Namna ya kuongeza Thamani - Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Ili uweze kufanikiwa katika biashara ni muhimu sana ujue namna ya kuongeza thamani katika kile unachokiuza kwa wateja wako. Ukweli ni kwamba walaji wengi wananunua thamani na wengine wapo radhi hata kulipia kiwango kikubwa cha fedha kama thamani inayopatikana ni kubwa pia.
    katika somo hili nimeelezea namna unavyoweza kuongeza thamani katika biashara yako na kujipatia wateja wengi zaidi na hatimaye kuongeza mauzo.
    fuatana nami katika somo hili muhimu kwa kila mfanyabiashara.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam

КОМЕНТАРІ • 18

  • @JosephMwakisu
    @JosephMwakisu 7 днів тому +1

    Yupo vizur sana

  • @shaddaadkengwah8619
    @shaddaadkengwah8619 3 місяці тому +1

    Nafurahi kuona unavyoongeza wasikilizaji na waonaji

  • @user-yj8zq2gw4f
    @user-yj8zq2gw4f 3 місяці тому +1

    Napenda unachokifanya Mungu akubariki

  • @mnugwaally4-xh4un
    @mnugwaally4-xh4un 3 місяці тому +1

    Kaka unagusa maisha yangu

  • @JustusJackson-bl5gk
    @JustusJackson-bl5gk 3 місяці тому +1

    Thamani ni muhimu sana

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 3 місяці тому +1

    Nimefanya hvyo mkuu

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 3 місяці тому +1

    Asante sana

  • @blackstar-wf3qd
    @blackstar-wf3qd 3 місяці тому

    Woooow

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 3 місяці тому +1

    Kwa kweli unaongeaga vizuri kutokn na experience yako binafisi

  • @Usawa_phonetech
    @Usawa_phonetech 3 місяці тому +1

    ❤❤

  • @MOTecnology
    @MOTecnology 3 місяці тому +1

    Nimependa Apo sasa Tunakusikia Vizuri, Hongera Kaka.

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  3 місяці тому +1

      Asante sana kaka, tunatamani mpate kitu bora, maoni yenu ni ya muhimu sana

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 3 місяці тому

      Hamna Shida Brother, ila Ningependa Mada ya JINSI YA KWENDA SAWA NA MFANYAKAZI ULIYEMUAJIRI ILI AJISKIE KAMA OFISI YAKE, InshaAllah

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 3 місяці тому +1

    Mwl naomba na mm kama unadrsa unipe utaratibu wa kjoini ili nahitaji kukisemea ndoto yangu ili nipate ushauri na maarifa namna ya kuitimiza naomba unipe hiyo nafasi kama wewe ulivyo pewa nafasi ya kupga pcha ukiwa mwanafunzi

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  3 місяці тому

      Tutawatangazia jinsi ya kujiunga na madarasa yetu hivi karibuni kwa sasa hatuna nafasi kabisa kumejaa

    • @daudkanyelele4862
      @daudkanyelele4862 3 місяці тому

      Ili biashara niijenge nilazima nijitofautishe nayo yaani niwe mm na biashara I yenyewe....ninauza duka la mangi y
      Je nitumie mifumo ipi ili niweze kukuza mtaji na biashara

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m 24 дні тому

    Sorry. Mkuu. Soma. La. Namba. Gan. Unaeza kuongoza biashala. Ikiwa. Mbali.