Acha kuepuka Mafanikio - Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 Місяць тому +4

    Asante sana sichoki kukufatilia Sir Manyama,, Naamini ipo siku nitafanikiwa kwa Mafunzo yako

  • @DerickWasoka
    @DerickWasoka Місяць тому +3

    Ongera sana mwalimu 1 day tutakuwa mashuhuda hasa kwa wanao kufatilia na kuyatendea kazi mafunzo

  • @jayssam30
    @jayssam30 Місяць тому +2

    Tungepata viongozi kama nyie katika nchi yetu kwa hayo maono mliyo barikiwa na uwezo mlionao wakuchambua vitu 😢 taifa letu lingefika mbali zaidi

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 Місяць тому +2

    Bro uko vizur ntawaambia na wafanyakazi wangu wawe loyal kwa wateja

  • @amourjuma7284
    @amourjuma7284 Місяць тому +1

    Leo moja tu nimekuelewa Asante sanaa

  • @eflonmwangoka9849
    @eflonmwangoka9849 Місяць тому +1

    Napendaa mafandisho kwl yananibadilisha sehemu kubwaa mungu akujaliee nguvu Kwa unalolitenda juu yetu

  • @l.fnaturalfoods7232
    @l.fnaturalfoods7232 Місяць тому +1

    Excellent

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Місяць тому +1

    Asante sana

  • @MelchizedekMajimbe
    @MelchizedekMajimbe 20 днів тому +1

    "Hii dunia ni rahisi sana kushinda"..
    Very powerful

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 Місяць тому +1

    Thanks

  • @salumlehani3952
    @salumlehani3952 Місяць тому +1

    Thanksgiving

  • @reencndila
    @reencndila Місяць тому +1

    Sijutii kukufuatilia, I appreciate chief

  • @becamrindoko
    @becamrindoko Місяць тому +1

    Coach kukuombea Afya njema tuendelee kujifunza kila siku 🤲🤲

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 Місяць тому +1

    Asnte sna kwa elimu hii nikiwa huku kando na mbuga ya seli Morogoro .....nisiongee mengi naweza pata utaratibu wa kujiunga na mentorship yako ....
    Kwa leo somo hili imenipa hatua

  • @blackstar-wf3qd
    @blackstar-wf3qd Місяць тому +1

    Me mwenyewe ni mteja wako ambaye nasubiri sana product yako inatoka lini yaan new video

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Asante sana kuendelea kufuatilia masomo. Nisaidie kushare kwa wadau wengine.

  • @JacksonMalimaMuhusi
    @JacksonMalimaMuhusi Місяць тому +2

    Naweza kupata namba yako kaka mkubwa ili nipate msaada zaidi wa ushauri

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      @@JacksonMalimaMuhusi karibu

    • @JacksonMalimaMuhusi
      @JacksonMalimaMuhusi Місяць тому

      Asante mimi ni mchanga kwenye kufanya biashara na naitaji kipiga hatua zaidi naweza kupata namba ya WhatsApp uwemshauri kwangu

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      @@JacksonMalimaMuhusi +255759263287

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  Місяць тому

      Siku za kazi na muda wa kazi tu

    • @JacksonMalimaMuhusi
      @JacksonMalimaMuhusi Місяць тому

      @@misanamanyama24 asante sana na nimekuelewa