KUNGWI DUME NA NYAKANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Jifunze zaidi kupitia kungwi dume akizungumza na nyakanga

КОМЕНТАРІ • 71

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 3 місяці тому +6

    Bibi unakitu masha allah 🔥🔥🔥🔥 mungu akuweke, kungwi dume mshikilie bibi uyooo

  • @mohammedbah4521
    @mohammedbah4521 3 місяці тому +3

    Wakwanza jaman kitu kishathoka wapi team majumuni mahayawani wwnzangu😂😂more love from Qatar ❤njoon uku kungwi awaita😂😂

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 3 місяці тому +3

    Ila kumbwi dume mzuri mashaalah❤

  • @MuscatHail-s4w
    @MuscatHail-s4w 3 місяці тому +8

    Tuponteam strong from Oman

  • @AdelaMalekela-q8o
    @AdelaMalekela-q8o Місяць тому

    Napata kitu kizuri nashukuru

  • @mohammedbah4521
    @mohammedbah4521 3 місяці тому +26

    Wapi team strong wenzangu mpoo😂kungwi dume ndouyo mjifunz mkishuka yote mkonayo

  • @NunuShamis
    @NunuShamis Місяць тому

    Jamani mafunzo yafanyiwe kazi hayo

  • @MufarijinamugunguMungura
    @MufarijinamugunguMungura 2 місяці тому

    Mimi nakupenda sana ilanakosachakukupa😂🙋🙋🙋👇👇👇🤝🙋🙋🤝🇨🇩😂

  • @FatimahAl-f1d
    @FatimahAl-f1d 2 місяці тому

    Nawapenda sn mungu awaeke muzidi kutupa matamu❤😊

  • @shishiShishshi
    @shishiShishshi 3 місяці тому

    Daaah Asante sana bibi nimejifunza kitu kikumbwa sana 😊😊leo 😊

  • @hassanbakari1673
    @hassanbakari1673 2 місяці тому

    Nikubali kaka kungwi dume kazi zako

  • @Naima-v6x
    @Naima-v6x Місяць тому

    Na sisi wenye hatuendi unyagoni kama kwetu Kenya tutajulia wapi ilo nadhani ingekua vyema bi mkasi ufunguke ili wengine tujue😢😢

  • @zulfayusra8747
    @zulfayusra8747 2 місяці тому

    Na kama mumekodi room Moja lakini nje Kuna corridor..ni sawa mama vyaa Yani mamake mume kuingia ndani?

  • @manirakiza-y7v
    @manirakiza-y7v 3 місяці тому +2

    Nakupat san kaka kungwi dume tupo pamoja

  • @Mapendoanumwarite
    @Mapendoanumwarite 3 місяці тому +1

    Naipenda sana mafundisho Yako

  • @SophyMohammad-s4h
    @SophyMohammad-s4h Місяць тому

    tupo my tem strog

  • @ismailMdoe-zs2mo
    @ismailMdoe-zs2mo Місяць тому

    Kweli kabisa bibi anatubania jamaniii

  • @petience1366
    @petience1366 3 місяці тому

    Asante Sana nimejifunza kitu🎉🎉❤

  • @asiasuleman8750
    @asiasuleman8750 3 місяці тому

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 2 місяці тому

    Àsante sana kungwi dume na bibi🙏🙏🙏

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 2 місяці тому

    Jamn mm naomba nijue mana ya rangi za shangaz na chupi jamni nakos mengi mm jamn nimeolewa cina mda mrefu kwenye ndoa hapa nilipo nimetokea kusafir nipo mbali nchi za nje hapo nataka nijifunze.zaidi ili nikifika niwe watofauti jamaani plz

  • @husnababe
    @husnababe 2 місяці тому

    Ninashkuru kwa mafunzo yenu nikiwa saudi

  • @asiasuleman8750
    @asiasuleman8750 3 місяці тому

    Kweri kabisa mama yangu asante sana

  • @ashaibrahim3156
    @ashaibrahim3156 3 місяці тому

    Kungwi dume, napenda unavyo cheza😊

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 3 місяці тому +1

    Kungwi dume huyu bibi anakuogopa jamaniiii, mnatubania 😢

    • @PuritySalama-yv6to
      @PuritySalama-yv6to 3 місяці тому

      Kweli anaogopa twambie wewe kumbwi dume unatufunza meng mwanz mimi nimejifunza saan

  • @AhhSs-z7g
    @AhhSs-z7g 2 місяці тому

    Tupo sisi 😊

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 2 місяці тому

    Jamn nawapend sana

  • @MwanajumaDot0-ej6jy
    @MwanajumaDot0-ej6jy 2 місяці тому

    Kungwi dume mbn bibi hafungiki

  • @AminaElisha-d6i
    @AminaElisha-d6i 3 місяці тому

    Jamani naomba namba zahuyo bimkasi

  • @sinangoarashid504
    @sinangoarashid504 3 місяці тому

    Mashallah bimkasi❤

  • @FaridaMousa-xy2rk
    @FaridaMousa-xy2rk 3 місяці тому +1

    Bibi anatubania jmn

  • @VirginiaWaithera-f1n
    @VirginiaWaithera-f1n 3 місяці тому

    Tupo saudia Albaha

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc 2 місяці тому

    Kungwi no

  • @jameskalugo4583
    @jameskalugo4583 3 місяці тому

    ❤🎉❤hongereni team strong

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 3 місяці тому

    Haya ninaingi twende naushauri

  • @Muna-v9z
    @Muna-v9z 3 місяці тому +1

    bibi funguka utufunze unatubania jmn

  • @asiasuleman8750
    @asiasuleman8750 3 місяці тому

    Samahani naomba niurize nini mana ya kombè samahani silijuwi

  • @Somoo220
    @Somoo220 3 місяці тому

    Nipe maana ya Asali Chumbani

  • @NuruheartAmani
    @NuruheartAmani 3 місяці тому +2

    Nasubiri

  • @Somoo220
    @Somoo220 3 місяці тому

    Bibi anaona aibu kufunguka

  • @Lupangoone
    @Lupangoone 3 місяці тому

    Ninahuliza swali mwanamume akienda siku yake anaweza chukua mimba kwasikugapi?

  • @Asmini-xp5ld
    @Asmini-xp5ld 2 місяці тому

    Pia massage ya hogo

  • @Saidy-eu1hc
    @Saidy-eu1hc 2 місяці тому

    Tupe muendelezo 28

  • @tanzanianhappy60
    @tanzanianhappy60 3 місяці тому

    Bibi.km.mtu.anakuitaji.unapatikana.wapii

  • @ShamsaZamda
    @ShamsaZamda 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @AminaElisha-d6i
    @AminaElisha-d6i 3 місяці тому

    Naomba no ya yabimkasi jamani

  • @MwanamisiMwamakalo
    @MwanamisiMwamakalo 3 місяці тому

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @MariamChande-s7t
    @MariamChande-s7t 3 місяці тому

    Kungwi kuna Mila nyengine hawali kombe siku ya ndoa yake kimila wanadai adi Mwanaume afike kwao ndio ale ila siju ya harusi aruhusiw kula chochte nyumba ya Bi harus adi afike kwao na mke wake ndo anakula hii inamaana gani

  • @MariamOmar-bn6op
    @MariamOmar-bn6op 2 місяці тому

    Mimi nilikuwa naomba advice samahani kama nitakuwa nimeuliza vbya Mimi Nina mpenzi wangu alishanitambulisha kwao ila tuko mbali Mimi na yeye changushangaza sahi amebadilika ywataka tufanye mapenzi kwa video call nimekataa swali ni kuna mapenzi kweli hapo hebu nisaidieni juu amechange nilipokataa,??

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 місяці тому +1

      Samahani ddaa wacha mmi nikujibu kabla kungwi kkujibu.
      Mwanaume aliye na mapenzi ya dhati na mtarajiwa wake(mchumba)hawezi kkuongekesha upuzi wa namna hiyo,na ukijaribu ddaa kesho na kesho kutwa itajiona umeanikwa mitandaoni,ni lazima awe na subra kama yupo na nia ya kukuoa

    • @MariamOmar-bn6op
      @MariamOmar-bn6op 2 місяці тому

      @@nurumwinyi796 asnte dadangu mimi pia nimeshindwa nimeamuwa heri tuwachane

  • @JumaMohammed-ct6vg
    @JumaMohammed-ct6vg 3 місяці тому

    Kaka kwa hii jinsi ilivyo tu ili kava lake ni dhairi kuwa inaonyesha kabisa umeuwaaaaaaa, unyama ni mwingi adi unamwagikaaaa❤!!!
    Na apa ndio naaamini kuwa kava la vidio linasadifu yaliomo
    Kwa mantik hiyo; bila shaka h ii video watu wengi watajifunza,watahifurahia na pia wapo watakao-Enjoy!!❤🎉

  • @TamaAbdulazizi
    @TamaAbdulazizi 3 місяці тому

    Je kwa wale waliofundwa then wanaeleza mafundisho kwa wasiofundwa hii inakaaje hapo nyakanga

    • @Asn7173
      @Asn7173 3 місяці тому

      @@TamaAbdulazizi anae eleza aliyo fundwa kwa wale hawaja olewa huyo ni msungo

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 місяці тому

      Dah! Ni hatar na nusu😮​@@Asn7173

  • @husnamwinyi8295
    @husnamwinyi8295 3 місяці тому +1

    Naisubr hii kwa hamu

  • @sikukuuomar
    @sikukuuomar 3 місяці тому

    Tupo ❤❤🎉