JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 932

  • @Asha-p6b
    @Asha-p6b Рік тому +5

    Inshallah allah akupe umri mrefu uzidi kutujuza othman Maalim 🙏🙏

  • @ibrahimabdirahman1454
    @ibrahimabdirahman1454 2 роки тому +38

    One of the best sheikh's of this ummah may Allah protect him and grant him husnul al-khaatimah

  • @OmarAli-zz5sl
    @OmarAli-zz5sl 2 роки тому +6

    Inshallah mung akujlie maisha marefu shehe wetu kipenz na mung atujalie tuwe miongoni mwa watu wema

  • @robertoomambia2508
    @robertoomambia2508 3 роки тому +12

    Othman mimi mkristo napenda Sana, mawaidha yako

  • @wairimuflorence5861
    @wairimuflorence5861 4 роки тому +259

    Mimi mkristo lakini siku zote napenda kuskiza mahuburi ya waislamu.Mungu ajupe umri mrefu Inshallah .

    • @zouzou2849
      @zouzou2849 4 роки тому +12

      Allah akuwongoz na uzidi kuyafat upate ukweli insha

    • @wairimuflorence5861
      @wairimuflorence5861 4 роки тому +9

      Azou Azalazi,inshallah

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 4 роки тому +5

      MASHALLAH siku moja ALLAH atakufanyia wepesi kujua Haki na kuiyacha badili

    • @uwesusaid9764
      @uwesusaid9764 4 роки тому +8

      @@wairimuflorence5861 dada yangu silimu

    • @aishawanja2718
      @aishawanja2718 4 роки тому +3

      Mungu akuoongoze

  • @nassirhabibu4273
    @nassirhabibu4273 5 років тому +36

    Allah akulipe mazuri sheikh Othman Maalim na akupe imani uzidi kutuelimisha mpaka mwisho wa maisha yako na pepo iwe malipo yako(Aamin)

  • @HamadMsophe
    @HamadMsophe 11 місяців тому +4

    Othman Maalimu hakika uko bora sana MUNGU akupe maisha marefu utupe darasa na Sisi tuwe miongoni mwa watakaokuwa peponi.... tuyaelew mafunzo yako Amiiin

  • @allymkumbilwa5715
    @allymkumbilwa5715 2 роки тому +3

    Najivunia kwa darasa lako alaah akupe kher katika dunia

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 3 роки тому +4

    Nashukuru mungu muweza,ninaumia sana moyoooooooo,nataman kusema kitu kikamuuumiza alienitenda,mwisho najishusha nakunywea kwaajil ya hofu ya mungu,nakumuonyesha tabasam kutoka moyon alieniudhi, mana hata Mimi cimkamilifu

  • @meryemayhan2036
    @meryemayhan2036 4 роки тому +8

    wallah shekhe othman napenda hasaaaa mawaidha yako yananifikia mpaka kwenye nafsi yangu unagusa hasaaa panahusikaaa ila naomba uzungumzie hasaaa uke wenzaaa kwan bado wanaume na wanawake hawana elmu ktk idara hiyoooo

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +16

    Ya Allah tujaalie tuwe na tabia nzuri, huruma na uvumilivu kama alivyo kua Mtume wetu Muhammad swalallahu alayhi wasalam🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 4 роки тому

      Aamin

    • @mwanaishahussein2635
      @mwanaishahussein2635 4 роки тому

      Insha Allah,naswaha zenu tutazingatia na pia namuomba ALLAH atuepushe na shetani m baya mwenye kushushutisha mabaya kwa bina'adam 🙏🙏

    • @hadijaame4497
      @hadijaame4497 3 роки тому

      Amn inshaallah kwa sote

  • @khalidjuma2291
    @khalidjuma2291 4 роки тому +42

    Allah Akbar, Sheikh Uthman Maalim Allah Amuzidishie Kheri Nyingi Hakika Napenda Mawaidha Yako, Naomba Allah Atujalie Mwiaho Mwema

  • @dullybrown3635
    @dullybrown3635 5 років тому +216

    Nakupenda sana sheh othman maalim..mm sijasoma sana vitabu ila darsa zako nazihifadh zote kisha nazifikisha kwa watu...nakushkuru sana maalim othman najihis kama ni mwanafunzi nilosoma kwako kwa mda mrefu..allah akusimamie

  • @UmJarra7
    @UmJarra7 4 роки тому +4

    Alhamdulillah kwa mawaida mazuri alhamdulillah Allah akujaze her na akuegeze umr mrefu utuelimishe zaid napenda San mawaida yako mungu awajaliye her wano cikiliza mambo ya her awaogezi umri mrefu na awape sbr kwenye ndowa zao

  • @asmahasmah4174
    @asmahasmah4174 5 років тому +35

    Sheikh Othuman allah akupe umri mlefu na mwisho mwema inshaallah True love from Oman🌷🌷🌷

  • @aishaissa5807
    @aishaissa5807 5 років тому +36

    Alhamdulillah
    Shk Othman maalim mwenyezmungu azidi kukuweka akujaalie na afya akuepushie na husda YaRabb

    • @ahmadytoboke9397
      @ahmadytoboke9397 3 роки тому

      Allah akuongezee umr mrefu bado tunakuitaji sana

  • @husnasaidi5045
    @husnasaidi5045 2 роки тому +4

    Allah akupe umri mrefu Shekh Othma Maalim

  • @theonestensengiyumva6759
    @theonestensengiyumva6759 3 роки тому +2

    Mimi naitwa Nourah,mtanzania wakuishi Rwanda,rafiki yagu niliempenda kuzidi wote aliniroga akanifanya nijiskie kuchukia wislam na waislam,nimefika atua yakuona uchawi ndani ya kila mama wa kislam.lakini nashkuru Allah,katika siku za mwisho za mwezi mtukufu wa ramathan mwaka huuu,Allah kanipa bahati ya kuona lailatul qadir,sasa naamini matatizo yangu yote,Allah kayatatua.Allahu akbaru,Allahu akbaru....

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 роки тому +9

    MaashaAlla🙏🙏Allah akurinde lnshaAllah🤲🤲🤲🤲🇴🇲

  • @MohamedMOsman
    @MohamedMOsman 3 роки тому +9

    حفظك الله الأخ الفاضل الشيخ عثمان معلم، زدك الله علما ونور.

  • @pandushauri4804
    @pandushauri4804 5 років тому +18

    Asante sana sheikh wangu Othman Maalim kwa kunipa habari nzuri za kuishi na rafiki

  • @seluwahabdull7223
    @seluwahabdull7223 5 років тому +12

    mashallah mawaidha mazuri nimejifunza mengi shekh allah ukupe afya njema

  • @mwanaidiyousup8727
    @mwanaidiyousup8727 5 років тому +15

    Mashaa'allah, shukran jazzilla kwa mawaidha mazur, wallah nikisikiliza mawaidha yako shekhe huwa nafarijika sanaa.!

  • @saidyusufu4141
    @saidyusufu4141 2 роки тому +1

    Maalim othman mawaidha yako yanatufundisha vitu vingi napenda kukusikiliza sana inshallah mwenyezi mungu akuzidishie usichoke kutupa darasa

  • @hamimomary3508
    @hamimomary3508 5 років тому +18

    Masha-Allah Masha-Allah Masha-Allah,Allah akujaalie mwisho mwema,Allahummah Ameen

  • @hassasadiq4457
    @hassasadiq4457 5 років тому +33

    MashAllah sheik OTHMAN MAALIM Allah akupe umri

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 4 роки тому +15

    Mashaallah shekhe Othaman maalimu Allah akupe afya njem

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 5 років тому +41

    Mashaaa Allah nimecheka Apo kwa ndoto ya wake😁😁😁😘😘😘😘😘 hakupendaga kwa ajili ya Allah sheikh wetu Athuman maalim

    • @ashurasaid4165
      @ashurasaid4165 5 років тому

      Jazakallahu khairan shukrani kwa Mawaidha

  • @hadijatambwe9194
    @hadijatambwe9194 5 років тому +40

    Mashallah watching from USA I love you for the sake of Allah Sheikh Othman Maalim..

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому +21

    MaashAllah, Alhamdulilah, Allah akupe kila la Heri,na Sisi atuongeze katika njia ilonyoka shukran

  • @markookwothos6986
    @markookwothos6986 5 років тому +119

    Maasha Allah one of the knowledgeable imaam of our time and may Allah bless him l love him for Allah's sake. May Allah grant him jannatul Firdausi Aala.

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 5 років тому +48

    Maa Shaa Allah, nakupenda sheik wangu kwa ajili ya ALLAH, Mwenyezi MUNGU akupe afya na umri na akulinde

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 5 років тому +26

    Maasha Allah shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh Othman kwa madarsa nimechelewa lakini nimewahi pia,Mwenyezi Mgu awalipe kwa kila kheir na hizi darsa munazo tukumbusha mambo ya Dini na Dunia🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @BintiKoi
    @BintiKoi Рік тому +3

    Mashallah tabarakallah mawaidha mazuri

  • @fridaydavid166
    @fridaydavid166 5 років тому +21

    Naomba MOLA akujalie umri allahum ameen,asante sheikh Omar

    • @jumajua5687
      @jumajua5687 3 роки тому

      mashalah shekh othuman malim nakukubali sana upo vizur

  • @khamisshabankhamisshaban4035
    @khamisshabankhamisshaban4035 5 років тому +46

    Nimejifuza kitu kwa shekhe odhuman maalim mungu amuhifadhi insha allah

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 4 роки тому +4

    Mashallah katika mashekhe ambao nnaependa kumsikiliza basi mmojawapo ni huyu Mwenyenzi Mungu ampe umri wenye afya na uzima Ameen 🙏

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 роки тому +10

    Shukran jazzilla sheikh Uthman MaalimAllah akuifadhi 🤲

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 роки тому +6

    Masha Allah sheikh Allah akupe umri mref Insha Allah nakupenda kwajili ya Allah

  • @jumanjuguna6822
    @jumanjuguna6822 5 років тому +3

    Alhamdulillah,tushukuruni kupata masheikh kama Sh.Athman Maalim,Huyu sheikh ameshiba ilmu akakinai na ALLAH amzidishie,na hajafanya khiyana iwaitoa bila kifundo na ALLAH ampe pepo na radhi amridhie.....AMIIN

    • @hajipesambili9932
      @hajipesambili9932 4 роки тому

      Manshaalh athuman maalim mwenyezi maidha yako yna ujumbe mzito

  • @lenahhariethy7877
    @lenahhariethy7877 3 роки тому +6

    MashAallah Allahu akuzidishie umri uzidi kutuelimisha 🙌🙌🤗🤗

  • @jumah1101
    @jumah1101 5 років тому +21

    Ma sha Allah...hakika nimepata ilm kubwa!

  • @ahmedswaleh4804
    @ahmedswaleh4804 5 років тому +72

    Alhamdulillah Allah akujazz akupe na umri wakutuelimisha

  • @lizmwathumu5155
    @lizmwathumu5155 5 років тому +11

    Alhamudhilah,..Allah akupe afya njema maalim shukuran sana

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 років тому +31

    Inna Lilah wa Inna ilayhi Raji'un 😭😭😭😭😭😭😭😭😭kweli Ninakosa Raha kwa kuwa siko Burundi 🇧🇮 Aysee ninge fanya iwezekanavyo nikapata huo utukufu wakukuona Lakin Alhamdulillahi RabilaAlamina najapo cku jalwa kuwepo bahati yao wote wamekuona na Mmie pia nafurahi kwa hii neema ya Allah kwa kukuona nakuku sikia hapa nlipo Alhamdulillahi na Allah atujalye tufanyie kazi hayo umetufuhamisha shukran Jazeelan jazak Allah khayri Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka karibu tena na tena natena 🇧🇮 ❤️NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH GHAZ'WAJALLAH 💖💖💖💖💖💞

    • @lemugamba7021
      @lemugamba7021 5 років тому

      Aisha Abdullah hi

    • @حليمهال-غ1ظ
      @حليمهال-غ1ظ 5 років тому

      Huenda hata ungekuwepo burundi bado ikakuwia vigumu kumuona maana huo msongamano wa watu

    • @muhammadahmedaliyyu3854
      @muhammadahmedaliyyu3854 5 років тому

      @@حليمهال-غ1ظ nikweli Kbisa lakini sikati Tama kwasa babu naamini sku ya mwisho yipo bilasha kila mtu atakuwa pamja na ampendae basi nafasi hio ntayipata by Llahi taufiqi ln shaa Allah Shukran Jazeeran jazak Allah khayri ya Hareem💕

    • @khaliliramadhani9591
      @khaliliramadhani9591 5 років тому

      maashallah shekh othamani maalimu

    • @johnpeter7180
      @johnpeter7180 5 років тому

      Mashallla

  • @hosnaali6165
    @hosnaali6165 4 роки тому +11

    jazakallahu khair ya sheikh may Allah guide us all to the right path Amiin

  • @kivojakivoja4596
    @kivojakivoja4596 5 років тому +6

    ALLAH azidi kukujalia afya njema tuzidi kuelimika na elmu uliyojaaliwa

  • @muddyomar128
    @muddyomar128 3 роки тому +3

    allah akuhfidhi na mengi tulozungukwa nayo katka hi dunia

  • @habibaayala8046
    @habibaayala8046 5 років тому +32

    Wallah nikisikia mawaidha huyu sheikh moyo wangu inatulia

    • @amishawatif8222
      @amishawatif8222 3 роки тому

      Wallah hata mm napenda saaana daawa yake.Allah ampe kher yaraaaab

    • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
      @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 роки тому

      ua-cam.com/video/f1ECnaRImIs/v-deo.html

    • @vicentmtoni1728
      @vicentmtoni1728 3 роки тому

      Akili yngu huwa najiona km nimemuona Muhammad (S.A.W). Allah atuhifadhie huyu sheikh

  • @husnahhhahahausys7810
    @husnahhhahahausys7810 5 років тому +31

    Mashallah Allah akupe siha njema akukinge na hasda

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 5 років тому +6

    MaashaaAllah mawaidha mazuri mungu Akupe afya na umri mrefu sheikh

  • @aminasarah2049
    @aminasarah2049 5 років тому +32

    Shukran Sheikh Othman, Mawaidha Yako yananijenga moyo

  • @fatmakarama4001
    @fatmakarama4001 4 роки тому +4

    Allah uzidishie napenda sana kukusikiliza mawaiza yako Allah akuzidishie na Akupe afya na uhai mrefu na mwisho mwema kwa sote.

  • @stephaniemarleni
    @stephaniemarleni 2 роки тому +6

    Wise words and educative may God bless you my brother

  • @fadhiliyusuph9427
    @fadhiliyusuph9427 3 роки тому +3

    Allah Skype umri mlefu madazako haziishi masikion mpaka moyon alhamdulilah

  • @hawaathumani1701
    @hawaathumani1701 5 років тому +11

    Mashallah, shukran sheikh kwa mawaidha. Mwenyezi mungu akulinde inshallah. Pili nafurahi uko na jina kama la babangu. Mwenyezi mungu amrehemu 🙏🙏🙏

  • @faridaiddy6015
    @faridaiddy6015 5 років тому +36

    maa shaa Allah... asante sheikh Wang kwa somo zuri nimependa mno..

  • @hajiramadhani1821
    @hajiramadhani1821 5 років тому +10

    Mashaa Allah nakupenda Sana shekh wangu

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +3

    Amiin amiin amiin
    Asante sana kwa ukumbusho mungu akujazie kila la kheri wewe na familia yako amiin

  • @rajabumaziku3259
    @rajabumaziku3259 5 років тому +44

    Allah akulipe kila la kher Shekh othuman maalim🙏

  • @salmaismail686
    @salmaismail686 4 роки тому +11

    Mashallah Allah atakulipa kwa ujumbe mzuri

  • @rukwangarimoses5980
    @rukwangarimoses5980 Рік тому

    NAMI mukristo lakini napenda ma waiza ya kislamu Kuna ukweli mwingi sana na mengine yananipa kujitambu vizuri . Allah subhana wataal awazidishiye nduguzangu .Tena zawadi zake alizo zipa mtume Muhammad swalaalalah Ali wa salaam ziendeleye ku miminika juu ya vichwa vya wa islamu wote duniani .

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 років тому +25

    Wallah mid nasikia raha kuwa mwiislaam.alhamdulillah

  • @hamidajojo8673
    @hamidajojo8673 5 років тому +6

    Masha Allah mollah akuweke miaka mingi shekhe wetu

  • @abubakarabdul4657
    @abubakarabdul4657 5 років тому +11

    Uthman Maalim mimi namuita fundi..Allah ampe umri mrefu

  • @yuslqtown6614
    @yuslqtown6614 4 роки тому +1

    Shehe Othman maalim wewe unae rafiki kipenzi kama wakiyi na shafiy walivokuwa wanapendana sana

  • @dinademona7375
    @dinademona7375 5 років тому +4

    Mme Wangu yuwampenda huyu Maalimu sana Masha'Allah na maneno yake ni kuntu Masha'Allah

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 років тому +39

    Mashallah sheikh kwa mawaidha mazuri mungu akupe umry mwema

    • @tarfun3130
      @tarfun3130 5 років тому

      Mashallah .mawaidha mazur tumefaidika.mungu.akupe.umri
      Mrefu uzidi kutuilimisha

    • @UmJarra7
      @UmJarra7 4 роки тому

      Amina yarbi

  • @ambiamash2194
    @ambiamash2194 5 років тому +16

    May Allah gave u long years to live so that u will continue educating

  • @zaitunimbegwa9993
    @zaitunimbegwa9993 4 роки тому +6

    Mashallah Othman maalim allah akupe umri mrefu inshaallah aamiin allahumma aamiin

  • @mwantumjuma9025
    @mwantumjuma9025 4 роки тому +4

    Daah shukran shekh Othman maalim nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @suleimanrashid8957
    @suleimanrashid8957 5 років тому +1

    Namuomba Allah akujalie sheikh othman maalim. Ukuepushe na mitihani ya dunia na akheira. Allah akujalie akuingize kwenye pepo yenye daraja la juu.
    Kiukweli najifunza mambo mengi kutoka kwako. Hakika Allah ame kupa elimu na hekma. In shaa Allah Allah akuongoze hapa duniani na akheira ktk njia ilio nyooka.

  • @ramzmak7121
    @ramzmak7121 5 років тому +12

    MashaAllah ..Sheikh Othman Maalim Mungu akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha InshaAllah...

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 років тому +86

    Mashallah somo nzur sana sheikh wetu mungu akupe afya njema

  • @shehemohamed5807
    @shehemohamed5807 4 роки тому +7

    mashaallah inabidi tujifunze kuishi vyema

  • @abubakariabdi8810
    @abubakariabdi8810 5 років тому +16

    Nakupenda sana sheh watu kwajili ya Allah

  • @fatmaswaleh7004
    @fatmaswaleh7004 5 років тому +15

    MashaAllah tabarakallah Sheikh kaka etu darsa zako wazitoa kwa umakinifu sana Allah akujaze khairat leo na kesho akhera

  • @abuabu9594
    @abuabu9594 2 роки тому +1

    Sheikh Othman Maalim Allah akuridhie mimi nilikufatilia tangu uko barobaro MashaAllah tangu barobaro Allah alikupa kipaji cha Dini na Hikmah kubwa sana nilikuona msikiti wa barsheba from that day nikawa sikosi darsa zako Allah akutilie barka katika maisha yako amiin amiin .

  • @fathiyaali6171
    @fathiyaali6171 4 роки тому +8

    MashaAllah JazzakAllah khayr

  • @biushinaaman3768
    @biushinaaman3768 5 років тому +11

    Allah akuhifadhi akukinge na husda na fitina za waja nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @swaumumakunga2469
    @swaumumakunga2469 4 роки тому +6

    Masha Allah, Masha Allah shekh othman mungu azidi kukuifadhi

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому

    Sheikh Othuman kila nikisikiliza mawaadhi yake,roho yangu na tabia yangu inabidilika,Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu Sheikh Othuman.

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 років тому +10

    ماشاءاللہ........ جزاك اللهُ‎

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 4 роки тому +2

    Maa shaa Allah
    Shukran sana Shaykh wetu
    Baaraka Allahu fiyka

  • @mwanaishamohd7675
    @mwanaishamohd7675 5 років тому +3

    Sheikh. Othman unatufunza masha Allah ..... Allah akulipe ujira mwema... ammiin

  • @bakarinasa524
    @bakarinasa524 3 роки тому +1

    Shukran wa asantu hakika umebalikiwa vtu vzito Sana na vnanguvu kubwa ktk ummat MUHAMMAD insha ALLAH mungu akulinde akuongezee ilmu Zaid ya ulonayo tupate mengi kuptia kwako amin

  • @aminaomary3947
    @aminaomary3947 5 років тому +22

    Allah akupe hitaji LA moyo wako sheh wetu

  • @davidjuma4283
    @davidjuma4283 2 роки тому

    Sheikh othman Allah akujalie umri MREFU hapa duniani na pia akujalie mwisho mwema napenda mawaidha yako yana mafunzo mashaallah

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 5 років тому +16

    Masha'allaah,jazakallahu khayr ya sheikh kwa hili darsa.Na pia nimetabasamu vile nimekuona umefuga ndevu maanake wife yangu huniuliza 'mbona huyu sheikh huwa hafugi ndevu'!ha!haa!

  • @frontonmwaisaka1438
    @frontonmwaisaka1438 3 роки тому +11

    Wonderful lessons brother I have benefited though I am a Christian keep it up.Be blessed

  • @shauziaamne5
    @shauziaamne5 5 років тому +3

    Sheikh Allahubarik fiik.mawaidha yako yanaeleweka MaashaAllah.yanaridhisha ukisikiza watamani usingize tena na tena.Allah akupe umri mrefu na jannatul-firdaus.in shaa Allah

  • @hassanabdallah6244
    @hassanabdallah6244 3 роки тому

    Shekhe othumani maalim akuripe allah kwa dawa zako mie nazipenda sana

  • @shamsihamimu1725
    @shamsihamimu1725 4 роки тому +3

    Allhamd llah nashukuru sana kamawaidha yako mazuri

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 роки тому +7

    Somo zur Sana shekh Othman 🙏🙏

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 4 роки тому +4

    Maashaallah
    Maashaallah
    Maashaallah
    Jazaqumlwau ery
    Inshaallah 🤲 🤲

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 роки тому +1

    Shukran jazila kwa somo lenye utulivu nimejifunza kitu kikubwa kupitia somo hili Allah akuzdshie elimu inshaallah

  • @mkilashamis7849
    @mkilashamis7849 4 роки тому +3

    Mashallah mwenyeezi mungu akupe ukitakacho kiwe na heri nawe

  • @yasirabdallah5597
    @yasirabdallah5597 5 років тому +1

    Allah akuzidishie ilmu na katika ilmu yako akujalie rizki katika mafungu makubwa..Allah akuhifadhi ili nasi tuendelee kupata darsa yako

  • @hassanhamisimwaropia2314
    @hassanhamisimwaropia2314 5 років тому +37

    Masha Allah, Mungu akuzidishie Rehma zake na akurefushie umri wako.mawaidha yako yanapendeza mno in sha Allah Mungu atujalie tuwe wenye kunufaika kwayo

    • @ummabora2118
      @ummabora2118 5 років тому

      ua-cam.com/video/BCF1SbvZQgQ/v-deo.html

    • @UmJarra7
      @UmJarra7 4 роки тому

      Amin yarbi

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 роки тому +2

    Ila sio siri mimi pia napenda Sana mawaidha ya baba othuman mungu atujaze khery inshallah