KAULI YA MWISHO KABLA MAUTI YA SHEIKH NYUNDO
Вставка
- Опубліковано 15 січ 2025
- fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #Zinjibar tv #sheikh nyundo
Allah amrehemu sheikh Nyundo kwa pepo ya daraja la juu na tuendelee kumuenzi, ni faraja tunaendelea kuwa nae japokua ameshatutoka👍
Ammin yarab👐👐👐😢
Mwenyezi mungu amlaze pema penye wema Ameen Ameen yarab
Alhamdulillahi... jana tumelia pmj na mke wangu tulipotizama mazishi ya sheikh wetu Nyundo. 😭😭😭 Allah akuhifadhi penye wema
Allah akujaze neema na akurehmu,
Allah mpe pepo shehe wetu inshAllah
Allah Ampe Kauli Thabit Shekh Hassan Hussein Nyundo Allah Akbar Zinjibar TV mko vizuri elimu inatufikia Mubashara
Asaaante sheikh Allah akupe mahali pemaaa
Allah akurehemu Alhabib Shekh wetu kipenz chetu 😍😘❤
Ewe Mola mrehemu mja wako Nyundo, Aamiin
Mashallah shekhe nyundo tunakupenda sana allah akulaze pema peponi aameen
Uhai wake mulimchukia eti anawasema vibaya wanawake, leo eti ndio munapenda... Ishi usemwe kufa usifiwe
@@rashidseif6103 sio woye
@@rashidseif6103 sio wote
Masha Allah watamama used to teasing/joked Al Marhum Sheikh Nyundo lnsha Allah May his Soul Rest In Peace In Paradise Ameen yarab...Al Marhum sheikh nyundo wasn’t Sugarcoat, No filter,straightforward...we will be missing him...Thank you Zinjibar tv well organized
her iwe kwako uriko
Maashaa allah
Allah akurehemu sasaaaana shekhe wetu. Mimi nafurahia uke wenza kwani yashanikuta na nilishukuru sana ALLAH nikaishi na mke mwenzangu vzr sana mpaka mume na pia huyo mke mwenza mauti yakawachukua.Alla awarehemu pia🤲🤲🇰🇪
Ammin👐👐😢
Tuzizuie nafsi zetu dhidi ya shetani kwani vivu wanini kwa mke mwenza?, Mali utaenda nazo wapi?.Tafuta thawabu kwa ALLA na kweda ona mzr🤲🤲🇰🇪
Allah akueke mahali pema na akupe kauli thabit
Mashallah wewe ulipata dada mwema. Mm mume wangu kuoa tu mke akaanza kusema niachwe hali alinikuta. Namwisho nikaachwa bila kisa nikaenda saudia nikajenga nyumba tatu kurud kaachwa yeye talaka 3 nikurudiliwa mm. Yeye hakuzaa lakin anawatoto 11 asema hajui baba zao. Lakin mm mume wangu nilizaa naye watoto 9 nawote nimewahifadhisha kuruan baada kwenda saudia
@@ukhutyfiillah2857 Watoto 11 hawajui baba zao????
Mwenyezi mungu amrehemu uko alipo awe na makazi mema
Ammin 👐👐😢
Amin yarab
Allah amrehemu na amfufue pamoja na Saleheen na Mashuhadaa AMIN
Allah akurehem na akujaalie janat firdaus Aamiin
Amiin
Aamin ya jalal
Allahu yarhamhu aendelee kukulipa mema yako tulikupenda sana hasa mwezihuu kutuelimisha wanawake ila Allah amekupenda zaidi lala salama ewe alhabibi
Allah amsamehe makosa yake Amin🤲
Allah akuwekeye wepesi Sheikh penye ukwo
Allahumma ghfir lahu waskinahu fiyl jannah, Allah atupe Elimu yenye manufaa fiy dunya Wal akhirat
Allah akujalie mwanga katika kaburi lako
Amiin
Allahumma ghfirlahu warhamhu maskana fil Jannah
Sote ni WA Allah na kwake tutarejea.
Allah akutangulie shekh wetu.
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Amiin
Ameen Yarabb
Allah amrehem shekhe nyundo
Allah amhifadhi shekhewetu ampe pepo yaraby
Muungu amlaze pema Sheikh wetu, amiin
Allah akueke na waja wema inshallah
Allah aku hifadhi maharapema inshaallah
Allah akurehemu sheikh
Mungu akupe malipo mama shekh wetu inshaallah
Allah he some boy wako mpe huko alipo mahuurul aini
Ammin yarab👐👐😢😢
Mungu akulehemu shekhe
MashaAllah Alhamdulillah 😢
Inna lillahi Wa inna ilaihi Rajiun Allahuma thabit hum bi qaulin thabit yaa al ustadh
Allah akurehem
mjali kakaangu2 mpe pepo2 yafrdaus amin amin
Shekh nyundooo😢😢inshaallah mahurlain wawe na wewe uko uliko👐👐
Allah aijaalie kabri lake liwe rawdha min riyadhil Janna, we miss you sheikh nyundo. 😭
ALLAH AMPE PEPO YA DARAJA LA JUU KABISA INSHALLAH
Allah afanye kabri lake liwe miongoni mwamabustani ya peponi Inshaallah
Mafundisho ya shekh nyundo yamenifanya nitamani kuwa mke mwenza ❤
mungu aksamehe makosayako mpka raha kiukweli
Allah akupe pepo yenye daraja ya juu kabisa Sheikh wetu umetutoka ikiwa bado tunahitaji huduma yako!
Allah amrehem
hakika m bora wenu mbele ya Allah ni mcha mungu....
Mungu mpe pepo njema shehe wetu
Mashallah mungu ampe wepes akhera alipo
Mungu mrehem shehe wetu
اللهم اغفر له و ارحمه واسكنه في الجنه
Pumzika kwa amani she nyundo
Allah akupe kauli thabiti inshallah
ALLAH akurehem Nyundo
Shekh watu wew ni wetu na utaendelea kuwa wetu tunakupenda wenyetu mungu akupe pepo ya darja juu zaid
Allah yarihamuhu ya Rabbi
Allah amrehemu ampe janatul firdaus
Amiin ya rabby
Innan lillahi waina illayhi rajiuun 😪💕
Tusikose Tarawehi live au khutba ya Ramadhani
Innalilahi wainnailaihi raajiuun ewe Allah ampe kauli thabit marehemu shekh wetu Aamin
الله يرحمه
RahmahuLlaah
ألله يرحمه شيخ حسن
آمين يا رب العالمين.
Kheri kwako
Yani sikuamini mmpaka nilipo liona jeneza japokua kufa kupo Allah akujalie nuru ndani ya kabur lako ww na waislamu wote tutakumiss sana sana uwepo wako nikama ndoto
Uke wenza ni haki kwa kila mwanamke twende wote zenjibar tv online
Jaman achen kuandika mambo ya uwongo kauli yamwisho alikua hospital pengine allah mellitus shahada
nakuunga mkono maneno yko
Unafahamu kiswahili lakini inamaana ktk uhai wake kabla maradhi
allahum amiii
😭😭💔
Mm
Jamani tubadilishe kichwa cha habar sio kauli ya mwisho yawezekana kuwa hutba au mahojiano ya mwisho
Kweli wif yangu mm alipigana hadharani kisa zamu😃
😢😢
😭😭😭😭😭😭
😢👆👆
😭😭inna lillah wainna illah raj uun 😭😭
😭😭😭
Hii mada hatar MMungu amsameh makosa yke maskin ndo haijawahi kuisha MMungu kamuhitaji kiumbe chake
YAALLAH 😂
Hapa alikua kashaanza kuumwa
Allah akurehem na akujaalie janat firdaus Aamiin
Ammin👐👐👐😢
ALLAH amjaalie kauli thabiti xhekh wetu
hakika m bora wenu mbele ya Allah ni mcha mungu....
Allah akurehemu
Allah amrehem