RAIS DKT MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAFUNGWA NA MAHABUSU KATIKA GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лип 2019
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali

КОМЕНТАРІ • 473

  • @user-lw3pq5yh9d
    @user-lw3pq5yh9d 5 місяців тому +13

    Yan huyu mzee hyu ni1kwa1 pepon kabisayan❤❤❤❤jonh

  • @stephanojames2935
    @stephanojames2935 Рік тому +17

    Mungu ailaze roho ya marehem magufuli mahalipema pepon

  • @maramegamahega1991
    @maramegamahega1991 9 місяців тому +27

    Mlio mkumbuk magufuri 😢😢😢 tujuane

  • @giftladis
    @giftladis 4 місяці тому +6

    Tumtoe wapi raisi kama huyu kwetu Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 😭😭😭

  • @MarryLinors-hj7jb
    @MarryLinors-hj7jb 9 місяців тому +6

    Ila huyu raisi alijitoa sana wala hakuogopa kua angeweza hata kudhuriwa na hawa watu,, Magufuli endelea kupumzika kwa aman😭😭😭ndo Nyerere wa pil

  • @msafirinampya8986
    @msafirinampya8986 Рік тому +17

    Leo nimemkumbuka Sana mheshimiwa mpaka machozi yamenilenga mungu amlazemahalipema peponi

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 Рік тому +12

    Yuko wap uyu rafiki yangu what a lovely president 😭

  • @japhetmalahuleokilangi9872
    @japhetmalahuleokilangi9872 5 років тому +15

    Afande Kaufyata Mkia Hahahaaaa Chezea Magu Wewe

  • @zuberigwakula8531
    @zuberigwakula8531 5 років тому +16

    Nimejikuta naliatu kiukweli

  • @julaimalidadi6394
    @julaimalidadi6394 10 місяців тому +7

    Kukosa ajira ndoo kulifanya nione ww mbaya lakini ilikuwa ni maslahi ya kwangu na ya Kijinga ,,, hakika ulikuwa bora basiiii leo nmetoa machozi

  • @mourinhonyamkekwa3568
    @mourinhonyamkekwa3568 11 місяців тому +11

    Raisi wangu umelala chato,kwa sasa tunaishi kama wakimbizi kwenye nchi yetu

    • @user-so2si9dt9u
      @user-so2si9dt9u Місяць тому

      Pole baba makonda anakuja Tena huyu mwingine tangu aingie madarakan nikuzurura tu makonda anakuja baba kuwa na aman

  • @grease7635
    @grease7635 Рік тому +8

    Hakika mungu hajawah kuwaacha walio wake mungu nimwaminifu anatenda Kwa wakat tusio udhan.

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 років тому +12

    Umemuuliza swali la kiufundi huyu mfungwa wa Mwisho. Kama mguu wa tatu unafanya kazi.

  • @olivasumundi9227
    @olivasumundi9227 Рік тому +9

    Tunapenda kizazi Chalo kikurithi na kifanye Kama unachokifanya RIP my 😂🤣😭❤️❣️💘💛💚 President

  • @kaburamechack4071
    @kaburamechack4071 Рік тому +9

    Kweli tulimpoteza mutu muhimu katika taifa letu Mungu Amulaze mahali pema 🙏🙏🙏🙏

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 11 місяців тому +5

    Wasemaji wote mbele ya Rais Magufuli aliyetuondokea nimepatwa na Uchungu wa Machozi Rais wa Wanyonge pumzika kwa Amani Wananchi babo wanakukumbuka kwa wema wako

  • @JohnNjengaCOCO
    @JohnNjengaCOCO 5 років тому +10

    Magufuli mungu amulinde kweli. Gereza za hapa Kenya zaidi ya asilimia 50% ya wafungwa ni kusingiziwa au kutopata lawyers wa kuwatetea vilivyo.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 років тому +13

    Muheshimiwa Raisi ameongea kwa hekima kubwa sana aiseeh. Mungu amuongoze vyema.

  • @neemagabrieli-ff4mq
    @neemagabrieli-ff4mq 11 місяців тому +6

    Jaman namkumbuka babayetu wa taifa rais john pombe magufuli tunakukumbuka sana laiti ungekuepo leo

  • @abubakarmwita6974
    @abubakarmwita6974 Рік тому +5

    Mungu akueke mahali pema na naomba kizazi chako kiwe na muongozo kama wako

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 Рік тому +11

    Rest in peace mkuu....Mungu Baba naomba utupe Raisi kama huyu wa Tanzania.....Aamiin

  • @gastoenock3020
    @gastoenock3020 7 місяців тому +1

    Mungu amlaze marehemu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mahali pema peponi amina

  • @kidrajuma4092
    @kidrajuma4092 Рік тому +7

    wema awana maisha cku zote

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 Рік тому +4

    Huyu ndie Rais siyo sasa Raisi hajui hata watu wake wanaamka vip

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 Рік тому +5

    MUNGU tusaidie tupate kiongoz kama huy anaye sikiliz kero za watu masikin

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 5 років тому +14

    Hii inatufundisha mengi lakini kikubwa tuamini kuwa kiongozi sio kazi ndogo...Respect to you my President

  • @user-es6rf4jq9w
    @user-es6rf4jq9w 10 місяців тому +12

    Mungu akusamehe makosa yako kutoka ndani ya moyo wangu na akupe pepo unayo stahili kiongozi wa Africa

  • @kellennehemiah2534
    @kellennehemiah2534 5 років тому +9

    Mungu aendelee kukutia nguvu baba wa baba la Taifa na uzao wako ukabarikiwe

  • @fadhilikaphizi7772
    @fadhilikaphizi7772 2 роки тому +7

    Pumzika Kwa amani Mzee wetu

  • @mkangyailutashaggy7207
    @mkangyailutashaggy7207 Рік тому +3

    Moyo unaniuma mno, tupo huk tuna furahia maisha wezetu wanalia mno, Mungu wape wepesi wanao

  • @safari5774
    @safari5774 Рік тому +7

    We will never forget you

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 11 місяців тому +2

    Natumaini kazi aliyoacha Rais Magufuli wakati wa Uhai wake inaendelea kufanyika kama aliyosema alipokuwa hai

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 Рік тому +11

    Nothing to say ila tamkumbuka sana mzee magu mungu ampunguzie makosa🙏🙏💯💯

  • @bettymapesa34
    @bettymapesa34 Рік тому +3

    😭😭 ingekua inawezekana kurud we baba ningemuomba Mungu kwa bidii zote ili urudi tena Dunian

  • @user-oi8yj1wy7t
    @user-oi8yj1wy7t 9 місяців тому +1

    So now Magufuli had tojust leave us with tears. I hate to question my God, but God are we so cursed not to deserve such blessings of people like these ones? Kuna kipi tunaweza kifanya ee Mungu ili sasa adhabu yetu ifike tamat nasi pia tufurahie uongozi kama huu. Asante sana Tanzania kwa kutupa huyu ambaye Kenya na Afrika nzima tunamenzi sana.

  • @JumanneAbdallah-vp3vk
    @JumanneAbdallah-vp3vk Рік тому +3

    MUNGU akubaliki

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 Рік тому +5

    MAGUFUL ULIKUWA MWANAUME WA SHOKA

  • @StewartUkason
    @StewartUkason 3 місяці тому +1

    Sasa mtu amekamatwa Kwa ishu ya mafuta, halafu anapewa kesi ya mauaji...hii imekaaje ndugu zangu watanzania!? Tutampata wapi mtu kama huyu, ambaye Mungu alikaa ndani yake?

  • @IddiJumanne-po2pp
    @IddiJumanne-po2pp Рік тому +3

    Mungu ailaze roho ya marehemu peponi amen

  • @bettymapesa34
    @bettymapesa34 Рік тому +2

    Achen tu kwakweli huyu baba Mungu ampe pumziko la milele

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 років тому +6

    Umenigusa sana Rais JPM.
    Umejibainisha kuwa wewe ni Rais wa wanyonge na mtetezi wao.
    Barikiwe sana Rais wetu

  • @giftkitua9712
    @giftkitua9712 10 місяців тому +3

    No one like you baba😢😢

  • @c.e.omasasi5131
    @c.e.omasasi5131 Рік тому +7

    2022 November 😭 Rip my father John

  • @emmanuelmwamlima1027
    @emmanuelmwamlima1027 6 місяців тому +1

    DAAAH WE MUNGU KAMA ALIKOSEA MAHALI UNGEMPA HATA NAFASI YA MWISHO, KAMA ULIVYOMPA EZEKIEL, HATA HIVYO TUNAJUA WEWE NI MUNGU, NA KILA UNALOLIFANYA HALINA MAKOSE, TUNAKUSHUKURU HATA KWA MUDA ULIOMUWEKA KUWA RAIS WETU, HAKIKA MENGI TULIJIFUNZA

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Місяць тому

    Mungu wetu mwema tupatie tena kiongozi mwenye hofu ya kukuogopa wewe Mungu

  • @JohnNjenga-em4fd
    @JohnNjenga-em4fd 6 місяців тому +1

    True leader,chosen by God him self...

  • @salumumsike8175
    @salumumsike8175 5 років тому +4

    Jamaa anamuangalia vibaya sana mfungwa..

  • @jumakichamo1344
    @jumakichamo1344 5 місяців тому +1

    Huyo jamaa alieomba ni hatari sijawaah sikia,nasema sijawahi sikia.❤

  • @meshaksaidimusukuruiet-gc2zb
    @meshaksaidimusukuruiet-gc2zb 11 місяців тому +2

    😭😭😭mungu ailase mahali pema Peponi mbado nakupenda sana ❤❤

  • @vincentkadzomba3717
    @vincentkadzomba3717 Рік тому +2

    Hatutapata Rais kama East Africa nzima tunakutambua uliko 🙏 RIP Kiongozi

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 Рік тому +2

    Najisikia vibaya moyoni mwangu kwajili ya kifo Cha hiyu binadamu Bora zaidi kuwahi kuishi ktk taifa langu mungu wewe ndio unajuwa pumzika kwa amani

  • @joelmusyimi2565
    @joelmusyimi2565 7 місяців тому

    Huyu rais nilimpenda xan i wish angekuwa rais wa kenya was a man of God kabisa alichaguliwa na mungu

  • @willistonemdindi9898
    @willistonemdindi9898 9 місяців тому +5

    I have no question to ask you God you had a reason to take Magufuli ,am kenyan but this was the best African president continue resting in peace 🎉

  • @issabella1455
    @issabella1455 Рік тому +1

    Mweshimiwa rais makufuli mwenyezi mungu akulinde mahali pema peponi

  • @simontamba2189
    @simontamba2189 Рік тому +3

    Ulikuwa na uzalendo Baba Rip no one can replace you

  • @user-jm1kg4lu7b
    @user-jm1kg4lu7b 9 місяців тому +1

    Ilikuwa raha sana wakati upo rais wangu mpenwa❤❤❤❤❤

  • @JoshuaJackson-of5mi
    @JoshuaJackson-of5mi 29 днів тому

    Fundisho sana na kwa viongozi wengine alikuwa na hofu ya mungu huyu kiongozi

  • @salomeorango9041
    @salomeorango9041 Рік тому +2

    Huyu ndiye Rais halisi

  • @DenisOkuzi-je8jb
    @DenisOkuzi-je8jb 7 місяців тому +6

    Rest in power comrade rais John Pombe Magufuli. You were a blessing to us.

  • @DorcasManase-sp3ld
    @DorcasManase-sp3ld 11 місяців тому +10

    Laiti wangekuwa wanarudi ningeomba huyu arudi jaman, ila yote sawa mungu ampe maisha ya raha

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z 11 місяців тому +6

    Hakika Magufuli umetuachia majonzi makubwa. We really miss you. Tutakukumbuka daima. Haya mazuri hayazungumzwi ila wanatoa kasoro tu wamesahau kwamba hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu tu. RIP Magu.

  • @KelvinNassary-ld5yg
    @KelvinNassary-ld5yg Рік тому +11

    A long night!!! 😭😭😭 knowing that this can never be replaced!!! Its gone and its gone Glory to God!!!😭😭😭

  • @akilimalilisholukazige
    @akilimalilisholukazige 2 місяці тому +1

    mimi ni mkongomani ila tuta kukumbuka daima.

  • @user-dz1us2xw2s
    @user-dz1us2xw2s 5 місяців тому +1

    Ivikweri baba ameenda kuskojurikana rest in peace babanimekukumbuka duuuh 😭😭😭

  • @JoselineHokororo-ny3ke
    @JoselineHokororo-ny3ke Рік тому +2

    Tunakukumbuka sana,chema hakidumu

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 Рік тому +3

    Kuja kwangu hapa Ili wewe UINULIWE hahahahaha ila magufuli jaman😭😭

  • @wigoxfashionkiller8675
    @wigoxfashionkiller8675 4 місяці тому +2

    Rest in peace kiongozi wetyu

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 5 років тому +10

    MHESHIWA MM NINA OMBI ..WAFUNGWA WAFANYE KAZI NA PIA WALIPWE MISHAHARA KAMA WANAOFANYA KAZI URAIANI, WASAIDIE FAMILIA ZAO NJE ..MAANA KUFUNGWA NI KUNYWIMA UHURU TU ,LKN TUKIENDELEA NA MATESO JERA TUNAPOTEZA NGUVU KAZI.

  • @josephandrew8744
    @josephandrew8744 5 років тому +4

    Magufuli Oyeeee

  • @user-wh5gr3yw9s
    @user-wh5gr3yw9s 10 місяців тому +1

    This was a gospel God nionyeshe Mungu

  • @user-wh5gr3yw9s
    @user-wh5gr3yw9s 10 місяців тому +4

    This was a man of God

  • @AziziMsumba
    @AziziMsumba 10 місяців тому +3

    Mungu wajalie wote

  • @japharykassim6371
    @japharykassim6371 5 років тому +3

    Kwani hawa wanaojiita watetezi wa wananchi wanapotoka magereza mbona haya huwa hawayasemi?

  • @stevenbupamba4161
    @stevenbupamba4161 6 місяців тому

    Jamani hakuna Rais ambaye atavunja record ya huyu mwamba.Mungu ampumzishe kwa amani.Amepigana vita mwendo kaumaliza.Apumzike kwa amani.Amen

  • @eastleighphoto2833
    @eastleighphoto2833 7 місяців тому +1

    HE WAS A GOOD 👍 PRESIDENT

  • @jdwuodMuhuru
    @jdwuodMuhuru 5 місяців тому +1

    ''Hata sisi tuliopo hapa, ni wafungwa au mahabusu wa baadaye''. Ni ombi langu kila siku, siku moja ikiwezekana niwe Magufuli wa pili hapa duniani!!

  • @MichaelPaulTZ
    @MichaelPaulTZ 5 років тому +2

    Wakuu kazi nzuri, hizi title za video ingependea kama zingekuwa zinaakisi tukio husika ile iwe rahisi kuzitatuta kwenye mtandao, kuliko kuziita "Ikulu Tanzania Mubashara"

  • @amanihans5367
    @amanihans5367 Рік тому +2

    Dah ila.Magu asee Mungu amsamehe makosa roho ailaze mahali pema

  • @user-qv2hj9rc3f
    @user-qv2hj9rc3f 10 місяців тому +1

    Mungu aturehem maana tulikua na lulu tushndwa kuielewa haraka but hakika huyu alikua rais halali hatatikea mwingine

  • @ochiengbrian5065
    @ochiengbrian5065 10 місяців тому +7

    RIP from kenya we loved uuuuu

  • @hawamjungu3396
    @hawamjungu3396 9 місяців тому +1

    😢😢😢😢 kwa kweli tutakukumbuka daima

  • @festohaule1499
    @festohaule1499 8 місяців тому +1

    Magu bwana eti mguu wa 3 unafanya kazi 😅😅😅 mlemavu nae kasema alitomba daah...ila kiujumla inasikitisha sana lakini magu alikua rais wa wanyonge kweli..rip

  • @user-sq1mh5np8v
    @user-sq1mh5np8v 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤ lala kwa amani

  • @user-pt9kg9ri7r
    @user-pt9kg9ri7r 3 місяці тому

    God Bless Him ,Tanzania and Africa as a whole is mourning him

  • @user-ml4vn5zq9l
    @user-ml4vn5zq9l 8 місяців тому

    Mungu wetu tunashukl sana kwa rais john pia tunaomba utujalie rais mweny hofu ya mungu

  • @WegoroSofret
    @WegoroSofret Місяць тому

    Mwenyez mungu ilaze loho ya mpendwa wetu palipo pema

  • @Madmax_kingTz
    @Madmax_kingTz 9 місяців тому +8

    Nimepita kurudia rudia mambo yako mzee wewe hakika ulikuja kwa mipango ya MUNGU. Na kila kauli yako ulisisitiza tumtangulize MUNGU

  • @user-to6bf2jk8n
    @user-to6bf2jk8n 2 місяці тому

    😭😭 kama kweli Kuna mwanadamu anaehusika na kifo chako, kabla ya kufa kwake lazima alipie hilo😭😭

    • @user-so2si9dt9u
      @user-so2si9dt9u Місяць тому

      Vya ilikuwa kubwa sana kweke wote tutalejea huko

  • @rashidsaid678
    @rashidsaid678 4 місяці тому

    Mwenyezimungu amulaze pema peponi R.I.P Magufuli

  • @ShadrackYusuph-mu4xo
    @ShadrackYusuph-mu4xo 5 місяців тому +1

    Ase hyu alikua ni Rais wengne mtapita tu jaman haitawahi kutokea kumputa mtu kama Magufuri

  • @hamisimkongwe5035
    @hamisimkongwe5035 Рік тому +1

    Mungu akuzidishie pumziko la milele

  • @user-zo9wt8vx8c
    @user-zo9wt8vx8c 11 місяців тому +1

    Mbona maraisi wengine wasiige mienendo ya huyu kiongozi mpenda watu

  • @Nyaburyaofficial217
    @Nyaburyaofficial217 9 місяців тому +1

    Rest easy John pombe magufuli
    Mungu saidiya afrika utupe viongozi kama Magufuli

  • @rwizigirabienfait7185
    @rwizigirabienfait7185 Рік тому +3

    shujaa wa African ,wewe na mandela, sitawasahau hata kamwe

  • @MeshackMarwakihengu
    @MeshackMarwakihengu 2 місяці тому

    Mimi katika maisha yangu sijawahi kumpenda rais kwa kiwango kkubwa kama Magufuli

  • @scorahkuyava1834
    @scorahkuyava1834 Рік тому +2

    Tutakukumbuka daima babaaaa😭😭😭

  • @elizabethngowi6442
    @elizabethngowi6442 Місяць тому

    Pumzika kwa Ani mzee wetu,kiongozi wetu mpendwa.....tunakukumbuka Sana.

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 3 місяці тому

    😭😭😭 ilikua mtu wangu aki mingu airehemu roho yako jamani

  • @rosemuthoni1549
    @rosemuthoni1549 Рік тому +3

    Rip ntakapo fika mbinguni nimkose makufuli ntajua nmekosea jia ya mbinguni love from Kenya

  • @MwanaharusiJumanne
    @MwanaharusiJumanne 3 місяці тому

    Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele Amina 🙏🙏🙏