Umuhimu wa MUDA kwenye Mafanikio - Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2024
  • Je, unataka kujua siri za watu waliofanikiwa jinsi wanavyotumia muda wao? Jiunge nami katika safari hii ya kuelewa jinsi muda ulivyo rasilimali muhimu zaidi unayoimiliki.
    Usikose ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwenye channel yetu kwa maudhui zaidi yanayohusu maendeleo binafsi na mafanikio katika maisha na biashara yako. Bofya kengele ili upate taarifa kila tunapoweka video mpya.
    Acha maoni yako hapa chini na tuambie unavyotumia muda wako kwa ufanisi.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam #timemanagement #timemanagementskills #kenya #uganda #zanzibar

КОМЕНТАРІ • 21

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 2 місяці тому +3

    Ahsante sana kwa elimu

  • @skolastikadonath8210
    @skolastikadonath8210 2 місяці тому +1

    Asante boss

  • @nzizadezile2452
    @nzizadezile2452 9 днів тому

    Naomba biashara za mtaji mdogo wakuanzia milioni mojaa

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 місяці тому +1

    Asante brother

  • @MesiusKaroli
    @MesiusKaroli 2 місяці тому +1

    Asante sana naendelea kunufaika na elimu kubwa ninayo ipata kutoka kwenye mafundisho yako mazuri Asante sana mwenyezi mungu akutangulie katika kazi nzuri ihii

    • @MesiusKaroli
      @MesiusKaroli 2 місяці тому

      Naomba kujifunza jinsi ya kupangilia mfumo mzuri wa kibiashara ,taasis katika uongozi na usumamizi mzuri wenye tija

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Bila shaka kuna somo zuri linakuja juu ya hili

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 2 місяці тому

    Thanks

  • @JustusJackson-bl5gk
    @JustusJackson-bl5gk 2 місяці тому

    Naendelea kupata maarifa sahihi kwako asante.

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Karibu sana kaka, nisaidie kushare katika magroup mbalimbali

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 місяці тому

    Kweli UA-cam ni Chuo kikuu

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 2 місяці тому

    Hongera sana kwa elimu hii ila naomba ..... unielekeze namna ya kujipatia kipato ndani ya biashara ili nii gawe nitofautishane na biashara yangu .....kwa mfano napataje asilimia katika mauzo ya 200000. Ili nikate asilimia kwa ajiri ya kujitenga na bosi wangu ambaye ni duka .....naomba kwa utaalam maana nimechoka kuchanganya na kufanana na duka langu....

  • @asagospelmusician8859
    @asagospelmusician8859 2 місяці тому +1

    Nilizoea kusikia kwamba Mda ni mali, lakini sikua naelewa kwa ufasaha nini maana, asante sana mkuu kwa darasa la bila ada, ubarikiwe

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Asante sana mkuu, nimefurahi kusikia hivyo. nisaidie kushgare kwenye magroup mbalimbali

  • @shaddaadkengwah8619
    @shaddaadkengwah8619 2 місяці тому

    Elimu bila mipaka

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 місяці тому

    Na kuelewa ila ruhusu tuweze ku download naona zina kataa

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 Місяць тому

    Naomba ruhusu zirekodiwe au kudownload video

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Tunaifanyia kazi hii changamoto. Hivi karibuni itakuwa freee

  • @SAIDMALAGALAGA
    @SAIDMALAGALAGA Місяць тому

    Kaka Asante tunahitaj video zako tu download ili tujifunze zaid tusaidie kwa hilo