Misana Manyama
Misana Manyama
  • 91
  • 91 002

Відео

Ni wakati gani sahihi wa kuchukua Faida kwenye Biashara - Misana Manyama
Переглядів 1 тис.14 годин тому
Somo la leo ni majibu ya swali ambalo nimekuwa nikiulizwa na watu wengi. Ni wakati gani sahihi wa kuchukua faida kwenye biashara wakati biashara inaendelea kukua? ungana nami katika somo la leo uweze kupata elimu ya biashara itakayo kusaidia. www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE - COMMENT - SUBSCR...
Tofauti ya Biashara na Mwenye Biashara - Misana Manyama
Переглядів 1,1 тис.День тому
Leo ninazungumzia moja ya sababu ambayo inawakwamisha wafanyabiashara wengi kuona wanapiga hatua na kuanza kupata faida kutoka kwenye biashara zao. nimeelezea kwa kina namna ambavyo itakusaidia kuweza kujitofautisha na biashara yako ili kuwe na utofauti hasa kwenye upande wa namna ya kudeal na upande wa mapato. www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.m...
Ukitaka Kuwa Masikini Fanya yafuatayo... - Misana Manyama
Переглядів 1,2 тис.14 днів тому
Mara nyingi tumekuwa tukifundisha namna ya mtu kufanikiwa na kuwa Tajiri, Leo nimeona nifundishe mambo haya ambayo yatamfanya mtu anaetamani kuwa maskini aupate umaskini bila kiuwa na shida yoyote. Somo hili linaweza likakusaidia kufanikiwa au kutokufanikiwa.. www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE ...
Bonus: Tofauti kati ya Taarifa na Maarifa-Misana Manyama
Переглядів 70221 день тому
Bonus: Tofauti kati ya Taarifa na Maarifa-Misana Manyama
Mabadiliko yanayoweza kuleta Mafanikio - Misana Manyama
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
ukweli ni kwamba unahitaji mabadiliko ili uweze kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali ya maisha yako. kauli hii inaweza kuwa na maana tofauti kwa kila mtu klutegemeana na anahitaji mabadiliko gani ambayo yatamsaidia kuweza kupiga hatua katika maisha www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE - COMME...
Namna nzuri ya kupanga Bei kwenye Biashara - Misana Manyama
Переглядів 2 тис.Місяць тому
Watu wengi wana changamoto kubwa linapo kuja swala la kupoanga bei kwenye bidhaa au huduma. Ungana nami siku ya leo uweze kupata maarifa yatakayokusaidia kukuza biashara yako. www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biash...
Mafanikio katika Biashara yanahitaji kiongozi muda wote - Misana Manyama
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
e, wajua mafanikio katika biashara, taasisi au maisha kwa ujumla yanakutegemea zaidi wewe kabla ya watu wengine?? Katika somo la leo ninaelezea jambo hili ambalo limeathiri wengi kwa kushindwa kuelewa kanuni hii. www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE #malengo #fursa #u...
Acha kuepuka Mafanikio - Misana Manyama
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Acha kuepuka Mafanikio - Misana Manyama
Jinsi ya Kufanikiwa - Misana Manyama
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
Jinsi ya Kufanikiwa - Misana Manyama
Mambo yanayoweza kukusaidia kuanza biashara - sehemu ya Pili: Misana Manyama
Переглядів 3642 місяці тому
Mambo yanayoweza kukusaidia kuanza biashara - sehemu ya Pili: Misana Manyama
Mambo yanayoweza kukusaidia kuanza biashara - sehemu ya kwanza : Misana manyama
Переглядів 7262 місяці тому
Mambo yanayoweza kukusaidia kuanza biashara - sehemu ya kwanza : Misana manyama
Hatua ambazo biashara inapitia: Sehemu ya Pili - Misana Manyama
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Hatua ambazo biashara inapitia: Sehemu ya Pili - Misana Manyama
Jinsi ya kutengeneza Mtaji katika Biashara - Misana manyama
Переглядів 1,5 тис.2 місяці тому
Jinsi ya kutengeneza Mtaji katika Biashara - Misana manyama
Hatua ambazo biashara inapitia sehemu ya kwanza - Misana Manyama
Переглядів 1,6 тис.2 місяці тому
Hatua ambazo biashara inapitia sehemu ya kwanza - Misana Manyama
Namna ya kuwalidhisha wateja wako - Misana Manyama
Переглядів 9732 місяці тому
Namna ya kuwalidhisha wateja wako - Misana Manyama
Mafanikio yapo Njiani... sehemu ya 2 : Misana Manyama
Переглядів 7083 місяці тому
Mafanikio yapo Njiani... sehemu ya 2 : Misana Manyama
Mafanikio yapo Njiani sehemu ya 1 : Misana Manyama
Переглядів 8163 місяці тому
Mafanikio yapo Njiani sehemu ya 1 : Misana Manyama
Umuhimu wa MUDA kwenye Mafanikio - Misana Manyama
Переглядів 1,2 тис.3 місяці тому
Umuhimu wa MUDA kwenye Mafanikio - Misana Manyama
Namna ya kuongeza Thamani - Misana Manyama
Переглядів 9323 місяці тому
Namna ya kuongeza Thamani - Misana Manyama
Usipite njia ya mkato( shortcut): Misana Manyama
Переглядів 1,4 тис.3 місяці тому
Usipite njia ya mkato( shortcut): Misana Manyama
Usifurahie Matumizi, Furahia kuwekeza, sehemu ya 2 : Misana Manyama
Переглядів 9853 місяці тому
Usifurahie Matumizi, Furahia kuwekeza, sehemu ya 2 : Misana Manyama
Namna ya kumfanya mteja kuwa Balozi wa biashara yako: Misana Manyama
Переглядів 8384 місяці тому
Namna ya kumfanya mteja kuwa Balozi wa biashara yako: Misana Manyama
Mbadilishano wa Thamani - Misana Manyama
Переглядів 6124 місяці тому
Mbadilishano wa Thamani - Misana Manyama
Umasikini sio chachu ya kupata Utajiri - Misana Manyama.
Переглядів 1,8 тис.4 місяці тому
Umasikini sio chachu ya kupata Utajiri - Misana Manyama.
Do not Quit - Misana Manyama
Переглядів 4994 місяці тому
Do not Quit - Misana Manyama
Biashara nyingi hupitia yafuatayo... - Misana Manyama
Переглядів 7964 місяці тому
Biashara nyingi hupitia yafuatayo... - Misana Manyama
Biashara inayodumu zaidi ya Mwanzilishi - Misana Manyama
Переглядів 2,3 тис.5 місяців тому
Biashara inayodumu zaidi ya Mwanzilishi - Misana Manyama
Ushindani ni ngazi ya mafanikio katika biashara - Misana Manyama
Переглядів 2 тис.5 місяців тому
Ushindani ni ngazi ya mafanikio katika biashara - Misana Manyama
UADILIFU ni Mtaji - Misana Manyama
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
UADILIFU ni Mtaji - Misana Manyama

КОМЕНТАРІ

  • @carlospeter2626
    @carlospeter2626 2 години тому

    Somo zuri, all the best 👍

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 5 годин тому

    Thanks

  • @onyangoproduction9034
    @onyangoproduction9034 7 годин тому

    Jamaa akiongea namuona ruge kabisa dah SOMO zuri

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m 9 годин тому

    Asante. Pia. Tunaomba. Somo ni. Namna gabi. Unaeza. Kuongoza. Mradi ikiwa. Mbali

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 20 годин тому

    Pamoja sana bro

  • @JustusJackson-m5b
    @JustusJackson-m5b 22 години тому

    Nimejifunza kitu🙏🙏

  • @omarykitenge8283
    @omarykitenge8283 2 дні тому

    Umeongea vzr; kwa kuchangia napenda kusema 20% ya wages itategemea na proft margin kulingana na aina ya biashara, baadhi ya biashara margin ni 15% sasa haiwezekani kutoa 20% for wages labda km kuangalia faida na sio kipato cha biashara. Biashara zengine ni ngumu kuweka fedha kwenye business acc kwa sbb TRA wanaweza wakaamka vibaya wakapita nazo (incase of registered business) Pia partnership nyingi hapa Tz hua hazidumu kwa sbb waTz wanatizama zaidi maslahi binafsi kuliko maslahi ya biashara, mkiwa waili kila mmoja anakuja na akili zake, wengine kila siku ni kutaka alipwe tuu bila kujua biashara imeingiz nn !! Its very hard Thanks

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 2 дні тому

      @omarykitenge8283 Karibu sana na umechangia uhalisia sana wa kimazingira na namna Biashara za Tanzania zinaendeshwa basi itoshe tu kusema MWENYE Macho amekusoma. Uko practical nimependa sana

  • @shafiimpilika3574
    @shafiimpilika3574 4 дні тому

    Shule kubwa kichwan mkuu! Safi sana

  • @maxmilianphilipo791
    @maxmilianphilipo791 5 днів тому

    Shoo nzurii:Hiyo faida uiwekeze waap ili kufikia financial freedom ambalo ndo lengo mama la kila mfanyabiashara.

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 5 днів тому

      Unaweza kuongeza na kupanua mtaji wa biashara yako hiyo no 1, na kama tayari una mtaji wa kutosha unaweza kuanzisha line mpya ya biashara kwenye biashara hiyo hiyo unayoifanya. Ukitaka maelezo zaidi karibu tunaweza kukuhudumia kwa ukaribu zaidi....

    • @maxmilianphilipo791
      @maxmilianphilipo791 5 днів тому

      @@misanamanyama24 ahsante sana

  • @claudjohn
    @claudjohn 5 днів тому

    Asante

  • @alisrupia9532
    @alisrupia9532 5 днів тому

    Ubarikiwe sana sana

  • @JoramTseko
    @JoramTseko 5 днів тому

  • @jozuerwetabula4039
    @jozuerwetabula4039 5 днів тому

    Thank you mentor.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 5 днів тому

    Ameen

  • @evansmayuro8038
    @evansmayuro8038 5 днів тому

    Asante. Endelea kutuhamasisha.

  • @BryanNassary
    @BryanNassary 5 днів тому

    Unajua nini brother Nilikua nimeajiriwa nakawa nakufatilia Nikaamua kujiajiri mwenyewe na kufatilia maelekezo yako hakika muelekeo upo Mungu akubariki sana

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 5 днів тому

      @@BryanNassary Pongezi sana sana Bryan. Nakuombea mafanikio makubwa sana ili kuinua wengine

    • @blackstar-wf3qd
      @blackstar-wf3qd 4 дні тому

      Umewzaje umepata pesa kwanza za kutosha au umeacha tu maana mimi natamani mnoooo ila nawaza

  • @RamadhaniMachale
    @RamadhaniMachale 5 днів тому

    Unatisha Sana mzee

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 6 днів тому

    Tuko pamoja kaka

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 6 днів тому

    Thanks

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 6 днів тому

    Bado ngojea somo la jinsi ya kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Alafu jinsi ya kuendesha biashara ya saloon ya kiume. Ahsante sana kwa maarifa.

    • @TOM_AND_JERRY002
      @TOM_AND_JERRY002 5 днів тому

      Check this book "CASH FLOW QUADRATS by Robert kiyosaki

  • @shafiimpilika3574
    @shafiimpilika3574 6 днів тому

    Umeongea mambo makubwa mno

  • @erickothegreat8353
    @erickothegreat8353 6 днів тому

    Hii ni kweli kabisa.Hii issue ya kutaka huruma ilisha nighalimu ujumbe mzuri sana.

  • @josephmigila267
    @josephmigila267 6 днів тому

    Absolutely

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 6 днів тому

    😂😂😂😂😂

  • @JosephMwakisu
    @JosephMwakisu 7 днів тому

    Yupo vizur sana

  • @LucyMayuro
    @LucyMayuro 7 днів тому

    Asante

  • @emanuelmathias202
    @emanuelmathias202 7 днів тому

    Nimeelewa Somo vizuri

  • @suleshsulesh9600
    @suleshsulesh9600 8 днів тому

    Asnte kwa dalasa mungu akubarik sanaaaa kwa funzo bora ulio tufundisha leo

  • @shafiimpilika3574
    @shafiimpilika3574 8 днів тому

    Leo naungana wewe mkuu safi ssna

  • @josephmigila267
    @josephmigila267 9 днів тому

    Asante mkuu this was a great introduction

  • @Kiju-lw1be
    @Kiju-lw1be 9 днів тому

    Iko 👍sanaa

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 9 днів тому

    Nice

  • @hillarysam2211
    @hillarysam2211 11 днів тому

    Great advise

  • @user-nl8js6xs6s
    @user-nl8js6xs6s 11 днів тому

    hii kitu ni kweri kabisa mkuu

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 11 днів тому

      @@user-nl8js6xs6s Asante kwa kuthitisha kaka.

  • @athumanahmad7341
    @athumanahmad7341 11 днів тому

    Kaka asante sana Mungu akubariki wewe na kk joeli nanauka muishi maisha marefu

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 12 днів тому

    Asante sana kaka,

  • @JoramTseko
    @JoramTseko 12 днів тому

    Wewe ni genius

  • @IbrahimDaudi-bo7ke
    @IbrahimDaudi-bo7ke 12 днів тому

    Asantee Mzee Wangu,Hizi Ni Siri Kubwa Sana Unatufunza Sina Zawadi Yakupa ila Twakuombea

  • @user-nl8js6xs6s
    @user-nl8js6xs6s 12 днів тому

    mr misana shukhurani sana unaelekeza mambo makubwa sana hii Elimu yazindi kunitoa upande mmoja kwenda upande wa pili wa maendeleo ya biasha na maisha yangu kwa ujumla mkuu mungu Azidi kukubaliki.

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 12 днів тому

      @@user-nl8js6xs6s Asante sana kwa feedback zinanipa nguvu ya kuendelea

  • @MelchizedekMajimbe
    @MelchizedekMajimbe 13 днів тому

    Bro imenibidi niingie Google Nikusome kwanza Nikakuta wewe ni CEO wa TUTUME WORLDWIDE ,, Mungu akuinue sana kwa Muda wako uishi maisha marefu.. Mfano wa mtumbwi na katamaa ,,

  • @BryanNassary
    @BryanNassary 13 днів тому

    Naomba namba yako plz ninaitaji ushauri binafsi tafadhali

  • @BryanNassary
    @BryanNassary 13 днів тому

    Heshma yako brother naomba kama una softy copy ya vitabu utuwekee mwongozo

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 13 днів тому

      @@BryanNassary hivi karibuni kitabu chetu cha Kwanza kinatoka

  • @athumanahmad7341
    @athumanahmad7341 13 днів тому

    Kk asante sana ninaku elewa hakuna ambacho sijaelewa

  • @PhilipoIshengoma-ic4zr
    @PhilipoIshengoma-ic4zr 13 днів тому

    Hongera sana Mzee, unafanya vzr

  • @PhilipoIshengoma-ic4zr
    @PhilipoIshengoma-ic4zr 13 днів тому

    Hahaaaa ....Misana upooo?

  • @julietkingalu1576
    @julietkingalu1576 13 днів тому

    this is my dad

  • @JoramTseko
    @JoramTseko 14 днів тому

    Unanijenga sana mkuu

  • @JoramTseko
    @JoramTseko 14 днів тому

  • @JoramTseko
    @JoramTseko 14 днів тому

    Nakuelew Sana

  • @blackstar-wf3qd
    @blackstar-wf3qd 14 днів тому

    Mungu aniongezee muda wa kukusikiliza hapa duniani

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24 13 днів тому

      Asante sana mkuu, Nashukuru kwa kuendelea kunifuatilia, nisaidie kushare kwa watu wengi zaidi