Mwache nafikara zake kamkumbuka magufuli yes sio vbaya kiubinadamu....lakini usitake kuwaaminisha watu kama magufuli aliuwawa .....sababu kama nikifa wamekufa wajumbe wa M/Mungu nikimaanisha mitume itakuja kuwa sisi wanadamu wa kawaida.....mbele yake magufuli nyuma yetu hicho alichipitia magu nikikombe hakuna atakae kikwepa kila mja aliyezaliwa na mwanamke atakinywea tu....Mungu amrehemu Mr Magu basi na maisha mengine yanaendelea.....
Asali hiyo mnailamba wenyewe. Watanzania hawajaiona wala kuisikia, I’m sorry to say that. And I’m sure wengi wataniunga mkono . Hawa CCM wanatufanya Watanzania shamba la bibi. Sasa basiiiii👎🏾
Mzee makamba nakushauri Sana usimchulie mama yetu ,nakumbuka hata ndugai alimuambia magufuli akimaliza awamu zake mbili lazima ataongezewa tena miaka kumi mingine, ndugai amemchulia magufuli sasa leo magufuli hatunaye tena sasa naona mzee anamchulia mama yetu,
Yes hao ndo wazee wetu wa hekima Asante Mama kuwaona wazee wetu BINAFSI Nimependa Mungu awafanyiye wepesi kwa kilajambo Wao👏👏👏👏 MZEE KINANA MZEE MAKAMBA NA MZEE KIKWETE KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI KIDUM MADALAKANI❤
Davd umesema ukweli hakuna kitu hapo huyo ni ngonjera tu watanzania hawatamsahau JPM kamwe waswahili kazi yao ngonjera utekelezaji mdogo mwanae hamna kitu hapo
Pumzika kwa amani JPM. We real mic you. Wamerudi wezi, wahuni na porojo ni nyingi. Mtaani matatizo yamejaa. Umeme tunakatiwa, wafanya biashara wananyanyaswaa. Mungu tusaidie kwani hata matajiri wezi wanakufa na kuoza. Asali mnaramba wenyewe sasa mseme watz tunaramba asali. Tunaramba vumbiii kwa msivyotujali.
Hamna kitu....nyie endeleeni kulamba asali mwisho upo jirani tuu......vijana Wana maliza vyuo wapo mitaani mnaendekeza kuteua wazee waliokula nchi Kwa miaka zaidi ya 40....this is shame!!!
Point less na itakuumiza Sana badirika kuringana na uongozi huu.siyoni kama ni tatizo wewe unajenga chuki ya kishamba na jifunze kuishi vizuri na watu hata kama huwapendi itakusaidia badae.
Kama unaona mwenyekiti kichwa maji kwa nini usijiudhuru, na Kama isingekuwa ubabe kwenye uchaguzi wa 2020 tungeshuhudia anguko la CCM kuliko miaka yote
Nyie Enzi za Awamu ya Tano kuna Madudu yalikuwa yamafanywa wakisema Mnawatukana..SHIDA Wa TZ ni fuata upepo na Mihemko.Mingi Pia Hatujajua Tunataka nini kwenye Nchi Yetu Bahati Mbaya wana Siasa wametusoma Akili zetu Wanajua pakutushikaa..
@@johnngowi6619 🤣🤣🤣CCM OOOOYEEEE, MAMA SAMIA SAFIIII. MAMA MWENYE HURUMA HAPENDI DHURUMA HAPIGI WATU BASTOLA, MAMA MPENDA AMANI NA MTULIVU. CCM OOOOYEEEE. ASIYEIPENDA CCM NA MAMA ACHIMBE SHIMO AZIBE MASIKIO.
Kuna Awamu Ambayo Haikuwa na Majizi..?na 2025 Samia. Huyo Hugo atapita Ndio mtajua Kuwa Sisi ni Mbulula na Wajunga Hao hao Ccm watapita kwa Kishindo TZ unafiki sanaaa..
Kanuni ya Mungu wakati mwingne humwinua mtu ili amdhiri. Uongo na ukweli huwa vinashindana lkn ukweli siku zote hushinda haijalishi uzito wa uongo unaojaribu kuufunika ukweli uko kiasi gani. Mungu ibariki Tanzania yetu pamoja na wanyonge walio wengi.
Ni hatari sana " Madaraka ni yale yale ambayo yalikuwa hawali. " mmoja mmoja anarudi na hadi wataenea wote" mafisadi, walarushwa ,wauza madawa ya kulevya tena tena. Hii Tanzania 🇹🇿 ni hatari.
Waiting for you 2025 kazi ipo na ikitokea mkapitisha huyo kikalagosi mungu lazima atatenda tena maajabu Tanzania Mungu Ibariki Tanzania mungu tuokoee wanao uliyo tupa nchi hiii kama zawadi lakini Sasa tunachezewa akili zetu na wapumbafu wacheche Uko wapi Amani yetu Iko wapi ile demokrasia tunayo isema my Young brothers and sisters let we fight to gather ....... Waiting for 2025
Unachokisema ni kweli kabisa wanaongea tu na kupanga wanavyo jisikia hawajui kama Mungu yupo anayesikia maombi na vilio vya wa wanyonge, watashangazwa hao mpaka basi bado Mungu ajachoka kuiokoa Tanzania.
Kuna msemo unasema Kila maskini hufikiri tajiri ni mtu mwenye roho mbaya,mbinafsi na kama sio mwizi basi mchawi au pesa zake si za kihalali...sababu anaishi maisha ya starehe wakati Kuna watu wanateseka na kutaabika wakati tajiri humuona maskini kama mvivu,mjinga,mchawi,anavisingizio......Fanyeni Kaz achen uninga
Mwenyezi MUNGU apigie mstari hiyo 2525,sisi tutamshukuru sana maana ni 2525 ndiyo mzee wetu anamuomba MUNGU iwe, na apewe kama haja ya moyo wake hiyo 2525 amina.
Hakuna mti mgumu bali ukabila ulizidi hadi wasukuma wakaja mjini wakijua nchi ni ya kwao. Watu walibaguliwa hadi mikoa ikatengwa haikuendelezwa km kule Kilimanjaro walisumbuliwa tu na kuonewa
Evi mnajisahau kuwa hakuna atakae ishi milele duh leo wapigaji wamerudi kwa kasi jamani eeehh Mungu wangu watanzania tuamke jamani tumepigwa vibaya JPM uko wapi baba natamani ingewezekana urudi leo hii watu wengine nchi hii watakuwa wakimbizi
Huyu Mzee anayo hekima kupitiliza. Wonderful speech Mzee Makamba. Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu.
I MISS you my President J,P,M hatutakusahau kamwe wacha wajigambe lakn dunia ni hii hii waendao ni viumbe siku yaja mungu ataturudia tena.
Wacha maneno ya ajabu ww
Mwache nafikara zake kamkumbuka magufuli yes sio vbaya kiubinadamu....lakini usitake kuwaaminisha watu kama magufuli aliuwawa .....sababu kama nikifa wamekufa wajumbe wa M/Mungu nikimaanisha mitume itakuja kuwa sisi wanadamu wa kawaida.....mbele yake magufuli nyuma yetu hicho alichipitia magu nikikombe hakuna atakae kikwepa kila mja aliyezaliwa na mwanamke atakinywea tu....Mungu amrehemu Mr Magu basi na maisha mengine yanaendelea.....
How old is this gentleman ? Very vibrant and dynamic..... Love his speech...
Asali hiyo mnailamba wenyewe. Watanzania hawajaiona wala kuisikia, I’m sorry to say that. And I’m sure wengi wataniunga mkono . Hawa CCM wanatufanya Watanzania shamba la bibi. Sasa basiiiii👎🏾
Exctly very correct Mery
Una ushahidi au unaropoka tu?
Wajinga hufikiri kwa ufupi,wapi duniani wanapolambishwa asali,zaidi ya fursa!?acha kulalama tumia akili
@@salma0000 Hhahahaha🤣🤣🤣umenchekesha sana dada sikutegemea🤣
Mzee makamba nakushauri Sana usimchulie mama yetu ,nakumbuka hata ndugai alimuambia magufuli akimaliza awamu zake mbili lazima ataongezewa tena miaka kumi mingine, ndugai amemchulia magufuli sasa leo magufuli hatunaye tena sasa naona mzee anamchulia mama yetu,
Wewe tulia tu hata hiii mitano anayolazimsha sjui kama atatoboa
Vibrant speech...and very motivational...this guy is a gift to Tanzania...Makamba hoyee👏👏👏
Mzee Makamba speech. Nzuri sana
Yes hao ndo wazee wetu wa hekima
Asante Mama kuwaona wazee wetu BINAFSI Nimependa Mungu awafanyiye wepesi kwa kilajambo
Wao👏👏👏👏 MZEE KINANA MZEE MAKAMBA NA MZEE KIKWETE KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI KIDUM MADALAKANI❤
Hakuna kitu hapo, lakini bado sana kumkaribia hata kidogo JPM. Pengo aliloliacha JPM ni ngumu sana kuzibika kirahisi rahisi hivi.
RIP, BABA YETU, JPM.
Na ww ukifa lengo lako halitazibika, sote njia ni moja na hili ukutane na Mungu ni lazima ufe .
Kweli,mm,Niko,na,magufuli
Davd umesema ukweli hakuna kitu hapo huyo ni ngonjera tu watanzania hawatamsahau JPM kamwe waswahili kazi yao ngonjera utekelezaji mdogo mwanae hamna kitu hapo
Wwchi
Ww chizi hakuna mtu ambaye pengo lake halizibiki . Kila mtu pengo lake linazibika
Pumzika kwa amani JPM. We real mic you.
Wamerudi wezi, wahuni na porojo ni nyingi. Mtaani matatizo yamejaa. Umeme tunakatiwa, wafanya biashara wananyanyaswaa. Mungu tusaidie kwani hata matajiri wezi wanakufa na kuoza. Asali mnaramba wenyewe sasa mseme watz tunaramba asali. Tunaramba vumbiii kwa msivyotujali.
Kwani Jpm alitupa asali tukaramba?
Mambo ni hayohayo tu
RIP JOHN POMBE MAGUFULI😔😔🥲
RIP magu pumzika kwa amani baba..l miss you baba 😭
Utopolo tuu muhunii
@@salma0000 pumzika kwa amani 🤣
Mfuate pumbavu
Aaaaaqaaaaqaqq@@abubakarihamissi4178
R.I.P my HERO my Heir anko MAGU 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Malipo ni hapahapa 😭😭😭
Mzee Makamba Hongera Sana,maneno yako Ni ya busara Sanaa;Mungu aendelee kukulinda ili tuendelee kuchota busara zako!!!Mungu akubariki Sanaa!!!
Hongera sana mzee kinana mtu mnyenyekevu na mwenye heshima zake na mtazamo wa mbali.Mungu akusimamie daima.
Sasa tutakoma nchi imeshikiliwa na wenyewe 🙌
Kwa watanganyika hakuna maendeleo tena, mafisadi walimuuwa ,RIP JPM
Kama una ujua walimuua basi na wewe watakuua
@@fidelismwakanyamale6787 walimuua ndio
TUNAOELEWA SISA ZA BONGO NDIO WAMEMUUA KWAAJILI YA MASLAHI YAO🥴🥲😭 . INCHI YA KISENGE SANA
Na tumefilisiwa hada. Kundi zima liko hapo mbele. Ni hatari kwa nchi yetu.
Jamn nimemisi Sana Rais wetu, Jpm lala salama baba daima tutakukumbuka
Kalale nae huko bwege utamkumbuka acha kuzungumza upuuz Magu ndo Nani watu walikuwa hawapumui
very intelligent speech !!
Makamba.
Rest in peace our presdent Magufuli alijitoleamaishayake kwaajili yetu wa Tanzania wanyonge tunakukumbuka sasa
RIP jpm
Unafki mtupu na fimbo ya mungu itawahukumu
Chama kimerudishiwa matapeli na wanyonyaji
Mungu yupo ikosiku atawafedhehesha nasmini ipo siku inshallah
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo mkwel daima, pumzika kwa Amani baba
Asante mzee wetu makamba tuwaenzini wazee wetu haifai kuwatukana maisha kigeugeu
Jeshi Magufuri pumzika kwa Amani tunaumia sana lkn Leo najua Mungu kukuchukua alikuwa anamaama kubwa na funzo kubwa sana kwetu.
Awezi kupata tena kashayakoroga
Utampigia mwenyewe kura
Kila kitu kinakwenda kwa mikono ya Mungu…. Mkitaka msitake….
@@juliuschacha3658Yanokuja huyajuwi….anayajuwa Mungu…. usije ukasema sijuwi BORA Nani 😂😂😂😂😮
Kumbe hii nchi niya kujuana kama hukuwahi kupita jeshi hutoboi 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼awachagui viongoz wanachagua kulindana matumbo
Kajiunge nawewe
Rip 😭 Magufuli hatutawahi kukusahau umuhimu wako unaonekana
Watu wanaraha zao ndio maana watoto wao wako mdarakani ,,Ila wasubiri hukumu ya Mungu,Magufuli nakukumbuka sana
😷😷😷😷😷KUMBE HUKUMU YA MUNGU IPO EEEE. OK MMMHH. TUNDU LISU ANAKUSALIMIA SANA NA WENGINE WENGI
Malipo hapa hapa duniani ahera mahesabu
Naungana nawe malipo hapa hapa
Leo angalia methari zinavyotumika kuweka sawa uwezo wa kufikiri. Fumbo mpe mjinga mwelevu atafumbua tu. 🤣🤣🤣
Mungu ni wa majibu watajibiwa tu na hivyo vijembe vyao
Kombo hana kitu hapo
Kwisha abari yako, utajua mwwnyewe
Mungu wa Magufuli uko wapi? Mbona hawa wanafiki wamerudi kwa kasi? Nchi inaongozwa na familia.
Nadhani Yupo Chato huko
The higher you climb the harder you fall.
Hamna kitu....nyie endeleeni kulamba asali mwisho upo jirani tuu......vijana Wana maliza vyuo wapo mitaani mnaendekeza kuteua wazee waliokula nchi Kwa miaka zaidi ya 40....this is shame!!!
Shame and too selfish....
Vijana wakina Kondakita wasiojua kuwaheshimu wazee?
Wote hawa mungu mwenye haki anaweza asiwafikishe iyo 2025 wanayotaka kutufikisha kwa mateso mungu usilipize kisasi ila pasipo haki washa moto
nonsense. nafasi moja hiyo inaweza jazwa vijana wote?badilisheni vichwa vya kusoma ili muajiriwe,soma ili uweze kutumia elimu kuyapambania maisha.
Tatizo mnasoma ili muajiriwe badala ya kusoma ili uelimike ujiajiri🤣🤣🤣🤣
RIP MAGUFULI
😜Kaingiaje hapa sasaaaa.....👌🏽
Wengine wanafiki tu.
@@christinammassy1550 akili komkichwa
Napenda sana busara zako makamba nakuombea maisha marefu mungu akulinde
Dah utafikili nchi ya babu zenu,pumbavu zenu ccm hamna lolote vitu vimepanda Bei nyie mnagawana asali dah
Wao wanalamba hawana wasi hofu na mashaka ni kwetu 😭😭😭
Hata Kenya Ni Ccm inatawala? Acha zako tatizo la dunia usitufokeee🤣🤣🤣🤣🤣makamba hoyeerr
tena maisha yamekuqa magumu kodi kila kona watanzania wamechoka ajabu
👍love this speech...makamba,be strong 💪
2025 Katiba na time huru vikifanyiwa kazi majigsmbo yatakuwa 0
@@yonabilshan6424 @
Hovyoooo rest in peace jpm
Comrade Makamba umeupiga mwingi. Allah akujaalie maisha marefu na afya njema Mzee wetu
Mvua imeisha, wonderful speech, Hongera Mzee wetu
Kinana alijiuzulu ukatibu mkuu,,leo amekubali kuwa makamu wa CCM,maajabu sana, leo wasio mpenda magufuli wanarudi licha ya mambo yote.
Yanii siasa zina unafki sanaaa hawa wazee wanafk sanaa ila MUNGU ndy muweza wa yotee
Point less na itakuumiza Sana badirika kuringana na uongozi huu.siyoni kama ni tatizo wewe unajenga chuki ya kishamba na jifunze kuishi vizuri na watu hata kama huwapendi itakusaidia badae.
@@happynjukiz6495 mjinga ndo huyu sasa
Kama unaona mwenyekiti kichwa maji kwa nini usijiudhuru, na Kama isingekuwa ubabe kwenye uchaguzi wa 2020 tungeshuhudia anguko la CCM kuliko miaka yote
Tatizo liko wapiiiii 👌🏽Wampendeje Mungu keshampenda zaidi 😜
Hongera mama Samia kwa uteuzi wako mpenzi inshaallah mw mungu akulinde. Akupe umri mrefu inshaallah
Wewe utakua shoga
Hii speech ni nzuri sana. Mzee Makamba anafurahisha sana.
Acheni unafiki wazee Sasa mtuachie serikali yetu ,mkiongozwa na huyo mdoli, lala salama baba 😞
.
Acheni kumpangia Mungu...tusubiri ya Mungu..mjengoni yalipigwa makofi pale pa kuongeza miaka Mungu akasema no..jifunzeni
Mheshimiwa Makamba hongeragwe kwa Hotuba.
Kweli asali twalamba.
Shabiki letu la Simba.
Asante sana swahiba.
Utafikiri hii nchi ni ya ukoo wenu
Bashiru yuko wapi...?? Tujifunze maisha uweke akiba
Rip magu tumekwsha wanarudi duuuu
Ya mungu mengi tuombe mungu amani idum tanzania mana hii mitandao mingine inapotosha
Kidum chama tawala
Unaramba asali wewe Mzee coz unakula bure Zanzibar mchele kilo 3000
CCM, chama baba , chama mama , viongozi imara wenye huruma na hekima sio watu wa revange au ubabe 👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Mzee makamba ALLAH akuhifadhi
Haleluya nimependa mtu mwenye hekima ya mungu mwenyewe Amina 👏👏👏👏
Tukutane 2025
Wapinzani wanchi hii mnatuangusha sana mkiwa serious, hii nchi mnaichukua kirahisi sana, ccm hawana kitu tena wamebaki kufanya comedy tu
Chuki haisaidii tena hapa ni Ujipe Raha na Amani ya moyo tu. MAISHA MAFUPI
Nyie Enzi za Awamu ya Tano kuna Madudu yalikuwa yamafanywa wakisema Mnawatukana..SHIDA Wa TZ ni fuata upepo na Mihemko.Mingi Pia Hatujajua Tunataka nini kwenye Nchi Yetu Bahati Mbaya wana Siasa wametusoma Akili zetu Wanajua pakutushikaa..
Mnoooo
Mapema Asubuhi tunawapa nchi
Yani dahh
mtamchaguwa nyinyi Wana chama wa CCM lakini watanzania siyooo wakihiivyoo hatuchaguwi majizi
CCM OOOYYYEEE. THIS IS CCM
JISEMEEE WEWE NA UKOO WAKO, CCM OOYYYEEEEEE
@@ziadasadiki8196 wewe sio ccm wewe ni kinuka mavi mmoja usie jitambua
@@johnngowi6619 🤣🤣🤣CCM OOOOYEEEE, MAMA SAMIA SAFIIII. MAMA MWENYE HURUMA HAPENDI DHURUMA HAPIGI WATU BASTOLA, MAMA MPENDA AMANI NA MTULIVU. CCM OOOOYEEEE. ASIYEIPENDA CCM NA MAMA ACHIMBE SHIMO AZIBE MASIKIO.
Kuna Awamu Ambayo Haikuwa na Majizi..?na 2025 Samia. Huyo Hugo atapita Ndio mtajua Kuwa Sisi ni Mbulula na Wajunga Hao hao Ccm watapita kwa Kishindo TZ unafiki sanaaa..
what a speech
Huyu mzee ameishiwa..mambo ya kuongea...watanzania wanaumia..unasema wanaramba asari...
Yaani wana uhakika
Acha stress ww ,, wenzio wamepambana saiv wanalamba asali tu na wajukuu zao .. na ww apo ulipo pambana ili mwanao astirike baadae .
Mungu awaongoze vyema lnshallah.
Kanuni ya Mungu wakati mwingne humwinua mtu ili amdhiri. Uongo na ukweli huwa vinashindana lkn ukweli siku zote hushinda haijalishi uzito wa uongo unaojaribu kuufunika ukweli uko kiasi gani. Mungu ibariki Tanzania yetu pamoja na wanyonge walio wengi.
Ni kweli kabisa yaani unajuimbua mwenyewe watu wakuone u mtu wa namna gani na kila kitu huenda kwa wakati na maksudi yake
Tunakuomba uliyetuumba utu teteeee uumbaji wako
Ni hatari sana " Madaraka ni yale yale ambayo yalikuwa hawali. " mmoja mmoja anarudi na hadi wataenea wote" mafisadi, walarushwa ,wauza madawa ya kulevya tena tena. Hii Tanzania 🇹🇿 ni hatari.
Iyo I kz ya kikwete yn ss ivi anajikuta nchi yake I anafanya anacho taka Hao wote walikuwa ni wt wakikwete ss anawarudisha wote
Makamba jinga sana
Huyu mzee khaaaa
YES KUWA ENZI WAZEE SIYO KUWA FETHEHESHA......NO UKUBWA.....HKEKIMA☝️💯
Mungu amlaze jpm mahala pema peponi amina
Rest in peace,Doctar JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
RIP Magufuli
Noma
Kuleni nchi hakuna wa kuwazuia,
Kuleni mkisaza wengine tutapata
Hujaskia swali la hamna matumbo??
Umenena san mkuu
Kutesa kwa zamu
Acha wajinadi..huo hata methali wanazo ropoka
Duh..!
Asante sanaaaaa
Huyu mzee dah nimependa speech zake mungu amjalie umri mrefu
Mzee Makamba bado ni kijana .Anachekesha Sana ata ukiwa na hasira utache tu. MUNGU kampa hekima zake. DUH UNBELIEVABLE.
Shukrani saana
Hongera sana makamba we n mcheshi tanzania oeee
ongopa we kwa kula ya famila yako, RIP JPM tutampenda daima alijua kuiheshima nchi, ss tunarudishwa tulipokua unafiki tu mazuzu yanapiga makofi mwenzenu anafagilia chakula.cha wanae nyie mazuzu pigeni makofi nyambafu
wewe mbona unalopoka lopoka kweni kiswahili unakijuwa au mkongoman wewe mzee makamba hapa ajaongea chochote kibaya wewe ndio unaleta ubaya humu
@@mbaumau3565 piga makofi zuzu wee, ss wenye akili awatudanganyi kula ya familia zao hakuna jipya🤑
R. I. p Magufuli.....
Mzee Makamba Mungu Ampe maisha mareefu. Amenena kwa Hekima ya kiungu.
Acha upumbavu mjinga wewe unajua maana ya Hekima ya kiungu acha uzandiki ww
thanks dady 🙏🙏 true for 2025👏👏
Naanza kumuelewa baloz wa Malawi Alisema Kuna kikundi Cha wahuni wamepiga copy serikali kwaajili ya mambo yao binafsi akakazia kataa wahuni 🙏😁
Pole pole Kapewa ubalozi kwa sababu hawe mbali na mchezo wa ndani
Mwafulani kafurahiii ,
RIP JPM
Kumbe ni ya zamani! Ok mzee Makamba zidi kuishi. Mzigo mzito mpe mnyamwezi.
Acha uongo mzee hiyo asali unaramba wewe
Wewe pia unaramba lakini macho huna ndio maana huwezi kuona. Pole sana
@@mombasa0076 sawa
@@mombasa0076 sawa
😄😄😄😄😄😄😄😄👊👊👊👊👊👊
Shoga mtombwaji tulia .CCM baba lao 💪💪💪💪
mnaramba na familia zenu asali situnaramba shubili mungu atatukumbuka tu ipo siku🙏🙏🙏🙏
Very nice speach
Kundi hili la kujuana la kifisadi ni hatari sana kwa nchi yetu bila hawa wazee kuondoka wananchi wataendelea kuishi maisha magumu sana
Mzee makamba Mungu akutunze sana,🤣🤣🤣Tumeona.mbogo sembuse swala,,🤣🤣🤣,,Natamani kukutana na Hawa wazee,,Mzee makamba,Mzee kikwete,,Mzee kinana.
nanji mtakufa tu.R ,I.P magufuli ama kweli ila jamani nyinyi watu mungu anawaona
Ulishaona matapishi yanakuwa msosi. Namba tutaisoma kweli.. Dhuuuuuuuh
Respect from kenya
❤
RIp JPM 😭😭🙏🙏
Mungu atusaidie sana.tusihukumu"tusije tukahukumiwa.
best dad in mastering the stage
Makamba kiboko hahahaha
Mbona wajumbe hawajachangamka,ccm tuwe makini kazi ipo mbele kubws
Mambo yamebadilika hii Ni awamu ya Mama. Tumuunge mkono katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
Honger
Waiting for you 2025 kazi ipo na ikitokea mkapitisha huyo kikalagosi mungu lazima atatenda tena
maajabu Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania mungu tuokoee wanao uliyo tupa nchi hiii kama zawadi lakini Sasa tunachezewa akili zetu na wapumbafu wacheche
Uko wapi Amani yetu Iko wapi ile demokrasia tunayo isema my Young brothers and sisters let we fight
to gather ....... Waiting for 2025
Unachokisema ni kweli kabisa wanaongea tu na kupanga wanavyo jisikia hawajui kama Mungu yupo anayesikia maombi na vilio vya wa wanyonge, watashangazwa hao mpaka basi bado Mungu ajachoka kuiokoa Tanzania.
Kwaiyo Magu naye alikua kikalagosi sio!?
Go back to school
Kwenda mwana kwenda sijakufosi unijibu Elimu inakupasa uipate wewe!? .......Ukute mpka hapo ulipo Elimu uliyonayo ni ya madrasa....Kiazi wewe
Kuna msemo unasema Kila maskini hufikiri tajiri ni mtu mwenye roho mbaya,mbinafsi na kama sio mwizi basi mchawi au pesa zake si za kihalali...sababu anaishi maisha ya starehe wakati Kuna watu wanateseka na kutaabika wakati tajiri humuona maskini kama mvivu,mjinga,mchawi,anavisingizio......Fanyeni Kaz achen uninga
Magufuri, pumzika kwa amani baba yetu.. tutakukumbuka watanzania
TIME WILL TELL WHAT NEXT LETS GO 2025,CCM SIO YA FAMILIA AU YA WATU FULANI TU,MUOSHA HUOSHWA
Kama tutakuepo Albert 2025 tutajionea wenyewe kama mpangaji ataweza kujiita mwenye nyumba au mwenye nyumba ndo mwenye nyumba
Tumechokaaaaaaaaàa
Mungu baba unatuona ahsante
Mzee makamba yupo vizuri
Hongera mama umebarikiwa
Makamba ny mzee mzuri sana
Asante mzee makamba
Mwenyezi MUNGU apigie mstari hiyo 2525,sisi tutamshukuru sana maana ni 2525 ndiyo mzee wetu anamuomba MUNGU iwe, na apewe kama haja ya moyo wake hiyo 2525 amina.
Makofi kwa Baba January, Mzee unakuwa role.model.kwa vijana.
Hongera sana sana Baba yangu Mungu awalinde sana sana mmeitoa mbali sana Nchi yetu poleni sana na Hongereni sana
Lazima waongee kwa nguvu sana mana vimemo sasa vinapita mti Mgumu ulishakatwa katu sasa wanarudi kusumbua
Hakuna mti mgumu bali ukabila ulizidi hadi wasukuma wakaja mjini wakijua nchi ni ya kwao.
Watu walibaguliwa hadi mikoa ikatengwa haikuendelezwa km kule Kilimanjaro walisumbuliwa tu na kuonewa

Nice speech