WAZEE NA VIJANA WACHAWI HUJITIA KUSOMA MAULID // SHEIKH NYUNDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 14

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 4 місяці тому +7

    Simba wa Allah ❤️❤️❤️ Nuru ya Allah ihusike katika kaburi lako tunakiri na kuthibitisha kwamba umefikisha na pepo iwe malipo yako ln Shaa Allah

  • @AbdallahSalum-vi3tw
    @AbdallahSalum-vi3tw 7 днів тому

    Tunamuonba ALLAH azidi kukuweka peponi,na kila tusikiapo mawaidha yako azidi kukujalia thawabu kwa kazi hiyo ulioifanya tunaendelea kula matunda ya miti uiyopanda.

  • @MwajumJumanney
    @MwajumJumanney Місяць тому

    Allah ampe pepo ya daraja la juu amkutanishe na waja wema aaaammiiin

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 4 місяці тому +4

    ALLAAH akurahamu sheikh nyundo

  • @user-uc1xl3gs7f
    @user-uc1xl3gs7f 4 місяці тому +3

    Al Sheikh Hassan Hussein, Rahmahu Allah, al muswadiq,jundun Allah

  • @MauBonde
    @MauBonde 14 днів тому

    Mungu amrehemu japo hajakua na elmu nyingi lakini ,huyu Jamaa alijitahidi Sana kuwaweka sawa watu wa visiwani.pengo lake bado lipo.barakah allah fiiq.

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx 3 місяці тому +1

    Allah amrehemu Sheikh Nyundo ampe Jannat firdous Inshallah,
    Ama kwel ardhi imemeza wanaume, Allahu Akbar Kabbiirra.

  • @user-yg9et7mp7i
    @user-yg9et7mp7i 4 місяці тому +3

    Swadakta mzee Nyundo ❤❤❤❤❤

  • @athumanharuna9517
    @athumanharuna9517 4 місяці тому +3

    Swadakta Sheikh Nyundo

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws Місяць тому

    Sheikh Allah amjaalie pepo njema

  • @marwanbakhamis9298
    @marwanbakhamis9298 3 місяці тому +1

    Tunamuomba Allah akuridhie na akuoongize kweny pepo ya darja ya juu pamoja na mtu swa ..inshaalah

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx 3 місяці тому +1

    Allah amrehemu Sheikh Nyundo ampe Jannat firdous Inshallah,
    Ama kwel ardhi imemeza wanaume, Allah Akbar Kabbiirra.