Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 кві 2019
  • JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Wote Mchangie Msikiti'
    Wakati Rais JPM akiendelea na ziara yake ya Kikazi mkoani mbeya ameamua kuwachangisha fedha mawaziri, viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo na Mchungaji wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri mkoani mbeya mchango wa ujenzi wa msikiti ambao umebomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara, ikiwa ni baada ya kuongozi wa msikiti huo kumuomba Rais JPM Msaada wa mchango kwaaajili ya ujenzi huo.
    #ZIARAYAMAGUFULI
    www.youtube.com/watch?.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS:

КОМЕНТАРІ • 191

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 роки тому +25

    Yaani nabaki naumia nakulia kila wakati nakukuombea dua kiongozi wetu MWENYEZI MUNGU akuondoshee adhabu yakabri akuweke mahali panapostahiki kwa REHMA zake nshaaĺlah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mathayodundo5433
    @mathayodundo5433 3 роки тому +28

    Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele john pombe magufuli

  • @zainabtanzanian7141
    @zainabtanzanian7141 3 роки тому +18

    Alhamdulillah Allah Kareem amfanyie wepesi rais wetu JPM.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 роки тому +21

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому +19

    😭😭😭😭😭wallah mimi nashindwa hatakusema Neno kilanikiiona sura
    Yahuyubaba moyounakataa kuamini .kilichotokea kizuri hakidumu kwakweli

  • @alakhyissa1469
    @alakhyissa1469 5 місяців тому +7

    Innalillahi wainna ilaihi rajiun... Allah akujaalie kauli thabiti na akumulike ktk kiza, akusamehe kwenye mapungufu yako, akuangazie nuru kwenye kaburi lako. Hakuna mkamilifu ndani ya hii Dunia, ila matendo yako yalidhihirisha imani yako. Allahu ya alam..😢😢😢

  • @user-cq5dx1vr2p
    @user-cq5dx1vr2p 8 місяців тому +8

    Kaburi lako liwe ni miongoni mwa makaburi yenye nuru 😢..Allah azid kukurehemu Aamiin

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 роки тому +25

    Huyu kweli alikuwa mtumishi wa Mungu, RIP mpendwa JPM

  • @jinaabdullah4107
    @jinaabdullah4107 3 роки тому +27

    Hatutakusahau milele kwa wema wako Mungu ndiye muhukumu wa nyote na sisi tuko nyuma yako

  • @ramadhanichalachala549
    @ramadhanichalachala549 3 роки тому +16

    Allah atakuripa Magufuri kwa mazuri uliyowatndea mazuri Watanzania tutakumbuka daima JPM

  • @Jaytrentoxil
    @Jaytrentoxil 3 роки тому +11

    May Allah bless JPM with janatul firdhouse inshallah,Allah wabarik TZ na raise wa mfano wake

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 3 роки тому +9

    Sasa huu ndo wanaita udikteta kweli wazungu hawapendi maendeleo ya Afrika ila viongozi wetu wa Afrika tunajipendekeza Sana kwako Sky. JPM alikua shujaa wa Afrika Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @shaniaking7525
    @shaniaking7525 3 роки тому +30

    Ni maumivu makubwa sana kwa Tanzania yetu kupoteza mtu muhimu asiie na ubaguzi alie kua na upendo kwa watu aina zote,kweli vizuri havidumu😭 mungu amsamehe dhambi zake ampe pepo mwanga na raha ya milele tuseme amina kwa tunaomtakia rehma 🙏

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 роки тому +14

    Yaani hadi machozi yananitoka😭, hakuna Tena km JPM, Mungu akujaalie mahala pema peponi

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 роки тому +12

    Duuuu mm sinahata lakisema zaidi yakukuombea mungu Ailaze roho yako mahalipema peponi 🙏🙏🙏🙏

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 роки тому

      Kusema kweli ni raisi nizaidi ya mzuri sana lakini suala ya pesa hizo la mkristu au kanisa kutoka pesa kuienga msikiti lazima kuuliza mashekhe kwa jambo hilo NA pia kuingia peponi bila ya kutamka shada NA kuamini mtume mohamed maana dini yetu enaktaa kua mungu anaye mtoto

    • @shaggybubinza7715
      @shaggybubinza7715 3 роки тому

      @@alialamoudi9729 wewe una ubaguzi wa kidini.

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 роки тому +29

    Daah hatutakuja kupata kiongozi kama huyu jmn yaan inaumiza sana wallah 😭😭😭😭😭

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 роки тому

      Kabisa my acha watu bado twaendelea kumlilia magufuli 😭😭😭

    • @j.bjacobbasubi2187
      @j.bjacobbasubi2187 6 місяців тому

      Ka muulize Samia kwamba wali mfanyiya Nini JPM

  • @dullahsharif6739
    @dullahsharif6739 3 роки тому +9

    Pum, ika kwa Aman baba din n Iman ila kwa Imani uloionesha Allah atakulipa uko ulipo amina😭😭

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 7 місяців тому +5

    Aikuwa hachagui uislam wala ukiristo mungu akuweke

  • @bosheabdiproductionmediace3653
    @bosheabdiproductionmediace3653 5 років тому +5

    I Love You guyz watu ya tanzania mko na uthu ya watu wallahi love you from Nairobi kenya

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 5 років тому +8

    Daah nimecheka sana JPM alivyo tuchangisha tusio sali kubalance mahusiano na kupunguza udin au umimi

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 3 роки тому +8

    Jamani sizani kma atatokea kiongozi shupavu kma huyu hii ilikua nishani pekee ilitokea kwamungu

  • @bosheabdiproductionmediace3653
    @bosheabdiproductionmediace3653 5 років тому +3

    Ma sha Allah mtu ya watu may God bless you

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 3 місяці тому

    Masha Allah mzee barakat magufuli Allah amrehemu ampe the highest janah paradiso

  • @AfricanusBruno
    @AfricanusBruno 2 місяці тому

    hakika nikiziangalia hizi taarifu huwa naishia kuumia tu ila kazi yake Mungu haina makosa bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amen

  • @masamakisea7135
    @masamakisea7135 3 роки тому +5

    kuondoka kwako umeniachia mojonzi mengi moyoni mwangu
    mungu akulaze pema peponi

  • @kharashbabar7393
    @kharashbabar7393 3 роки тому +2

    Allah...akulaze mahalipema...peponi...Mh.Magu

  • @samirnasir3408
    @samirnasir3408 25 днів тому

    Bwana Ametoa, Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe. You I'll always be in our heart

  • @batromeombogo7131
    @batromeombogo7131 5 років тому +5

    Nimeipenda sana hii, NAKUPENDA SANA RAISI WANGU

  • @rukiahussein7690
    @rukiahussein7690 3 роки тому +4

    Mungu atakulipa kwa mazuri yako uliyofanya enzi za uhai wako.

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому +2

    Mungu akumumuzish Kwa amani

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b 9 місяців тому +1

    Mi ni muislamu lkn huo moyo mi sina wa kuchangia kanisa, lkn magufur daah! Allah amlipe

  • @ErastoMwailumbe
    @ErastoMwailumbe 3 місяці тому

    Daah mjomba mungu huyu jamani kwann usingechukua majizi yanayotuumiza saiz jamani daah mungu alitoa namungu katwaa jina lake bwana yesu kristo limidiwe

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 3 роки тому +4

    Baada ya kulia sasa nacheka kwa kua umemaliza kazi yako ya utumishi kwa watanzania

  • @hadijaabdul8765
    @hadijaabdul8765 3 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sina cha kusema jamani eee mungu

  • @shebbynammurun4049
    @shebbynammurun4049 3 роки тому +3

    Alikuwa na mazuri yake,
    Sishindwi kusifia panapobidi kutoa sifa,...

  • @nasibumajala8891
    @nasibumajala8891 5 років тому +2

    Mungu akubariki rais wetu

  • @dicksonnoel3216
    @dicksonnoel3216 3 роки тому +1

    Hakika huu ndio uzalendo na ndio tunu ya taifa letu la tanzania tulililelewa kwa upendo na tunaishi kwa upendo bila kujali makabila yetu na dini zetu hii ndio tanzania ambayo mababa zetu waliiishi na kuijenga na kuipigani mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa

  • @halidjaphary3048
    @halidjaphary3048 3 роки тому +1

    Kweli rais we2 uyu alikuwa chuma chuma offcouse Tanzania nzima hamana rais kama huyu wote walopita hamna kama rais huyu mungu amuhifaz mahali pema peponi jembe jembe umeondoka chuma bado likuwa twakuhitaji lakin mungu kakupenda

  • @softtlipssTv
    @softtlipssTv 9 місяців тому +1

    📺📺📺📺📺📍 from KENYA 🤴🇰🇪

  • @salumabdallah9445
    @salumabdallah9445 3 роки тому +3

    Yuko wap Rais kma huyu mungu akupe kila la heri na akupe aman cku ya kiama

  • @maryamdunga3896
    @maryamdunga3896 3 роки тому +2

    🤣🤣baba ulibarikiwa wallah Allah akuhifadhi

  • @hassanhussen2571
    @hassanhussen2571 3 роки тому +2

    KWA ninavyo hisi rais wetu alikuwa anaelekea kusilimu huyu dah;!

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 3 роки тому +1

    Mungu aipokee roho yako shujaa

  • @MosiMindawa
    @MosiMindawa 3 місяці тому

    Alla akufanyie wepesi kwenye kaburi lako nshaaallh

  • @frankarchie3354
    @frankarchie3354 3 роки тому +1

    Duh nimeipenda hii

  • @mageroahmed3358
    @mageroahmed3358 8 місяців тому +1

    Kanisa lina changia msikiti hi ni Africa. Magufuli

  • @user-sm5ij4zm7s
    @user-sm5ij4zm7s 7 місяців тому

    Masha Allah

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 4 місяці тому

    Kama ilitokea mkono wa binadam kumuondoa Magufuli hapa Duniani hakika laana ya watanzania haitawaacha salama na vizazi vyenu

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f 9 місяців тому +1

    Amali yako utaikuta kwa Allah baba,Insha Allah

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 роки тому

    Daah siwez kumlaum mungu lakin tumeondokewa na shujaaa wa kweli.. Mungu tunaomba uwasahe marehem wote walio tangulia kuja Kwako na utusamehe na sisi pia

  • @luismchayano4796
    @luismchayano4796 9 місяців тому

    Bado upo Moyoni mwangu nitaku kumbuka daima. Pumzika kwa amani baba yetu mpendwa. Bado tunakupenda sana. Hakika kivuli chako kitadumu milele

  • @badruyahaya5337
    @badruyahaya5337 4 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kaburi laki kwa sadaka hii

  • @ericooh
    @ericooh 5 місяців тому

    Hii ingekuwa nchi Fulani ni tingatinga asubuhi ,may God bless Magufuli

  • @allymkangara5695
    @allymkangara5695 3 роки тому +1

    mungu akulipe kila jema inshaallah

  • @user-eq8kv2mu8w
    @user-eq8kv2mu8w 8 місяців тому

    Afrika imepoteza siyo wa tanzania pekeee mimi ni mkongomani drc 2023 niko mzaliwa wa mtaa wa BENI. Kwa sasa ni naishi sasa kwa jimbo la ituri bunia ville

  • @halidiyasin7485
    @halidiyasin7485 5 років тому +5

    Jpm , ongoza mpka kifa bb

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 роки тому +2

    Magufuli kweli ataingia PEPONI bila kupingwa

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 3 роки тому +3

    Nikion hii arafu ndoumitutokaa 😭🙆‍♀️💔

  • @AshaMsonde-os6jb
    @AshaMsonde-os6jb 3 місяці тому

    Kaburi lako liwe riyadha li jaanat siku ya hukumu

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 5 місяців тому

    Mungu akulaze mahali pema peponi 🙏

  • @martinmutie3941
    @martinmutie3941 4 місяці тому

    This was a leader really God grant you peaceful rest

  • @khasimgange4213
    @khasimgange4213 3 роки тому +2

    Mola akubariki

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 3 роки тому

    Mashaaaala

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Місяць тому

    Allah mkubwa nilikuelewa sana na nikiona hizi video zako naumia sana

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 3 роки тому +1

    Huyu alikuwa kiongozi kweli wa watu.

  • @user-gy3xi7fw5j
    @user-gy3xi7fw5j 9 місяців тому

    Dar pumzkatu baba,Saiv alidhi inapolwa namajizi wanawo jifanya niviongoz na niwazalendo kumbe nimajambaz

  • @lupamwakyusa1582
    @lupamwakyusa1582 9 місяців тому +1

    Rest in easy 😢😢😢

  • @jumahamad117
    @jumahamad117 3 роки тому +1

    Magufuli hujafa kwasababu kilasiku huwa tunakuona nakukusikiliza uyasemayo

  • @khadijaothman990
    @khadijaothman990 3 роки тому

    Mashaallah

  • @sengendotwaha9333
    @sengendotwaha9333 3 роки тому +2

    Mungu -rip magufuli

    • @georgemtambo7578
      @georgemtambo7578 10 місяців тому

      Ni kuwa alipokuwepo tuliona Kama kawaida tu,na Ni haki yetu,lkn hayupo Ni maumivu ,Mungu akupe pumziko la milele baba yangu,na rais wangu 😭😭😭😭

  • @philipo7929
    @philipo7929 8 місяців тому +1

    DAH HADI RAHA BAS NDO IVO BANA

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +1

    TUMEPOTEZA feza yenye thamani kuu daah Jina la bwana lihimidiwe

  • @AsaniOmari-xp5qs
    @AsaniOmari-xp5qs 9 місяців тому

    Mungu mrehemu makufuli

  • @Roobkii_Gaalkacyo
    @Roobkii_Gaalkacyo 3 роки тому +1

    Watanzania mungo awabariki Hakuna mtu kama magufuli

  • @JAMESMETHOD-rd2bu
    @JAMESMETHOD-rd2bu 4 місяці тому

    Baba Jon mbombe magunfu mgu akuagazie nulu namwaga wamilele😢😢

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 5 місяців тому

    Mtumishi wa Mungu apumzike kwa amani😥😥

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 3 роки тому +2

    Pumzika kwa amani jemedari wetu

  • @RahibuMreta
    @RahibuMreta 11 днів тому

    ❤❤❤

  • @NgaboLee
    @NgaboLee 8 місяців тому

    Niko Rwanda alakini mweshimiwa Raisi Magufuri arikua mtakatufu duniani.RIP😭😭

  • @masumbukoclement4582
    @masumbukoclement4582 10 місяців тому

    Sinakitu Cakusema Mweshimiwa Nimipango Yamungu 🙏🇹🇿❤😭😭😭😭

  • @esteredward6980
    @esteredward6980 3 роки тому +3

    Mani atakae ziba pengolsko?

  • @sapricatermaregeri6571
    @sapricatermaregeri6571 9 місяців тому

    Kiukweli wa Christo wanaupendo.Bali watu hawana shukrani.Hakuwa na ubaguzi,

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 10 місяців тому +1

    Allah amsamehe makosa yake

  • @reginamashauri3884
    @reginamashauri3884 3 місяці тому

    Hatutapata kiongozi mahili kama jpm

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 10 місяців тому

    HATUKO NAWE JPM KIMWILI,ILA KIROHO TUKO PAMOJA.HUWEZI KUONDOKA KWENYE MIOYO YA WANANCHI WANYONGE.😭😭😭😭.

  • @jumamakamba2212
    @jumamakamba2212 8 місяців тому

    Dah

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 місяці тому

    Kiufupi msikiti ushamaliza ❤

  • @salehmohammedsaleh7015
    @salehmohammedsaleh7015 3 роки тому +1

    Tutakukumbuka daima hakuna mfano wake dunia hee

  • @user-np5rp2fi5t
    @user-np5rp2fi5t 6 місяців тому

    Mungu azidi kukupa pumnziko la milele

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 10 місяців тому

    Ivii kweri hatuji yaona haya tena eeh mwenyezi mungu utujarie tuone tena ha kama robo ya matendo kama haya

  • @andreamassay7950
    @andreamassay7950 10 місяців тому

    Dahhhh ila kazi ya mungu haina makosa Ila inauma sana jaman

  • @masumbukoclement4582
    @masumbukoclement4582 10 місяців тому

    Mungu Yupo tu 😭😭

  • @user-qv9pf3ti7y
    @user-qv9pf3ti7y 7 місяців тому

    Rip magufuli hakuna alie kamilika ila Allah akupunguzie azabu ya kaburi na upumuzike kwa amani

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 2 місяці тому

    mzee wa kumwaga fedha na kuwajali watu wake

  • @jokhagadafy2144
    @jokhagadafy2144 3 роки тому +2

    Baba magu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭daaaaaaaa

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 10 місяців тому

    Magufuri safi

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 2 роки тому

    Kiongozi huyu amedumisha amani upendo ukarubu wawananchi hats ikulu wanyonge wameingia nakula nakufurahi na ikiwa na wanyonge kwamana ikulu no ya wanyonge

  • @iddikambi1015
    @iddikambi1015 3 роки тому

    duuh mama ambae amejitoa kuchangia pesa sh 2ml pia nae ashukuliwe sanaaa

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 9 місяців тому

    Rais wangu bora wa muda wote JPM

  • @MarieHeleneEtienne-bf9ub
    @MarieHeleneEtienne-bf9ub 3 місяці тому

    mzee wa maneno mzee wa vitendo. sio wale mbumbumbu