Asante sana kwa kutazama n ku_like video hii. Asante pia kwa kusubscribe ili kuendelea kujifunza juu ya Elimu ya Fedha na bishara kupitia video ninazopost hapa
Nashukuru sana 🙏Brother kwa elimu yako unayotupa kiukweli unatusaidia sana vijana ambao bado tunajitafuta. Tunaomba mawasiliano kama ikitokea tunahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara au hata E-mail yako ili tuweze kupata updates zako..
Katika video bora za hamasa na maarifa mazuri ambazo nimeziangalia 2024 hii ni bora kwangu, umezungumza sehemu sensitive sana zote zipo kwenye malengo yangu. Nimetafuta mentor muda mrefu sana, lengo langu ni kuwa millionaire before 30.. Naomba mawasiliano yako uwe my life coach .. All the best kka una maarifa makubwa sana💥💥💥
Asante.binafsi kitambo naangaika kujua,na kuingia ktk biashara ya usafirishaji ila nakwana kutokana na kujuana na tabia za ukabila,.naomba nisaidie kwa hilo ukiweza..naweza kukutafuta inbox,ukinikubalia
Wewe kaka nimeanza kukufatilia huu nimwezi wa 2 sasa yani nimejifunza mengi mnoo nakufunga kiakili mungu anibariki nijiunge ili niwe mwanafunzi wako umebarikiwa na mungu azidi kukubariki na akupe uhai mkubwa
Biashara ya hoteli ni rahisi kuisimamia, kwa faida au hasara inajulikana siku hiyo hiyo. Ni ngumu kupata hasara kwa kuwa chakula linaweza kuhesabiwa na ukajua Leo chakula kiliuzwa kitaingiza sh kadhaa. Mfano baada ya wali wa kilo 5 kuiva hesabu sahani zote, hesabu mboga mpe muuzaji idadi ya sahani na mboga, hivyo hivyo kwenye vitafunwa.
Kipo softcopy na Hardcopy . Hardcopy ni Tsh 20,000. Na softcopy ni Tsh 10000. Kukipata softcopy tuma Tsh 10000 kwenda lipa number 5122948 voda au Mpesa 0762815104 kisha tuma mesage WhatsApp kwa number hiyohiyo upate kitabu chako
Asante sana kwa kutazama n ku_like video hii. Asante pia kwa kusubscribe ili kuendelea kujifunza juu ya Elimu ya Fedha na bishara kupitia video ninazopost hapa
Nashukuru sana 🙏Brother kwa elimu yako unayotupa kiukweli unatusaidia sana vijana ambao bado tunajitafuta.
Tunaomba mawasiliano kama ikitokea tunahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara au hata E-mail yako ili tuweze kupata updates zako..
Asante sana,mi naomba unisaidie kwenye biashara ya urembo,nianzaje,machimbo yake na mtaji nisaidie nijue pakuanzia
Katika video bora za hamasa na maarifa mazuri ambazo nimeziangalia 2024 hii ni bora kwangu, umezungumza sehemu sensitive sana zote zipo kwenye malengo yangu. Nimetafuta mentor muda mrefu sana, lengo langu ni kuwa millionaire before 30.. Naomba mawasiliano yako uwe my life coach .. All the best kka una maarifa makubwa sana💥💥💥
Karibu sana. Karibu inbox
Au bonyeza hii link👇
Www.instagram.com/kelvinkibenje
Hongera sana kaka kwa ujumbe mzuri
Yes! Kwa idea hizi ni lazima kutoboa.. asante kwa elimu hii adimu sana💪
Asante pia
Asante sana kumbe sasa kuna wengine hatuna connection za kuagiza china😢
Nashukuruuu but mm mwenyew nahitaji ushauri kwa sababu ndo natarajia kuanza biashara zangu wakati huo huo Nina mtaji mdogo
Shukrani sana mwalimu ..so many apreciation
Shukurani pia
@@kelvinkibenjenaomba namba Yako kaka
asante kaka kwa ujumbe mzuri naomba nierekeze niwe naagiza mzingo china naanzaje
Pamoja, barikiwa sana 🤝
Amina.
Natamani biashara ya mazao kununua na kuuza ila elimu zaidi Sina kuhusu hii biashara
Mr kelvin asnte sana naiman ntafanikiwa kwauwezo waAllah kupitia elmu hii
Amiin🤲
Barikiwa sana
Hongera nimependa uwasilishaji wako ubarikiwe
Amina. Asante sana
Unamadini mazuri sana,tafazari naomba namba ako brother
Asanteee Ila naomba kusaidiwa kuusu mtaji naanza je?
Natamani biashara ya kununua mazao na kuuza ila natamani kupata elimu zaidi
Naomba namba yako kaka
thanks brother for your lesson
Thanks too
Asante.binafsi kitambo naangaika kujua,na kuingia ktk biashara ya usafirishaji ila nakwana kutokana na kujuana na tabia za ukabila,.naomba nisaidie kwa hilo ukiweza..naweza kukutafuta inbox,ukinikubalia
Changamoto zipo kila mahali na wafanyabiashara wakubwa ni kujua tu namna ya kukabiliana na hizo changamoto
Kaka kelvin hbar nawezaje kuagiza bidhaa kupitia alibaba or aliexpress kwa mimi ninae anza kufanyaa biashar naomba nisaidie please
Amina Ujumbe Mzuri
Asante sana
Naomba namba Yako pleas brother
Naomba namba nahitaji kitabu bro
Ahsante mkuu
Asante pia
Kaka me naitwa I'ma Niko mkoa wa Kilimanjaro naomba namba yako nataman kufanya biashara ya vyombo vya umeme ila kutoka nnje ya nchi
Asante San nimepata kitu
Please naomba kuwa wanafunzi wako wa darasa la WhatsApp (naomba link )
🙏🙏🙏👐💞
Kitabu cha kilimo mim nahtaji
Naomb number baba
Wewe kaka nimeanza kukufatilia huu nimwezi wa 2 sasa yani nimejifunza mengi mnoo nakufunga kiakili mungu anibariki nijiunge ili niwe mwanafunzi wako umebarikiwa na mungu azidi kukubariki na akupe uhai mkubwa
Amina. Asante sana sana
Naitaji unisaidie machibo china
Kaka nahitaji na me kujoin kwenye group la wasap ili nijifunze zaidi
Msaada wa kuagiza chini
Naomb unisaidie kaka nawezaje kupat bidhaa za kutok china
Naomb namb Zak kaka
Nanitawezaje kijua supplier mzuri ni yupi ilikuepuka namtapeli
Nitumie namba yko kaka
Nanitawezaje kujua supplier mzuri ni yupi ilikuepuka namtapeli
Nanitawezaje kijua supplier mzuri ilikuepuka namtapeli
link ya group my brother
Kaka namba yako
Naomba namba ya simu niagize kitabu
Nipatie no. Yako tuwasiliane
Kaka naomba unisaidiye niweze kuagiza mzigo china
Naweza penda kununua vitu China lakini niko Kenya unaweza nisaidia aje
namba zako kk
Naomb namb yak kak
Shida yangu kuagiza mzigo China
Naitaji kitabu
Naomba namba yako ya simu
Namba mawasiliano yà kawaida ama.wssap nitumie big
Kweli kaka
🙏🙏🤝
Namb yk
Nondo
Mimi nina biashara ya cafe ila maceshia wangu wanaingiza sana loss nimebaridisha watu kadha wa kadha lakini bado
Biashara ya hoteli ni rahisi kuisimamia, kwa faida au hasara inajulikana siku hiyo hiyo. Ni ngumu kupata hasara kwa kuwa chakula linaweza kuhesabiwa na ukajua Leo chakula kiliuzwa kitaingiza sh kadhaa. Mfano baada ya wali wa kilo 5 kuiva hesabu sahani zote, hesabu mboga mpe muuzaji idadi ya sahani na mboga, hivyo hivyo kwenye vitafunwa.
Tunashukuru
Asante pia
Hiv broo km ntak kifungua kaz ya uwakal
Mimi pia jmn
Ni kazi nzuri kutegemeana na site
Type namba ya simu
na mim
✍️🤝
Nahitaji kujifunza kuagiza vitu nje
Ipo video inaeleza hatua zote za kuagiza vitu nje ya nchi
Mm natakaaa niongee vzr na wewe nisaidiae namna ya kufanya ili nianze biashara zangu
Hakika
Asante sana
Naomba number yako
Mimi naomba unisaidie jinsi ya kwenda china na machimbo ya bidhaa napataje,kwa mfano nataka vipodozi au nguo nafanyaje Ili niyafikie
Uzuri upo kwenye Darasa la whatsapp. Utajifunza
Nahitaji icho kitabu mkuu napataje
Kipo softcopy na Hardcopy . Hardcopy ni Tsh 20,000. Na softcopy ni Tsh 10000. Kukipata softcopy tuma Tsh 10000 kwenda lipa number 5122948 voda au Mpesa 0762815104 kisha tuma mesage WhatsApp kwa number hiyohiyo upate kitabu chako
Ninahitaji hicho kitabu nakipataje?
Kama kuchukua biashara china tupe na kiasi cha mtaji ambacho naweza anza kuagiza bidhaa china
Katika agiza unaweza anza na kiasi chochote kutegemea na aina ya bidhaa na idadi. Kwenda ndio gharama kidogo
@@kelvinkibenjenaomba number Yako bro
Naomba msaada wa biashara ya dry cleaner ipoje
nimekupata
Mimi nitakutafuta
Karibu
Namba link ya WhatsApp please
Kaka naomba namba zako za Whatsapp
Naomba namba yako brother ya WhatsApp
Whatapp number kak mkubwa naomba
Nanitawezaje kijua supplier mzuri ni yupi ilikuepuka namtapeli
Nanitawezaje kijua supplier mzuri ilikuepuka namtapeli
Nitumie namba yako kaka
Nakipataje
Namba link ya WhatsApp please
Nanitawezaje kijua supplier mzuri ni yupi ilikuepuka namtapeli