Usipite njia ya mkato( shortcut): Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Njia za mkato zimepelekea kuwapoteza na hata kuwakwamisha watu wengi sana na hii si katika biashara pekee hata katika maisha ya kawaida.
    Ungana nami kati somo la leo tujifunze pamoja.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam

КОМЕНТАРІ • 21

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 3 місяці тому

    Nashukuru Sana mwalimu. We ni mtu wa maana kabisa

  • @DrKhalidAbeid22
    @DrKhalidAbeid22 2 місяці тому

    Safi sana

  • @mrkitengetz
    @mrkitengetz 3 місяці тому +3

    Good speech 💬

  • @user-sj1jw6hp8n
    @user-sj1jw6hp8n 3 місяці тому

    Mkuu Nashukuru sanaa kwa somo lako na mengineee,,lakn nlitaka kupakuwa (download) hizi video zako lakn zinagoma,,,naomba uruhusu kuzipakuwa mm natumia "VIDEMATE" lakn zinagoma kabisaaa

  • @skolastikadonath8210
    @skolastikadonath8210 3 місяці тому +2

    Sawa boss ujumbe mzuri sana

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m 22 дні тому

    Asante pia. Tunsomba shule juu ya kuongoza biashara ikiwa mbali.

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  22 дні тому

      Asante sana kwa kufuatilia somo hili. nisaidie kushare kwa watu mbali mbali. Nimelipokea wazo lako nitalifanyia kazi katika masomo yajayo.

  • @JustusJackson-bl5gk
    @JustusJackson-bl5gk 3 місяці тому +1

    Nimejifunza kitu asante

  • @SamuelMwambene
    @SamuelMwambene 3 місяці тому

    Ninakuelewa sana tena sana hata kwenye mikopo watuwengi wanapenda shortkati.

  • @CuthbertHarrison
    @CuthbertHarrison Місяць тому

    Nenda moja kwa moja sema tu shortcut ya kwenda kwa mganga kutafuta mafanikio ndio hasara kubwa yenye maumivu sana badae

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Ni kweli kabisa mafanikio ni kanuni hakuna shortcut

  • @user-nl8js6xs6s
    @user-nl8js6xs6s 3 місяці тому +1

    somo nimelipokea vyema

  • @khamisrajabu1107
    @khamisrajabu1107 3 місяці тому +1

    Mwalim wangu

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 3 місяці тому +1

    Ahsante sana

  • @shaddaadkengwah8619
    @shaddaadkengwah8619 3 місяці тому

    Top

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 3 місяці тому

    NAOMBA URUHUSU VIDEO ZAKO UA-cam ZIKUBALI KU DOWNLOAD

  • @MarikaPaul-lp2nd
    @MarikaPaul-lp2nd 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 3 місяці тому

    Asante sana

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 місяці тому

    Aisee icho kitu naogopa sana , ni bora kununua mazao kwawakulima taratibu taratibu wakati ndani yake unaendela kupata kufahamu kiundani , aisee sifanyi hiyo shughuli

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  3 місяці тому

      Ni kweli ufahamu sahihi ni kitu cha muhimu sana.