MFUNGWA Amshtaki ASKARI Kwa MAGUFULI - "ATATUUA ONDOKA NAE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 122

  • @ellensamson6787
    @ellensamson6787 5 років тому +30

    Mungu akubariki rais wetu mpendwa kwa kusikiliza kero za wafungwa, ni agizo la mungu, amen

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 5 років тому +31

    Kama kweli ana moyo wa kumsaidia amuachie huyo mfungwa. Ni atateseka. Hata kama kweli huyo askari ataondolewa. Ila bado wapo wenzake humo watamfanyia ukatili usio na mithili huyo mfungwa. Roho imeniuma sana 😭😭😭

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 років тому +18

    Hawa watu wenye mahitaji maalum huwa wana akili sana yaani..ukiwaangalia vizuri unaweza kuwaona kama hawajakamilika.

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 5 років тому +18

    Usimwache huyuuuu ukimwacha utaenda kujibu kesi ya mauwaji kwa mungu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 років тому +3

    Nimekumbuka Mbali sana Butimba kituo changu cha kazi miaka hiyo

  • @lilianmollel5355
    @lilianmollel5355 5 років тому +3

    Kuna mambo unafanya nikikuchukia ntakua ndugu yake shetan, Mungu akuhifadhi Rais wa Tanzania.

  • @innocentkimata7274
    @innocentkimata7274 5 років тому +8

    Huyo mfungwa atapata tabu sana baada ya mshua kuondoka

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 років тому +32

    Duuu!!!!kaka utapigwa Leo nihatar.ila mungu akusaidie.umesema ukweli.

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 5 років тому +18

    Umeongea ukweli ila cha moto utakiona hiyo sura yenyewe inaogopesha

  • @mugapro
    @mugapro 5 років тому +12

    Duuuuuh Ujasiri wa chuo kikuu huu Daaah Mungu awe nawe

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 років тому +6

    😪😪😪😪😪😪dah nyinyi roho inaniumaaa dah😪😪😪😪😪

  • @Mike-bq2cb
    @Mike-bq2cb 5 років тому +1

    Sio vizuri akii kunynyasa wengine ni laana mbele ya Mwenyezi Mungu

  • @elishakimweri4349
    @elishakimweri4349 5 років тому +5

    Watendaji Wa serikali mtende kwa haki, maana huwez jua ni lini rais atatembelea ulipo, na ni Nani atapewa maiki na ataongea nn, hongera kwa ujasiri ulouonyesha, wasomi wengi tumeshindwa

  • @daudcosmas1704
    @daudcosmas1704 5 років тому +1

    Huuu msamaha sijui kahuska nao

  • @hassanmohammad9247
    @hassanmohammad9247 5 років тому +4

    naomba kazi ya kumuadhibu huyo afande

  • @fikirinyangasi7973
    @fikirinyangasi7973 5 років тому +2

    Leo utakoma leo

  • @saidseif7469
    @saidseif7469 5 років тому +3

    Mungu amsaidie huyu mkaka.

  • @yonajonathan5402
    @yonajonathan5402 5 років тому +4

    Huku kituo cha police kunawatu wamefungiwa Leo ni miez mitatu hakuna hatua wanazochukuliwa wanaombwa tu pesa usipokuwa nazo utakaamo mpaka zipatkane OCS ID achunguzwe

  • @obadiakurwijila4165
    @obadiakurwijila4165 5 років тому +16

    MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU MUNGU ATAKUSIMAMAMIA

  • @rokasasamila1117
    @rokasasamila1117 5 років тому +3

    duuuuuh mh musaidie jamA huyo asipigwe askari hypo Mbna hatendi hakiii

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 років тому +6

    Aisee Mungu akubariki sana jamani Mh raisi hadi nahisi kutokwa na machozi.

  • @yangoshatv5327
    @yangoshatv5327 5 років тому +6

    Fanya urudi muheshimiwa kumuona raia uyo

  • @jcome11
    @jcome11 5 років тому +2

    Kwakwekli inauma sana

  • @kambiyusufu3078
    @kambiyusufu3078 5 років тому +8

    Hahahaha leo hakulaliki biboko mwanzo mwisho uwiiiiii

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 років тому

    Mmmmmh!! Nyamboge kajiripua duuuuuuuh 👐👐👐

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 років тому +2

    Huyu leo anabakwa aisee

  • @pksailortz4404
    @pksailortz4404 5 років тому +5

    Ebwanaee huyo jamaa atakula lungu sio za nchi hii,,,,,. Maana uyo brother Afand sura yake yenyewe tuu yaukumu sura ya kazi(mwendo wa lungu mpaka kucheee)😏

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 5 років тому +1

    mweshimiwa Rais wetu, msamehe huyo mfungwa baba.

  • @realrealadventurestz3348
    @realrealadventurestz3348 5 років тому +2

    IMENIGUSA SAANA!! Mungu akusimamie kwa ujasiri wako na ukwel wako get up stand up for your rights!! Kama kufa kwa kusema ukweli let them kill u but GOD IS GOING TO PROTECT U

    • @alibakar4344
      @alibakar4344 5 років тому

      Addy Bernard Official UA-cam Channel

  • @aliadam4773
    @aliadam4773 5 років тому +1

    Huyu ni Mkurya

  • @mustomshuza4914
    @mustomshuza4914 3 роки тому

    mungu ndie muweza wa kila jambo humchagua kiongozi kwa mfano wake rais magufuti amechaguliwa na mungu kwa mfano wake naami ipo ck mungu atamleta korogwe kuwasikiriza wafungwa sio kila anae enda jela ni mharifu

  • @haridyblauda6033
    @haridyblauda6033 5 років тому

    Brother leo huna bahati wew

  • @evaristirazalo7459
    @evaristirazalo7459 4 роки тому

    Askali analia

  • @halfanmundo282
    @halfanmundo282 5 років тому +5

    dah yaan hapo mkuu akitoka tu huko nyuma balaa lake zaid ya depo

  • @christopherhaule908
    @christopherhaule908 5 років тому +4

    Uwiiii.....huyu kaka leo kazi anayo

  • @suzanatweve5857
    @suzanatweve5857 5 років тому +5

    😂😂😂😂kimenuka huyo mfungwa ajiandae kuchezeshwa kwaito gerezani

  • @bonifacepontian1391
    @bonifacepontian1391 5 років тому +2

    Duh uyo askar sura km amchorwa vle ahahahah

  • @shaibuselemani2135
    @shaibuselemani2135 5 років тому

    Huyo mfungwa kazi anayo

  • @mendempoletv7579
    @mendempoletv7579 5 років тому +4

    Daah nimejikuta nacheka kama mazuri 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shakilajohn1257
    @shakilajohn1257 5 років тому +3

    Ana mihuli ya ikulu wewe umebaki na nn

  • @jamesmwaura774
    @jamesmwaura774 5 років тому

    Kehenjo

  • @fettyramadhan2121
    @fettyramadhan2121 5 років тому +2

    Huyu anajiamn nn

  • @dechaggagirl6173
    @dechaggagirl6173 5 років тому +1

    We kalikenye😁😀😂😂😂

  • @turibamweali8661
    @turibamweali8661 5 років тому +2

    Huyo atawuliwa ! Kwani amesema ni kundi

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 5 років тому +1

    wanaweza wakamdhuru jamani mwonee huruma wasije wakamtoa roho kwa ukweli aliokupa.

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 років тому

    Mungu akulinde kaka angu

  • @TonyMureithi
    @TonyMureithi 5 років тому +2

    Rais Magufuli ni Rais wa kipekee...

  • @salmaaman2813
    @salmaaman2813 5 років тому

    Ameniliza HUYU baba jaman..

  • @nehemiamalongo5247
    @nehemiamalongo5247 5 років тому +2

    Mhe: Magufuli huyo mfungwa aliesema ukweli mwachie huru vinginevyo atachomwa sindano ya sumu binadam wanambinu nyingi kwa vyovyote watampoteza duniani

  • @masanjapitta2573
    @masanjapitta2573 5 років тому

    abery stephany Dom nyanda

  • @isayapt5685
    @isayapt5685 5 років тому

    Hahaaha Wapi

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 роки тому

    Ukisikia kujitoa kafar ndio huku Sasa albino w watu mwenyez mungu mlinde

  • @masarukaswalala8089
    @masarukaswalala8089 5 років тому +2

    Mungu awalinde ote wenye haki raisi tusaidie ata baadhi ya makampuni hewa yapo tuaitaji uyatumbue baba yetu ( )

  • @daliamtanganaki6687
    @daliamtanganaki6687 5 років тому +2

    Mmmmh hatari aisee , kweli madaktari nao wanafanya mauaji jmn, ewe rais wetu msaidie huyo kijana atoke humo ameshaogopa

  • @ramerhunter9682
    @ramerhunter9682 5 років тому +1

    Ajali ya tenki ya mafuta mbagala langi tatu

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 5 років тому +1

    Hahaaaa hivi magereza kunakuaga nakale kakitu ka jamaika et?

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 5 років тому

    Duuu hii hatari nimedondokwa na chozi kwa kweli.

    • @danielshunda4410
      @danielshunda4410 5 років тому

      Kama.kweliiii.kumbe.kampeniii.siasa.mchezoo.mchafu

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 3 роки тому

    Maskini pole nimesikia kulia jamani msaidieni jamani😭😭

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 років тому +1

    Kweli baba tembelea Magereza zote nimekumbuka msemo wako kuwa wakishindwa kukutoa bc wanakutafutia sababu nyingn ukikoloma wanasema unaumwa kifafa duu mpk madoctar wanashiriki kuuwa wafungwa mungu yupo ngj tuone huko mbele

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 роки тому

    Watamuuuwa albino maskin

  • @bintisalma1263
    @bintisalma1263 5 років тому +4

    nchi inaongozwa kwa kiki siasa imefunika muzik

    • @dottopeter3187
      @dottopeter3187 5 років тому

      Hata nini kifanyike,, u need to appreciate what is good.

    • @saphytv546
      @saphytv546 5 років тому

      Kuwa makini na kauli zako

  • @naomiabel582
    @naomiabel582 5 років тому +1

    Tv ya taifa inakopi video n

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 5 років тому +1

    mm namuomba rais amtoe huyu.jamaa.

  • @chrisbeka6243
    @chrisbeka6243 5 років тому

    Zakati

  • @godwinmondpltnmrweyemamu560
    @godwinmondpltnmrweyemamu560 5 років тому

    msaidie jamani mkuu

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 5 років тому +1

    Mungu wangu huyu asipotolewa atateseka sana. Kama kweli rais ni mtu wa haki amuachie huyo mlemavu wa ngozi.

  • @hadijamwaye1099
    @hadijamwaye1099 5 років тому +3

    Hahaha ety anakaa na mihuri ya ikuru we ukae na nn hahaha dah nmecheka kwakweli lkn mwisho mchozi umenitoka 😭

    • @elizabethmeru3256
      @elizabethmeru3256 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kama mazuri 😂😂😂

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 3 роки тому

    Maskini 😭😂😂

  • @santielpascal9777
    @santielpascal9777 5 років тому +1

    Police sura km sokwe utajuta akipata chance bwana afande

    • @imeldabamba3779
      @imeldabamba3779 5 років тому

      Sura yake km Idd amini dada,hafu tena ukimuangalia sn Huyu askari kafanana na yale masokwe MTU😁😁🏃🏃

    • @kambiyusufu3078
      @kambiyusufu3078 5 років тому

      Santiel Pascal Dah leo mzee utaisoma namba akiludi uyo askali heee

    • @makarangaj6844
      @makarangaj6844 5 років тому

      Wew fara Santiel Pascal sio polisi, huyo ni askari magereza mmekariri tu kila askari ni polisi. Yan kwakuwa mlishajenga dhana potofu vichwan mwenu kuhusu polisi imewafanya mmeshindwa kutofautisha askari wa majeshi yenu badilikeni msiishi kwa kukariri.

    • @alibakar4344
      @alibakar4344 5 років тому

      Santiel Pascal

  • @dottopeter3187
    @dottopeter3187 5 років тому +1

    Wewe ndo unapaswa sema unaitaji mabadiliko

  • @deoshine777
    @deoshine777 5 років тому +2

    lema mboye sugu walisema kinachoendelea uko

  • @richarddastan7506
    @richarddastan7506 5 років тому +3

    Duuuuh, Mungu awe upande wako bro. Maana hiyo sura ya kaka askali uliekua ukimshtaki, ni chachu balaa. Cpati picha akipata mwanya wa kukukabil. heheheeee

    • @obadiakurwijila4165
      @obadiakurwijila4165 5 років тому

      Richard Dastan anaweza akampiga risasi kwa madai alijaribu kutoloka janja ya askari hiyo

    • @richarddastan7506
      @richarddastan7506 5 років тому

      @@obadiakurwijila4165 acha tu

  • @mimaabashir3178
    @mimaabashir3178 5 років тому

    Kaka utachapwa mpaka uwe mweusi

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 років тому +2

    Muone surayake

  • @makariosnkya
    @makariosnkya 5 років тому

    Dogo mbovu.