SABABU YA BIASHARA KUFA SEHEMU YA 1: JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 31

  • @AlexMgala
    @AlexMgala 2 місяці тому +1

    kaka nashukulu sana kaka mungu akubalik akuongeze maalifa zaidi asante

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 3 місяці тому

    Ahsntee sanaa Kakangu Joely Joely Mungu akubariki sanaaaa 🙏🙏🙏🔥

  • @bestsvin182
    @bestsvin182 15 днів тому

    Hakika wewe ni mwalimu 🙏🙏🙏

  • @user-zf8hg8yz1x
    @user-zf8hg8yz1x Місяць тому

    Bravo Joel, I am learning a lot from you on daily basis. Blessings Always❤

  • @Teamtzad
    @Teamtzad 5 місяців тому +4

    Habari ya asubuhi mchana na jioni ikitegemea unasoma comment hii mda gani. Pitia Video yangu itakayokufanya uone upande wa pili wa sarafu ambayo hukuwahi kuonyeshwa. Much love uwe na siku njema

    • @user-bx7zk7to8k
      @user-bx7zk7to8k 5 місяців тому

      Inaitwa aje kiongozi

    • @Teamtzad
      @Teamtzad 5 місяців тому

      @@user-bx7zk7to8k Pitia UA-cam yangu kwa jina la Festamir

    • @realemma2312
      @realemma2312 4 місяці тому

      Yaani Kwa mtu anayepambana hapa lazima anukuu kitu ila Kwa mtu eankawaida hanaweza kuona kama anaongea tu. Ila namshukuru sana ananipa Nguvu katika maisha

  • @EDMUNDSOSPETER
    @EDMUNDSOSPETER 5 місяців тому +3

    Mr Joel am running to be at the top am humbly waiting that video sijawahi kosa video yako hata
    Halafu kuna kitabu nilikutafta nikakutumia whatsapp unisaidie kunielekeza kitu since mwaka jana hujanijibu kaka joel please naomba unifanyie hvyo

  • @UmmyIddi-h3v
    @UmmyIddi-h3v 12 днів тому

    Nmejifunza kitu ahsante 😊

  • @masudibaja
    @masudibaja 5 місяців тому +1

    Kaka Joel ili somo kubwa sana,,Mungu aendelee kukubariki wakati wote.

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 місяці тому

    Ubarikiwe kaka unanifungua sana❤❤❤

  • @smartsilentkiller
    @smartsilentkiller 5 місяців тому +1

    somo zurii hilii🙏💯

  • @CatherineJacob-yt5sy
    @CatherineJacob-yt5sy 5 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana nimeanza kukusikiliza na kukufuatilia mwaka huu ila unanielimishaa sana

  • @AlexMgala
    @AlexMgala 2 місяці тому

    Thanks you

  • @wahidizzowizzo3590
    @wahidizzowizzo3590 3 місяці тому

    Appreciate

  • @clearsight2485
    @clearsight2485 5 місяців тому +1

    Nimejifinza

  • @NekesaAnnie
    @NekesaAnnie Місяць тому

    🎉

  • @KINGCOBRATV765
    @KINGCOBRATV765 2 місяці тому

    Nimejifunzs

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 4 місяці тому

    Nimejifunza mwalimu

  • @tausigulam22
    @tausigulam22 5 місяців тому

    Nakukubal bro

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 5 місяців тому

    Ahsante

  • @user-uj3ld6ni1s
    @user-uj3ld6ni1s 5 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 5 місяців тому

    Kweli mwalimu marafiki kwabiashara nisumu na watu wafamilia .kwaujumula uliyoyasema niyaukweli

  • @user-gz8xs1tx7m
    @user-gz8xs1tx7m 5 місяців тому

  • @user-op9lq3qw1k
    @user-op9lq3qw1k 5 місяців тому

    💯🙏

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 5 місяців тому +1

    Sina Cha kukulipa bro MUNGU AZIDI KUKUBARIKI. Masomo Yako yamenifanya nikue sana kibiashara. Na nimeajiri vijana wengi na tunakuwa Kwa Kasi, yoote haya nimeyafanikisha under 40yrs.

  • @HusnaSultan-rm9fq
    @HusnaSultan-rm9fq 5 місяців тому

    Sarut..mkuu

  • @makedoniachurch
    @makedoniachurch 5 місяців тому

    Asante kaka.Swali langu je,ninauwezowa kutengeneza biashara eneo moja kwa wakat mmoja katika eneo moja?