(Ngowi TV) "BILA KUWA NA MPANGO WA BIASHARA, USITEGEMEE BIASHARA YAKO KUWA KUBWA" Prof. Ngowi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mwaka 2019, Prof. ngowi aliombwa Kampuni ya CLEAR VISION waliokuwa waandaaji wa semina ya siku moja ya mafunzo ya kijasiriamali, kwa wakurugenzi na wafanyabiashara katika jiji la Dar es salaam, awafundishe kuhusiana na na swala zima la mpango wa biashara na umuhimu wake katika biashara. Prof. Ngowi alitumia takribani masaa mawili kuwafundisha wakurugenzi hao mambo mbalimali ikiwemo swala zima la mpango wa biashara. Jumla ya wakurugenzi na wafanya biashara mia moja walifadika na somo hilo, semina hiyo ilidhaminiwa na bank ya maendeleo na ilifanyika katika ukumbi wa Bank hiyo. Leo tunakuletea somo hilo ili kujikumbusha lakini pia tuendelee kujifunza pamoja na kukuza biashara zetu.

КОМЕНТАРІ • 6