HUYU NDIYE MAMA ALYEFIKWA NA MTIHANI MZITO PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 403

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 6 місяців тому +22

    Allah Mkubwa. Vuta subira ndugu yangu. Baada ya dhiki faraja. Mtihani huu ulonao ni njia ya kwendea peponi pindi ukiukubali.
    Tupo pamoja. Tunamuomba Allah
    ampe shifaa kitoto chetu. Na Allah amlaze pahali pema peponi baba yake. Amiin
    Imenigusa sana. Tupo pamoja.

  • @salmatsuma3276
    @salmatsuma3276 6 місяців тому +15

    YA ALLAH..mjaalie mja wako apate wahisani ili apelekwe hossy,na umpe shifaa ya haraka ln sha Allah

  • @saidaruwa2749
    @saidaruwa2749 6 місяців тому +26

    Mungu atakufanyia wepesi inshallah kwa uwezo wake Allah na mtoto atapata matibabu atapona kwakweli mm pia nimetowa😭😭😭yarabih msahalishie mitihani huu🙏🙏🙏

  • @maryammas
    @maryammas 6 місяців тому +7

    😢😢😢 subhanallah Allah amfanyie wepes na amponeshe uyu mtoto aamin

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 6 місяців тому +17

    Imenigusa sana inauma imeniliza sana😢mama zetu, wazazi wetu wanapitia magumu wallah 😢

  • @Sharon-m2s
    @Sharon-m2s 6 місяців тому +4

    Pole sana mama.mungu akupe subra kwan ni mitihani ya dunia tu.hilo litapita tu.tuzidi kumuombea.

  • @salem9874
    @salem9874 6 місяців тому +9

    Dahhh Wallah inasikitisha sana Allah Amponeshe 😭😭😭Wallah tuna wenzetu wanaish maisha ya dhiki tusijisahau.

  • @SafaaYuusuf-ts8wz
    @SafaaYuusuf-ts8wz 6 місяців тому +3

    Pole kipenz,,Allah yu pamoja nawe ,,Allah hampi mtihani mja wake ila humpima imani tu.

  • @mahramalik6450
    @mahramalik6450 6 місяців тому +5

    Yaa allah tunakuomba mpe shifaa mja wako aminn .....
    Pole sana mam etu kuwa na subra

  • @KhadijaAbdala-vy8tw
    @KhadijaAbdala-vy8tw 6 місяців тому +3

    SubhanaAllah 😢😢Allah tujaalie uzima na wagonjwa wape shifaaa yaaa rabby hadi huruma😢😢naumia😭😭😭

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 6 місяців тому +3

    Pole sana mama kwel unapitiq magumu mungu akufungulie wepesi inshallah ❤❤

  • @mussahamadukhutsauukosawa1819
    @mussahamadukhutsauukosawa1819 6 місяців тому +6

    Yarabi yaa llah yaa Aziz Tunakuomba yarabi umjalie huyo mama namtotowake umpeshufaa mtotowake tukumba utufanyie wepesi duniani na Akhera Amen

  • @SitiAli-y3r
    @SitiAli-y3r 6 місяців тому +1

    Pole sana mama kwa uwezo wa Allah atakusadiya na kukufanyiya wepesi kubwa usisahau na kumcha Allah kwawingi

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 6 місяців тому +4

    Ustadh Rashid Salim mimi ndugu yako naitwa Abdallah T.Handhal, nna vitu nataka nikushauri lakini wewe na sio hapa hadharani hivyo nakuomba unisaidie namna ya kuweza kuwasiliana na wewe.
    Jazakallahu khaira wabaarakallahu fiik.

    • @rogojr712
      @rogojr712 6 місяців тому +1

      Tumia namba hapo kwa screen yaonyesha utampata namba ya tv

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 6 місяців тому +6

    Subhna llah ana uvimbe mbaya huyu mtt ALLAH MKUBWA NA HAKUNA ASILO WEZA ATAPONA KWA UWEZO WA ALLAH ILA KINA MAMA TUWAPELEKE SPITAL TUSIKAE NAE NYUMBANI MTT MPAKA ANAFIKIA HIVI MWEZI HAJAPATA CHOO SUBHANA LLAH .ALLAH ATAMJALIA SHIFAA BIDHII LLAH

    • @allahmamana
      @allahmamana 6 місяців тому

      Waisilam tusionauwe wapesa towapeduat

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 місяців тому +16

    Allah akufanyie wepesi mama yetu na akuzidishie subra na ampe shifaa mtoto

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 6 місяців тому +2

    Allah ni mkalimu na mpole hakika sisi kwake si kitu yapo ya kujifunza kupitia mtihani wa uyo mama ni mzito Allah amfanyie wepesi pia tunamuombea shifaaa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 місяці тому

    Subhanallah wallah Kam haujafa haujaumbika Allah atujaalie kheri na afya njema na tuwe ni wenye kusaidiana.

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 6 місяців тому +2

    subhanallah nimeangalia hii vidio wakati nakula daku wallah imenishindaa

  • @Ummusajdah
    @Ummusajdah 6 місяців тому +3

    Subhanallah Allah akupe subra mama yangu

  • @shariffomar-tr4do
    @shariffomar-tr4do 6 місяців тому

    Allahu akbar allahu akbar.
    Subhana allah.mola akupe subra zaidi. Kuzingatiya kuwa kula mwenye mtihani ajuwe kuna mwenzake zaidi yake.

  • @RossaMengo
    @RossaMengo 6 місяців тому +5

    ALLAH akujaze subra mama..kwa uwezo wa ALLAH utapata msaada

  • @HidayaAthumani-vk4wj
    @HidayaAthumani-vk4wj 5 місяців тому

    Allah (SW) akuvue na huu mtihani mzito ndugu yangu.Pia akujaalie subra ,Aamiin

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 5 місяців тому +1

    Hili si la maneno ni la vitendo na niletu sote Mola atuwezeshe amin

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 6 місяців тому

    Allah ampe Subra, Mafanyie wepesi.......
    *Hayaa munaojijta mafalafii Nafasi hiyo ya kushindana ktk mema*
    Nasio kutukana na kuwaraddi wenzanu kwa kuwakashif.....
    Mambo kama haya mulitakiwa kutuonesha mfano masalafiii.....
    Naongea maneno haya kwakua Yananiuma kuaona Waislamu kuna mambo mengi ya kusaidiana bali imefika wakati tunatengana na kuongizana motoni bila sababu.
    Allah anisamehe mimi, na waislmu wote kwa jumla. AMIN

  • @FaridaAbuu-n1j
    @FaridaAbuu-n1j 6 місяців тому +1

    😢😢😢😢 Mungu atakusaidi pole Sana nimelia nilivyo angalia na kumsikiliza uyu mam usikate tamaaa mungu Yuko pamoja na ww😢😢😢😢😢

  • @JabuMohd
    @JabuMohd Місяць тому

    Ya rabby mjalie mam na mtot wak wapete msad na ile ndio njia ya kwend peponi ishallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤💚💚

  • @westmoh6404
    @westmoh6404 6 місяців тому +3

    Mm sina uwezo lakin dua zangu zitamsaidia mwenyez mungu atampa mwepesi mungu ndie mwenye hukumu subuhanawahu

  • @nasrahkhamis747
    @nasrahkhamis747 6 місяців тому +5

    اللهم اشفِ أبنائي من المرض واكتب لهم دوام الصحة والعافية.
    اللهم إنّي أسألك أن تُعافي ولدي من المرض وترزقه الصحة والنشاط والعافية، وأن لا تريني به بأسًا يُبكيني يا الله.
    اللهم إنّ أبنائي هم قطعة من روحي، فأسألك يا إلهي أن تشفيهم من الأمراض، وتصرف عنهم الأسقام، وتعافيهم من الآلام والأوجاع.
    اللهم عافي أبنائي من جميع الأمراض وارزقهم أجسادًا قويةً نشيطة، واستعملهم في طاعتك وخدمة عبادك، وأسعدني برؤيتهم موفوري الصحة والعافية.

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 4 місяці тому

    Allahuakbar Allah akustiri FIDDUNIA WAL-AKHERA

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 6 місяців тому

    Subhanallah.allah ampe shifaa mgonjwa apone.allah akujaalie subira kubwa mam😭a uushinde mtihani.

  • @murtanseif3539
    @murtanseif3539 6 місяців тому +2

    Subuhanallah tunamuomba allah mtukufu akujalie subra mama na Allah atakulipa kheri zako yaraab 😢😢

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 5 місяців тому

    Faswbir swabranjamiila, mama Allah atakufanyia lenye kheri nawe ishaa Allah

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 6 місяців тому +1

    subhanallah.yaa allah tupe ktk mitihan unayotupa. pia hongeren alfatah hakika ni wema msaada mkubwa mloufanya.

  • @TwalhaSimba
    @TwalhaSimba 6 місяців тому +1

    pole mama angu mungu akupe nguvu na subla mtoto atapona kwani yote nimitihani yamwezi mungu inshallaa

  • @AminaAlly-q5f
    @AminaAlly-q5f 6 місяців тому +2

    Pole mma mungu akufanyie wipes Bada ziko faraja

  • @MamenWest
    @MamenWest 6 місяців тому +2

    Yah Allah pitisha wepesi kwa mama.huyu mpe nguvu mpe subra endlevu amiiiiiiiiiin

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 6 місяців тому +1

    Allah ampe shifaa ameen yharab Allah akupe subra dada dua namuombea ❤❤❤

  • @RayyanHarith-x1u
    @RayyanHarith-x1u 5 місяців тому

    Ya Allah nakuomba mjaalie huyo mtoto apone kwa uwezo wako na kwa rehma zako, muondoshee hasad mjaalie afya njema mpe umri na maisha mjaalie awe mtoto mwema mchamungu wajaalie riski ya halali,Aamiin

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 6 місяців тому

    Pole mama Mola ndie aletaye mtihani na yeye ndo yuaiondosha inshaAllah kwa uwezo wake ataiondosha Ameen

  • @londonladybirdjunioracadem4226
    @londonladybirdjunioracadem4226 6 місяців тому +1

    Allah atakufanyia wepesi. Atampa shifaa mwanao na Atakupa subra ya kumuuguza. Amin.

  • @asiaibrahimasiaibrahim5418
    @asiaibrahimasiaibrahim5418 6 місяців тому +4

    Yaaanllaah nakuomba ummponye huyu mtoto kwa uweza wako hapana muabudiwa wa haki ispkua wewe😢😢😢😢😢

  • @tahirisheryftv2068
    @tahirisheryftv2068 3 місяці тому

    Allah akujalie kila la kheri Allah akufanyie wepesi
    Akutimizie haja zako

  • @mohdjuma.3049
    @mohdjuma.3049 6 місяців тому

    SUBHANALLAH ALLAH AMBARIK NA AMSAIDIE YAA ALLAH

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 6 місяців тому +3

    Alhamdulilah allah ataampa shifaa

  • @SumaiyaMohd
    @SumaiyaMohd 6 місяців тому +2

    SubuhanAllh mngu ampone akuzdishie nguvu ya kuzdi kuvumiali

  • @tahirisheryftv2068
    @tahirisheryftv2068 3 місяці тому

    SubhanaAllah allah atampa kheri ya raab

  • @MohdKombo-zd9ny
    @MohdKombo-zd9ny 6 місяців тому +2

    Allaha akufanyie wepesi kwenye mtihani huo .

  • @TauhidaissaaliTauhidaissa
    @TauhidaissaaliTauhidaissa 6 місяців тому +1

    Allah atashusha rehma zake inshaallah

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 4 місяці тому

    Mama inshaallah tuombe allah sote tuwehai inshaallah mtihani huo atakaa SAWA ...

  • @SaidKhatibHassan
    @SaidKhatibHassan 6 місяців тому

    Kwake Mwenyez Mungu hakuna kubwa
    Inshallah mwenyez mungu ampe afya njema zaid na amuondolee mitihani mizito

  • @suleimanrajabu
    @suleimanrajabu 5 місяців тому

    Daaah! inauma wallah😂😂😂, pole sana mama yetu allah akufanyie wepesi,

  • @nairatomar9389
    @nairatomar9389 6 місяців тому

    Pole dada Mungu atakufanyia weps inshallah 🙏😭 kakkah Allah atasky kilio chko inshallah utakua n furah kwa uwezo wake🤲🏼

  • @MohamedAlly-e1j
    @MohamedAlly-e1j 6 місяців тому +1

    Pole mama angu😭😭😭😭allah atamuaf inshallah naona kama n mdogo wngu wa damu allah yafute machoz yake yawe n furaha amiin🤲

  • @mhawasadik5483
    @mhawasadik5483 5 місяців тому

    Allah amfanyie huyu bb wepesi na ampe subra ya Hali ya juu in shaa Allah😢😢😢

  • @rastapeace9616
    @rastapeace9616 6 місяців тому

    Pole mama duuh tunaumia sana na tumegushwa sana na sisi pia hku tunalia sana mama pole kaz yake mola kwa mungu hakuna kubwa huu ni mtihan mkubwa ila mungu yko pamoja na sas

  • @fatumaali8341
    @fatumaali8341 6 місяців тому +1

    Mungu akupe nguvu mamangu..Allah ndio kilakitu

  • @harerimanazainabu2142
    @harerimanazainabu2142 6 місяців тому

    Sibhanallah allah akupesubra mama kwenyekipindi hicokigim

  • @chimami789
    @chimami789 6 місяців тому

    SubhanallAh ❤ya Allah mfanyie wepesi apa ni dua nakuekeza chochote 😢❤

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 4 місяці тому

    Masikini moyo wangu !
    Ee Yarabi, ee yarabi, pitisha neema zako, na uwezo wako usio na mipaka, wala mwisho, uinusuru,familia hii.

  • @user-qe7yk2xr8y
    @user-qe7yk2xr8y 6 місяців тому +1

    Allah ampe shifaa na mama iwe sababu ya kuingia peponi. Allah ndie mueza

  • @yohanemwanzalima2777
    @yohanemwanzalima2777 5 місяців тому

    Mungu atanyosha mkono wake mtot atapona tu pole sana mzazi mwebzet

  • @hasnaaliy5872
    @hasnaaliy5872 6 місяців тому

    Yaa allah ukijiona ww unamitihan wezako wanayo zaidi yako subhanna llah, allah atakujalia kher inshaallah 😭😭😭😭😭😭

  • @jokhaal_kindy5807
    @jokhaal_kindy5807 6 місяців тому +1

    Subhanallah 😭😭😭😭😭Tahfif Yaa Rabby
    Allah Aqbar Subhanallah Allah ampe shifaa mtoto huyu kwa rehma za Allah mama Allah akujaalie subra InshaaAllah,,,tunaomba kujua yupo pemba sehemu gani?

  • @SifaMukundabandi
    @SifaMukundabandi 6 місяців тому

    😭😭😭pole sana dada angu mungu akitie wepesi na amponye mtoto wetu

  • @husnahilda7025
    @husnahilda7025 6 місяців тому +1

    Ishallha Mungu atakufanyia wepesi mwanamke mwezangu

  • @MwanaRamathani
    @MwanaRamathani 6 місяців тому +1

    Pole sana dada hakika Mungu yupamoja nawe

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie 6 місяців тому

    Subhannallah Subhannallah 😢😢pole sanaaa ndg yangu Allah atakupa wepes

  • @BabuayubuMzadini
    @BabuayubuMzadini 5 місяців тому +1

    Kiukweli nimeumia moyo sana natamani Lau kidog changu nlichonacho hata ningekosa mama uyu akapata ila bas tu ....mungu humpa amtae na humnyima amtakae pia inshallah mama mshukur mwenyz mung Kwa kila kitu mungu akuongoze

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 6 місяців тому +1

    Pole sana mama Mwenyezi Mungu Ata mponya inshallah

  • @abdulrahmantalib5637
    @abdulrahmantalib5637 6 місяців тому +1

    Naomba no za uyu mama na location

  • @ibrahimmohd8789
    @ibrahimmohd8789 6 місяців тому +2

    Allah akupe subra kwa hili inshallah

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 6 місяців тому

    Subuhana llah mola amfanyie wepesi mtt huyo,pole sana mm Allah atakuondolea mtt hayo ameen

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 6 місяців тому

    Aaww,Allah ni mwema,atapona inshaallah,namshauri mama yetu mama Samia,hela za magoli ambayo aliahidi kwa Yanga na Simba,apeleke Zanziba kwa huduma ya mgonjwa huyu,na sisi tujitahidi tutoe msaada.Allah tuongoze kwa hili.

  • @abdillahihamza7363
    @abdillahihamza7363 6 місяців тому

    Pole mama mungu atakusaidia ntoto atapona zidisha subla mama namuomba mungu

  • @FaziliJuma-od3kr
    @FaziliJuma-od3kr 6 місяців тому +9

    Daaaaah inaumaa Sana Viongoz wetu na matajir watuu hawa ndy watuu muafaka wa kusaidiwa

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 6 місяців тому +3

    Majirani wako wapi wafadhili mko wapi😢😢😢mmeshindwa kusaidia huyu mama jamani majirani awaoni mbona wasaidizi wengi tu. Lakini mseme jamani inauma sana alhamdulillah

    • @bimfaki
      @bimfaki 6 місяців тому

      yaallah fanyamiujiza yako kwahuyu mtoto apone

  • @soamShs-cp4dl
    @soamShs-cp4dl 6 місяців тому

    Pole sana dada yangu Allah akufanyie wepesi kwenye mtihani unapitia Ameen

  • @Wingu-c7h
    @Wingu-c7h 2 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akupe nguvu na kutokata tamaa na Mungu akuangalie kwa macho ya huruma😭😭😭😭😭

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 5 місяців тому

    Subhaanallah,,,Allah Amjaalie namna ya ponyo ya haraka yaa Rabb😢,,,Ewe Allah Mfanyie wepesi huyu Mama na mwanae😢😢😢😢

  • @ZakiaSalimu
    @ZakiaSalimu 6 місяців тому

    Mungu atakupa wepesi inshallah nimeumia Sana wazazi tunapitia magumu mno emungu nyoosha mkono wako kwa huyu mama

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 6 місяців тому

    Pole sana mama.m.mungu anakuona kuwa na subra 😭😭

  • @MunarIslam
    @MunarIslam 6 місяців тому +1

    Allah kareem atakufanyia miujiza yake aupe wepesi kila penye zito Allah raheem ..

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 6 місяців тому +2

    Allahu Akbar Allah amfanyie wepesi wallah

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 5 місяців тому

    Pole magumu unayo pitia Mungu anajisikia hata kuacha mazito yanazidiana

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 6 місяців тому +6

    Jaman Nimelia😭😭😭😭😭😭😭pole Mama angu Allah akuzidishie subra😭🤲🤲🤲Akupe nguvu ya kumualisa mtoto Jaman Aangaliwe kwa jicho la huruma huyu mama😭😭😭Serekal Jaman muwe mnajipanga kwa masuala kama haya Yaan Mtu akishindwa kifedha ndo hahudumiwi jaman akaye nyumban afe😢Subhanallah bas muwe mnajitahid kama hali kama izo mnawatibia bure jaman Subhanallah 😭😭😭Mama ang pole sana Allah akufanyie wepes 😢🤲🤲🤲

  • @Hussna-qd7ww
    @Hussna-qd7ww 6 місяців тому

    Pole mama mungu yukonawe ishallah🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HAPPYFAUSTINE
    @HAPPYFAUSTINE 5 місяців тому

    Mungu Yuko pamoja nawe mama mungu atakufanyia wepesi

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 6 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu amjalie shifaa

  • @zainabusaidi4542
    @zainabusaidi4542 6 місяців тому

    Mungu amponyeshe huyu mtoto allahyuko nawewemama

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 6 місяців тому

    😢😢😢 subhanallah pole Sana mama na mtoto mungu atamuwafu inshaallah

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 6 місяців тому

    Mama mungu atakufuta machozi yako, mungu amekupa huu mtiahani ila ipo njia mungu atakufungulia daa nimeumia sana sana.

  • @fatumaali9282
    @fatumaali9282 6 місяців тому

    Allah mjaaloe wepesi mja wako huyu umuomdolee mtihani huu ya Rabby.

  • @RamadhanYussuf-ru5bu
    @RamadhanYussuf-ru5bu 5 місяців тому

    Inauma sana kwa kweli yarabii mpe subra mama yetu mjalie shifaa mdogo wetu

  • @SalamuuSeyub
    @SalamuuSeyub 6 місяців тому +1

    Allah akupe subra yaa rabbi

  • @VanessaJohnson-ej3rw
    @VanessaJohnson-ej3rw 6 місяців тому

    Pole sanaa Mungu akupe wepesi

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 6 місяців тому +1

    Aliyemfanyia huyu mtoto uchawi Mungu atamuadhibu mara elfu mpelekeni kwa kiboko ya wachawi atolewe kizingiti pole mtoto utapona kwa nguvu ya Mungu

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 6 місяців тому

    Subhanallah maskn pole sana

  • @ElizabethmsakiMsaki
    @ElizabethmsakiMsaki 4 місяці тому

    Pole sana mama mungu ampe wepesi

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 6 місяців тому +9

    😭😭😭😭😭 YA ALLAH tunakuomba waja wako mpe shifaa mja wako 🤲🤲🤲🤲