Shekh Kipozeo Kamfungukia WEMA SEPETU Bila Uoga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 340

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 7 місяців тому +2

    Allah akulinde shegh kufikisha ujumbe kwa busar ingekua wengine washawatukana wote hapo,kama dini ya kwao

  • @emmajux8505
    @emmajux8505 4 роки тому +10

    😂😂😂oa alie muelewa camera man ana makusudi kwa wema...gonga like tusep zetu

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 роки тому +9

    Shehe kipoozeo muogope Allah usifurahishe watu eti unawaombea bongo movie waendelee yaani unawaombea waendelee kuonyesha uchi na kupotosha jamii asilimia kubwa ya vizazi vyetu vimeharibikia kwenye bongo movie kwa kuwatazama hao eti na waislam kabisa shehe uko vizuri sana nakukubali ukweli ni huu uislamu hauendi hivo hapo hakuna pazia ya kutazamana wanawake na wanaume wamechanganyikana wallah shehe anayejitambua hawez toa mawaidha hapo kwenye mchanganyiko kama kanisani tuisomeni dini ndugu zangu waislam

    • @angelamarlow510
      @angelamarlow510 3 роки тому +2

      Ismail bhn we nawe umenena ila shekhe yeye ajawaombea wakae uchi
      Bali ile kazi aitende kiufasahaa
      Na Mungu aongeze vyema ili wasitekwe na Dunia akamsahau Allah na kutenda mabaya

    • @issasheikh2270
      @issasheikh2270 2 роки тому

      @@angelamarlow510 kakosea sn coz anasema cc na wacristo ni ndugu wakati Mtume ametufundisha muislam ndugu yake ni muislam

    • @iddydawood2020
      @iddydawood2020 2 роки тому +1

      @@issasheikh2270 acha mihimko.sheikh amebaisha kuwa wakristo na waislamu wote ni ndugu kwa nasaba ya Adamu.
      na Allah amelithibitisha hilo.
      YAA AYYUHA NNAS KULUKUM MIN AADAM WA AADAM MIN TURAAB=enyi watu nyinyi wote mnatokana na Adamu na Adamu anatokana na udogo.
      na mtume asema:
      ENYI UMATI WANGU,WATU NI WA AINA MBILI KWENU:
      1-ndugu yako ktk imaan
      2-ndugu yako kwa Adam
      NA WOTE HAO WANA HAKI ZAO

    • @issasheikh2270
      @issasheikh2270 2 роки тому

      @@iddydawood2020 shukran

  • @innocentking8838
    @innocentking8838 5 років тому +35

    Mimi nimkristoo from Kenya ilaa mawadhii huwaa nayapendaa sana yaani ukiyaskilizaa kwa umakinii yanamaaanaa sana

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 років тому

      Karibu sana ndugu ktk dini ya haki

    • @ballboypt8860
      @ballboypt8860 5 років тому

      @@zayyatiyussuf9566 nani kakwambia dini yako ndo ya haki

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 років тому

      @@ballboypt8860 Allah kasema au waona nn?we?

    • @chizainazahrrey4397
      @chizainazahrrey4397 5 років тому

      tumien hekima zenu

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 років тому

      @@chizainazahrrey4397 kamilisha maneno tukuelewe

  • @husnatntalala6531
    @husnatntalala6531 5 років тому +51

    Ninapendaga mawaidha yako yanamafunzo Allah akupe umri mrefu inshaallah

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 6 місяців тому

    Sheikh ana fanya Sawa, nzuri Allah akuhifadhi inshallah sheikh

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 років тому

    Hongera Sheikh Kipozeo kwa kuelimisha jamii, ukikaa na Mchungaji Daniel Mgogo uelimishaji jamii utaimarika vema, Mungu awabariki Viongozi wetu wote katika imani, Mungu Ibariki Tanzania, Aamin.

  • @dallasme86
    @dallasme86 2 роки тому

    Shekh ALLAH akupe umri na uzidikuelemisha na kusambaza Dini ya ALLAH INSH ALLAH

  • @muhammadali4394
    @muhammadali4394 2 роки тому +3

    My favourite Sheikh Ma sha Allah...

  • @mussaanthony7697
    @mussaanthony7697 Рік тому

    Hongera sana baba shekhe wetu kipozeo wapoze hao kinadada maana muuu sanyingine wanatatanisha kila lakheli inshallah

  • @mrishosalum799
    @mrishosalum799 5 років тому +13

    Allah akujaalie kila LA kheri sheikh na nyinyi wasanii amabao ni vioo vya jamii shikeni maneno hayo na myafanyie kazi

  • @mohammedmatano6970
    @mohammedmatano6970 4 роки тому +2

    Shekhe mawaidwa mmrwaa kabisa,Allah akijalie mema na akufanyie wepese penye na uzito inshallah.

  • @bizekago4060
    @bizekago4060 2 роки тому +2

    Kama unatoa mawaidha kwa kukwepesha ukweli kumbuka kuna siku ya hesabu allah atakulipa

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 2 роки тому +1

    MashaAllah shukran sheikh

  • @rajabuhondo4973
    @rajabuhondo4973 3 роки тому +4

    Allah akuu zidishie kher shekhe wetu 🙏

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 років тому +1

    Shukrani sheikh wangu kipozeo,najua elmu ipo hapo,tena bado nipo na wewe,lakini naona ni bora uachane na hayo.

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 5 років тому +2

    sheghe kipozeo nakukubali sanaa Masha Allah in shaa Allah siku moja Allah ajaliee wepesii nikutane na ww In shaa Allah

  • @omaridadi2130
    @omaridadi2130 2 роки тому +1

    Ni mtihan kweli huu ndo maana Mimi nawakubali masheikh wa kisalaf yaan wanamsimamo kweli na Allah awaihifadhi.

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 років тому +29

    Sheikh huyu nampendaga sana kwa mawaidha yake ,yaani ana mawaidha mazuri na ana utani sana mtu huchoki kumsikiliza.15.04.19.

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 3 роки тому

      Dini haitaki utani mbele yake kuna wanawake wana vimini vichwa wazi hakuna dini ya hivi na anamsifia mwanamke mbele ya halaik hii sio dini aliyekuja nayo mtume shehe awe sirious sio bila kujali watu watachukia ushahid wa hayo nenda katika qur an surat Nuur aya ya 30-31 we unadhan mawaidha hayo mtu atakuwa sirious?

    • @fatumahassan1371
      @fatumahassan1371 3 роки тому

      @@abaafarhat9191 hapo umesema

    • @sadaomar299
      @sadaomar299 2 роки тому

      Ismail kaita hata mtume ktk kulingania kwake walikuwepo wanawake ambao walokuwa hawakujistir na wengine wamejistir na walimfata rasuli na kun walobaki ktk dini yao na wala hakukataza watu wasilinganie pia ww ukimuona mtu usimshangae kisa kavaa kisket mlinganie kwa iman mbn allah atambadilisha na ww siku ukimuona utafurah ko kumlingania mtu sio lazima ajistir

    • @sadaomar299
      @sadaomar299 2 роки тому

      Vilevile hatukuambiwa tuwalinganie wanojistir tyu hawa wenzetu watalinganiwa na nani kutana nao uwalinganie tyu

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Рік тому

    Shukrani sana ya sheikh sahihi kabisaa

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 5 років тому +3

    SHEKH KIPOZEO UMEFIKISHA MUNGU AMEONA,MTUMEﷺAMEONA,WAUMIN TUMEONA.جزاك ﷲ خير

    • @bukheytmohammad2831
      @bukheytmohammad2831 5 років тому

      Sio kweli mtume ameona.....alishakufa rasoolullah
      Hajui kipozeo amesema nini...

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 3 роки тому

      Mtume kaona nini apo

  • @sheikhsharifmaduatz2871
    @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому +8

    #UNAJUA SISI WAISLAMU WENGI TUNAKUWA HATUWEZI KUENDELEA SABABU YA #CHUKI_HUSDA_FITINA NA ROHO MBAYA KWAIYO MLIKUWA MUNATAKA AZUNGUMZE WATU WAKIWA WAMEJISTIRI SWALI YEYE KAKA NANI NA WAKATI NI MGENI #MWALIKWAAAAAAA

    • @ibrahtibah
      @ibrahtibah 5 років тому +3

      RAJABU WAHAJ wengi wana comment kwa jazba tu bila kuelewa mazingira Rajabu safi kwa kulitambua hilo

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому +1

      @@ibrahtibah watu wengi mm nawatizamaga yaaan mtu kazi kumtoa kasoro mwenzake inafikia hatu et anaitwa hana #akil mara #njaa #mara huyo sio shekhe wakati wanasahau #mazingira yamekaaaje

    • @lailakhalid9399
      @lailakhalid9399 5 років тому +1

      Kumlingania mtu ni sehemu yoyote na mahara yoyote na ktk mazingira yoyote Sema uwelewa ndio tatizo

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      @@lailakhalid9399 pamoja

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Kweli na ukiwa mbaguzi wakupitiliza Mungu lazima akutenge

  • @bibazanzibariyyah5043
    @bibazanzibariyyah5043 5 років тому +5

    Allahumusta'aan Allah amuhidi huyu mzee siwezi kumwita Sheikh Subhanallah anasahau aya hadithi kwa kulinda tonge yk
    Sheikh wa kweli hawezi kuhudhiria apo Abadankila maasi yapo kwanza mkusanyiko wa wanaume na wanawake haramu km hakuna hijab Allah atuongoze mzee kipozi Allah anakuona ooooh....!!!

    • @muhammadymanzi3815
      @muhammadymanzi3815 5 років тому

      Hamna shekh hapo kwanz mpak uitwe shekhe ufanye kaz hapo alipo Wala juuzu 5 Hana kichwan yaan kaongea upuuz mtup الله amuongoze awez kuon haki

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому +3

      #Yaaan nyie wasenge kwel inamaana mawaidha yatolewe kwa #Waislamu tyu wasiokuwa waislamu wasiambiwe achen usenge

    • @muhammadymanzi3815
      @muhammadymanzi3815 5 років тому

      Allah akusamehe kwanza kwa kuwatukana walioelew kuwa kipozeo kakosea alafu huu Ni uislaam sio dini ya matusi pia tujitahidi kusoma ili tuelewe dini inataka nn sio kila aliye simama mbele za watu kuzungumza kasom au anajua huyu Ni zero brain pia allah akuongoze uelewe uache matux pia Amiin سبحان الله unatetea hizi pumba ama kweli zama za mwisho alizosema mtume محمد رسول الله ndo hizi

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      Pengine we ndio unamdhambi mengi kushinda hata huyo aliesimaa hapo achen uzwzwa

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      #Kwaiyo unatak kusema Kama yet hajasoma WW uliesoma to basi cd zako za mawaidha tukujue hujatoa hebu tuacheni unafk hata Kama amekosea lakin we unaejua to #cd zako tuone

  • @bakarishwaibu4537
    @bakarishwaibu4537 5 років тому +1

    mashaallah allah atuongoze sote tuwe wasema kweli kama wewe sheikh bila ya haya mbele za watu ameen

  • @khalifahmtata8659
    @khalifahmtata8659 2 роки тому

    Wallah kiama kimefika dalili zote zimejitokeza mashekh wanasaport movie laanatullaah

  • @ibrahimvuria2523
    @ibrahimvuria2523 3 роки тому

    Shekhe kipozeo na Shk Uthman maalim darsa zenu zafanana MashaAllah tualike darsa zko huku mombasa eneo la Likoni,darsa znu tamu wallah.

  • @khamisshee4706
    @khamisshee4706 5 років тому +5

    Swadaqtaà shekh wangu maneno mazuri na ya busara sana

  • @nassorothanksallotjuma3272
    @nassorothanksallotjuma3272 2 роки тому

    Masha Allah Sheikh Maalim Kipozeo.

  • @geofreykitundu1326
    @geofreykitundu1326 5 років тому +7

    Shukrani sheikh kwa mawaidha mazuri

  • @nassirmohamed7293
    @nassirmohamed7293 5 років тому +1

    sheikh yupo sahihi, ni kweli wakristo ni ndugu zetu wa damu ,hajasema ni ndugu zetu ktk iman ,

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 роки тому +3

    Shukrani Sheikh kwa kutaja umuhimu wa vijana. Lakini ni muhimu tujue takriban kila mmoja wetu kuna makosa anayafanya kwa sababu tumepatiwa ujumbe wa Allah kwamba (kusoma) masomo ya Qur'an ndio jambo muhimu zaidi kuliko kutafuta pesa. Kwa nini hatukai vikao tukajadiliana njia ya kuwasaidia vijana wapate elimu tangu ya msingi hadi ya upili na ya chuo kikuu?
    Kwa nini wengi wao wanapoteza muda kwa mambo yasiyokuwa ya kuwanufaisha? Tusiwe watu wa kuongea kwamba ilmu ni kabla ya maneno na vitendo kisha hatuweki mambo katika vitendo.

  • @mariamlazizi8389
    @mariamlazizi8389 5 років тому +2

    Ma shaa Allah sheikh Allah akujalie maisha marefu

  • @seifomar1148
    @seifomar1148 2 роки тому

    Watu wapo vichwa wazi dahh njaa mbaya sana

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman Рік тому

    Kopozeo siamini kama ndowewe ulikuaga na sheikh umar bashir duu jitathmin

  • @jumaidi3276
    @jumaidi3276 5 років тому +5

    Msiba huu kwa kweli

  • @mkanduzmussaz2288
    @mkanduzmussaz2288 5 років тому +19

    Naona sheikhe kavaa tinted ili asione mizigo

  • @wilfredmremi8274
    @wilfredmremi8274 5 років тому

    Shehe wasema jambo muhimu sana na naamini kila aliyehudhuria watakuwa walimu inshalla

  • @mardinhalfany1413
    @mardinhalfany1413 5 років тому +3

    Sheikh jazzakallahair

  • @wifematerial8943
    @wifematerial8943 5 років тому +2

    Mashaa ALLAH sheik mungu akupe umri tawilwi in shaa ALLAH... Umeniacha hoii ati nauza manii nauza manii 😅😅😅

  • @sheikhsharifmaduatz2871
    @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому +2

    #ALAFU KWA WALE AMBAO KAZI YAO KUWATOA WATU #KASORO KAMA WAO VILE WAMEKAMILIKA NA #KUWASEMA #MASHEKHE ET HAWANA ELIMU AU AKILI #SWALI WW AMBAE UNAJIFANYA UNA #ELIMU MBONA HATUJAWAI ONA AU KUSEMA #YESU SIO MUNGU AU KUWAMBIA KUWA WATU WASIABUDIE MASSANAMU #MKO KIMYA KAMA SIO NYIE ILA #AKIFANYA SHEKHE JAMBO #MSHAKUWA MASHEKHE #WAKUBWA #TENA MUNATOA #FATWA ACHENI UNAFKI NARUDIA TENA WAISLAMU #ACHENI UNAFIKI DAIMA HATUWEZI #ENDELEA KWA JAMBO LOLOTE SABABU YA UNAFIKI #MAPOVUUUUUU RUKSA NYAU #NYIE

    • @mozzasaif6634
      @mozzasaif6634 5 років тому

      Maneno yako fact kijana waambie hawajielewi

    • @suleimanjuma5830
      @suleimanjuma5830 5 років тому

      Kwan we wataka tuendelee tuwe wap? Kama utajir wapo waislam matajiri wakutupwa ...huwez kuendelea kwa kupindisha ukweli wewe...unajifunza dini mitandaoni....waislam na wakristo sio ndugu ...na wala huyo shekhe hayupo sahihi kusema maneno ya wema ni mazur wakat yeye kasema anakunywa pombe

    • @mozzasaif6634
      @mozzasaif6634 5 років тому

      @@suleimanjuma5830 Na wewe kwanini unasemea huku?huyo shekhe na Wema watajuaje kama wanamakosa?
      Nenda katoe mawaidha kuhusu wao misikitini ujumbe utawafikia sio humu kwenye mitandao sawa na mbuzi kumpigia gitaa umechemsha bro.

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      @@mozzasaif6634 safi sana brother mjitu mingine inakuwaga na jazba alafu hii bira ya shaka ni ile inayojita #Answarr sunnah kumbe ni #WAHABINAAAAA

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      @@suleimanjuma5830 kwa akili yako jinsi ilivyo inaonesha dini bado ww ndio huijui sisi waislamu udugu wetu sio wakuzaliwa tumbo.moja bali ni kwa iman hawa wakirsto wao na sisi baba mmoja na mama moja au unataka kusema hal wamezaliwa na nani ngombe au acha jazba brother

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 5 років тому +1

    Mwenyezimungu awape afya njema viongozi wetu wa dini

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 5 років тому

    Kipozeo amewalingania watu anajua hilo nijambo jema.sana ujhmbe hmefika

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 років тому

    Sheikh yuko sahihi kweli kweli

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 роки тому

    Wafundishe shk kipozeo

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому +1

    Asalam alaykum shehe wambie wanahalibu vizazi

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 5 років тому +2

    Ujumbe umewafikia japo wanacheka.

  • @khalfanndomoro2292
    @khalfanndomoro2292 5 років тому

    Sub hanallah masheikh wa miaka hii wengi wanaangalia dunia kuliko akhera al muhim tuwakumbushe Mara unamuona kaalikwa na msanii ambae yupo nusu uchi si kwamba hawajui ila wanaangalia maslahi roho inauma kuona hivyo

    • @kheirmbarouk8373
      @kheirmbarouk8373 5 років тому +1

      Khalfan Ndomoro ha huyu kaona wapi alie muislam na asie muislam ni ndugu wa damu aa hapa ukakasi

    • @allymwene1567
      @allymwene1567 5 років тому +1

      Ndugu elimu n pana hii kabla ya kulaumu na kulaan tujitahd kufikir na kutafuta elimu zaid tucwe kat ya watu wanne ambao Hawajui ila hawajui kama hawajui tutakuwa mizigo,naomba niulize yy kaalikwa na taasisi co kikundi cha dini ya uislam wa ukiristo je angetoa mashariti ili nije niwakute watu wako hv na mtume tunaehtaji aya kwa hapa ndivo alivoagiza ukialikwa toa masharti,na kama angekuta watu wote wapo sawa angemfundisha nan hv darasan wanafunz 10 wote wamepata mia nan utamfundisha pia tunaona shughuli za kiserikar mashehe wanahutubia wote wanajifunika,swali n lingine shehe kasema waislam na wakiristo n ndugu wa damu akafafanua tumetokana na baba na mama mmoja nan haelew hilo kwa mfano ww ukizaliwa na dada au kaka baba na mama mmoja akabadili dini co ndugu yako wa damu? Tubadilike waislamu tuache kujua wakat hatujui

    • @khalfanndomoro2292
      @khalfanndomoro2292 5 років тому

      Ally Mwene kwaio angewakuta machangudoa wapo uchi angeendelea na darsa acha kuwa na mapenzi na sheikh wakat unapata hasara

    • @sheikhsharifmaduatz2871
      @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому

      @@khalfanndomoro2292 acha usenge ww elewa basi kumamamak

    • @yammuhamed736
      @yammuhamed736 4 роки тому

      @@khalfanndomoro2292 kwahiyo alie kaa uchi asiambiwe na je ataambiawaje we unafikiri mawaidha ni msikitini tu unazani utamkuta wema msikitini kisha nikwamba wakristo ni ndugu zetu kutokana na Adam ndomana akasema ni ndugu zetu wa damu yaani kwamfano kaka yako akiwa Mkristo ni ndugu yako kwakuwa damu sjui unanielewa au uliza

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 років тому +1

    nimekupenda shekhe kipozea kwa mawaiza yako mazuri

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 3 роки тому

    Ebwana shekhe gan uyo

  • @crescentvscross1132
    @crescentvscross1132 3 роки тому +1

    Kama vile utani lkn inatisha sheikh yuko makini kajaaliwa na Mola wake

  • @shariftwahir8493
    @shariftwahir8493 2 роки тому

    Allah utuwongowe

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 роки тому

    Makafiri hupendana wao kwa wao, nyote ni makafir hapo

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 роки тому

    Sheikh katoa maiwaidha kwa kutumia hikma na busara.
    Wale ambao wanamsema vibaya sheikh. Walitaka awaambie wasanii shikeni adabu zenu msiende utupu.
    Ile sifa na dua alowaombea ni njia ya kuwatulizanisha ili ujumbe uwafike.

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 9 місяців тому

    Sauti bhn mbona kama hakuna fundi mitambo

  • @allysuleiman196
    @allysuleiman196 5 років тому +1

    hongera

  • @muksinsaidi4892
    @muksinsaidi4892 Рік тому

    mashaallah

  • @mwastimsingi9373
    @mwastimsingi9373 2 роки тому

    Maashaallah

  • @fakihassan1369
    @fakihassan1369 5 років тому +1

    ibilisi anapenda wote

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 років тому

    Shekheh wa Mjin baba angu kuipa mgongo ďùñìà ñ kaz ñà ìmàñ yataka mòýò hv àñàè vaa kot wakhat wa joto na we ulye soma Đïñ bila kufanyia kaz Kuna utofaut gan nyìè ñďò mnao sababisha maas ñà uchafu nilikushusha Ťhàmàñ pìñď uzinduz wa jumba ĺà ìmàñ Kuna Shekhe alikua anasema KIPOZEO mtuu wà bid'ah nkawa ñà bisha

  • @alhajwaupe6452
    @alhajwaupe6452 2 роки тому

    Natamani nimuone sheokh kipozeo live nimzawadi

  • @rechorecho9430
    @rechorecho9430 5 років тому

    Nimekupenda buree

  • @athumanimcharo5904
    @athumanimcharo5904 2 роки тому

    Inavyoonyesha huyu shkh apenda mademu xanaa

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 2 роки тому

    Hakuna shekh hapo shekh anayejielewa hawezi kwenda kufanya commedy hapo kwenye watu walio nusu uchi wamechanganyika wake kwa waume nk

  • @ramadhaniselemanichalachal6622
    @ramadhaniselemanichalachal6622 5 років тому +2

    Hapo hakuna Sheikh kuna Sheikhena

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 років тому +12

    Kwan kamtaja wema hapo yeye ametowa som tuu kwawot walio shikliki hapo

  • @kiluviasamia6328
    @kiluviasamia6328 5 років тому +2

    Hata Mtume s.a.w alkaa na makarf na kuwalingania ili waingii ktk dn ya haki na kweli bla kukaa nao na kuwalingania hawataingia ktk uislamu .Wakrsto na waislima tumetoka kwa Adamu na Hawa .

  • @rahimayubu5061
    @rahimayubu5061 5 років тому

    Mche Allah ndugu kipozeo hicho kikao hakina heri kwako

  • @mahamoudmasoud9196
    @mahamoudmasoud9196 5 років тому

    Naaam shekh wetu

  • @ramamchina4730
    @ramamchina4730 2 роки тому

    Din hii mashekhe zaifu njaa iz mbaya firamu ni halamu

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 5 років тому

    Nakupenda shekhe

  • @mavunofamily1993-bt3tm
    @mavunofamily1993-bt3tm Рік тому

    Kweri vijana tunaandamwa sana na shetani hivyo yatupaswa tuwe makini na tumuludie Allah atunusuri na mambo Haram yasituerekee

  • @sheikhsharifmaduatz2871
    @sheikhsharifmaduatz2871 5 років тому +1

    #JAMBO LINGINE MBONA HIVYO WAKATI WENGINE MASHEKHE WETU WA MIKOA WANAZUNGUMZA KATIKA MKITUNAO YA #SIASA NA WATU WAKO KICHWA WAZI HIVI YALE HAMUYAONI🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому

    Hii

  • @sakeenakenya6110
    @sakeenakenya6110 5 років тому

    Hutba ya huyu sheikh hunifurahisha sana, yani anatoa neno kwa Quran, but inafurahisha tu

  • @aidanbugufi6200
    @aidanbugufi6200 5 років тому +6

    Unahekima sana

  • @bintomar7025
    @bintomar7025 2 роки тому +1

    Kwan kipozeo nae ni shekhe?

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 5 років тому

    nimependa somo la aoo watu wanne semaa nashindwa kuelewa wanne n yupi
    ikiwa 1. anajua na anajua kua anajua
    2.ajui na ajui kua ajui
    3. anajua lakni ajui kua anajua
    4. .....!!? sas

  • @prosperkonokono5716
    @prosperkonokono5716 3 роки тому

    Nitaanzisha biashara ya kuuza manii 😀😀😀

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 років тому

    Nkweli shekh letu

  • @suleimanjuma5830
    @suleimanjuma5830 5 років тому

    Wakristo na waislamu sio ndugu...shehe anajipendekeza ...muangalieni sura yake wakati anaposema hilo neno la udugu ..hakutoa hoja yoyote

    • @allymwene1567
      @allymwene1567 5 років тому

      Waislam wametokana na nan na wakiristo wametokana na nan jaribu kufikir unapockia kitu kabla ya kuropoka tusiufanye uislam kuwa mgumu ndugu zangu amesema ni ndugu katika damu inamaana tumetokana na baba,mama mmoja au ww kaka yako akibadili dini co ndugu yako

    • @suleimanjuma5830
      @suleimanjuma5830 5 років тому

      Dini haisomwi mitandaoni wewe ...halafu uislam sio mgumu ndio lakini pia sio mrahisi kama kumvua dadapoa chupi..unasheria zake na taratibu..mtume s.a.w asema:almuslim akhu muslim ...muislam ndug yake ni muislam...sote tumetokana na Adam hilo halifany tuwe ndugu...mimi na anae abudu ng'ombe anaeabudu miti ni ndugu pia? Unakichaaa nini wewe..acha kushoboka ...mungu asema"antum tuhibunahum walakin la tuhibunakum ...nyie mnawapenda hao lakin wao hawawapendi nyie..acha kushoboka ...dini unaisomea mitandaoni

    • @marijanihasan2407
      @marijanihasan2407 5 років тому

      Kk Suleiman uislam unakataza kuongelea Mambo usiyoyajua kwa kuchelea kukufuru bila kukusudia Sasa wewe Jambo hili huna elemu nalo liache au tafuta shehe uelimishwe vizuri wasaalam

    • @suleimanjuma5830
      @suleimanjuma5830 5 років тому

      @@marijanihasan2407 elimu ninayo ...na sijajifunza mitandaoni

    • @suleimanjuma5830
      @suleimanjuma5830 5 років тому

      @@marijanihasan2407 kama wakristo ni ndugu kisa tunatokana nao na adam na hawa ..basi hata wanao abudu mutu , mizimu, masanamu pia ni ndugu? Mtume alichokisema kweny hadithi sahihi "almuslim akhuu muslim" muislam ndug yake ni muislam...uislam unakwenda kwa dilili yani facts za kitabu na sunna...huyo shehe wenu aliposema hilo haku toa aya wala hadithi yoyote ....kwasababu haipo...hakuna udugu kati ya waislam wanao abudu mungu mmoja na wanaosema yesu ni mungu...honestly hakuna ..ni shobo tu za hyo shehe

  • @emmanuelahmedbyona2353
    @emmanuelahmedbyona2353 5 років тому +1

    Na weye she Kipozeo, mbona huezeki???????????????? ddoooooooooooooooooooooooooo

    • @sakeenakenya6110
      @sakeenakenya6110 5 років тому +1

      Sio yy tu, mwalimu sheikh yeyote, ambayo ameshika dini ki ukweli, hua hazeeki, hata akizeeka yy hua strong, ni neema yake Allah

    • @emmanuelahmedbyona2353
      @emmanuelahmedbyona2353 5 років тому

      Kabsaaaaaa

  • @salhinaselemani9780
    @salhinaselemani9780 5 років тому +1

    Innalinlahi wainnailah rajiuun

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 років тому

    Mda mwingine shekhe unakera unatoa nasaha kwawatu wasiyemjua mungu wa kazi gani kwenda kusimama sehem kama hiyo

    • @cornelyakatangwa489
      @cornelyakatangwa489 5 років тому

      Kaka toka lini mtume aliwaendea watenda mema? Tuu walio wabaya ndo wanahitajika kuokolewa ....amini nakuambia imani yako ni haba sanaaaaa

    • @saudamdoe1348
      @saudamdoe1348 5 років тому

      Sasa hapo sindio anawanasihi taratibu ili wamjue Mungu. Kuna nafsi zingine kuzibadilisha zinahitaji nguvu nyingi ikiwemo mawaidha na kadhalika, natumai wengi wetu kupitia mkutano nafsi zetu zitabadilika Inshaallah

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 роки тому +1

    Shekh tumbo

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому

    Huyu sheikh simkubali hata kidogo mawaidha Yake mengi ni mtu wa kusifu sifu hususan kusifu maumbile ya wanawake sioni kama jamii inafaidika

  • @idrissasalumu9810
    @idrissasalumu9810 5 років тому +1

    Ata ivo hajawai kutoa mawaidha,alikua comedian just,kwa udhwaif huo,sidhan atakutubu utaweza,

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 5 років тому

    Shekhe ungewapa nondo mpaka wapoteane hapo

  • @ghhhhh303
    @ghhhhh303 3 роки тому +1

    Kutoa darsa kwa wenzetu wakiristo ni sawa lakini lazima usemi haki na usigope

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 років тому

    yaallaah

  • @karanisalim601
    @karanisalim601 4 роки тому

    SHEE muogope muumba maksito siondugu zetu

    • @joelathiambo4312
      @joelathiambo4312 3 роки тому

      Katika watu aliowazungumzia wewe ni namba tatu

  • @mwigaali9780
    @mwigaali9780 5 років тому +1

    Sheikhe gni ww unae sapoti hururi za dunia ikiwemo zinaa

    • @fisadikiwembe9787
      @fisadikiwembe9787 5 років тому

      Mwiga Ali kasapoti kivipi?

    • @shaabanadam2336
      @shaabanadam2336 5 років тому

      Ambacho kazungumza umekielewa??hivi ukiwakuta watu uchi hutawalingani??

  • @thabitally9216
    @thabitally9216 5 років тому +2

    We nenda katubie shekh ww n mnafki tyuuu huna elimu wew una palilia tumbo tu shenz taip

    • @muhammadymanzi3815
      @muhammadymanzi3815 5 років тому

      Niko pamoja na wewe kbsa

    • @aminhassan8594
      @aminhassan8594 5 років тому

      Sheikh mistari ya kur an na hadithi unazowatolea hao hawakuelewi ni boraa ungeliwambia promotion za konky liquid. Kuliko kujidhalilisha hivyo njaaa haiuwi mjomba

    • @kamandaafande766
      @kamandaafande766 5 років тому

      Sheikh katumia hekma kubwa ndugu usimkufurisha sheikh wetu wee vp

    • @idrissasalumu9810
      @idrissasalumu9810 5 років тому

      Thabit Ally

    • @azizaswaleh8306
      @azizaswaleh8306 5 років тому

      @@kamandaafande766 true MashaAllah antumia hikma Kubwa

  • @dazzwazenji6719
    @dazzwazenji6719 5 років тому

    shekhe inatakiwa akitoa mawaiza wafuas wake wamfuate ila uyoo wema ndo kwanza anazdi kua mkorof

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому

    huyo kiongozi wa kikatolik hajakosea kusema waislam ni marafiki zetu.. wewe unae jiita sheikh ndio umekosea kusema wakristo ni ndugu zetu .wakati allah anasema Waislam wote ni ndugu mbona hakutaja mkiristo hapo.. utadanganya huko huko kwenye makongamano ambao hawaja usoma Uislam.. umesoma wapi wewe acha kupotosha watu ukija Zanzibar tunakukataa Kwa kauli zako2 hazina mashiko wadanganye hao hao wasio UJUA uislam

  • @ramadhantahila9131
    @ramadhantahila9131 3 роки тому

    Ujumbe umefikaa sio lazima utoe ukali

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 років тому +3

    Tumewasoma

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Tumbo

  • @leylayussuph3822
    @leylayussuph3822 5 років тому +2

    Ina lilah waina lilah laajukhun uumdiba tena mkubwa namtihani usio namajubu milijuwa una ongea yamaana kuusu dini yako kumbe unazidi kujichochoa moto eti unamsia wema

    • @zulihanani7355
      @zulihanani7355 5 років тому

      Yaaarab Allah atuogonze sote

    • @saidseleman6122
      @saidseleman6122 5 років тому

      Shekh anashida so wamepotea apo ndio kawapata anwambia wawe wanvaa mavazi ya stara

    • @mtumwasamaki6911
      @mtumwasamaki6911 5 років тому

      Ujumbe mzuri shèikh umefika kwa busara ya hali ya juu

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 2 роки тому

    Sarakasi jukwaani

  • @urbandigitaltz
    @urbandigitaltz 5 років тому

    Hapandipo utakapojuwa nini uchamungu nanini imani