CHEKECHE || Miaka miwili ya vita vya Ukraine, tunaelekea wapi?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лют 2024
  • Februari 24 mwaka 2022 Urusi aliivamia Ukraine na kufanya mashambulizi mfululizo ambayo kwa mwaka huu yanatimiza miaka miwili, huku kukiwa hakuna dalili ya kusitishwa.
    Tunaelekea wapi?
    Imehaririwa na John Mbalamwezi
    #chekeche #ukraine #azamtvupdates #azamtv #mashambulizi

КОМЕНТАРІ • 62

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p 4 місяці тому +5

    Urusi haijafanya uvamizi bali wanafanya oparesheni kuondoa wanazi wanaotumiwa na mabeberu Marekani, Nato na nchi za magharibi kutishia usalama wa Urusi.

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 4 місяці тому +2

    Uyu anachukua taarifa nyingi kutonga magharibi nyingi props ganda

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 5 місяців тому +3

    Nimependa iyichekeche nimakala mazuli san nimependa naomba mtuongeze sehem 2part napenda from 🇧🇮🙏

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 4 місяці тому

    Rabi bana unatakiwa unatakiwa utuombe radhi sis waelewa Tim rasha wapenda haki, ilanaona umenawa USO ukatoa tongotongo Asante sana ulituboa sana happy awal

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 місяців тому +3

    Mrusi ni tajiri sana sana

  • @user-ij1es4ub5z
    @user-ij1es4ub5z 5 місяців тому

    Mko vizuri sana uchambuzi wenu uko sahihi kabisaa nawapa asilimiaa & 💯 na uo ndo ukwerii

  • @SimonJeshi-nq1hs
    @SimonJeshi-nq1hs 5 місяців тому +5

    Rabi kabadilika kaukubari mziki wa Putin

    • @victorcharlesmwakikoti7764
      @victorcharlesmwakikoti7764 4 місяці тому

      Simon ndugu yangu tuombe Mungu Kwa Imani yetu atuepushe na vita sisi na hata nchi zinazogombana ,tusisifie upande wowote hata Israel na Palestine tuombe waache vita ,Mungu atuhurumie saana

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 5 місяців тому +3

    Leo ndo nimeshangaa kuona Labi anakubali urusi kua atashinda vita

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 5 місяців тому +2

    Ongezeni mdawakipindi hata sana 1

  • @israelfumbo2093
    @israelfumbo2093 5 місяців тому

    Asante sana kwa uchambuzi, ila kipindi mda uongezwe.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 5 місяців тому +1

    Ukraine inapoteza kila kitu watu,makazi n.k lakini kumbu kumbu nzuri Ukraine si nchi bali ni kipande kidogo kilichomegwa na waasisi wa nchi ya Urusi kwasababu mbalimbali mfano baadhi ya waasisi waliamua kugawa maeneo mfano Donetsky n.k kwasababu nyingi mno upande wa nchi za magharibi bado shida yao ni kuvunja ngome ya Urusi na Soviet jambo ambalo bado magharibi wataendelea kupoteza tangu enzi na enzi

  • @user-ct4xj8ty7t
    @user-ct4xj8ty7t 5 місяців тому +1

    Uchambuzi Safi ,

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 місяців тому +2

    Nimefurahi kuskia Rahbi keshaanza kuwaelewa warus maana vita ilipo anza miaka ile alikua anaona Russia ingepoteza vita hiv na akawa upande WA Nato.lkn bado ndio mchumbuzi wangu pendwa hapa nchin

    • @mkongwekarim3036
      @mkongwekarim3036 5 місяців тому

      Nikweli alikua mbishi Sana huyu Labi leo amekubali matokeo ya vita sema uraaaaaaaaaaa

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 4 місяці тому +1

      Huyu alikua chawa wa nato

    • @victorcharlesmwakikoti7764
      @victorcharlesmwakikoti7764 4 місяці тому

      Jaman Kwan Urusi anapigana na nani mbona yanatajwa na mataifa mengine ambayo yenyewe Yana amani nchini kwao?

  • @amanifue7443
    @amanifue7443 5 місяців тому

    Kipindi cha chekeche kiongezwe muda aisee angalau iwe saa moja.. kipindi kizuri sana

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 4 місяці тому

    Magharibi inapaswa kuangamizwa moja kwa moja

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 5 місяців тому +1

    Poa sana ndugu mchambuzi

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 4 місяці тому

    Huyu jamaa nakumbuka wakati vita inaanza alisema Urusi itashindwa,kwa vikwazo na kila kitu ila nilitoa comment yeye yupo pro EU na leo naona kama bado haoni future ya USSR inabidi asome historia vizuri kabla ya kusikiliza hotuba au mahojiano ya viongozi.

  • @badrumulinda7349
    @badrumulinda7349 5 місяців тому +1

    Labi Vagner wako chini ya Urusi

    • @JacksonMartin-pb2vq
      @JacksonMartin-pb2vq 5 місяців тому

      Hapo nilishangaa mchambuzi kuitofautisha urusi na wagner hajui au kapitiwa tu

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 5 місяців тому +1

    USHIKE ADABU YAKO MTANGAZAJI : URUSI HAJAVAMIYA ANAFANYA OPARATION MAALUM

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl 4 місяці тому

      Irusi amei vamiya ukrenie kama wewe aujuwe kama ukrenie aiva miye ina maanisha nini

  • @alexiscobalt
    @alexiscobalt 4 місяці тому

    Uchambuzi mzuri

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 місяці тому

    Super uchambuzi.

  • @zakayomgaya2758
    @zakayomgaya2758 5 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 npo namrusi mpaka mwisho

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q 5 місяців тому

    Upo sawa mchambuzi ata kw kumbukumbu km Boris Johnson amekataa kwnn meya wa Ukrain aseme kwmba makbaliano ya Amani kati ya Russia na ukrein yamezuiliwa na Boris Johnson na kusema wapigane,, wamemuingiza mwezao mkenge

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 5 місяців тому

    Karibu nusu ya watu ulimwenguni wapo China na India.. hivo Russia ikiwaulizia wao inatosha na wanaonunua hata walioweka vikwazo mwenyewe.....

  • @user-vd3ku4yz2h
    @user-vd3ku4yz2h 5 місяців тому

    Sawa sawa bin sawia kwa mazunguzo na mjadala.

  • @user-ni9gx1ho6c
    @user-ni9gx1ho6c 5 місяців тому

    Hhhhh nataka baiden hongeren sana mada ipo poa mjadala mzur

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 5 місяців тому +1

    Mchambuzi ((respect for you!!!!

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 5 місяців тому

    Sasa watalipwaje wakati hali ni mbaya

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 місяців тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 5 місяців тому

    Mashoga wa NATO sio watu wa kuaminika kabisa kabisa.. Russia inapaswa kuipiga Ukreni mpaka ifutike kwenye Ramani ya Ulimwengu....

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 місяців тому

    Warusi wana mafuta,gas,kupita mpaka,pamoja na dhahabu nk

  • @DevyMtanza-fc2nn
    @DevyMtanza-fc2nn 5 місяців тому

    Munachanmmbua vizuli tupo pamoja

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl 5 місяців тому

    Achambuzi wenu nisahihi

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 4 місяці тому

    Putin baba lao❤❤❤❤❤

  • @hassanmkufya2867
    @hassanmkufya2867 5 місяців тому

    Huyu jamaa akizungumza muda unaenda mbio sana.... Muongeze muda

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 місяці тому

    Next week tuletee thabit mlangi

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q 5 місяців тому

    Hahahahahahahahh Putin Putin Putin huraaaaa kweli ukiujua wa mbele mm naujua wa nyuma nzi kasema

  • @brownshirima5924
    @brownshirima5924 5 місяців тому

    Russia kasha chukua tenah mji mwingine

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz Місяць тому

    Wachambuzi Amandazi

  • @augustinob.toke1012
    @augustinob.toke1012 4 місяці тому

    Mumeanza kusema ukweli hahahaa

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 4 місяці тому

    Pumbavu mchambuzi hauna akili sawa sawa kichwani. Hauujuwi kitu unapelekwa TU na vyombo vya magharibi

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 5 місяців тому

    Hiki kijamaa hawa kina jitahidi kuikosoa urusi ila imefika wakati maji na mafuta vimeanza kujipanga 😂

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 4 місяці тому

    Huyu Putin ni mlaku wa wa kunywa damu za watu siku yake yapo I katibu sana

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 4 місяці тому

    God bless russia,heaven of the world.

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 5 місяців тому +3

    Leo ndo nimeshangaa kuona Labi anakubali urusi kua atashinda vita

    • @SaidyMwajeka-tr7oj
      @SaidyMwajeka-tr7oj 5 місяців тому +1

      Aiseee huyu mwamba Leo kakubali hata mm nimeshangaa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 5 місяців тому

      Wenzio wanaangalia uelekeo maana vita kila siku inapiganwa.Rahbi anaweza kuwa sahihi kwa wakati huu, ila siku mambo yakibadilika basi nae atabadilika pia.

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 5 місяців тому +2

    Leo ndo nimeshangaa kuona Labi anakubali urusi kua atashinda vita

    • @SaidyMwajeka-tr7oj
      @SaidyMwajeka-tr7oj 5 місяців тому

      Amejizima data unamkumbuka interview zKe za nyumaa mkuu