SHUHUDIA DRONE CAMERA ILIVYO NASA MAMBO KWENYE MSIBA WA SHEIKH NYUNDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2020
  • usisahau ku like,comment,share na ku subscribe youtube channal yetu alfatah tv online, kwa maelezo zaidi piga simu +255 777 858490
    #ALMARHUMSHEIKHNYUNDO
    #ZANZIBAR

КОМЕНТАРІ • 505

  • @NassorMohd-lp1dp
    @NassorMohd-lp1dp 4 місяці тому +6

    Ni miaka mine sasa Tangu Ututangulie ALLAH AKUJALIE KILA JEMA AKHERA ULIKO.

  • @halimaothmann2352
    @halimaothmann2352 4 роки тому +8

    SubhanaAllah. Kifo cha shekhe wetu NYUNDO kila muislam akiona mazishi yk machozi yanamtoka Allah tupe hatma njema wajawako Aamin😭😭😭

  • @felixsunga7059
    @felixsunga7059 Місяць тому

    Rip sheikh nyudo am a Christian bt really enjoy and follow the teachings of sheikh nyundo

  • @faqrudiinmedia8539
    @faqrudiinmedia8539 4 роки тому +23

    Amiin yarabii amuweke janatul firdos shikh nyundo

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 роки тому +1

      Sio znz hata sisi tulio kuwepo Dubai tuna huzuni sana kwa kuondo kewa na Shekh wetu kipenzi cha Waislam Nyundo Allah ampe kauli thabit

    • @FatimaFatima-bx8ez
      @FatimaFatima-bx8ez 4 місяці тому

      Amin amin amin 🙏 🙏 mungu am weekend Mahalia permanently peponi 🙏 🙌 ishaallah 😢😢

  • @Fahari_Media__
    @Fahari_Media__ 4 роки тому +5

    Namuomba ALLAH amjaalie sheikh wetu pepo ya firdaws na amuondolee adhabu ya kaburi na atupe pia mwisho mwema sisi sote Amiin

  • @nassorhamad5225
    @nassorhamad5225 4 роки тому +4

    Allah mpoee sheikh nyundo kwa wema msamehe dhambi zake na uweke pahali pema peponi uliko waweka maswahaba wema am in a rabbi amin

  • @zubedaiwata5792
    @zubedaiwata5792 4 роки тому +17

    Inalillah wainaillah rajiuun,,,yaaAllah muepushe mbali na adhabukali ya kaburi aamiyn

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 роки тому +80

    Hata tulioko qatar tuna huzuni kompoteza kipenzi chetu shehe wetu Lakin mauti ni mlango kila mtu lazima atauingia yarabi mfanyie wepesi maisha yake ya kibri inshaallah mueke nuru katika kaburini mwake inshaallah wape subra family yake wakati huu wa huzuni inshaallah Pole.sana

    • @husseinmrisho6121
      @husseinmrisho6121 4 роки тому +3

      Inalilahi wainailaih rajighun alla amlipe janat firdaus allahuma amin.

    • @abdulmalikshariff9867
      @abdulmalikshariff9867 4 роки тому

      fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Ameen

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 роки тому

      fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Dua nzuri ila rekebisha hapo ulipo andika kibri badala ya KABURI ili na mimi ni like

    • @abdulrahmanrajab4369
      @abdulrahmanrajab4369 4 роки тому

      Amn

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 4 роки тому

      Mie nipo Germany pia ninahuzuni sana innalilah wainna ilaih rajuun

  • @sulezanzibar7505
    @sulezanzibar7505 4 роки тому +6

    From #Moscow Russia 🇷🇺😭😭
    kwaniaba Ya Wazanzibar wote hpa #Moscow tunatoa pole kwa wana family wote,Allah sw amsamehe makosa yake Amiini,daima Tutakukumbuka 😭😭🇷🇺🇹🇿

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 роки тому +25

    Ya Allah mwingi wa huruma mpe nuur katika makazi yake mapya nasi utupe mwisho mwema Ammin wallahi tumehuzunika japo tupo mbali nyoyo zinavuja machozi yahuzni

    • @ahmadmadhi8147
      @ahmadmadhi8147 4 роки тому +1

      Inna lillaah wa inna ilaihi rajiuun. Allah amghufurie na amjaalie amani na Nuru katika kaburi lke mwisho ampe kitabu chake kw mkono wa kulia. Na sisi atupe mwisho mwema Amiin

    • @PaziTuktuk
      @PaziTuktuk 4 роки тому +3

      Sheikh nyundo allahummaghfirlahu warhamhu waskanhu fil jannah🙏mi mkenya lakini nsuguyenu kwa dini 😭😭😭

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 роки тому +57

    ALLAH amrehemu na amuangazie nuru kaburini kwake,awape subra familia na waislam wote duniani na tunamuomba ALLAH atujalie mwisho mwema waislam wote Amiin IN SHA ALLAH

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 4 роки тому +18

    Inna Lillah Wa Inna Illayh Raj'uun! Allah Akupe kauli thabit wewe,wazazi wetu na umma wote wa Mtume wetu kipenzi,Muhammad (S.A.W).Amiin!
    Hard way,but the only way.😥

  • @sharifamohammad7776
    @sharifamohammad7776 4 роки тому +3

    Allah amjaalie pepo ya daraja ya juu kabisa na amghufurie madhambi yake amuepushe na adhabu ya kaburi na akubali amali njema zake....Ameen

  • @rehemasalimini5466
    @rehemasalimini5466 4 роки тому +2

    Allah amrehemu shekh Nyundo ampe kauli thabiti amlaze mahali pema peponi kwa mawaidha yake yalitugusa sana ndani ya mioyo yetu kweli ametuachia darsa kubwa sana Allah amuangazie nuru katika kabri lake Aamiin

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 роки тому +26

    Innalillah wainnailayhi raajiuun Allah amsamehe amakosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia amin nasi atupe mwisho mwema amin.

  • @hanifasilima4816
    @hanifasilima4816 4 роки тому +5

    Allah amrehemu shekha wetu kipenz ampe qauli thabit atujalie mwisho mwema na SISI ishallah

  • @hassankatram5697
    @hassankatram5697 4 роки тому +3

    Allah amjalie pepo na amfutie madhambi yake na pia sisi Allah atusameh na atupe mwisho mwema insha Allah....

  • @TSUMAKATANA-dj2cj
    @TSUMAKATANA-dj2cj 3 місяці тому +1

    ALLAH ailaze roho yko palipoa nawema peponi inalillah wainallileh rajiun 😭😭😭😭

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 роки тому +17

    Innalillah Wainnailayhi Rajiun 😭😭😭nyoyo zimejaa huzuni macho yamejaa majonzi Ya Rabb mpokee mjaa wako ya Allah tujaalie n sisi tuliobaki mwisho mwema ya Rabb

  • @abdulmtitu7478
    @abdulmtitu7478 4 роки тому +1

    Mashaallah!!amesema mtume(s.a.w) ukitaka kujua wewe n mtu wa peponi au wa motoni,,tazama watu watasema nini baada ya kifo chako"mashallah sheikh wengi tunakusema kwa mazuri,na tunakudhania ni mwema inshaallah

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 4 роки тому +3

    INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJICUUN SHEEKH NYUNDO FROM SOMALIA

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 роки тому +14

    Allah amuepushe na Adhabu za kaburi, Allah awazawadiye subrah kubwa jamii yake yote

  • @zahraabdi8772
    @zahraabdi8772 4 роки тому +2

    Wallahi nihuzni kubwa kuondokewa na shekhe wetu...Allah amrahamu...kutoka Kenya

  • @NKOLAJUMANNE
    @NKOLAJUMANNE 4 місяці тому +1

    Mlezi wa viumbe U pamoja nawew wema ulio fanya utalipwa aamin aamin,, nakupenda sana shekh wang

  • @fatmamdidi8108
    @fatmamdidi8108 4 роки тому +5

    Allah amsamehe na amrehemu shkh wetu.
    Na ajaalie kaburi lake liwe katika viwanja vya pepo na si katika mashimo ya moto.

    • @salummussa7364
      @salummussa7364 4 роки тому

      Allah ampe kauli thabiti sheikh nyundo

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 роки тому +4

    Innalilahi wailehiraju,un Allah amueke mahala pema peponi ameen yarabby

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 4 роки тому +6

    Allah.ampe.makazi
    Mazuri.katika.moja
    Yabustani.peponi
    Amin

  • @mwadawasaidi3752
    @mwadawasaidi3752 4 роки тому +17

    Nipo USA 🇺🇸 kiukweli nimeumia sana kwa kuondokewa na Shekh wetu kipenzi nilikuwa nikimfatilia kila anapo fundisha ila kazi ya Allah haina makosa tutamkuta uko inshaallah Pmzika kwa amani baba yetu kipenzi cha watu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 роки тому +1

    Allah amrahamu shekh wetu... sio msiba wa zazibar ni waislam wote kwa jumla ameacha mengi kwa mama zetu dada zetu yani sote kwa jumla

  • @hamisihamisi5078
    @hamisihamisi5078 4 роки тому +4

    Inna liLlahi wa inna ilaihi rajiuun.Allah amsamehe makosa yake sheikh wetu na amueke mahali pema peponi inshaAllah.

  • @hamadimuya7248
    @hamadimuya7248 4 роки тому +5

    Ina lilallahi waina ilayhi raajioub.May Allah subhanahu wata'ala grant him jannah for the work he has done and may allah have mercy on his soul in sha Allah.

  • @hajjatbintkhamis8913
    @hajjatbintkhamis8913 4 роки тому +3

    "INNA LILLAHY WAINNA ILAYHI RAAJIOUN" Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Allah hakika tutarejea......waliofikwa na msiba tunawapa pole na Allah awape subra waqti huu wa huzuni,,,,mbele yetu nyuma yake

  • @medysaid1613
    @medysaid1613 4 роки тому +58

    Hakika waislam tumeondokewa ni mtu muhimu kwetu zaid wazanzibar Allah amsamehe madhambi yake sheikh nyundo aifanye nyepesi safari yake

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 4 роки тому +1

    Tukiwa ujerumani ni huzuni kumpoteza sheikh, but ni kazi ya Allah haina makosa, Allah amfanyie wepesi huko, ya rab.

  • @nusurashaban955
    @nusurashaban955 4 роки тому +9

    Sheikh nilikuwaa nakupenda kwel kwel

    • @zillarajab7873
      @zillarajab7873 4 роки тому +1

      Machozi yamenitika, mungu aiweke nuru katika kabri lake. Na sie atujaalie mwisho mwema Ameen ya Allah🙏🏿

    • @nusurashaban955
      @nusurashaban955 4 роки тому

      @@zillarajab7873 Amiin

  • @fatmarefai9209
    @fatmarefai9209 4 роки тому +1

    Poleni sana familia ya sheikh wetu Nyundo.Mungu awape wepesi kwa huu mda mgumu.

  • @harunahamis
    @harunahamis 4 роки тому +9

    Innalillah wainnalillah rajun twakuomba yarab tupe mwisho uliokua mwema

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 2 місяці тому

    Mja mwema huyu mashallah..Mufti kasalisha..

  • @anniyahfacebeat8937
    @anniyahfacebeat8937 4 роки тому +1

    allah amrehem, amfanyie wepec kwa safar yake hii. mungu ampe noor kwny kabri lake, ampe pepo kwa rehma zake, afanye kabri lake liwe ni miongon mwa vyumba vya pepo. AMIIN

  • @rashidally1211
    @rashidally1211 4 роки тому +3

    Yaarabbih ampokee sheikh wetu al maruuhm nyundo

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 роки тому +8

    yaani mwanangu miaka 6 namuuliza unamjua ananambia namjua yule anatoa mawaida kisha anachekesha namuonesha picha ananambia huyu namjua yaani mpk hivi aaubuh hajaamini km kafa mana kaniuliza maswali kuhusu mtu akifa sahv ananambia yule kafa kweli au watu wanasema tu kwahio hatumuoni tena akisema subhana llah mtto hakuamin km huyu mtu hayupo

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 4 роки тому +82

    😭😭😭😭😭 Hakika sio znz tu au tz hata ss tulio. Nnje ya Zanzibar nyoyo zetu zime jawa na simanzi Allah amrithie sheikh nyundo.
    Alifanya juhudi kubwa za kheirat.
    Aliwafunza wanawake wengi na ss vijana.
    Allah amjalie awe kwenye furaha sasahiv Allah atujalie na ss atupe wisho mwema.
    Tangulia sheikh nyundo nenda nasi tupo nyuma yako.😭😭😭😭
    Bado tulitaman uwepo wako ila Allah ame kuhitaji.
    Hakika ni pigo kwa wenye Iman.
    Ewe mola wetu tuna kuomba uwalee mayatima alio waacha warahisishie riski zao.
    Wajalie wawe warithi wa elim njema.aaammin.
    Ewe mola wape subra wajane alio waacha warahisishie riski zao ya Allah.

  • @hawaashaban8008
    @hawaashaban8008 4 роки тому +4

    Allah msamehe skekhe wetu japo inatuuma San yaa Allah mpe Nuru kweny kaburi lake mpe pepo kwa rehema zako yaa rabbi na sis type mwisho mwema mola wetu tuhurumie😭😭😭😭😭😭

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 роки тому +6

    Allah amrehem ampe kauli tabiti 🤲

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg6679 4 роки тому +5

    نسأل الله ان يرحمه و يتقبله في جنات النعيم.
    كم أسعد كثير من المسلمين بخطبه القوية و المعبرة . عاش في خدمة الإسلام والمسلمين.
    يعظم الله عزائكم و يصبر أهله و ذويه في هذا الفقد الكبير .
    تحياتي عبدالله من سلطنة عُمان

  • @husseinidris2879
    @husseinidris2879 4 роки тому +1

    Ma sha allah.... Allah amlaze pema sheikh wetu

  • @nakimanakhadija4329
    @nakimanakhadija4329 3 місяці тому

    Innalillah wa innalillah rajiuni 😭 Allah amrehem uko alipo Sheik wetu

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 4 роки тому +27

    Allah amrehemu nasi tuwe na mwisho mwema

  • @jumakombo404
    @jumakombo404 4 роки тому +1

    Shekhe wetu nenda salama , Allah sw, Amekupenda zaidi, ila hatuwez kukusahau. Na sc tunakuja huko huko, Allah sw, Akulaze mahali PEMA. Amin.

  • @officialjaygravity1915
    @officialjaygravity1915 4 роки тому +2

    Innalilah wainna ilaihi rajiun 🤲

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 роки тому +11

    Allah AILAZE roho yake pahali pema peponi

  • @saidmswahili8793
    @saidmswahili8793 4 роки тому

    Dawa mpaka kiamaaaa, Allah amlinde, amsameh na amuepushe na fitna za masihi ddajjaal yeye pamoja nasisi aamin aamin aamin

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 роки тому

    Hili kubwa has maan dah' sina la kusema kwa kweli .... mwenyez mungu amfungulie milango ya pepo .....sheikh wetu ya rabbi...

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 4 роки тому

    Mungu amlaze pema peponi Amin Yaarabi Njia yetu soote yeye katangulia nasi tupo nyuma yake kila mmoja kwa wakati wake Alhamdulillah

  • @imond583
    @imond583 3 місяці тому

    kiukweli 😢hatutokuona tn hakuna shekh nilokupenda km ww nyundo mungu akujaalie safari njema ww pa1 na wazee we2 dah ujue niliposkia ckuamini km kwl umeondoka hakika kwl chema hakidumu dah

  • @abdubboru860
    @abdubboru860 4 роки тому +7

    May Allah grant him Jannatul Firthaws

  • @saudaomary9363
    @saudaomary9363 4 роки тому +1

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu msamehe mazambi yake

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 2 роки тому

    twamkumbuka mpaka leo shekh nyundo mungu amuweke mahala pema na wote walotangulia

  • @saheelameir4313
    @saheelameir4313 4 роки тому +1

    yarabbi husni lkhatima

  • @suleimantora3131
    @suleimantora3131 4 роки тому

    Shekhe msema kweli katika mambo ya kijamii Allah akulaze pema palipo na wema tutakukumbuka kwa ukweli wako sababu hakuna mashekhe wa kuyaongelea mambo ya jamii kwa kuona haya.
    Inna lillahi wa Inna ileyhi rajoun Poleni sana ndugu zetu Tanzania

  • @ediyngoto1811
    @ediyngoto1811 4 роки тому +2

    Allah amlipe kheir In sha Allah

  • @fettyameir4514
    @fettyameir4514 4 роки тому +19

    Hakika kila nafsi itaonja mauti , Allah tujalie khusnul khatma 🤲 naye umpe kauli thabit Yarabbiy 🤲🤲

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 роки тому +3

    Allah amlaze pema peponi aameen yarabbi

  • @saidshuaib7645
    @saidshuaib7645 4 роки тому

    INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAAJIUUN Mwz mungu amlaze mahali pama insha allah. Mie niko Iraq ila hata watu wamehuzinika sana kwa kifo cha shekh wetu

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 роки тому +1

    Subhanallah subhanallah wallah nashindwa la kusema

  • @fatummsagat5177
    @fatummsagat5177 4 роки тому +1

    Napenda sn mawaidha yake, Allah ampe kauli thabit

  • @saumuabdi1802
    @saumuabdi1802 4 роки тому +4

    🙆‍♀️sina lakusema kazi ya mungu haina makosa pamoja tuseme Alhamndulillah

  • @millionairejeffreysunofbez3766
    @millionairejeffreysunofbez3766 4 роки тому +5

    R.I.P , shekhe Nyundo, nikimkubali sana kwa elimu yake ya kidunia

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +13

    Allah msamehe mjawako na mpke na apokee kitabu chake katika mkono wa kulia.hakika binadam si kitu sijui twarongia nini

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 3 роки тому

    Allahuma ghufrlahu warhamahuu filjannah
    Allah akusamehe madhambi yako in shaa Allah cc tulikupenda Ila mungu kakupenda zaidi

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 місяці тому

    Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲

  • @mudiabeid3531
    @mudiabeid3531 4 роки тому +1

    Innalillah wainna ilayh rajighun. Allah amlaze pahala pema . Kiukweli msiba umetugusa waislam wote ila ndio mauti ni haki kwetu sote na mauti yanakuja ghafla. Allah atupe khusnu lkhatima.

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 4 роки тому +1

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun Allah amsameh makosa yake na awape subra wafiwa. Kwa kweli tumeondokewa

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 11 місяців тому

    Apumzike kwa amani. Alikuwa Mwalimu mzuri. Mwanafalsa wa kweli.

  • @ustadhmrishorunigangwe7024
    @ustadhmrishorunigangwe7024 4 роки тому +11

    الهم إغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس اللهم آمين إن لله وإن إليه راجعون

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому

    Inalillahi wainna ilaihi rajiuun,hakika Sheikh Nyundo alikuwa haogopi kukaumiwa kwa hali yoyote ili kuwazindua walio kuwa wamepotea na kumuasi ALLAH.Kiufupi mie sikuona uso kwa uso lkn kupitia simu yamkono,nimejifunza mambo kadha wa kadha juu ya dini yetu ya kiisilamu.ALLAH amjalie pazuri insha Allah🤲🤲🇰🇪

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 4 роки тому +1

    Kila nafsi itaonja umauti ila niseme alhamdulilah nineema kubwa mtu kuondoka akataja kwa mema yake tujitahidi tutafute razi za Allah ina lilah wainna ilaihi raajiuun

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 7 місяців тому

    Innalilah wainailah rajiun, Allah, amrehem shekh nyundo. 🙏

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 4 роки тому +1

    umma ulikupenda na hiyo ndiyo neema ya allah unapo fanya kazi yake nasisi atujalie mwisho mwema

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 3 роки тому

    Inalillah wainailllah rajiun.
    Tunaomba Allah wetu mtukufu Subhanah wataala amuweke mahala pema peponi Sheikh wetu mpenzi na kipenzi cha Allah, Inshaallah 🙏 kusema kweli hautasahaulika kamwe kwenye nyoy zetu. mawaidah yako yame badilisha wengi ulimwenguni kote. Allah wetu mtukufu Subhanah wataala alifanye kaburi lako kuwa pepo miongoni mwa pepo Inshaallah 🙏

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 роки тому

    Inna illah Wainna illah Lajjiuun daghhhhhhhhh MOLA akupokee na Atujaalie naSisi tuliobakia MWISHO MWEMA 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abuubakarhaji3244
    @abuubakarhaji3244 4 роки тому

    Allah msamehe shekh nyundo na ampe makaazi MEMA peponi Amin

  • @thauratmuhamed2218
    @thauratmuhamed2218 4 роки тому

    Mungu akueke pema pamoja na wema tunahuzun kubwa maskitiko makubwa tunakupenda sana shekh wetu ila mola wetu amekupenda zaid

  • @user-en2gp3fb7m
    @user-en2gp3fb7m 6 місяців тому

    Daaa wote tutaelekea njia ni moja imeuma sna

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 4 роки тому +3

    Allahu maghfirlahum warhamhum waskinhu fil jannah..
    Hakika kifo/msiba unapaswa kuwa mawaidha tosha kwetu sote. "Innalillahi Wainnailayhi Rrajioun"

  • @suleimansaid1570
    @suleimansaid1570 4 роки тому

    Allah amsameh ampe makazi mema amee.na ww shekh allah aibar kazi yko na atupe mwisho mwema ameen

  • @nzalilindi9514
    @nzalilindi9514 4 роки тому +2

    Ya Rabby nfanyie wepesi kwenye makazi yske hayo mapya,ameen

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 4 роки тому

    Inalilah waina ilaih rajiuwwn.
    Mungu mpokee Shekh Nyundo kwa mikono yako yenye Kheri

  • @Som-Hanoolaato
    @Som-Hanoolaato 4 роки тому

    INNA LILLAAH WA INNA ILAYHI RAAJIUUN - LAA ILLAAHA ILLA ALLAH MAHAMMADAN RASUULULLAH - YAA ALLAH MREHEMU YEYE NA WAISLAMU WOTE NA WOTE UTUPE SUBIRA NA AMAANI.
    YAA RABB TUSAMEHE NA UTUREHEMU KATIKA HII DHUNIA NA AQEERAH KWELI KIFO NI HAKI KABISA. ALLAH (SUBHAANAHU WATA'AALA) AMREHEMU NA AMPE NUURU KATIKA KABURI LAKE NA WAISLAAMU WOTE
    RAMADAAN MUBAARAK

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 роки тому

    Innalillahi wa Inailaihi ra jiun
    Mimi binafsi katika masehe niliotokea kuwakubari na kuwapenda ile ukweli wa kuwapenda kwa Ajili ya Allah number Moja ni marehemu sheikh Hussein Hassan nyundo.
    Kiukweli nimehudhunishwa sn na ninaeumia na naendelea kuumia juu ya kifo Cha sheikh Hussein Hassan nyundo Ila Sina budi kukubariana na Allah Alipotuambia kuwa kila nafsi itaonja umauti. Namuomea kwa Allah Amrizie mjawake huyo na Kaburi lake liwe viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Allahmma Amiin".

  • @mrbnaid5447
    @mrbnaid5447 4 роки тому +1

    Mola karima ailaze roho yake mahali pema Amiin😭🙏

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 4 місяці тому

    Innalillah Wainnalillahi Rajioooun Allah Ampe Kauli Dhabit

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 4 роки тому +4

    إنا لله وإنا إليه راجعوووووون
    اللهم اغفر له وارحمه وعافه وعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 роки тому

    Mungu akupe kauri thabiti Shekh wetu mbeleako nyuma yetu Amin

  • @sharifaallan2386
    @sharifaallan2386 4 роки тому +2

    Allah akulaze pema peponi baba yetu

  • @user-dy7lj5vg3o
    @user-dy7lj5vg3o 4 місяці тому

    Inalilah wa inalilah ranjuni allah akupe pepo yake rhustaz wetuu

  • @rizikigharib6391
    @rizikigharib6391 4 роки тому +1

    inallillah lillah wainailayh rajiuun Allah msimamie ktk heri zake alizozifanya ktk dunia na umlipe ktk pepo ya firdaus na ss utujaalia mwisho mwema na wenye kutubia dhambi zetu na utukinge na balaa lililotuingilia la corona ss tupo ktk njia yako ya Allah

  • @kibelaame5178
    @kibelaame5178 4 роки тому +2

    Amin inshaallah

  • @wm9669
    @wm9669 4 роки тому +1

    Innalillahi wainaillahi rajiun. Good news inshAllah. Jannah tu fardows inshallah

    • @kombomohd4878
      @kombomohd4878 4 роки тому

      Allah amsamehe makosa yake amin sheikh wetu nyundo tulikupenda sana lakini mungu amekuita ni Nazi yake allha haina makosa

  • @zalkhsule2617
    @zalkhsule2617 4 роки тому

    Innalilah wainnailah rajiun. Allah akulaze mahala pema peponi na sisi atupe mwisho mwema inshallah