlio na tabia hii 😎😎

  • @khadijakitsao5451
    @khadijakitsao5451 3 роки тому +1

    Wooo kaka umesema ukweli 🥰🥰

  • @neemakiwone2344
    @neemakiwone2344 3 роки тому

    Message sent kaka Ibrahthedon

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому

    Weuweeee, Nakupenda jeer
    Tuchaneeeee

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 2 роки тому

    Aiseee Bora umesema kuhusu awo mabos wanaotuma wadada wa kazi Kwa Kila kitu ADI boksa ya mumeo afue DD WA kazi duuu hatariii sana

  • @nassorkhamis3654
    @nassorkhamis3654 Рік тому

    Hakika kabisa umeongea maana ndo kawaida Yao hao

  • @teenaoman2137
    @teenaoman2137 3 роки тому

    Duuu hujakosea kaka Kuna watu wamejishindwa balaa mpaka chupi twafua hongereni Sana wajiri

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 Місяць тому

    Hapo ni kweli

  • @sajdasaad1525
    @sajdasaad1525 3 роки тому

    Wow nimeipnda

  • @namunyembastella2543
    @namunyembastella2543 2 роки тому +2

    Wambie hao wamama wa tabia hio wasikie.......ebu musikie nyinyi......

  • @ZainabuKassim-l1c
    @ZainabuKassim-l1c 11 місяців тому

    😂😂😂😂Jamani

  • @ndiiyolazaro769
    @ndiiyolazaro769 3 роки тому

    Nakukubali San brother 💞💞💞👍👍

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому +1

    Hahaha 😅😅😅😅apo unapomchungulia mwishoni

  • @staciegeorge1428
    @staciegeorge1428 3 роки тому

    Hongera kaka funzo kubwa sna

  • @justermajumba1945
    @justermajumba1945 3 роки тому +1

    Baba jiongeze oa hiyo house girl 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maana hii ni imezidi. Nimejifunza kitu

  • @nakuku9238
    @nakuku9238 2 роки тому +1

    Good message

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Wanawake wameigaa tabia zawarabu mikono zilisinyaa hata kufua nguo zandani mmeshindwaa hata kusafisha chumba chako..mm huwa nasema hawatukomoi tunaopitia hayaa wengi wetu tunajifunzaa jinsi yakujakutumikia Waume zetu pindi tukiwa na majiko yetu 😄😄😄hapo ndounakuta boss anapita na maid mana ndomtu wamuhimu hapo ndani wewe sim sim na wewe shikamooni waajiri kama hao😂😂😂

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 роки тому

    Mm MUNGU hata akinipa maisha mazuri vipi swz mruhusi house girl kufanya kila kitu

  • @nasraamiri4713
    @nasraamiri4713 3 роки тому

    Hongera kaka kwaujumbe

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +1

    Nimependa sana hili funza maana ni wengi sana wamewaachia wafanyi kazi kila kitu

  • @lilianmushy2060
    @lilianmushy2060 3 роки тому

    Kwel jmn asiesikia tena nahili naasikie mafundisho yanayochoma moyo asante kaka

  • @eastlule2081
    @eastlule2081 3 роки тому

    Unaweza Sana kaka

  • @alinebenja3925
    @alinebenja3925 3 роки тому

    Mmmh apo kaka ushaa sema

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 роки тому

    Hapo sasa kaka

  • @maskinijeuri8428
    @maskinijeuri8428 2 роки тому +1

    Ujumbe umefk🙏

  • @maureenkangombe
    @maureenkangombe Рік тому

    Mmmmmmm i like it

  • @florakawau5615
    @florakawau5615 3 роки тому +2

    Kaka ujumbe umefika.

  • @mishymishy7699
    @mishymishy7699 2 роки тому

    I like that 🥰🥰🥰🥰

  • @azinakamenya7009
    @azinakamenya7009 2 роки тому

    Mda mwingine wamama tunawakabizi. ss wenyewe wa bb watembee na wdd wakzi

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 Місяць тому

    Ndo maisha ya omani hayo kila kitumfanyakaxi yaanihatar

  • @peterxhizo7853
    @peterxhizo7853 3 роки тому

    Wow good job

  • @eugeneoluyeka4724
    @eugeneoluyeka4724 3 роки тому

    great work bro keep it up

  • @Guershomebien-aimé
    @Guershomebien-aimé Рік тому

    Yaya kamaniweye

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 роки тому

    KwHaya ninayopitia mm house girl cwez kuja fanya haya

  • @accramasuu_tv
    @accramasuu_tv 3 роки тому

    Hili funzo ibra kwa kweli....

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 3 роки тому

    Nice oney

  • @MirajiAbdallah-b1c
    @MirajiAbdallah-b1c 3 місяці тому

    duuuh mpaka boksa unataka kubebewa mume na house girl

  • @rajviry
    @rajviry 3 роки тому

    Ibra siku utafanya nipigwe maaana nitamlopokea dada wawatu 🤣🤣🤣🤣

  • @esterhuruma9966
    @esterhuruma9966 3 роки тому

    Unafundish San Kak ibrah

  • @XamiriCareen
    @XamiriCareen 5 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @renildabaguma8073
    @renildabaguma8073 3 роки тому

    Wanawake hajuwe wapendalo.

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 роки тому

    Ibrah nisamehe nilipoteza simu Kaka😪🙏🙏

  • @WardahSureya
    @WardahSureya Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 3 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wilisonmpluka5876
    @wilisonmpluka5876 3 роки тому

    Nakubsli

  • @neemanyangure2981
    @neemanyangure2981 3 роки тому

    Nice

  • @aminasaif7274
    @aminasaif7274 3 роки тому

    🤣🤣hadi box

  • @agneskendi1495
    @agneskendi1495 3 роки тому

    Ebu waskie hii bro

  • @patiencengave7673
    @patiencengave7673 3 роки тому

    Motomoto🤣

  • @mashskisula9415
    @mashskisula9415 2 роки тому

    Kaka hapo. Nakukubal man SS wanawake tumezd San ila mm sitakua kama hao nitajifunza maneno yako kaka angu

  • @neemaelias6855
    @neemaelias6855 3 роки тому +1

    Sema usikike tujirekebishe

  • @Solanjerecho
    @Solanjerecho 3 роки тому

    Hhhhhhh 🤣🤣🤣 mwambie kabisa nikweli

  • @salidalnymukoya6141
    @salidalnymukoya6141 3 роки тому

    True

  • @edithalagwen8465
    @edithalagwen8465 3 роки тому

    😳😳😂😂😂😂

  • @dadinamadina5667
    @dadinamadina5667 2 роки тому

    Nice