“Nitawaburuza BASATA Mahakamani, nampongeza Rais Magufuli” -SUGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu SUGU amelieleza Bunge kuwa tayari ameunda jopo la mawakili wake sita kwa ajili ya kuiburuza Mahakamani Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) baada ya kudaiwa kuufungia wimbo wake mpya kwa madai kwamba hauna maadili.

КОМЕНТАРІ • 125

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 6 років тому +117

    Kama unamkubali sugu gonga like tusambaze upendo 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️😁😁

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 6 років тому +10

    Kutoka r Chuga. Sugu respect hiphop legend

  • @faidhaally8311
    @faidhaally8311 6 років тому +12

    hahaha nakupnd sugu hujaenda kuzungusha mguu bungen lv u so much

  • @promramson80
    @promramson80 6 років тому +6

    Sugu anaishi uhalisia ambao amekua akiuongea kwa mda mrefu kwenye nyimbo zake,,,I really like this guy

  • @africanlempe8604
    @africanlempe8604 6 років тому +40

    Like kwa raisi wa Mbeya 😎

  • @shadrackmwelela6935
    @shadrackmwelela6935 6 років тому +7

    bigup kwako raisi wa Mbeya Sugu

  • @kennethmahenge7719
    @kennethmahenge7719 4 роки тому +2

    daaaaaah sugu ww Nomaaaaa.......mbeya yako milele

  • @pendaelikilimba2434
    @pendaelikilimba2434 6 років тому +5

    You should be President of this country in the coming years.... Keep going Jongwe!

  • @josejuma103
    @josejuma103 6 років тому +5

    Safiii 2 proud

  • @nbfchisotta3749
    @nbfchisotta3749 6 років тому +6

    ai, yooooooo am saluted you Mr sugu

  • @NewMan-ei9cf
    @NewMan-ei9cf 6 років тому +3

    Ahsante. Usimpige shonza.

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 6 років тому +44

    😂😂😂😂 *Hahaaa aisee kama unamkubali Sugu gonga like hapa*

  • @mwinyi5270
    @mwinyi5270 6 років тому +4

    Aaah sugu 👍🏾

  • @machedafederico572
    @machedafederico572 6 років тому +2

    Nko pamoja n wew jongwee

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 6 років тому +9

    Big up Sugu,komaeni kwani mko na mburura tupu kutoka chama cha majambazi na nakuunga mkono kuwaburuza BASATA mahakamani ili kutofoa nafasi ya kuwanyanyasa wasanii hapa nchini!.

  • @kahamatv5649
    @kahamatv5649 6 років тому +4

    good work,ayo tv

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому +9

    Hakika hakuna wabunge ninao wakubali kama #Halima mdee na #Sugu na #Tindulisu💪💪💪 wapewape haoo ccm wanafiki sana 😆😀😀😀 hawampendi Rais wa Tanzanian 😩😩 majabu 😔safi sana sungu👌💪💪💪💪

  • @ewaldmrema909
    @ewaldmrema909 6 років тому +15

    Suguuuuuuuuu umenivunja mbavuuuuuuuuuuuu

  • @gretamaheri8437
    @gretamaheri8437 6 років тому +2

    Yani katika siku zote leo ndo nimekusikilaza sugu umenifurahisha sana

  • @wilbertcharles9129
    @wilbertcharles9129 6 років тому +3

    Tema madini mwanangu

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 років тому +8

    Shikamoo sugu 😀😀😀😀😀😀wacha tumsubili mjomba hahaha

  • @chibutvonline8710
    @chibutvonline8710 6 років тому +4

    hahahahahahah eti mimi sio diamond wala roma duh huyu kweli sugu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 років тому +5

    Hatariiiii mambo nimotooooo,basata mnaleta mchezo na kazi zawatu

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 років тому +3

    salute

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 років тому +18

    Mbunge wangu

    • @lucaslinus7658
      @lucaslinus7658 6 років тому +1

      Mh, Sugu big up, kwa Sera zako umenikonga! Natamani nihamie Mbeya niwe Mwanchi wako , yote unayaongea katika vikao vyote Saluti kamanda! Mungu akujalie maisha marefu

    • @doreenkissia6566
      @doreenkissia6566 6 років тому

      maisha ya wabongo wengi tunaungaunga jamani tusikomoane.madaraka leo kesho raia.sometimes mshauri msanii sio kufanya maamuzi yaw kufungia tuu.kwa nini basi basata msianzishe kitengo cha kutunga mashairi muwauzie wasanii? tujue tunaimba.nyimbo za basata.toeni mashairi yenu waimbe.

    • @atupyekyando9010
      @atupyekyando9010 6 років тому

      Baraka Waya

  • @goodluckstepheny582
    @goodluckstepheny582 6 років тому +2

    My President suguuuuuuuuuuuu

  • @shadyarahma6385
    @shadyarahma6385 6 років тому +2

    nakukubar sana sugu

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 років тому +3

    Wakwanza ku comment ✌✌✌💪

  • @Laajo1994
    @Laajo1994 6 років тому +3

    🔥

  • @dennismataula293
    @dennismataula293 6 років тому +1

    safi xana mh Sugu hy serikali inaendeshwa kibabe xana ila kila kitu kina mwanzo na misho

  • @lucytarimo1688
    @lucytarimo1688 6 років тому +15

    Unakua mpambe mpaka tajiri ananuna😂😂😂😂

  • @godlovemea363
    @godlovemea363 6 років тому +3

    yakizaz bandy

  • @ibrahimsaid622
    @ibrahimsaid622 6 років тому +3

    mbeya stand up

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 6 років тому +2

    millard ..diamond katajwa ata ukimbanaia ..tutamskiaa..go to u túbe trendings.7 of top 10 list concerns to diamond..vgum sn kumshusha

  • @marryenock6595
    @marryenock6595 6 років тому +5

    219 nakukubareeee

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 років тому +11

    toka lini mnawakopesha wapinzani 😂😂😂

  • @kolomijeboda2983
    @kolomijeboda2983 6 років тому +3

    Buluzaaa xan haooo mabwege basata😅😅😅😅

  • @juxmwakabanje7134
    @juxmwakabanje7134 6 років тому +2

    jongwe brother

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 6 років тому +3

    ..Tumsubiri Mjomba😁😁😁😁

  • @levoommy831
    @levoommy831 6 років тому +2

    waburuzeeeee

  • @lucytarimo1688
    @lucytarimo1688 6 років тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂presha bakini nazo wenyewe😂😂😂😂

  • @mcharoun8483
    @mcharoun8483 6 років тому +2

    bunge

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 років тому +3

    Safi saaana

  • @shukuruthelord7247
    @shukuruthelord7247 6 років тому +2

    kwa maslayi ya watanzania wote ladhima tujue nchi yetu ina kwenda wapi iliko toka wapi tunafanya nini kwa mslayi ya wa Tanzania wote

  • @lucasalfred2112
    @lucasalfred2112 3 роки тому +2

    Duuu

  • @samsonjoel4669
    @samsonjoel4669 6 років тому +2

    🙏🙏✌✌

  • @charlesmdendela8949
    @charlesmdendela8949 6 років тому +2

    waburuze tu, walikurupuka kwa diamond akakurupuka nao wakanyooka, nawe buruza tu mahakaman

  • @asedymbwilo6958
    @asedymbwilo6958 3 роки тому +1

    Apo kwenye plesha

  • @adamclassictz
    @adamclassictz 4 роки тому +1

    Tutamiss haya mambo bungeni😀

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 років тому +7

    Wabunge WA ccm msaidieni Raid amani,

  • @siwemaalphoncy2452
    @siwemaalphoncy2452 4 роки тому +3

    Msigwa kacheka

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 6 років тому +2

    awamu hii lazima mnyookeeee

  • @barakacafe1336
    @barakacafe1336 5 років тому +1

    Basata ni mbwa hawajielewi

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 6 років тому +1

    Bunge limekuwa kama kilabu cha pombe za kienyeji aiseee!!!!

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 6 років тому +3

    We kafanye mziki.. tuuu.. huna jipya.... hão wapumbavu tuuu hawana jipya

  • @SamsonPhilipo-g8c
    @SamsonPhilipo-g8c 7 днів тому

    Mubunge wa Jimbo nyamagana hotuba zake bungeni dodoma

  • @richardkobero6988
    @richardkobero6988 6 років тому +2

    😁😁😁😁😁 tutafute rula ya kupimia dagaa..

  • @mickskillstechnology7511
    @mickskillstechnology7511 6 років тому +20

    Tatizo hii nchi sahv, serikal imekuwa inafanya vitu kwa mihemko, chuki, wivu na visasi mno, na kumkomoa mwananchi kwa makusudi kabisa,,,

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 років тому +1

    JIANDAYE KWENDA KUTUNGA HIP HOP 2020!!!!!

  • @edwardchimote329
    @edwardchimote329 6 років тому +1

    nimekuelewa kamanda

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 років тому +4

    huyo demu mbona kapaniki

  • @hassanmbonde4391
    @hassanmbonde4391 6 років тому +1

    sugu unatishaa

  • @shukuruthelord7247
    @shukuruthelord7247 6 років тому +1

    undo uwalisia au

  • @alexlutengano687
    @alexlutengano687 6 років тому +2

    Babu kubwa jembeeeee

  • @saidimakala233
    @saidimakala233 6 років тому +2

    nyie c mtambui rais xaxa hyo rais gani

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 11 місяців тому

    Sjawai kujua kua hii nchi inawanawake mataira km shonza mweny akil atanielew

  • @mickykaserendei3123
    @mickykaserendei3123 6 років тому +2

    Sinto kuandikia yoote ila watu Kama mbilinyi watafute kazi zakufanya majimbo yanarudi kwawalio tayari kutumikia wanachi

    • @nassorabdulkarim1390
      @nassorabdulkarim1390 6 років тому

      we uko mbwinde unatupangia sisi tuliomchagua kwa kura zetu huyu ndio mbunge wetu utaki baki hivo hivo

    • @mathiasissa7138
      @mathiasissa7138 4 роки тому

      kwel ww ndo mbunge

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 4 роки тому +1

    Wambieni labda mwisho masikio yao yatasikia dawa

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 6 років тому +5

    Sugu ni Mwehu asiyejitambua pumbavvvvvv

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому +5

    Duu full poovu

  • @leonardmgaya3970
    @leonardmgaya3970 6 років тому +3

    😂😂😂😂😂

  • @emmaxcaris5530
    @emmaxcaris5530 6 років тому +2

    dawa ya xhonza ni Cmba...@

  • @faidhaally8311
    @faidhaally8311 6 років тому +3

    hahaha upambe adi tajir ananuna hahaha

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 років тому +5

    Sugu hauko juu ya sheria Kama wimbo haukufata sheria? Utafungiwa tu hadi ufuate utaratibu wa kutoa wimbo. Mawakili hawana kazi? Mawakili 6 kwA HIKi kikesi? Ok yetu macho

  • @everlastthebad4441
    @everlastthebad4441 6 років тому +6

    This niga bwana hahahhaa

  • @Lituli_jr.
    @Lituli_jr. 6 років тому +2

    mwenye hii clip naomba anitumie Wasap 0714565324

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 років тому +3

    Kumbe kuna sheria ya kijinga mpaka basata mpitie mashairi yote kabla msanii atoe? Duhhh!!!!

  • @saidzaar9557
    @saidzaar9557 6 років тому +2

    😂😂😂😂 mbona hajazungumza hoja za Kiuchumi ktk bajeti.

  • @EphraimKibiki-ik5kt
    @EphraimKibiki-ik5kt 5 місяців тому

    Tumewamiss chadema

  • @mamantilie3125
    @mamantilie3125 6 років тому +1

    hahaahaaa duh

  • @mickykaserendei3123
    @mickykaserendei3123 6 років тому +2

    Kweli upinzani umeisha tumebaki nawapinga maendeleo

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 6 років тому +2

    hahaha haha

  • @georgeshija911
    @georgeshija911 6 років тому +2

    kwani ukilekebisha kiwanda kilicho lala na kikafanya kazi nikosa mpaka ujenge jengo jipya ndo kiwanda kionekane jengo jipya?

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 років тому +2

    KAMA MLIPOWASALITI WANANCHI KWA KUMWITA LOWASSA FISADI, AMBAVYO NI KWELI, NA KULIPOKEA KULIPA UGOMBEA WA RAISI. NA MPAKA SASA HAMJASEMA KWA NINI MLIBADILI GEAR ANGANI KWA WANANCHI.

  • @imanimedaa4760
    @imanimedaa4760 6 років тому +2

    dadeq

  • @chibutvonline8710
    @chibutvonline8710 6 років тому +2

    hahahahahahah eti mimi sio diamond wala roma duh huyu kweli sugu