MFUNGWA Amshushia MAOMBI MAGUFULI Gerezani/HAIJAWAHI KUTOKEA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лип 2019
  • MFUNGWA Amshushia MAOMBI MAGUFULI Gerezani/HAIJAWAHI KUTOKEA!
    Katika ziara ya JPM mkoani mwanza, alifanya ziara ya kushtukiza katika gereza la Butimba, ambapo moja ya mfungwa alimshushia maombi ya nguvu rais Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wa nchi ..
    #JPM #MFUNGWA
    Https://ua-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 142

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 4 роки тому +14

    EE MWENYEZI MUNGU SALA HII TUNAOMBA UIPOKEE, AMINA

  • @francismalera7863
    @francismalera7863 5 років тому +12

    Tanzania Imekombolewa Na Wafungwa watakombolewa Yes Kiozi Tunae Tunajivunia nchi yetu ss Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Kiongozi wetu Amina

  • @zakiasadick580
    @zakiasadick580 5 років тому +26

    Ebu tuache unafiki bana mh.RAISI Ana stahili pongezi👏

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 років тому +23

    Nimependa maombi y mfungwa...mungu atakusaidieni siku mmoja mtakuwa uraiyani/mtakuwa huru..endeleeni kumwamini mw/ mungu haijalishi kosa lako ni kubwa kiasi gani mungu humsamehe kila mja

  • @josephniima8324
    @josephniima8324 5 років тому +17

    Hii htr! Mheshimiwa Mungu akuongezee nguvu zaidi na zaidi! Hii haijawahi tokea!

  • @davidmsinga5453
    @davidmsinga5453 5 років тому +13

    Dah this is gift from GOD rais anatembelea mpaka wafungwa J P M utatuachia nani kama wewe 2025 ukimaliza term yako baba

  • @mako331
    @mako331 5 років тому +31

    Sikuwahi kuona ktk awamu zote Raisi mchapakazi hivi, sioni atakayevaa viatu vyako bado, tuendelee kuomba Mungu Watanzania

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 5 років тому +19

    Nampenda Magu

  • @steveswakei9600
    @steveswakei9600 4 роки тому +10

    Waafrica mashariki sanasana kenya twamtazama maghuli zaidi kuliko wa tz. Mna bahati kweli lakini akili yenyu msipoitumia na kumrudisha huyu baba, mtajililisha na mtulilishe nasi

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 роки тому +10

    Natamani kenya ingepata raisi kama huyu mungu tuongoze jamani

  • @francismalera7863
    @francismalera7863 5 років тому +15

    umenibariki Muombaji Mungu aonyeshe huruma yake Tanzania Bila wafungwa onawezekana

  • @zainabumussa240
    @zainabumussa240 4 роки тому +4

    Mungu mbariki rais wetu

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 3 роки тому +2

    Le President extraordinaire ça fait couler les larmes.Que Dieu bénisse le President tanzanien et son peuple.Vive la Tanzanie.

  • @Philipoupdates
    @Philipoupdates 5 років тому +16

    Mungu awasaidie katika jaribu La kukaa gerezani

    • @sadickwalker2795
      @sadickwalker2795 4 роки тому

      Mtumishi alikutwa namtiani gani hadi afike gerezani jamani?

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +6

    Hivi magufuli kweli ni mtu wa kawaida mbona a nawapenda zaidi watu wadogo ambao hawawezi kumplipa kitu? Machinga walikua wanapigwa 😭😭😭😭 Kasema waacheni walikua wanamwagiwa chakula mama ntilie😩😩😩😩 wanafunzi walikua wanafukuza Kasema waacheni wafungwa kaenda kuwapa moyo jamani tukimfananisha na kiongozi fulani wangine wa nakasilika mbona anatembea ka ma yesu magufuli lkn kwa mambo mengi?

  • @ismailkasim7960
    @ismailkasim7960 4 роки тому +9

    Wallwah machozi furaha yamenitoka japo ni kidogo

  • @jacquesntabagara3682
    @jacquesntabagara3682 5 років тому +8

    PEOPLE PRESIDENT.

  • @abdallaatik8290
    @abdallaatik8290 4 роки тому +5

    Hakika magufulli mungu akulipe kwa busara zako

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 років тому +24

    Hakika maombi hayo yamefika kwa MUNGU ! Na MUNGU atayajibu .

  • @deborahkambu5419
    @deborahkambu5419 4 роки тому +3

    Mungu akubariki sana Rais naona Mungu ndani yako.

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 роки тому +6

    Umeomba mpk nimelia machozi.

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 4 роки тому +4

    I love him he is a good leader bg up JPM.

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 років тому +19

    Maombi mazr Sana,Magu nakuunga mkono kutembelea wafungwa na kuwasikiliza barikiwa Sanaa presdaa

  • @josboy5384
    @josboy5384 5 років тому +8

    Mungu wasaidie waja wako waixhi vizuri huko mpaka cku watakapoona uraiani

  • @emmanuelkadaraja2820
    @emmanuelkadaraja2820 4 роки тому +4

    Tunamwomba mungu atupe uzima kilasiku ilikusudi tupate kufanikisha malengo na Mipango yetu

  • @majaliwamsigwa1570
    @majaliwamsigwa1570 5 років тому +4

    Ameni

  • @kipendarohozavery5148
    @kipendarohozavery5148 4 роки тому +3

    Maombi hayo .tz hatujui kiatu chako nani atakivaa mungu tusaidie utawale milele

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 років тому +5

    Amina

  • @jeremiahmapunda9696
    @jeremiahmapunda9696 5 років тому +9

    Jaman Mungu awe nanyi naona nyuso za kujuta mtatoka na muwe watiifu

    • @ruthjoseph7358
      @ruthjoseph7358 5 років тому

      Ubarikiwe kiongozi ulieteuliwa na mungu uliyaona na walioyasema utateta sawa na mapenzi ya Mungu mheshimiwa rais msaidie albino atoke

  • @kastorkidumu6579
    @kastorkidumu6579 5 років тому +4

    amina

  • @juliussindani786
    @juliussindani786 5 років тому +3

    Amina kamanda yesu akutunze

  • @alpheondanzi2544
    @alpheondanzi2544 4 роки тому +3

    Jamanii jamanii ivi magufuli wewe ndo Tanzania ndo wewe Mungu ibariki 🇹🇿 Mungu mbariki Ally Happy

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 4 роки тому +1

    Mungu akubariki Rais wetu kupembelea magerezani.

  • @henrickovicent2933
    @henrickovicent2933 5 років тому +2

    Mwenyezi Mungu awasemehe kwa makosa yote na mhe rais na amini amewaangalia kwa Moyo wa uruma, mcjali mtatoka. Ameen, asante

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 років тому +2

    amin kk mungu msaidie rais wetu jaman awe na moyo huohuo

  • @mrsmo.1555
    @mrsmo.1555 5 років тому +3

    Mungu awasaidie

  • @ellykyomo7428
    @ellykyomo7428 4 роки тому +2

    Amina mungu awasaidie

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 5 років тому +4

    Bless sana Mzee wangu magu

  • @alpheondanzi2544
    @alpheondanzi2544 4 роки тому +3

    Waaaaaaaaaaooooooooooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @michaeljohn4839
    @michaeljohn4839 4 роки тому +1

    voice wonder

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому +1

    Masiki adi nimeria😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 3 роки тому +1

    Amen Amen

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 4 роки тому +3

    Jamani huyu mchungaji huo mwombaji anaemwombea Raisi nimtiani gani umemuleta hapa gerezani.

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому

      Atakua alikula sadaka pasipo kukusudia..mungu amsamehe sana

  • @bigmanyamafilmproduction5890
    @bigmanyamafilmproduction5890 3 роки тому +1

    Pamoja sana mtumishi pia Mungu nawe alegeze minyororo iliyo mikononi mwenu....

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 4 роки тому +2

    Tunasalimiana tu!

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 5 років тому +8

    "Miradi mingi hatukuiacha tunaiona kwenye TV"... Maneno yanaonesha jinsi unapofungwa unatengwa na jamii, unaimiss jamii na unakosa kuyaona mengi kwa uhalisi wake! Mungu badili mioyo ya wafungwa hawa ili waifurahie nchi yao nje ya magereza!

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 3 роки тому +1

    Mungu ampumzishe kwa amani kiongozi wetu

  • @marwalzzy5983
    @marwalzzy5983 4 роки тому +2

    Amen %

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 років тому +4

    Ayo makofi sasa..........

  • @navyoagrey7523
    @navyoagrey7523 5 років тому +1

    Oh Jaman speechless

  • @hakaboy5780
    @hakaboy5780 4 роки тому +3

    Jahazi

  • @josephnyaruke706
    @josephnyaruke706 4 роки тому +1

    Asante

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 років тому +11

    Maombi ni muhimu,mahali popote

  • @ishqmeinmarjawan1048
    @ishqmeinmarjawan1048 3 роки тому +1

    Hatuuzi Raisi wetu kpnz Magufuli oyee hapa kazi2

  • @eudisiaalexzanda1730
    @eudisiaalexzanda1730 3 роки тому

    Amen ubarikiwe sana.

  • @stephenkaranja6129
    @stephenkaranja6129 3 роки тому +1

    I respect makufuli sana ana ongozwa na Mungu

  • @cheerfulboy3481
    @cheerfulboy3481 4 роки тому +11

    Yaani wewe mchungaji una maana kuliko gwajima mzee wa ngono

  • @saidsoudy3140
    @saidsoudy3140 4 роки тому +1

    Barikiwa baba Magufuli

  • @biringanineregina3572
    @biringanineregina3572 3 роки тому

    Umepewa hekima kama ya salomo.ubarikiwe daima

  • @fortunatuskapinga5250
    @fortunatuskapinga5250 3 роки тому +1

    Haya ulaya na duniani kote haijawahi kutokea hakuna raisi hata mmoja duniani kawahi kutembelea wafungwa

  • @juliussindani786
    @juliussindani786 5 років тому +2

    Hakika

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 років тому +15

    SALA YA MFUNGWA INAELEWEKA.

  • @hamzahabits7912
    @hamzahabits7912 2 роки тому

    Tutakukumbuka sana hayat dkt jonh pombe uliye tuachia huku katugeuka

  • @charlesnkuwimpondo2769
    @charlesnkuwimpondo2769 3 роки тому

    Mungu apewe sifa milele na milele

  • @GoodBoy-bh9yt
    @GoodBoy-bh9yt 3 роки тому +1

    🙏🙏🙏

  • @stellawatison6142
    @stellawatison6142 3 роки тому

    AMINA

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому

    Aaaaamina🙏

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому +3

    Ubarikiwe maguful kwa moyo wa upendo

  • @timuumojasalamclub3288
    @timuumojasalamclub3288 4 роки тому +3

    Yana maguful ww nikiongoz nakukubal

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 3 роки тому

    Ameen

  • @rambomachimu4286
    @rambomachimu4286 3 роки тому +1

    Ongera.Rais.magufuri.mtetezi.wawanyonge

  • @akidawangara2323
    @akidawangara2323 4 роки тому +1

    Kitu kimoja ambacho kinaniguza sana na Rais Magufuli ni kutembelea wafungwa. Ni kitu kikubwa sana. Hapa Rais Magufuli anastahili pongezi

  • @yusuphally966
    @yusuphally966 4 роки тому +1

    Nimeipna bab rais

  • @philipodaudi59
    @philipodaudi59 4 роки тому +2

    Rais ni MTU wa watuu

  • @tracykajuju5777
    @tracykajuju5777 3 роки тому +1

    Kenya huwesi hukaona kitu Kama,hii raisi was Kenya hawesi kupotesa wakati wake,ongera Raisi makufuli.tana sukua 🖐️ heko baba. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rashidimabara2243
    @rashidimabara2243 3 роки тому

    Move za kichawi

  • @rehemakaberege8119
    @rehemakaberege8119 4 роки тому +1

    Magufuli baba lao

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 роки тому

    Heri kiongozi mwenye hofu ya Mungu maana ataitafuta haki ilipo

  • @youngvictor9489
    @youngvictor9489 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭
    Hii video maiangalia leo miaka kadhaa imepita but all in all rest in peace dear Maguful the only heroe ever existed in Tanzania🙄🙄🙄🙄🙄

  • @odjeey5074
    @odjeey5074 5 років тому +4

    Amen

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 3 роки тому +1

    Sasa hapa jpm unadeni yatakia ukamtoe huyu mfungwa na wengineo wenye makosa madogo alikuombea na umepata

  • @nancykiwelu9370
    @nancykiwelu9370 5 років тому +1

    Mungu sikuzote penye uovu huwa anaufunua

  • @user-jk5ir4ke3z
    @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому

    Masikin

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 роки тому

    Pumzika kwaamani baba yetu magufurii watanzania tulikupenda Sana ila mungu kakupenda zaidy

  • @nuruelmada9570
    @nuruelmada9570 3 роки тому

    Mungu mkumbuke Mfungwa huyu

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 роки тому

    Unafiki mkubwa, maombi ya kujifariji

  • @wasuasi3331
    @wasuasi3331 3 роки тому

    .op

  • @vivanythomas1858
    @vivanythomas1858 3 роки тому

    Hayo maombi yamfikie

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 3 роки тому

    Rais

  • @biringanineregina3572
    @biringanineregina3572 3 роки тому +1

    Maombi yako yamenijenga sana huyu Mungu akutendeye kadiri utakavyo

  • @hassanbrashi7790
    @hassanbrashi7790 2 роки тому +1

    Your

  • @husseinchedi4954
    @husseinchedi4954 3 роки тому

    Tanzania mumejaliwa nahisi kama magufuli ogera baba ijapokuwa unamapungufu kama binadamu

  • @jenastephano2172
    @jenastephano2172 5 років тому +7

    Nimependa maombi hayo nami nasema ee mungu wa isaka,yakobo na ibrahimu mwinue raisi wetu popote dunian kwani anauchungu mkubwa na sisi watanzania nasi tunamwombea kila kila muda ili malengo yake na makusudi yake yatimie

    • @chrismasebo8732
      @chrismasebo8732 5 років тому

      Amina

    • @colletamgeni9196
      @colletamgeni9196 5 років тому

      Amina rais wetu

    • @robiwambura4327
      @robiwambura4327 4 роки тому

      Hi I ndo ushirikishaji jamii wa ukweli, live evidence. Hongera JPM, nchii hii haki irapatikana tu. Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri.

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 роки тому +2

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏❤😘

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому

    Hohooohoho nasika bwana ananiita nilisikia sauti ya huyu kaka EE roho ananiambia kitu gani kina ni fanya nisiwe na huruma kama magufuli?

  • @michaeljohn4839
    @michaeljohn4839 4 роки тому

    ninema raismagufuri kutembelea magereza hpngera kwa hilo

  • @happymadiva9940
    @happymadiva9940 2 роки тому

    Pokemon 0

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 5 років тому +4

    Kama.umeua.wewe.ufie.jela.wa.bakaji.vilevile.nduguzagu Tanzania

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 5 років тому +2

      Mungu husamehe kwasababu kila mtu ni mkosaji.Tuwe na moyo wa kusamehe hakuna mwanadamu ajuae kesho yake.Mungu akutie Imani uwe na moyo wa kusamehe.

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 5 років тому +4

    Amina

  • @genimaige6023
    @genimaige6023 5 років тому +3

    amina