MSIGWA: "Simpongezi MAGUFULI, Serikali Haina Adabu, Pesa Hakuna"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • MSIGWA: "Simpongezi MAGUFULI, Serikali Haina Adabu, Pesa Hakuna"
    Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 906

  • @nzumbisambusa7420
    @nzumbisambusa7420 3 роки тому +3

    Trustness is highly needed...
    Msigwa, You deserves.... Rise the voice for Tanzanians

  • @yasiniswafi3065
    @yasiniswafi3065 3 роки тому +2

    Weledi wako uko juu sana kwa alie tafsiri vizur maongezi yako atajua unataka tanzania isonge mbele

  • @henrymlandali9187
    @henrymlandali9187 4 роки тому +3

    Safiiiiii sana jamani msigwa mbunge wangu wa Iringa mjini

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 3 роки тому +2

    Mbunge uko vizuri Msigwa ...

  • @PureTv2
    @PureTv2 3 роки тому +12

    Tujuanee tuliokuja March 2021

  • @gililwise
    @gililwise 5 років тому

    Mungu akutie nguvu ni kweli kabisa.sisi tunawaona wabunge wa sisi em kila kitu ndioo hata kama siyo.Mungu atawahukumu kwa sababu hawakusimama katika nafasi yao ya kushauri serikali amina

  • @edsonmbilinyi8551
    @edsonmbilinyi8551 6 років тому +5

    Great....msigwa. Yupo vzr sana msigwa. Congrats

  • @bermudatriangle8359
    @bermudatriangle8359 4 роки тому +1

    I love this biiig one love Africa hasa East Africa community 😘😘🙏🙏🙏

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 3 роки тому +3

    Mh!" Mweshimiwa Umetisha hii konk

  • @nyaradzopearl4821
    @nyaradzopearl4821 4 роки тому +2

    Warning to all Tanzanian I'm not from Tanzania lakini nawaambiyeni iliyo kweli muacheni magufuli atengeneze future za wajukuu na zawajukuruza wenu mlizoweya kula 6 times a day wajukuruza wena mtawaachia Nini, I agree with magufuli kwaku walisha mlo mmoja kwa siku ili wajukuruza wenu wapate kula mlo 10 times a day build future magufuli💪.

    • @ahmadsaid5845
      @ahmadsaid5845 3 роки тому

      Ww una akili lakini??? Una waza wajukuu ufe wewe...kila mtu apambane na haliyake

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 3 роки тому +5

    Nampenda sana Msigwa ni smart mind! Taifa linahitaji watu Kama hawa

  • @raphaelsiwila8019
    @raphaelsiwila8019 5 років тому +2

    Mungu akurinde mueshimiwa

  • @mohamedsamtero7803
    @mohamedsamtero7803 5 років тому +45

    Huyu Msigwa mmoja ni wabunge 100 Wa ccm kudadeki,keep it up Mr MP

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 5 років тому +1

      Mtawasema wapinzani sana lakini kesho mtawashangilia kwa wanayoyaibua nchini na ndio maana hasira za Serekali ya CCM na Magufuli wake zinaishia kuwateka, kuwapiga, kuwafunga, kuwanyanganya majimbo kwa nguvu, kuwafilisi na kuwapiga risasi. Kama sio speed ya Magufuli kuwafanyia Watanzania wenzake vitimbwi na kuwaaminisha Watanzania walio na elimu duni kuwa anaijenga Tanzania upya wangemtia aibu sana. Anavyofanya ni vizuri kwani anatumia kodi za Watanzania waliopo CCM, ACT, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na vyama vingine vya Siasa, lakini je Watanzania wanajua ni kodi ngapi zinaibiwa. Kama Hazina ameweka ndugu zake mtajua saa ngapi ni fedha kiasi gani zinapotea. Ameweka ndugu zake takribani kwenye maeneo yote zinakoingia fedha katika nchi hii. TRA, Bandarini, Mipakani, Air Tanzania, Tanapa, Ngorongoro, na kila mahali penye uzalishaji fedha. Siri za huyu Magufuli wanazo wapinzani lakini wamefungwa midomo wasiseme subirini kipindi cha Kampeni za mwaka 2020 ndio mtajua mengi. Huyu Kabudi ndiye anatayarishwa na Magufuli kuwa Rais mwaka 2025 lakini Watanzania kuyajua haya kwa akili zetu finyu itachukua muda. Hata wana CCM hawalijui hili na ni makubaliano yaliyofanyikia Ikulu ili amlinde na mali zake. Huyu ndie atakuwa Dikiteta kuliko huyu Dikiteta Uchwara tulie naye.

    • @jabilimoshi3832
      @jabilimoshi3832 4 роки тому

      Nakubali msigwa

    • @adellakiyanga3077
      @adellakiyanga3077 4 роки тому +1

      Keep it up.

  • @elizabethmkali5782
    @elizabethmkali5782 6 років тому +1

    Kweli mchungaji umenikuna sana kazi hiyo tutaixoma kweli hapa

  • @sundaymushi9640
    @sundaymushi9640 4 роки тому +13

    Daaaah asee mm kwa upande Wang jamaa uyu kanikunaaa huù uchumi ndo ninaojua mimi

  • @shakilaabibu1304
    @shakilaabibu1304 4 роки тому +2

    Nakubariiiiiiiiiiiiii msigwa

  • @elinessclarence8585
    @elinessclarence8585 6 років тому +3

    Ur right bro really appreciate u

  • @hellenashely5061
    @hellenashely5061 6 років тому +1

    Hongera sana Dady yafichue

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 4 роки тому +10

    Kwenye hili Mzee uliongea point kubwa sana💪💪👏👏👏

  • @omarmbega702
    @omarmbega702 4 роки тому +2

    Poa kaka msigwa nakupenda upovizuri

  • @Jonasmemruti
    @Jonasmemruti 5 років тому +4

    Allways the truth will set freely

  • @raymondtunugu2227
    @raymondtunugu2227 6 років тому +1

    safi sana msingwa

  • @kayungikevin8156
    @kayungikevin8156 6 років тому +15

    Safi sana msigwa

  • @kelvinpaul294
    @kelvinpaul294 3 роки тому +1

    Nakupa bigap san

  • @baromondpeter4406
    @baromondpeter4406 6 років тому +99

    Yes huo ndo ukweli maana sio kijijin wala mjini hali ni ngumu kila sehemu watu wanaona bora jakaya kuliko utawala huuu mtu anazdi kukandamiza nchi tu kama unamkubali jakaya pita like hapa

  • @abdallahmrisho1649
    @abdallahmrisho1649 4 роки тому +1

    nakubari baba we sema tuu mzee

  • @aidaabdallah2874
    @aidaabdallah2874 5 років тому +3

    KWELI TUSIWE WANAFIKI MAISHA NI.MAGUMU SANA TOKA UTAWALA WA MAGUFULI UANZE

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 4 роки тому +2

    Huyu jamaa yuko sawa lakn kwapahala ambapo nchi yetu ilikua imefika kwakweli kwa njia hii ya separation of power nadhani alihitajika mtu kama huyu... Kwa kipindi kama hiki... Kosa kubwa ambalo serikali inafnya ama chama cha CCM kinafnya hasa kwa kupitia vibaraka wake wanakandamiza mfumo wa vyama vingi na kuua kabisa uhuru wa kuchagua... ... Lakn nadhan kila kitu kina hasara na faida... ....

  • @bingiledaud4623
    @bingiledaud4623 6 років тому +25

    ur good msigwa economic iz sick

  • @gabymely3895
    @gabymely3895 4 роки тому +1

    Iyo kweli kbs, waaelimishe maana ni wengi awajuwi

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 6 років тому +12

    Hasante sana mheshimiwa

  • @alfanseleman3281
    @alfanseleman3281 5 років тому +1

    Msigwa nihatali sana ukitulia na kumsikiliza utamuelewa tu.

  • @eunicesirikwa180
    @eunicesirikwa180 6 років тому +18

    Huenda washauri wake wanaogopa kumshauri Mheshimiwa hivyo wanaona bora wakubali tuu japo wachumi wanaelewa taifa linaporomokea korongoni.

    • @khadijamillanzi5273
      @khadijamillanzi5273 4 роки тому

      Sisi maendeleo tunayaona hatutaki maneno unataka watu wapewe hela barabarani

  • @imanessau2861
    @imanessau2861 4 роки тому +1

    Wangap wameelewa kwamba serikari ya ccm mizigo aka wajumbe ndio,ila serikar ya chadema ndio inafanya serikar iliyo madarakani kuwa sawa na maendeleo ya wananch? Namkubari saana Msigwa

  • @erickfrank6656
    @erickfrank6656 4 роки тому +4

    Hahahahahaha nakubali mkuu mtt akisikia nja usimwambie jana nimekupa chakula

  • @emmysamweli9587
    @emmysamweli9587 3 роки тому

    Uongozi n kaz kukupa urais Kwa kwelii msigwaaa wanichinjee kwendraaaaaaa

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 3 роки тому +12

    Hawa ndio walikuwa wabunge waliopita kihalali tutamiss Sana,,🙏🙏🇹🇿

  • @thamanihalisi1120
    @thamanihalisi1120 4 роки тому

    Asiyefanya kazi na asile, Kula jasho lako, Kula halali yako, njia za panya, hazipo Tena,

  • @joelmwaitege2121
    @joelmwaitege2121 4 роки тому +5

    Well presented speech.
    Big up bro.

  • @paschalmasanja1483
    @paschalmasanja1483 5 років тому +1

    Bidii ya kuongea tu hakuna points, huwezi ukapongeza nyumbani kwako ukitoka huko unalalama. Mnakwama wapinzani mnaonesha hakuna msimamo

  • @abduli183boxdaudi2
    @abduli183boxdaudi2 4 роки тому +4

    Hongera msigwa sema wala usiogope maisha yako wapi mazuri ya awamu 5?

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 6 років тому +1

    Minafikiri wachungaji wanaakili sana , na pia kuna watu wako huko halafu hawaelewi ,

  • @rikokopuga2998
    @rikokopuga2998 4 роки тому +6

    Tatizo kilamtu anataka kilaakifanyacho yeye ndiosawa nitatizo

  • @dotnathalyanga2123
    @dotnathalyanga2123 3 роки тому +1

    Uyu mpuuzi msigwa,,, tunaangalia vitu gani magu anafanya vya uchumi,,, viwanda miundo mbinu bora uchumi utapanda tuu,,, tunaangalia vitu vya maendeleo,,magu miaka mitano kaacha billion something ila uyo kikwete kaacha million 200 na hapo mnasema alifanya uchumi wake upo vzuri

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 6 років тому +8

    Wawekezaji gani wanaopewa miladi hawatekelezi kwa wakati miladi miaka kumi sasa Acha watumbuliwe waludi makwao

    • @agnesspetro6695
      @agnesspetro6695 4 роки тому

      Unajua kwnn awatekelezi kwa wakati?? Pia awalipwi kwa wakati usiropoke tu

    • @edmundykusena9728
      @edmundykusena9728 4 роки тому

      @@agnesspetro6695 kabisa yaani

  • @kelvinnyonyoma6398
    @kelvinnyonyoma6398 4 роки тому +2

    Time will tell

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 років тому +63

    Msigwa yuko vizuri sana

    • @luciapeter1345
      @luciapeter1345 5 років тому

      Nice baba uchumia akuna mnapongezana nyoko

  • @isackmachange5546
    @isackmachange5546 5 років тому +2

    Kwakweli hali nimbaya Kwa wananchi sio utani, biashara haziendi watu wanafunga biashara kila leo, kwakukosa kodi, ukikaa Kidogo halimashauri hapo wanata kodi, Kidogo tra hao wanataka makadrio, Kidogo hao zimamoto wa nahitaji chao, Kidogo hao mwenye jengo kodi yake,bado kina makro2 kibao, jamani hebu wajaribu kumshauri angalau, tunaumia watu wa hali ya chini

  • @fransicsamson106
    @fransicsamson106 6 років тому +150

    Nani kamwelewa msigwa kama Mimi?wabunge wanaombwa na serikali ila wabunge WA CCM wana kalia ndiooo binge in baba selikali ni mtoto wanaacha hak yao msigwa waelimishe hats hivo mmojawao alisema wako mjengoni ajili yakupongeza wabunge WA CCM wajifunze kwa waupinzani nch iende mbele jaman wanakera msigwa unajitambua sana

    • @marryclement4919
      @marryclement4919 6 років тому

      Fransic Samson

    • @shabanrashid483
      @shabanrashid483 6 років тому

      Habali ya asubuhi

    • @jumamngazija9385
      @jumamngazija9385 5 років тому +1

      Anko magu oyeeeee vyama vya mpinzani hamna adab ila pia niwanafk kwa sababu mnajifanya mnamsigia Mzee jk na mlikua mnamuona mjinga had mkamwita mama Salma kikwetwe shemeji enu mm Kama mtz ngoja Anko atutie displin na muache kk

    • @isackyohana8028
      @isackyohana8028 5 років тому

      uwekezaji gani huo..watu walikuwa wanasomba madini wewe vipi..bora tuwe na mwekezaji hai mmoja kuliko 400 feki.

    • @mwaidiramadhani7762
      @mwaidiramadhani7762 5 років тому

      Fransic Samsonzori

  • @khayriyamussa6274
    @khayriyamussa6274 4 роки тому +2

    uko vizuri wallah

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 6 років тому +4

    Msigwa asichojua wapo wabunge wakuandaliwa sawa na kuteuliwa kiupendeleo wengne kichwani akunakitu msiwalaumu

  • @sirvergans4542
    @sirvergans4542 4 роки тому

    Hahahaha kabra sija kusikiliza umeajia vitu vitatu hatari sana Mungu atasaidia Mh Msigwa

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 5 років тому +17

    Kiu Kali saana!
    Hakuna maji Ya kunywa..

  • @msalabanreko7001
    @msalabanreko7001 4 роки тому +1

    naww ebu tuambie kati ya kikwet na magu ww uko wap mbon unatudanganya ww mbona wakati kikwete akiwa madarakan ulikua unampond na sasa amestafu unamuona anafaa nyinyi ndo mnasubili mtu afe ndo mtoe ponhez

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 роки тому +3

    Sema baba semaaa njaa baba tunaisoma namba si mchezo !

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 6 років тому +1

    msigwa yako vizuri ila kuna watu wanaoshabikia na siyo utaratibu sikiza kinachoongelewa nd uchangie

  • @rajaboscar7920
    @rajaboscar7920 4 роки тому +3

    Very fantastic speech

  • @gabrielhamis143
    @gabrielhamis143 6 років тому +1

    hongera msigwa

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 6 років тому +15

    Hiyo ndio siasa bhana ya Tanganyika ukikuwepo utachukiwa ukiondoka utapendwa na kufagiliwa sana tu hahahahaha endeleeni kupiga hela bhana

  • @ibrakulwa2737
    @ibrakulwa2737 4 роки тому +1

    Kusema sana siyo kuongoza, hapa kaz tu

  • @chachagichogo3619
    @chachagichogo3619 6 років тому +30

    Mwanaume na nunu! Who can bring this guy in the parliament of Kenya?

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 4 роки тому

      Hahahahahhaa

    • @willcolleman8931
      @willcolleman8931 4 роки тому

      He is ridiculous...

    • @danngoso746
      @danngoso746 4 роки тому

      Mwanaume na nusu....Tz kuna upinzani wa kweli....Kenya hakuna anayetaka kuwa upinzani...but Murkomen anajaribu🙏🙏🙏

    • @t_lexmunyama8849
      @t_lexmunyama8849 3 роки тому

      Unacho kizungumuza ni sahihi kwasababu %100 sisi watanzania tuna myonyo za ubnafisi

  • @mwitagabriel7854
    @mwitagabriel7854 4 роки тому +1

    Wewe mwehu kweli mshenzi wewe mchungaji gani huyu

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 6 років тому +4

    Usimtaje Kikwete kwani mnatuchanganya ninyi wapinzani, maana mlikuwa mnambeza Kikwete vibaya sana sana na kumwita kila majina kama mtoto mdogo. Semeni ya sasa tu. Mtu aliyekufa siku zote anapewa sifa njema.

    • @oscerfrances7970
      @oscerfrances7970 6 років тому

      Wote ni nnzi wa kijani baba mmoja mama mmoja ...

  • @frenkjulius8588
    @frenkjulius8588 5 років тому +1

    asante ubarikiwe sana

  • @tutafikaali3235
    @tutafikaali3235 4 роки тому +9

    Nitaendelea kuamini upinzani wa Wasomi, hawatuangushi katika kukosoa Serikali.

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 роки тому +2

    Nimewamisi awa miamba yani Risu msigwa mboe myika Eche sugu

  • @goodluckmasinde2058
    @goodluckmasinde2058 5 років тому +14

    sema baba ata wakikataa wananchi tumekuelewa,hata nssf tulioacha kazi kwenye makampuni tupo tunalia atulipwi

  • @princesstyner3118
    @princesstyner3118 5 років тому +2

    Asante baba nipasulie maana nchi sasa inako elekea siko watu masikini wanatoa michango kama wengine watu wananyang'anywa vitu vya ndani kisa mchango hakika bora utusaidie wananchi tunaangamia ☹️☹️☹️🤔

  • @msafirikilimbembe1847
    @msafirikilimbembe1847 6 років тому +6

    Kiukweli watu tuacche ushabiki cc tulioko mtaan ndo tunajua hali ilivo hata biashara haziendi nice msigwa

  • @hisexcellencyhon.dandabeni84
    @hisexcellencyhon.dandabeni84 6 років тому

    Waheshimiwa wabunge,tunaomba sana shikeni nafasi zenu na muwe na elimu ya siasa siyo kufuata maslahi ya vyama vyenu.Mpo bungeni kuwakilisha wananchi na wananchi ndo mnaowasemea.Hatukuwatuma kusifia serikali au vyama vyenu bali kutuwakilisha na kutusemea sisi tulio wengi huku.Mnapofika mahali ninyi mnasifia hata kwenye mambo yasiyo ya maana inakuwa hamwelewi maana ya uwakilishi wenu namnakosa elimu ya majukumu yenu kama bunge au itakuwa mnaogopa kutekeleza wajibu zenu.Jifunzeni kwa wenzenu mabunge ya commonwealth.

  • @cassianamligo2226
    @cassianamligo2226 4 роки тому +14

    Safi sana msigwa inapendeza sana uwazi na ukweli saizi tusifiche mambo walio muelewa msigwa mikono juu

  • @gozibertbenedicto5848
    @gozibertbenedicto5848 5 років тому +1

    lyo idea ya msigwa ukijumlisha na akili ya JPM Tanzania inakua marekani kabisaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,,,,mungu isaidie tanzania

  • @mashalamazuli3434
    @mashalamazuli3434 6 років тому +3

    Safi sana

  • @saidhamis5956
    @saidhamis5956 4 роки тому +1

    Msigwa ww tunakujua nimnafiki ukiambiwa ulimsifua magufuli we kubali Kwani situlikusikia ukimsifu. Halafu hapo bungeni unakana. Unamkumbuka kinana ulivyo mtungia uongo huaminiki msigwa

  • @shakilaabibu1304
    @shakilaabibu1304 4 роки тому +4

    Peter msigwa

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 4 роки тому +2

    Wewe Msigwa, hata usipompongeza Rais wetu Magufuli, hakuna kilichopungua!
    Kwa mpiga dili hawezi kumpongeza Rais Magufuli.

  • @joharimarijani6031
    @joharimarijani6031 5 років тому +28

    Big up mh. Hali mbaya sana tunakula mlo mmoja tu

    • @emabreefraim9141
      @emabreefraim9141 5 років тому

      Hahaaa

    • @edwardreonard9878
      @edwardreonard9878 4 роки тому

      Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho koo ulitaka uletewe hela mpaka nyumbani kwako?ushauri wangu Fanya kazi acha majungu unattaka selikari ikufanyie nn ili uiamini?

    • @nassorohamisi2281
      @nassorohamisi2281 4 роки тому +1

      Tafuta mwanaumw akununulie chakula

    • @masoudmtore9943
      @masoudmtore9943 4 роки тому

      😀😀😁

    • @khadijamillanzi5273
      @khadijamillanzi5273 4 роки тому

      Yeye msigwa mbona analipwa hela basi wapunguziwe wapewe mshahara mdogo watanzania tutumie akili hiyo ni siasa hata yy asingeweza

  • @salimtweyale2661
    @salimtweyale2661 4 роки тому +2

    Asilimia Ya Wabunge Wengi Wa CCM Ni Wenye Degree4 Lakini Hawajui Kuzitumia Lakini Mbuge Mmoja Wa CHADEMA 1 Ni Wabunge 100 Wa CCM Hivi Nyie CCM Mnashindwa Kujiongeza
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sugarray312
      @sugarray312 4 роки тому

      Acha hisia tumia akili

    • @enockelisha6394
      @enockelisha6394 4 роки тому

      Salim tweyale,,unaendeshwa na hisia eeh😂😂😂

  • @jaredjohanes3839
    @jaredjohanes3839 6 років тому +62

    Maneno hayo ya msigwa yana ukweli kabisaa!

    • @saidimnangona5563
      @saidimnangona5563 6 років тому +3

      Msingwa umetisha baba

    • @sospatrongallaba3252
      @sospatrongallaba3252 5 років тому +1

      Hauna ukweli wowote wala point nikutaka kupotosha na kuvuruga mawazo ya watu

    • @yakubusaid6335
      @yakubusaid6335 5 років тому

      Nikweli kabisa bunge ndokilakitu

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 5 років тому +1

      Watanzania msishangilie kila kitu Fedha anazotumia Magufuli hazijaidhinishwa na Bunge na ndio maana unaona anazimwaga tu hovyo na kila Mtanzania sasa hivi ajue uchumi wa Tanzania unasink sio mda mrefu. Wanaotoa taarifa hawajasoma. Kwa taarifa yenu tu hawa ndio wabunge wa CCM wanaolipwa mishahara mikubwa tofauti na Wabunge wenzao.

    • @peterdiana5894
      @peterdiana5894 5 років тому +1

      MAGUFULI AFILIE MBALI ANABAGUA WATU.

  • @msafirikilimbembe1016
    @msafirikilimbembe1016 5 років тому +2

    Ukija kuacha ubunge msigwa nitasikitika sana nan anakufikia uko juu sana aise

  • @shedrackmadenge630
    @shedrackmadenge630 6 років тому +31

    Siyo kila anae kupigia makofi anakupongeza hata mbu huwa tunampigia makofi 😀😀

    • @abdalahyasin2761
      @abdalahyasin2761 6 років тому

      kaongea point bhana labda we ni kiziwi

    • @shedrackmadenge630
      @shedrackmadenge630 6 років тому +1

      abdalah Yasin najua hujanielewa what I mean but nimemuunga mkono kwa hoja ya kumpongeza mh.akiwa irnga

    • @avocadotz2946
      @avocadotz2946 5 років тому +1

      Chaz usiulize serikali inatumia pesa bila kibali, serikali hiyi haipangiwi, ilichukua form yenyewe.

    • @mubarackntale4925
      @mubarackntale4925 5 років тому +1

      amesema kama vyuma vime kaza mufanyeje

    • @aminafesali5817
      @aminafesali5817 5 років тому

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @najimbella4804
    @najimbella4804 4 роки тому +1

    Wapinzani ndio wanauwezo was kuiendesha nchi kielem sio wabunge vilazA,,,chadem oyeeeerreeee

  • @rajabshemsa5662
    @rajabshemsa5662 4 роки тому +3

    Mh. Msigwa nime kuelewa sana 💯

  • @immanuelmapunda5650
    @immanuelmapunda5650 4 роки тому +1

    Big up baba msingwa

  • @vanessagoodluck7176
    @vanessagoodluck7176 6 років тому +10

    Ninapo angalia clip kama Hizi za wapinzani huwa napata wakati mgumu Sana wa haya matokeo ya chaguzi ndogo kwamba ccm inashinda kwa asilimia 100 ? ,Mungu ibariki tanzania.

    • @kiterejakassim8591
      @kiterejakassim8591 5 років тому

      Nakukubali kamanda mungu akusimamie watu kama wwe ndo munaitajika katika nchi hii.

    • @saidsheha9120
      @saidsheha9120 4 роки тому

      Yaani, mheshimiwa hawa watu wasipokuelewa hawaelewi tena.

  • @jasongregory8403
    @jasongregory8403 4 роки тому +2

    👏👏👏msigwa upo sahihi

  • @taenashabani6430
    @taenashabani6430 4 роки тому +3

    Sasa ivi akuna malupu lipu shidah amna kuiba Sasa ivi😂🤣🤣🤣🤣mmebwanwa kiukweli hampati ata kumi.

  • @jumavuli7390
    @jumavuli7390 4 роки тому +2

    Hongera sana baba msigwa ningependa sana uje ugombe jimbo la kiteto ww ni jembe sana.

  • @haikalymo4768
    @haikalymo4768 4 роки тому +3

    Maneno Yana ukweli kabisa

  • @sirvergans4542
    @sirvergans4542 4 роки тому +1

    Ndio Baba mchane ukweli na wewe ndio mwanaume hapo ni sehemu ya kusema ukweli atapongezwa akiwa inje akaiwa ndani ni ukweli tu

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 6 років тому +17

    Safi mno mh Msigwa

    • @remmynasua4992
      @remmynasua4992 5 років тому

      Uko vizuri,tatizo mararais wetu hawakuweza kukusanya kodi

  • @VenasLujinya22
    @VenasLujinya22 3 роки тому +2

    Vizuri Sana msigwa umesema ukweli

  • @hyacintakundy562
    @hyacintakundy562 6 років тому +5

    Maisha bila unafki hayaendi mbona siku Ile ulivyokutana nae ana Kwa ana ulimpongeza? halafu ukija bungeni Una rap

  • @geofreywayesu5638
    @geofreywayesu5638 2 роки тому

    Much brain

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 6 років тому +8

    Maneno yako ni sahihi

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 роки тому +1

    Uchumi haupandiiii unashuka Msigwa kamwaga mboga ila maisha huku mtaani ni magumuuu !

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 4 роки тому +9

    Leo jakaya mliye mponda na kuwapata wafuasi wengi kwa udhaifu wake mmegeuka na kumsifia ebu muombe radhi jakaya

  • @yahayachinguile3000
    @yahayachinguile3000 4 роки тому

    akika mungu yup jaman utake usitake ali ya t🇹🇿ni mbaya san jaman kam up p1 na mm ebu gonga like apo👇

  • @calvinkitaly9376
    @calvinkitaly9376 6 років тому +3

    Asante mtumishi wa bwana, barkiwa sana umeeleweka.

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 5 років тому +2

    hata kwa JK hayo yalikuwapo....... VIVA JPM...... mbwa huwa kazi yao ni kubweka ila siyo kupambana na adui binadam....