Sasa kamanihivyo mbona makungwi wengi wataalamu wamapenz wanaojua style zote za mapenz na badowanaachwa inakuwaje hapo,napia kamamnapenda mitindo yote yaumalaya mbonahamuwaoi machangudoa?
Ukizungumzia changudoa kuoa unawez kumuoa kwani naye anabadilika kama utambidilisha ila ukimzungumzia mke niyule mwenye hekm na adabu zote zakumsababish mpka kuitwa mke ila wanaume ukitak wasivitaman vya nje basi ndan kuwa hur usijibane jiachie na kila anapokua na ham mpatie sas unaoa mtu han hekm hana adabu na ndani ajui hisia za mumewe pia zikoj ndomaan lazim watoke nje.
Yan kaka ananena vzur but tusihukumu kundi zma naamin wapo wanawake na wanaume waaminifu kabisa na ndoa zao ziko safi ni mungu tu maana kam n tamaa za mwili tuna uwezo wa kuzicontrol labdatu MTU aamue kujitoa ufahamu
Usitutishe mtatulia japo kwa tunguri 😅😂😂
😂😅😅🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga 😀
Wanawake tulotulia ndani tuna shida ikiwa wanaume ni hivi, ati wanapenda kuona mambo tofauti yaliyoko nje, hakuna salama, tumeumia.
Bas mijiwanaume bichwa iyoo 🤣🤣
Zahar mmb
nakwambia yani du
Hata ukiwafanyia nini .kama kaamuwa kashaamuwa.imani tu.ndio itamzuiya kufanya maovu
😂😂😂😂❤❤❤ unachekesha ibra
Ibra the only one ..thanks
Wanandoa mpoo😂😂😂
nakupend mpak bsi,unanifuz nisivy vijuw thnx Bro❤
Wise words brother, i support you
Nomaaa sanaàaa hiii kaliii Ibrahim
Nimecheka sana leo hahahahahahahahaaaa huhuuuu
Kbsaaa bro be blecd...
Naqbali naelewa kazi zako
Mwanamke ukiwa na mumeo kuwa kama ..kahaba..sio kila kitu uhuni..mwanamme anahhitaji mavituzii..tofauti...kuanzia ..tendo.hadi matendo..
duh unachekesha sanaaas nakukubaliiii
😂😂😂😂 Santaaaaa.
😂😂😂kupendwa kaka ukicheka❤❤
Bien kk mais mina pendant izi vidéo zako dazipata aye
Watulivu kweli wapo mmmmh
Chukua maua yako ibra the don😅😅😅
Aki si nimecheka🤣🤣🤣🤣
Kwann mwanamume hawez ku2lia na mwanamke mmoja
Big up brother good advice
Naelewa !😜 kifo cha cockroach noma sana !!!
Apo umefell boya ww kazi mbaya sana
Kwann
Mwingine hata umfanyeje tamaa Kama za fisi
Nakubalii kakaaa
🤣🤣🤣🤣🤣 nimechekaaa
Nakubari kaka
😳😳😳 mmmmmhhh hv wanaume nayoyasikia ni kweli au kwa wachache tu
Good job
nakuelewa thedon ila nijibu txt zang wasp
Ibra the don naqbl xnaaaaaaaa my blood
Nikweli kbsaa 🙏
Kk hapo sawa kabisa
Bro Don leo umenifurahisha..
Kabisa
Sasa kamanihivyo mbona makungwi wengi wataalamu wamapenz wanaojua style zote za mapenz na badowanaachwa inakuwaje hapo,napia kamamnapenda mitindo yote yaumalaya mbonahamuwaoi machangudoa?
Elewa kwanza alichozungumza then ndo ucomment bc kam ujaelewa uliz ucbixhane
Ukizungumzia changudoa kuoa unawez kumuoa kwani naye anabadilika kama utambidilisha ila ukimzungumzia mke niyule mwenye hekm na adabu zote zakumsababish mpka kuitwa mke ila wanaume ukitak wasivitaman vya nje basi ndan kuwa hur usijibane jiachie na kila anapokua na ham mpatie sas unaoa mtu han hekm hana adabu na ndani ajui hisia za mumewe pia zikoj ndomaan lazim watoke nje.
Elewa weee kwanza
Nakukubali sana
😢atariii
Asante nakufatilia Hadi nahisi kubarikiwa
Nikweli kaka
Nimecheka kinooma ,nakuelewa mzee baba wape elim
🤣🤣wah ukweli kabisaa
Hahaha sawa 😆😆😆🧐
Nice
hahaaa jinga ili aty mdomo koma...
Yani nimecheka kama nini🤣🤣
Nikipata mpata mwanaume wa hivyo aki namjengea sanam ata mtaani kwao tu mmmmh 😋
wewe hakuna kitu nakuroga ili utulie kama hyo mashne yako hairidhki
IBRA ww noma
Yani huwa kila somo lako lanifunza nakupenda bure
Nakubaliana nawe
Good
Yani.mm.nikishaskia.hicho.kicheko..najua.hapo..nimichambo
Hakuna mwana ume anaweza kutulia na mwana mke ila Mungu atusaidie ss ambao tuko ndni
Umeona ee walio nje nais wanafaidi angalau
Mie nimekuelewa kaka
Mmmh ya kweli hayo
😁😁😁 mdomo koma ibra ww hudanganyiiii
Dada Faith mambo vep
Poa, mzm ww
@@faithowen687 mm mzma pande zip dada
@@faithowen687 mambo vip dada
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Apa ni mekupenda kaka bure
Mdomo kona😅😆
Nikweli ila umetoa somo ambalo nigumu kwa yule asie jua anaweza kushoboka et umekosea ima mitusi
Rashid Busanya MN
Umekosea sana...!
Abuu Huzayl Tv hajakosea ila wewe ndo hujamuelewa alicho kisema
Ukweli kabisa
Eti kifo cha mende😂😂😂😂😂😂😂
😀😀😆😆😆
Mwanaume ku tuliya na mwanamke mmoja ? Uongo ni mpaka awe katoka kwa Mungu
Apo kaka ibrah unatisha duh unanifunza mengi bro
Kaka ninakupenda tu kwamna unatufundisha mengi
Asant🙏🙏🙏
apo wanaume mibichwa iyooo dadeki zake
umefeli hapa
Kwann
Mmh kweli
Mdomo komaaa
Farida Maphoto mdomo koma niende Na mambo yangu
😀😀😀😀
Haaiyah
Aki ya nani sijui nilichelewa wapi
nakulew
😂😂😂
du kweli kaka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
#MdomoKomahahahahah
Haswaaa
🤣🤣🤣🤣
Hapo umenena
Wapo wanaotulia kaka weng t
Umeonaee
@@baltazarirosie9274 sanaa tena wapo wengi sana waorizika na mwanamke mmoja sio wote wasalit hapana
Yan kaka ananena vzur but tusihukumu kundi zma naamin wapo wanawake na wanaume waaminifu kabisa na ndoa zao ziko safi ni mungu tu maana kam n tamaa za mwili tuna uwezo wa kuzicontrol labdatu MTU aamue kujitoa ufahamu
hatar
jamani naombeni namba za uyu kaka
Nimekutes imo man huna WhatsApp nnashd na ww
🤟
🤣🤣🤣 et mgagulo
😃👏👏👏
Mdomo koma
🤔🤔🤔🤔🤔
Apo umefel kaka
Kwann dada Sara kwn yupo
𝕌𝕞𝕖𝕠𝕟𝕒𝕖𝕖𝕖𝕖
Ukwel mtupu
🤣🤣🤣🤣🙈
Ibra kiboka ya wote
𝕀𝕓𝕣𝕒 𝕨𝕖 𝕟𝕪𝕠𝕜𝕠 𝕓𝕣𝕠𝕠. 𝔻𝕒𝕙 𝕜𝕚𝕓𝕠𝕜𝕠