Zaporizhzhia ikilipuka NATO wanaingia Ukraine - DJ Sma anaelezea kwa kina (5)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 306

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Рік тому +10

    DJ SMA NO1 NAKUPENDASANA toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wanau rusi gongeni👊👊👊 nawapenda san kwasababu tupoupande wahaaki.namtetezi niputin❤❤❤❤❤❤

  • @mohamedrajab6652
    @mohamedrajab6652 Рік тому +2

    Upo vizuri kaka kwa uchambuzi.💪💪💪ushindi lazima kwa Urusi

  • @ramad3086
    @ramad3086 Рік тому +10

    Ww jama nakukubali mm nafatilia vita kila siku kwel unachambua vizur sana🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 Рік тому +7

    Yaan elimu unayotoa hata darasani huwezi kuipata#hii ni elimu ya intelligence ya hali ya juu unayoitoa lkn kwa wale wanaoelewa tu#naskiliza unyama huu kutoka nchini esrael❤❤❤respect sana Dj Smaaa

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 Рік тому

    Shukran sana ndugu
    Upo vizuri

  • @arunamasanja3783
    @arunamasanja3783 Рік тому +4

    South African 🇿🇦🇿🇦

  • @jimmyselejimmysele2821
    @jimmyselejimmysele2821 Рік тому +2

    Hatarini

  • @chancepascalkifula3970
    @chancepascalkifula3970 Рік тому +5

    Nimechelewa Leo nipeni like zangu kutoka congo

  • @blackjack3356
    @blackjack3356 Рік тому +3

    Nakupata vizuri kitoka Lusaka Zambia

  • @abdulikimangaboy8265
    @abdulikimangaboy8265 Рік тому +1

    Ktk znz dj sma ss marecani anamaslahi gn mpk anafny jot ay

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 Рік тому +3

    Brother, una uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo. Nakupata kutoka Sumbawanga. Hongera sana and don't stop always keep it up.

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 Рік тому +2

    Kk Mungu akubariki 🎉, nafurahi sana uchambuzi wako

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 Рік тому +1

    Nakukubali Sana dj sm

  • @yasinsanga9062
    @yasinsanga9062 Рік тому +1

    Asante kwa kutupa taarifa nzuri

  • @amadecassamo1606
    @amadecassamo1606 Рік тому +1

    Uko vzr dj sma255

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi Місяць тому

    Wew dj kipofu zungumzia 🇮🇷 mbona aishamburii kk ha😂😂😂😂😂😂

  • @katyamoses2754
    @katyamoses2754 Рік тому +1

    Wewe 🔥🔥🔥🙏 Mungu akubariki

  • @iddyramadhan1577
    @iddyramadhan1577 Рік тому +1

    From Cairo Egypt. Uko vizuri

  • @dissymoussa7973
    @dissymoussa7973 Рік тому +1

    Thank you DJSmart 55 sisi tupo burundi 🇧🇮

  • @ISAACPhiri-d4j
    @ISAACPhiri-d4j Рік тому

    Nakuelewa mbaba mwaisa hapa Lusaka Zambia

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Рік тому +1

    Dj sma Mr facts tunapena hizi vitu sana

  • @MursalMursal-op3ly
    @MursalMursal-op3ly Рік тому +1

    Unyamaa sna dj endelea bila kuchoka kutujuza kinacho endelea kila hatua maana wengi wetu hatujui chchte nakupa maua yako mzeee umetisha 🎉🎉🎉🎉

  • @mikokotv
    @mikokotv Рік тому +3

    Kaka ile link ya kuchangia mbona hamna!? Pia jitahidi mchango uwe kwa kipindi husika na sio Kwa channel

  • @ericksaid5327
    @ericksaid5327 5 місяців тому

    Bro nakuaminia sana juu mambo yako ni kweli kabisa big from Mombasa kenya

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 Рік тому +1

    Since day 1 tuko pamoja dj smaa, nakubali Sana ii class

  • @DeodoriKakuru
    @DeodoriKakuru 3 місяці тому

    17:29 ❤akuna malefu yasio na n'cha

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 Рік тому +1

    Safi sana

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 Рік тому +5

    Bg up kwa Putin namkubali sana

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 Рік тому +1

    Unatoa fact's ilo ndio la msingi. Hongera kwa research sio kazi ndogo

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +3

    DJ Sma tupo pamoja nakukubari kutuelewesha Dunia inavyo enda

  • @selemalaue7739
    @selemalaue7739 Рік тому +3

    Much respect much blessed 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ahmadilumbi6279
    @ahmadilumbi6279 Рік тому +1

    Nakuelewa dj kwa habari za uhakika nakupata nikiwa Boston

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 Рік тому +10

    Much respect much blessed Dj Smaaa#❤SnS….

    • @russia1253
      @russia1253 Рік тому

      🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🫶🇹🇿🇹🇿

  • @ismailfaki4834
    @ismailfaki4834 Рік тому +1

    Ila brother unatisha upewe maua yako❤🎉

  • @jumakibwana1810
    @jumakibwana1810 Рік тому +1

    Huwa nafatilia sana na mimi kama mwana fuse napenda unacho kifanya bro

  • @hajimaruzuku6583
    @hajimaruzuku6583 Рік тому

    Vizur xn mchambuz

  • @allymohamed2630
    @allymohamed2630 Рік тому

    Naskiliza jutokea mwanza
    Nimekua nikikufatilia kwa muda mrefu na unanipa elimu ya bure.kabisa asante sana 🙏

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 Рік тому +1

    Much respect mr am from tz

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 Рік тому +1

    Pamoja sana kutoka congo

  • @slimshadjr
    @slimshadjr Рік тому +5

    Sns unajiharibia page yako kuweka wachambuzi wapuuzi

  • @Hadia-w1s
    @Hadia-w1s 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 Рік тому

    nakubali sana mwangu dj sma tupe vitu tunakuamini sana

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo Рік тому +1

    Dj sma🔥🔥👍

  • @hamisakida7971
    @hamisakida7971 Рік тому +2

    Wa kwanza Mimi leo

  • @Aysha_ally
    @Aysha_ally Рік тому +1

    💪💪💪💪safi

  • @YuvencePatrice-w8h
    @YuvencePatrice-w8h Рік тому

    👍👍

  • @GASPARYRENARD-dx9dk
    @GASPARYRENARD-dx9dk 4 місяці тому

    Nimekukubali mwamba mi ni Gaspar wa karagwe Kagera pamoja sana

  • @Zirobrain
    @Zirobrain Рік тому +1

    Uliongelea part 3 Sio 4

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw Рік тому +2

    Nasikiliza kutoka tarime,rafk,katika maono yangu juu ya hii vita,ni kumuinua mpinga kirsto na kua na dini Moja,serekali Moja na pesa Moja,ili wamkabizi mpinga kristo utawala wa Dunia,

  • @fredrickfilbert3922
    @fredrickfilbert3922 Рік тому +2

    Akili kubwa sana, natamani nikuulize kuhusu dude la Bandari za Bongo au basi

  • @bigvempire7801
    @bigvempire7801 Рік тому +1

    Una zungumza vitu visivyo eleweka. Yani ww ndo sifuri kabisa. Unajifanya unajuwa kimombo sana. Sema kiswahili bana 🇨🇩🇨🇩

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Рік тому +1

    Naskiliza toka mbeya

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 9 місяців тому

    Ndo hali halisi

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 Рік тому

    Nyie Marekan Saidien Wananchi Wenu Kwanza..

  • @benmcdream2268
    @benmcdream2268 Рік тому +1

    We jamaa unajua, heshima kwako

  • @davidomar-un4op
    @davidomar-un4op Рік тому +2

    From 🇲🇿🇲🇿🇲🇿♥️♥️♥️

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому

    Safi sana unajua.. Unaongea ukweli ..Uishi miaka kichele....

  • @Hija.F.A
    @Hija.F.A Рік тому +1

    nice yuo🇹🇿

  • @eddymwalagho354
    @eddymwalagho354 Рік тому

    Uchambuzi huu ni mzuri 🇰🇪

  • @sadikkazimoto7466
    @sadikkazimoto7466 Рік тому +4

    Uyu jamaa ni muongo hajui kitu kuusu hiyo vita

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi Місяць тому

    Au wanaogopa kumtopeza kiongozi wawo wakiroo au wanaogopa raisi wawo mpya kufariki 😂😂😂😂😂😂😂😂dar ww dj wanyumbani kwenu nazani

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 Рік тому

    Daah hatari sana

  • @RamadhaniRajabu-rs2yd
    @RamadhaniRajabu-rs2yd Рік тому +1

    Mwenyez mungu amewaalaan wale ambao wanadhulumu uhai wa mtu mpaka siku ya kiama mimi siungi mkon kabisa wala sitak ushabiki kama umeshawahai ona vita huwez kuwa shabiki hakuna sehem watu ni immortals ni nafsi za vijana wadogo wanateketea kwa tamaa za upumbavu wa kukumbatia dunia ambayo wataiacha

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 Рік тому +1

    Huu niutabiri wa mda mrefu, kikubwa tusali sana

  • @shithyomar3828
    @shithyomar3828 Рік тому

    Salute nakuskiliza kutokea kwa zulu natal za

  • @alimussa5935
    @alimussa5935 Рік тому +5

    Huyu mchambuzi ana wabuluza mazwazwa kwasababu hamjui chochote kinachoendelea duniani ndio mnakubali ujinga wake

    • @ismailmkame4205
      @ismailmkame4205 Рік тому

      Usifanye watu ni mazombie kaka wacha Urusi ichapwe na Ukraine iwe funzo kwa Putin

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er Рік тому

      Huyu jamaa si mchambuzi na hajui lolote yupo hapa na blaa blaa yake hana anachokijua ispokuwa ni mshabik tu ya Ukraine tu

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Рік тому

    Hawamuwezi urusi kamwe!!!

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 7 місяців тому

    Bado hawajasema mpaka wasemeee

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Рік тому +1

    Ukweli ukiona marekani wanataka uzichapa wameshaona ushindi. Kwaiyo Russia ajipange asije kuwa kila. Siku yeye kibonde cha marekani

  • @YahayaInsa
    @YahayaInsa 4 місяці тому

    Mozambique

  • @sabitintaganda9115
    @sabitintaganda9115 Рік тому

    God job

  • @karimurashidi3095
    @karimurashidi3095 Рік тому +3

    Chawa wako pro max hapa nakupata nikiwa mtwara yani sijui nikupe cheo gan yan katka watu nawakubali ukimtoa putin ni ww dj smart

  • @sayshabani6350
    @sayshabani6350 Рік тому +1

    Viva putin
    Pretoria moja

  • @mussachichajr
    @mussachichajr Рік тому +1

    Kusema kwamba Urusi hawezi kushindwa hii vita nikujidanganya cz alisema anaweza kuichukua Kiev siku tatu ikashindikana. Akaja na mkakati wa kunyakua majimbo ya kerysone, Zaporozhye na eneo la Donbas ( Doniesky na Lugansk) na ukiangalia ukiacha doniesk ndio analidhibiti lote haya yaliyobakia anadhibiti % fulani tu. Lakin ukiangalia kiuhalisia hata ichukue miaka mitano urusi hawezi kushinda hii vita kwa facts zifuatazo.
    Urusi uchumi wake una shrink kutokana na vikwazo.
    Warusi wengi hawaungi mkono vita bali ni matakwa ya mtu mmoja.
    Jeshi la urusi linaonekana ni dhaifu cz kama mamluki wa Wagner elfu 25 walikuwa wamrshachukua miji kama Rostov katika kipindi cha uasi (mutiny) wa yevgen prygozhiny na barabara za madaraja yaliyokuwa yanaelekea Moscow yalivunjwa kuwazuwia Wagner elfu 25 vipi NATO wakiingia na jeshi la watu laki 5 au 6.
    Nchi marafiki wa urusi wanaogopa kumsaidia kukwepa vikwazo.
    Tactical za kivita Russia hana weledi ndio maana anashambulia ovyo maeneo ya kiraia kujenga hofu.
    Urusi anategemea sana vipuri vya zana za kivita kutoka nje na ndio maana sasa ana modify dhana zake za enzi ya Soviet vilivyokuwa havitumiki kutokana na vikwazo.
    Yaani zipo sababu nyingi sana Russia kupoteza hii vita, kitu ambacho Urusi anaringia ni silaha za nuclear lakin sio yy peke yake anamiliki silaha hizo. Itoshe kusema hii vita ni ngumu kwa sisi ambao tunaifuatalia ila ni rahisi kwa hawa wanaomuunga mkono Dj Sima😂😂😂😂

  • @Naujila-nv1cy
    @Naujila-nv1cy Рік тому +1

    e nakuelewa mwamba

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 Рік тому +1

    Been a while

  • @jeorgencole5959
    @jeorgencole5959 Рік тому +3

    Msiwe mnashukuru muwe mnampa ata ela ya maji mnapewa madini lakin mnabaki kushukuru 2 wabongo bhana mnaboa kama baba levo dogo dj sma toa namba 2kupe za maji maan unatoa madini

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 Рік тому

    Me nipo upande wa urusi 💯 lakini hapa kwa NATO kuzichapa na urusi kwa sasa sizani kama mtu mzima Putin atatoboa hawa jamaa wapo vizuri sana now wamemnyon‘gonyesha mrusi mwaka mzima now wakati sahii wa kuingiza miguu cz washajua kuwa ukali alionao sasa hauna mazala tena kwa NATO

  • @salvatorymheziwa1053
    @salvatorymheziwa1053 Рік тому +1

    Usipomwelewa huyu basi akil ni ngumu

  • @KelvinElisha
    @KelvinElisha Рік тому +1

    Dj smaa tupo pamojaaa napenda kuuliza swali endapo marekani ataingilia vita matumiz ya nuclear si walizuia toka watumie japani

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому

    Ndio maana wamemuongeza mda tena Katibu mkuu wa NATO kuhudumu Kwa mwaka tena.. hapo Kuna mbinu ya Siri ipo... Ukreni hawezi kujiunga na NATO zipo Nchi zinapinga kabisa Ukreni kujiunga na NATO... Ukreni amesaidiwa sana kukomboa kituo hicho ameshindwa na kupingwa vibaya sana sana!!!!!

  • @mrdaslam301
    @mrdaslam301 Рік тому +2

    DJ sma naomba ile story ile ya 2015 Russia walivyopigana na IS Syria na uturuki waka tungua ndege ya mrusi

  • @DavidNdaha-f5z
    @DavidNdaha-f5z Рік тому

    Yuhoma Tv

  • @jeryjery8566
    @jeryjery8566 Рік тому

    We mwandishi itakua ni shoga

  • @ojmang6505
    @ojmang6505 Рік тому

    Nakusikiliza kutoka gongo la mboto dar

  • @maslaseif8186
    @maslaseif8186 Рік тому +3

    Kweli we mjinga sana. Eti tusiamini tunao hambia na wengine ila unataka tuamini uchambuzi wako

    • @bonita329
      @bonita329 Рік тому

      muongo huyu sijui kabila gani manake anakisabengo kama ..anatuletea uchambuzi wa fikira za watu wanavyofikiria wao kama wao halafu anataka kuwaaminisha watanzania kuwa ndio ukweli ndio huo duh 😅😅😅nimecheka sana

    • @maslaseif8186
      @maslaseif8186 Рік тому +1

      Muongo sana anajifanya mjuaji na japo hajui chochote

    • @owenmutale8686
      @owenmutale8686 Рік тому

      Tupe taarifa unaejua kuhusu mashoga wenzio mana yye hajui km unavyo jua wewe

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 Рік тому

    Urusi hawezi shida hii vita

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 Рік тому +1

    Kaka mi naona the only option waliyobaki nayo NATO ni kuingia mitini na kuamua kujubaliana na matakwa ya Urusi tu kwani NaTo hawawezi kuanzisha direct war with Russia kwani hiyo itakuwa vita 3 ambayo itawamaliza vibaya

  • @frankyotam6008
    @frankyotam6008 Рік тому

    Aliyeanza Vita hii ni nani?

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +1

    Bro hii haitakwepeka maana hiki ndo kiwanda na mitambi mikubwa sana pale barani Ulaya

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 5 місяців тому

    Kwahiyo wakufa wanajeshi waupande mmoja tu urusi hawafi acheni mapenzi mbaka Sasa urusi wamepoteza wanajeshi 50000 hamsemi

  • @mussamtopelwa8625
    @mussamtopelwa8625 Рік тому +1

    Safi tunapenda uchambuzi wako uposawa na wachambuzi wakubwa duniani endereea .

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 Рік тому

    Hata kama zappozia ikilipuka NATO hana uwezo wa kukabilia na URUSI

  • @SogadariWafunuwaji-nl8wx
    @SogadariWafunuwaji-nl8wx Рік тому +1

    Mimi nakufatiliya kutok southa africa

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Рік тому +2

    Wacha nato na mmarekani waingie halaf north korea amsaidie mrusi

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Рік тому

    Hatahuyu mwanandishi niwamchongo NATO nikitukingine

  • @swahilibrotherhood
    @swahilibrotherhood Рік тому +1

    Hahahaha waleteeee

  • @joycemalundo1055
    @joycemalundo1055 Місяць тому

    Sma😂😂., unajua una fact Sana,. Lakin we kwauelewa wako una amini rusia ataweza kuipiga NATO nzima na marekani,? Mim kwa maoni yangu kiukweli naomba vita hii isitokee ,. Maana naamini Mambo yatakuwa mabaya Dunia nzima acha kushabikia vita we jamaa.

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc Рік тому +2

    God Bless American & NATO

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 Рік тому

      Masheitwan wa dunia amerika na nato😄

  • @awazimalilo3869
    @awazimalilo3869 Рік тому

    Vita ya 3 nimefukiya