MAZISHI YA SHEKH NYUNDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 267

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 4 роки тому

    Ameen

  • @saidiali5591
    @saidiali5591 4 роки тому

    Amin ya raball Amin

  • @ramadhanimohamedi995
    @ramadhanimohamedi995 4 роки тому

    Allahumma ikhfillahu warhamuhuu

  • @abubakarihkisodya1620
    @abubakarihkisodya1620 4 роки тому

    Allahummaghfirrahu warhamhu waaskinhu filjannat

  • @cocineromohamusa2586
    @cocineromohamusa2586 4 роки тому

    😭😭Allah ailaze mahala pema Insha Allah

  • @shakeefmohamedi6159
    @shakeefmohamedi6159 4 роки тому

    Lailaha inlaallah

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 4 роки тому +1

    Masha Allah alipata Ummah mkubwa na in sha Allah awe miongoni mwa waja wema akiwa pa1 na Mtume Mohammad (S.A.W)

  • @omaryally5743
    @omaryally5743 Рік тому

    ,غفر الله له وأدخله فسيح جناته
    ثبته الله بالقول الثابت

  • @shabanalphonice6571
    @shabanalphonice6571 4 роки тому

    Allah Akbar

  • @husseinsalat3609
    @husseinsalat3609 Рік тому

    Allahumma ij'al qobrohu rodhotan min riyadhil jannah wala taj'alhu hufrotan min hufarin nar 😢

  • @fauziakassim323
    @fauziakassim323 4 роки тому

    Mashallah sheikh mtu wa watu ni dalili ya mja wa peponi inshallah amjalie pepo ya juu kwa uwezo wa Allah

  • @mkalimussa1846
    @mkalimussa1846 4 роки тому

    Mungu akupe kauli dhabiti sheh wet na sisi mungu tujalie mwisho mwema ktk huu ulimwengu

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 роки тому

    Alha irahmu

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 роки тому

    sheikh nyundo mwenyezi mungu akujalie kauli Thabit

  • @abdulkareemsaleh4705
    @abdulkareemsaleh4705 4 роки тому

    Laa Ila ha illa llah

  • @samahhussein4548
    @samahhussein4548 4 роки тому

    MUNGU AMUWEKE MAHALA PEMA PEPONI UBAVUNI MWA BWANA MTUME AMIN

  • @Wezesha1
    @Wezesha1 4 роки тому

    Innalilah

  • @saidikingazi1995
    @saidikingazi1995 4 роки тому

    Allah ampe kauli thabiti katika kaburi lake Allahumma amiyn.

  • @princeesssalma9622
    @princeesssalma9622 4 роки тому

    Allah amueke mahali pema penye wema peponi ameen

  • @danielcosmas3426
    @danielcosmas3426 4 роки тому

    Shekh nyundo tulkupenda sana kaziyamungu haina makosa mungu akupunguzie azabu uendapo

  • @omarmwatum
    @omarmwatum Рік тому

    Ya Rabbi mlaz Mahal Pep sheikh hussein umkutanish n MTUME MUHAMMAD (s.a.w)

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Innalilahi wainnailahi rajiuun

  • @aisharamadhani1502
    @aisharamadhani1502 4 роки тому

    Machozi yananitoka ,Allah akulaze mahali pema peponi shekhe nyundo

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 роки тому

    Inalilah waina ilahi rajiun

  • @abdulally9745
    @abdulally9745 4 роки тому

    Allah akulipe pepo ya fridaus

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 4 роки тому

    Innah lillah wainnah ilayhi rajiun Allah amjaalie pema peponi.

  • @sheryramadhany8383
    @sheryramadhany8383 4 роки тому

    Innalilah waina Lilah lajiun

  • @kuluthumudady7956
    @kuluthumudady7956 4 роки тому

    inna lillah waina illah lajiiun

  • @aymanjaribuni4844
    @aymanjaribuni4844 4 роки тому

    Allah amsamehe madhambi yk

  • @mauabeka4958
    @mauabeka4958 4 роки тому

    Inalilahi wainaileyi rajiun

  • @saidjuma9782
    @saidjuma9782 4 роки тому

    INNA LILAYHI WANNA ILAYHI RAJUUN

  • @idrisasabuni959
    @idrisasabuni959 4 роки тому

    Inalillahi wainailah rajuun twamuomba Allah ampe kauli thabiit

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 4 роки тому

    Allh mfungulie njia ya pepon shekh wet

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 4 роки тому

    إنا لله وانا الي راجعون

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 4 роки тому

    Mungu amlaze peponi sheikh wetu..kweli hapa tumepata pigo

  • @amirshaban9827
    @amirshaban9827 4 роки тому

    Allah ampe kauli thabiti ishaallah

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 4 роки тому

    Inna lilahi wainna illahi rajiuun

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 роки тому

    Innalilah rajiun mola amsamehe makosa yaje Amin😢

  • @hatibunamkumula6446
    @hatibunamkumula6446 4 роки тому

    Innalilah Wainnaillah rajuun,Allah amsamehe madhambi yake na alifanye kaburi lake liwe miongoni mwa nyumba za pepon

  • @luqmanwahda2492
    @luqmanwahda2492 4 роки тому

    Hakika sisi wote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 4 роки тому +2

    Allah akupe kauli thabiti sheikh nyundo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @wilfredmarius2071
    @wilfredmarius2071 4 роки тому

    Shehe hata baadhi ya wakristo tulimkubali sana kwa mafundisho yake Mungu ampe heri

  • @aishabarozi2730
    @aishabarozi2730 4 роки тому

    Mungu ajaalie pahali pako pema

  • @huseniyahaya7485
    @huseniyahaya7485 4 роки тому

    Safari njema shekhe

  • @hamisihamadi8337
    @hamisihamadi8337 4 роки тому

    RIP shekh nyundo

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 роки тому +1

    Inna lilahy wainna ilayhi rajiuun 😭. Ukweli tulikushiba sheikh NYUNDO. 😭😭 Sikumbuki kuku kukuchukia ktk kazi yako ya daawa. Ulikua hufichi kt kila kitu unakikemea kwa uwazi kabisa. Umetupa mafunzo hasa sisi wanawake. Mungu AKULIPE kwa wema wako wooote akupe makaazi mema na akuepushe na moto na adhabu za kabri.

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 4 роки тому

    Pumzika kwaamani sheikhe wetu

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 4 роки тому

    Hii ni ishara njema

  • @hassanmuseallahuakbar5749
    @hassanmuseallahuakbar5749 4 роки тому

    Allahu Akbar yaa Allah msamehe makosa yake kipenz chako

  • @dotogiving9293
    @dotogiving9293 Рік тому

    Rip

  • @abutwalibuiddy8734
    @abutwalibuiddy8734 4 роки тому

    Bwana alitoa na ametwaa jina lake libarikiwe

  • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
    @ukhtyanasabintimalikimalik7188 4 роки тому

    Nyundo watu walikuzika yaani adi Raha yaonesha walio kuchukia kidogo kuliko tulio kupenda 😭😭😭😭😭😭

  • @allyhamisikau9255
    @allyhamisikau9255 4 роки тому

    Pumzika kwa amani mwalimu wetu online shekh nyundo mbele yako nyuma yetu

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 3 роки тому

    Ya Allah muondolee adhabu za kaburini

  • @yahayakokoi3112
    @yahayakokoi3112 4 роки тому

    Pumzka kwa Amani shekhe wetu nyundo

  • @nadrasalum6483
    @nadrasalum6483 4 роки тому

    Innalillahi wainna illahi rajiun mwili wake hatupo nae ila nafsi bado itatukumbusha aliotuachia Allah amtukuze

  • @nassormohamed4180
    @nassormohamed4180 4 роки тому

    Tutakukumbuka kwa mazuri yko

  • @yusuphkassim8878
    @yusuphkassim8878 4 роки тому

    innalilah wainailah rajiun sote waja nakwake tuta rejea

  • @shabanimohamed4866
    @shabanimohamed4866 4 роки тому

    INNALILLAHI WAINNA ILAIHI RAJIUUN

  • @nourumouniry7120
    @nourumouniry7120 4 роки тому

    Hakika yeye safar yake imekamika tumebaki mimi na wew

  • @nuiasadiki6342
    @nuiasadiki6342 4 роки тому

    Innalillah waina ilayhi rajiun

  • @aminahassan4087
    @aminahassan4087 4 роки тому

    Inaalillahi wainaailayhi rajiiwun

  • @thevoiceahlulbayt4318
    @thevoiceahlulbayt4318 4 роки тому +1

    Inna lillahi wa Inna ilayhi rajiun

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому

    Innallillah wainnalilllaj Rajiun. Allah ampe kauli Tabithi.

  • @fatmahmohamed5321
    @fatmahmohamed5321 4 роки тому

    Innalillahi we innalillahi rajiun

  • @aligmoha9015
    @aligmoha9015 4 роки тому

    Allah akurehemu sheikh wetu.nyundo

  • @mams1892
    @mams1892 4 роки тому

    Innallillahi Wainnaillaihi Rajion

  • @maryamally8637
    @maryamally8637 4 роки тому

    Allah ambashirie pepo inshaallah

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 роки тому +1

    Allah akupe kitambu chako kwa mkono wa kilia kipenzi cha watu tulikupenda sana lkn Allah kakupenda zaidi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saidaliy1567
    @saidaliy1567 4 роки тому

    Mungu ampe kauli thabiti inshaalah

  • @salamakassim3591
    @salamakassim3591 4 роки тому

    Allah ampe kauli thabit,na sisi atuongoe

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

    Leo tutalipa sana na dua nyingi tutakuombea Allah akupokee salama akulaze mahali pema Allah atumiminie subra umetoka kwenye kazi ya Iblis ukaingia ghafla ukatukosowa ukatufahamisha japo mengine tukiona unachapa bakora wanawake tu lakini hata na wanaume pia leo kila mja ataijuwa thamani yako Allah akuingizie Nuru na Malaika wema Allah akupangusie makosa yako yote akutanulie qabri lako liwe njia za Peponi awastiri aila yako na mema yako akuzidishie Ammin

  • @adamuissamrimi3742
    @adamuissamrimi3742 4 роки тому

    Msiba umetufika wajibu kuhuzunika

  • @kababayeemc6714
    @kababayeemc6714 4 роки тому

    Mungu akusamehe shekhe wetu na akurehem

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 роки тому +46

    Allah amhifadh kipenzi chetu sheikh nyundo, kabri yke iwe ni bustaan miongon mw mabustaan ya peponi na ukumbusho wake(alotuachia) iwe swadaqat jaaria kwake....yaaa Allahummaa rzuqnaa حسن الخاتمة.
    آمين يا ربي

  • @aminamwinyi5528
    @aminamwinyi5528 4 роки тому

    Innalillah wainna ilaihi rajiuun

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 роки тому

    Kwa upendo pia watu wamesahau Kuna coronavirus

  • @allymgombela6927
    @allymgombela6927 4 роки тому

    Innalillahi wa inna illahim rajiuu'nn

  • @rizikiali342
    @rizikiali342 4 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏻

  • @naimumwahu7723
    @naimumwahu7723 4 роки тому

    😭😭😭

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 роки тому

    Assallaam Allaykum Warahmatullahi Wabarakatuh
    Innalillahi wa Inailaihi ra ninaombi
    TV zote za Zanzibar ikiwemo nyinyi online tv Nawaomba mtafuteni muendeshaji wa (HABARI MATUKIO ONLINE TV ) Mumwambie afute Videos aliyoichukua wakati mwili wa Sheikh Hussein Hassan Nyundo unalazwa kaburini Ndugu zangu Jambo lile ni lafaragha huku tunakoelekea wapi nduguzangu Wallahi ningelikuwa huko Zanzibar huyu jamaa ningemtafuta mm mwenyewe na ningempata Wallahi kitu ambachoningemfanya ingekuwa fundisho kwa wengine wenye tabiakamahiyo na hatakama amefurahiya kifo Cha Sheikh wetu huyo niyeye Sasa hasijionyeshe dhahiri hivyo mtafuteni huyo (Habari Matukio) online tv mwambieni Afute hiyo Video haraka pale amezuiya tusiweze kucomments Ila tunawapa nyinyi salamu hizi na mfikishieni kwa ajili ya Allah.

  • @halimaothmann2352
    @halimaothmann2352 4 роки тому +34

    SubhanaAllah😭 tujiombe duwa nasisi yeye keshayajuwa mm naww hiii ndo safari yetuu sote 😭😭😭😭

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 роки тому +1

    Innaalillah wainnaailayhi raajiuun! Subhanallah! subhanallah! subhanallah! Kwa athari nzuri ulizotuachia Allah akulipe kheri sheikh.

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 роки тому +35

    Yaa Rabbi msamehe alipokosea umlimpe kwa alipopatia hakika ukumbusho wako hautosahauliwa Yaa Rabbi apokewe na malaika wema

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 роки тому +2

    Apumzike salama shekhe wetu.Mashaallah mazishi yake yana nuru mashaallah ❤😭😭

  • @aisharashidi1864
    @aisharashidi1864 4 роки тому +1

    Innalillah wainna ilahi rajiuni mbele yke nyuma yetu shekhe wetu wallah nimeumia 😭😭😭😭😭😭

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 роки тому

    Inna lilahi waina illahi rajiun...lnsha Allah Rest In Peace al marhum sheikh nyundo Ameen yarab

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 4 роки тому

    Innallih wainailah rajiun 😭

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nasribright6492
    @nasribright6492 4 роки тому

    Rip sheikh nyundo tutamis Sana darsa zako mwenyezimungu alijaalie nuru kaburi lako akujaalie firdaus

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 роки тому

    Inna LILLAHI WAINNAA ILAIHI rajiuun

  • @hidjatajirih3817
    @hidjatajirih3817 4 роки тому

    Innalilah wa innalilah raajun

  • @saadatmwinyi6685
    @saadatmwinyi6685 4 роки тому

    Mungu akupe kauli thabiti mbele yako nyuma yetu

  • @shuuufadhil1349
    @shuuufadhil1349 4 роки тому +1

    Mungu akupe kauli thabit shekh wetu.....hakika tutakukumbuka daima kwa mawaidha yko mazr kutufanya ss tuwe karibu n Muumba wetu...

  • @rashidiaballah6091
    @rashidiaballah6091 4 роки тому

    Innalilah wainnalilah rajuun

  • @theenglishmathstvchannel377
    @theenglishmathstvchannel377 4 роки тому

    Innalillahi wainnailleihi rajiuun. Mungu amrehemu mja wake inshallah. Amtunuku Jannatul firdowsa kwa matendo yake mema aliyofanya.

  • @alnasrialnasri721
    @alnasrialnasri721 4 роки тому +1

    Innalillah wainailaih rajiun yarabbi mrehemu kiumbe chako na marehemu wote waliokwisha tangulia mbele yako uwasamehe MADHAMBI yao yote nasi khatima yetu ukitufika utujalie mwisho mwema duniani na Akhera pole sana ndugu wife wafiwa ALLAH awape subra na uvumilivu kwa huu mtihani mkubwa sana kwetu sote na hii ni njia yetu sote .

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 роки тому

    Anatukana anatukana haya ndo uyo mungu ashamchukua ashafanya wajibu wake ashajiondokea sasa ss jee midomo mirefu kukosoa kila kitu tumefanya nn kikubwa kwa ajili ya allah?

  • @ashfanyassir9781
    @ashfanyassir9781 4 роки тому +1

    Allah ailaze roho ya marehemu kipenzi chetu mkubwa kwa mdogo wote tulikupenda shekhe nyundo leo umetuacha wapekwe Allah ajalie safari yako iwe ya khery kila ramadhani unakua unatoa mawaidha kwa kina mama ya Allah msamehe Mja wako na sisi utujalie tuongoke 🙏🏻🙏🏻🙏🏻daima utakua nyoyoni mwa watu

  • @abdulazizimohd2682
    @abdulazizimohd2682 4 роки тому +1

    Killa nafs itaonja umaut yeye katangulia nasi tupo nyuma yake, mazur yake tuliyaona kwa macho yetu nasi tunatakiwa tufuate harakati alizokuwa akizifanya shekhe wetu nasi tulinganie dini ya Mungu kama alinyolingania shekhe wetu, mungu amlaze mahali pema peponi aamin aamin