"WAJASIRIAMALI NI LAZIMA MJUE KUTOFAUTISHA IPI NI GHARAMA NA IPI NI FAIDA " Prof. Ngowi
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Prof. Ngowi awafunda wajasiriamali nchini kuhakikisha wanajua kukotoa mahesabu vyema(bajeti) na kujua jinsi ya kutofautisha kati ya gharama na faida ili waweze kupata faida stahiki na kupata maendeleo. ametoa darasa hilo alipomtembelea mjasiriamali Festo Nyoni ambaye ni fundi seremala aliyejiajiri mwenyewe, katika kipindi chake cha Clinic ya Ujasiriamali
Ni somo zuri sana hilo,wajasiriamali wengi hawajui faida wanaipataaje,wakiipata wanaifanya nini ili kuongeza shughuli zao.Hongera sana Ngowi Tv kwa angalizo hilo.Jitahidi kuwapa kipindi na watu wa Tv ili kusambaza ujumbe
Kweli huyu Prof alijitoa kwa mioyo wote. Mungu ampumzishe Mahal pema peponi.
Yaani ni kweli kabisa
Barikiwa sana prof
Kari nzuri Sana prof ngowi
Kazi nzuri professor
Thanks Prof. Ngowi for the hard work to teach young enterpreneur to consider basic cost breakdown in anything they do
Victor Gaspar asante kwa somo