#PART1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 сер 2023
  • #PART1: SIMULIZI ya KIJANA YASSIN ALIYESINGIZIWA KUMBAKA BOSS WAKE na KUFUNGWA JELA MIAKA 30....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 138

  • @globaltv_online

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @jacksonjamesndyabawe471

    Watu Wana roho mbaya sana.. Wote walio shughurika kuwakandamiza watu kuanzia leo.. Naomba mungu andaa adhabu juu yao

  • @user-cr7xy6tw5j

    Duuuuuh pole sana mwanangu mombe mungu usikate tamaa kumuomba mungu kila siku muombe mungu

  • @maimunahemedi6491

    Assalam aleikum, dua aliyoomba itamlipua siku moja, kwa sababu kamfanya mwenyezi mungu kuwa shahidi wa uongo wake

  • @user-uk7or9bd9x

    Pole sana na izi kazi selikali muwe nazo makini sana mana wengi wapo jela kwa kesi zakusingiziwa

  • @farajasallah2338

    Watoto wetu wa kiume wanapitia sana, Mungu awasaidie, nimeumia sana

  • @WigiberthiMutahaba

    Pol xan kaka ang hao walio kufanyia hv watapew adhab na mwenyenz mung pole xan dady❤,,

  • @JumanneRashid-kr2nv

    Sio haki ata mungu apendi mtu mzima Ivo unabakwa vp mungu akulaani sana

  • @user-ip7rq4ro9w

    Pole sana kk 'ngumu ile natokeya congo gm

  • @magrethmbangama1199

    Huyo mama ana dhambi kubwa sana,na wote wanaoshiriki dhambi hz mmelaaniw nyie na vizazi vyenu,maana mwenye pesa ananunua haki ila Mungu yupo hakimu wa haki.

  • @AishaOmary-fl8qo

    Mwenye kusubiri yupo na mungu Allah akufungulie rizki zako kaka

  • @MohamedAly-zp3zh

    Duniani watu wana mazonge Allah atufanyie wepesi, nimeshaona interview moja ya huyu jamaa kafanya Mbengo TV imeruka Julai, 2021 anajitambulisha kwa mtangazaji kuwa ni mzaliwa wa Bagamoyo Mapinga na alikua akiishi na huyo mama kinondoni... kwenye hii amezaliwa Kilwa na anaishi Chamazi inatia ukakasi kidogo kama mtu anataka kusadia lakini maelezo yako tofauti inatia shaka.

  • @Anoldi-yj7mf

    Muombe mungu sana maana hakuna kisicho na mwisho amini Mungu yupo majaribu nimtaji

  • @VeronicaMarsel

    Pole Sana chaliingu mungu atalipa

  • @priscamagambo5320

    Yani mpaka nashindwa niandike Nini,Ila Mungu ni hakimu wa haki,pole sana

  • @AwzaMstafa

    Pole sana mdogo wangu

  • @PAUlWEKESA-de6tb

    Pole sana brother yangu

  • @user-qs1ii7vq7w

    Pole Sana kijana!